ⓘ Free online encyclopedia. Did you know?

Thomas Ulimwengu

Thomas Emmanuel Ulimwengu ni mchezaji mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anaichezea timu ya Tanzania Soccer Academy na pia huichezea timu ya taifa ya Tanzania na timu ya Taifa U-20 ya Tanzania, yaani, chini ya miaka 20.

Ummy Ally Mwalimu

Ummy Ally Mwalimu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama tawala cha kisiasa. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum vya Wanawake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 nafasi ambayo aliitumikia hadi mwaka 2015. Akarudishwa tena bungeni katik ...

Gabrielle Union

Gabrielle Monique Union ni mwigizaji filamu na mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Marekani. Miongoni mwa nyusika zake maaarufu ni pamoja na ule aliocheza na Kirsten Dunst kwenye filamu ya Bring it On. Union pia amepata kucheza na Will Smith na ...

Karl Urban

Karl-Heinz Urban ni mwigizahu wa filamu kutoka nchini New Zealand. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Éomer katika sehemu ya pili na ya tatu ya mfululizo wa filamu za Peter Jackson ya The Lord of the Rings trilogy, na Dr Leonard McCoy kwenye fila ...

Usher Raymond

Usher Raymond IV ni mwimbaji wa R&B-pop, mtunzi wa nyimbo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Usher. Usher, alianza kujibebea umaarufu kuanzia miaka ya 1990 hivi. Tangu hapo, ameuza albamu zak ...

Antonio Valencia

Luis Antonio Valencia Mosquera, anayejulikana sana kama Antonio Valencia, ni mchezaji wa kandanda wa kiungo cha kati mwenye uraia wa Ecuador na ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Ecuador.

Tonino Valerii

Tonino Valerii ni mwongozaji wa filamu wa Kitaliano, anafahamika zaidi kwa kuongoza filamu za western, maarufu kama Spaghetti Western. Valerii alianza shughuli za filamu akiwa kama mwongozaji msaidizi wa Sergio Leone, alimsaidia kuongoza filamu y ...

Casper Van Dien

Casper Robert Van Dien, Jr. ni mwigizaji filamu wa kimarekani. Anafahamika zaidi kwa jina alilotumia katika filamu ya Starship Troopers kama Luteni Johnny Rico. Pia humwita Andre kutoka katika filamu ya Watch Over Me ya katika televisheni ya My N ...

Vanessa Mdee

Vanessa Hau Mdee ni mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo, mwanaharakati wa vijana na msanii wa muziki wa hip hop nchini Tanzania. Jina lingine la Vanessa Mdee ni Vee Money. Vanessa Mdee ni mtangazaji wa kwanza wa MTV nchini Tanzania. Vanessa alikuwa mta ...

Vanessa Williams

Vanessa Lynn Williams ni mwimbaji, mwigizaji, mtayarishaji, mwanamitindo wa zamani, na Mlimbwende wa Marekani kwa mwaka wa 1984 - kutoka nchini Marekani. Mwaka wa 1983, amekuwa Mwamerika-Mweusi wa kwanza mwanamke kupewa taji la Miss America. Juma ...

Mario Vargas Llosa

Jorge Mario Pedro Vargas Llosa ni mwandishi kutoka nchi ya Peru. Hasa ameandika riwaya na insha. Mwaka wa 2010 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Zain Verjee

Zain Verjee ni mwandishi wa Kanada mwenye asili ya Kihindi. Alizaliwa na kulelewa nchini Kenya. Hivi sasa, yeye ni mtangazaji wa habari katika kipindi cha CNN cha World Report yaani ripoti ya dunia nzima, kipindi hiki huandaliwa jijini London,Uin ...

Thomas Vermaelen

Thomas Vermaelen ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchi ya Ubelgiji ambaye sasa anachezea klabu ya Arsenal kama mlinzi. Alianza kucheza mpira wa kitaalamu akiwa Ajax kabla ya kuhamia Arsenal Juni mwaka wa 2009.

Vicky Ntetema

Vicky Ntetema ni mwandishi wa habari kutoka Tanzania aliyepata umaarufu baada ya kufichua mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania. Baadaye akawa mkurugenzi mtendaji wa Under the Same Sun Tanzania.

Victor Lindelof

Victor Lindelof ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uswidi na wa klabu ya Uingereza iitwayo Manchester United. Hucheza nafasi ya beki wa kati na pia huweza kucheza kama kiungo mkabaji. Mchezaji huyu alisajiliwa na Manchester United kutoka Benfica huk ...

Victor Wanyama

Victor Mugubi Wanyama ; alizaliwa 25 Juni 1991) ni mchezaji wa soka wa kulipwa wa Kenya ambaye anacheza kama kiungo wa kujihami kwa klabu ya Southampton na ni nahodha wa timu ya taifa ya Kenya. Akiwa uwanjani, Wanyama, ni anajulikana kwa ajili ya ...

Victoria Kimani

Victoria Kimani ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji na mburudishaji wa Kenya. Hapo awali alisainiwa katika Jiji la Chocolate, Nigeria na alielezewa kama mwanamke wa kwanza wa lebo ya rekodi. Kama mwimbaji, anajulikana sana kwa nyimbo zake ny ...

Victoria Kisyombe

Victoria Kisyombe ni mwanzilishi wa kampuni ya SELFINA iliyopo nchini Tanzania inayohusika na utoaji mikopo midogo kwa wanawake, hasa wajane, kwa lengo la kuwawezesha kujikwamua katika dimbwi la umaskini na utegemezi nchini. Kwa malengo na ubunif ...

Viktor Kovalenko

Viktor Kovalenko ni mchezaji wa soka wa Kiukreni ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya FC Shakhtar Donetsk katika Ligi Kuu ya Ukraina na timu ya taifa ya Ukraina.

David Villa

David Villa Sánchez ni mchezaji wa mpira Mhispania, ambaye kwa sasa anacheza kama mshambuliaji katika Club Atletico de Madrid.

Vincent Kompany

Vincent Jean Kompany ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Uingereza Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji. Katika msimu wa 2011-12 alipewa unahodha katika klabu ya Manchester City, akiongoza klabu yake ...

Vinícius Júnior

Vinícius Júnior ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu wa Brazil ambaye anacheza kama kiungo wa mbele katika kilabu ya Hispania Real Madrid. Vinícius alianza kazi yake ya kitaaluma huko Flamengo, ambapo alifanya kwanza kazi mnamo Mei 2017, ak ...

Vital Kamerhe

Vital Kamerhe ni mwanasiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kiongozi wa chama cha Union pour la Nation Congolaise. Alikuwa Rais wa Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tangu mwaka 2006 hadi 2009. Kabla ya hapo alikuwa Waziri wa Habari ...

Víctor Valdés

Víctor Valdés Arribas ni kocha wa mpira wa miguu wa Hispania na mchezaji wa zamani wa Barcelona, yeye alicheza kama golikipa. Kwa sasa yeye ndiye msimamizi wa timu ya FC Barcelona ya Juvenil A.

Eric Wainaina

Eric Wainaina ni mwimbaji wa Kenya n mtunzi. Wasifu wake ulizinduliwa pamoja na albamu yake, Sawa Sawa, mwaka 2001. Muziki wa Wainaina ni mseto wa Benga na magitaa ya Afrika Mashariki, pamoja na baadhi ya matabaka ya kisasa.

Amos Wako

Mheshimiwa Amos Wako amekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Kenya tangu Mei 1991. Wako alizaliwa nchini Kenya. Alipata Shahada ya Sayansi katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha London, shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na Mwali ...

Gabriel Zubeir Wako

Gabriel Zubeir Wako ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki aliyechunga jimbo kuu la Khartoum, Sudan. Alipata upadirisho tarehe 21 Julai 1963, akawa askofu wa jimbo la Wau mwaka 1974, halafu askofu mkuu wa Khartoum mwaka 1981. Gabriel Zubeir Wako alite ...

Jimmy Wales

Jimmy "Jimbo" Donal Wales ni mwanzilishi na ni rais wa sasa wa Wikimedia Foundation. Anafahamika zaidi kama mwanzilishi wa kamusi elezo huru ya Wikipedia. Kwa sasa anaishi mjini St. Petersburg, Florida. Hapo awali aliunda kamusi elezo huru ya kwa ...

Christopher Walken

Ronald Walken akiwa kama mwigizaji, hutumia jina la Christopher Walken, ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama muhusika mwasi au kichaa. Kuna ki"indi hutumia picha ile kwa ajili ya vionjo ...

Eli Wallach

Eli Herschel Wallach ni muigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani, Pia muigizaji wa vipindi vya kwenye Televisheni. Eli pia alicheza kama nyota mshiriki katika mfululizo wa filamu ya The Man With no Name Alicheza kama Tuco, Mbali na hiyo bado ka ...

Wallah bin Wallah

Wallah bin Wallah ni mwandishi wa Kiswahili kutoka Kenya anayetambulika kwa jina la Ustadh kwa hatua zake katika kuimarisha lugha ya Kiswahili katika jamii ya Afrika Mashariki. Mwalimu Wallah bin Wallah ameandika vitabu vya Kiswahili Mufti na Ins ...

Lady Jay Dee

Judith Daines Wambura Mbibo ni mwanamuziki wa Bongo Flava-Afro pop kutoka nchini Tanzania. Judith Wambura alizaliwa na Martha na Lameck Isambua Mbibo ambao ndio wazazi wake. Alianza kuimba akiwa na umri wa miaka saba. Alianzia kuimba kanisani kam ...

Allan Wanga

Wetende Allan Wanga ni mchezaji wa kandanda wa Kenya, hivi sasa anacheza katika timu ya Atletico Petróleos Luanda nchini Angola. Yeye hucheza katika nafasi ya mshambuliajii katika timu.

Wanja Mworia

Wanja Mworia ni mwigizaji wa Kenya anayejulikana kwa jukumu lake katika telenova ya Makutano Junction. Anasifika sana kwa kucheza majukumu anuwai katika safu kadhaa za runinga. Wanja alifanya kazi kwanza kwenye runinga katika kipindi cha telenova ...

Henry Wanyoike

Wanyoike ni mmoja wa Wanariadha wa kasi sana duniani. Alianza kukimbia akiwa mtoto na tayari alikuwa na ndoto ya kujiunga na kundi la Kenya la wanariadha, nchi ambayo inajulikana kwa kuwakuza Wanariadha wengi wa Massafa marefu wa Kimataifa kuliko ...

Joseph Sinde Warioba

Joseph Sinde Warioba ni mwanasiasa wa Tanzania. Aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia mwaka 1985 hadi 1990. Kwa kuongezea, aliwahi kutumika kama Makamu wa Rais wa nchi hiyo. Pia aliwahi kuwa jaji katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki ...

Wataru Endō

Wataru Endō ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Japani anayecheza kwenye klabu ya Diamond Urawa Red, ambaye alijiunga baada ya kuanza kazi yake ya kitaaluma na klabu ya Shonan Bellmare.

Wayinke

Daisy Wetende Wayinke ni mwimbaji na mwigizaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya.Anafahamika zaidi kwa jina lake kama Wayinke. Mtindo wa muziki wake ni mkubwa ikiwemo Afro-Pop na ushawishi wa Chakacha na R & B wa asili. Mbali na sanaa yeye p ...

George Weah

George Weah ni rais wa Liberia kuanzia mwaka 2017. Kabla ya kuwa mwanasiasa aliwahi kuwa mwanakandanda mashuhuri duniani.

Carl Weathers

Carl Weathers ni mwigizaji wa filamu na ni mchezaji mpira wa miguu wa zamani wa Kiamerika-Kanada. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Apollo Creed alilotumia kutoka katika mfululizo wa filamu ya The Rocky aliyocheza na nyota maarufu wa fil ...

Hugo Weaving

Hugo Wallace Weaving ni mwigizaji filamu wa Kiingereza, vilevile mwigizaji wa sauti yaani kama kuigiza sauti ya katuni au sauti za kirobot. Huenda akawa anafahamika kwa jina la Agent Smith kutoka katika mfululozo wa filamu za Matrix.

Martin Weinek

Martin Weinek ni mwigizaji, mtengenezaji mvinyo, kabaila na mburudishaji kutoka nchi Austria. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza katika tamhiliya ya Inspector Rex. Pia anatengeneza pombe nchini Austria. Weinek alisomea masuala ya maigizo ...

Alek Wek

Alek Wek ni ambaye kwanza alionekana kwenye mashindano katika umri wa miaka 18 mwaka 1995, na hivyo kuzua kazi ya kudumu hadi sasa. Ykabila la Dinka nchini Sudan, lakini mwaka 1991 yeye na baadhi ya wanafamilia walikimbilia Uingereza ili kuepuka ...

Wellu Sengo

Wellu Sengo ni msanii wa filamu za Tanzania. Alifanikiwa kuigiza filamu mbalimbali kama vile ya" I know you” aliyeigiza kama Matilda. Alianza kupata kazi mbalimbali na wasanii wazoefu katika filamu nchini mwake.

Wendy Kimani

Wendy Kimani ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji na mburudishaji mkenya. Alipata umaarufu baada ya kuwa mshindi wa pili katika msimu wa pili wa Tusker Project Fame. Kama mwimbaji anajulikana kwa nyimbo zake; Haiwi na Chali. Alitoa albamu yak ...

Arsene Wenger

Arsène Wenger, OBE ni meneja ambaye ameweza kuongoza kilabu cha ligi ya Uingereza, yaani Arsenal F.C. tangu mwaka wa 1996 hadi 2018. Yeye ni meneja mwenye mafanikio zaidi katika historia ya Arsenal katika suala la nyara na pia ni meneja aliyedumu ...

Wesley Moraes

Wesley Moraes, ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza katika klabu ya Aston Villa kwenye Ligi Kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Brazil kama mshambuliaji.

Kanye West

Kanye Omari West ni mshindi mara ishirini na moja wa Tuzo za muziki za Grammy, akiwa kama rapa-mtayarishaji bora wa muziki kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Kanye West. West alitoa albamu yake ya kwanza mnamo ...

Moses Wetangula

Moses Masika Wetangula ni mwanasiasa wa Kenya na Mbunge anayewakilisha jimbo Sirisia. Yeye amekuwa Waziri wa Mambo ya Nje tangu Januari 2008.

Wilfred Ndidi

Wilfred Ndidi ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Leicester na timu ya taifa ya Nigeria. Yeye anajulikana kwa ushujaa wake na anaweza kucheza katika mstari wa nyuma na katikati.