ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 100

Al-Qairawin

Chuo Kikuu cha Al-Qairawin mjini Fes kiliundwa mwaka 859 kama madarasa kwenye msikiti ya Al-Qairawin. Inasemekana ni chuo kikuu cha kale kabisa duniani inayoendelea kufanya kazi hadi leo. Kuundwa kwake kulitokea miaka 70 kabla ya Chuo Kikuu cha A ...

Chuo Kikuu cha Babcock

Chuo Kikuu cha Babcock ni chuo kikuu cha binafsi cha Kikristo, Nigeria inayomilikiwa na kuendeshwa na Kanisa la Waadventista Wasabato nchini Nigeria. Chuo kikuu kina umbali sawa kutoka Ibadan na Lagos. Uandikishaji ulikuwa 6.000 mwaka wa 2009.

Chuo Kikuu cha Tumaini

Chuo kikuu Tumaini kina matawi manne: Chuo Kikuu cha Tiba Kilimanjaro KCMC Chuo Kikuu Tumaini Iringa IUCo Chuo Kikuu Tumaini Dar es Salaam TUDARCo Chuo Kikuu cha Makumira MUCo Tawi la kwanza lilikuwa Chuo cha Theolojia Makumira huko Usa River, Ar ...

Unsata

UNSATA chama cha wanafunzi wauuguzi Tanzania ambao wanasoma ngazi zote za uuguzi kuanzia cheti, stashahada, shahada na kuendelea ili mradi asiwe nje ya taratibu na maadili ambayo mwanafunzi wa uuguzi anapaswa kuwanayo. Chama kilianzishwa rasmi na ...

Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Afrika Mashariki

Chuo kikuu kilianzishwa mnamo 2010 na Hassan. Campus yake kuu iko katika Kansanga, kwenye barabara inayounganisha Kampala na Ggaba, kusini-mashariki mwa mkoa wa mji mkuu wa Kampala, mji mkuu na mji mkubwa zaidi wa Uganda. IUEA inasifiwa na Baraza ...

Chuo Kikuu cha Makerere

Chuo Kikuu cha Makerere ni chuo kikuu cha kwanza cha Afrika ya Mashariki na chuo kikuu kikubwa cha Uganda. Kimeanzishwa wakati wa ukoloni mwaka 1922 kama shule ya ufundi kwa wanafunzi 14. Kozi za kwanza zilikuwa pamoja na useremala, ujenzi na ume ...

Jacobs University Bremen

Chuo Kikuu cha Jacobs Bremen ni chuo kikuu cha binafsi mjini Bremen, Ujerumani. Chuo Kikuu cha Jacobs ni taasisi inayotoa elimu ya juu iitumia Kiingereza kama lugha ya mafunzo tofauti na vyuo vya serikali. Chuo Kikuu cha Jacobs hulenga kuunganish ...

Chuo Kikuu cha Ufundi cha München

Chuo Kikuu cha Ufundi cha München ni chuo kikuu cha Ufundi nchini Ujerumani, kilichoanzishwa mnamo mwaka 1868 katika München.

Huduma ya Polisi wa Kenya

Huduma ya Polisi wa Kenya ndiyo shirika lenye nguvu za katiba za kudumisha ufuatiliaji wa sheria na utaratibu wa umma. Huduma imegawanywa katika kanda, kaunti hadi Polisi wa Tarafa, makao makuu yakiwa katika vituo vya polisi. Wote huripoti katika ...

Huduma ya Ujasusi ya Kitaifa, Kenya

Huduma ya Ujasusi ya Kitaifa ni shirika la upelelezi ndani na nje mwa Kenya ili kuhakikisha usalama wa nchi. Asili yake ilikuwa Tawi Maalum iliyokuwa idara ya polisi kutoka mwaka 1952 hadi mwaka 1999 kama Idara ya Ujasusi.

Idara ya Uchunguzi wa Jinai, Kenya

Idara ya Uchunguzi wa Jinai ni kitengo cha Huduma ya Polisi ya Kenya ambacho jukumu lake kuu ni uchunguzi wa jinai. Inaongozwa na Mkurugenzi ambaye huteuliwa na Rais na kuripoti kwa Mkaguzi Mkuu wa Polisi. Makao makuu yako katika Barabara ya Kiam ...

Jeshi la Ardhi la Kenya

Jeshi la leo lilitokana na Kings African Rifles. Mwezi Agosti 1895, serikali ya Uingereza ilikubali kuanzishwa kwa kikosi kilichojumuisha Wapunjabi 300, Waswahili 300, Wasudani 100 na wanajeshi 200 kutoka makabila mbalimbali katika kanda. Kikosi ...

Shirika la Huduma kwa Wanyama Pori ya Kenya

Shirika la Kenya la Wanyama Pori lilianzishwa mwaka 1990. Inasimamia uasilia na viumbe hai wa nchi, ikilinda na kuhifadhi flora na fauna. KWS inasimamia mbuga za wanyama za kitaifa na hifadhi nchini Kenya. Fedha zinazokusanywa kama ada ya kiingil ...

Shirika la Utangazaji la Kenya

Shirika la Utangazaji la Kenya ni chombo cha habari kinachosimamiwa na serikali ya nchi hiyo. Huwa inatangaza habari kwa Kiingereza na Kiswahili, tena katika lugha za kikabila za Wakenya wengi. Shirika hili lilianza mwaka 1928 wakati Kenya ilikuw ...

Jeshi la Anga la Kenya

Jeshi la Anga la Kenya liliundwa tarehe 1 Juni 1964, baada ya uhuru kwa msaada wa Uingereza. Lilivunjwa baada ya mapinduzi yaliyoshindikana kufanywa na maafisa wa jeshi hili tarehe 1 Agosti 1982. Shughuli zake zilianzishwa tena na kudhibitiwa vik ...

Hoteli ya Fontenelle

Hoteli ya Fontenelle ilikuwa hoteli bora ya kibiashara iliyopatikana katika Barabara ya Douglas,katika mji wa Omaha,Nebraska. Ilichorwa na msanifu marufu Thomas Rogers Kimball katika mtindo wa Late Gothic REvival,ikajengwa mwaka wa 1914 na kubomo ...

Hoteli za Sheraton

Hoteli za Sheraton ndiyo rajamu kubwa kabisa na inachukua nafasi ya pili baada ya Westin katika ukongwe baina ya hoteli zote za Starwood. Makao makuu ya Starwood ni katika White Plains, New York.

InterContinental

InterContinental ni aina za hoteli za anasa za hali ya juu, ilioanzishwa na Pan Am, chini ya Juan Trippe, na sasa inamilikiwa na Intercontinental Hotels Group. Ina mlolongo wa takriban hoteli 200 kwenye mataifa takriban 75.

Kampuni ya Alden

Kampuni ya Viatu ya Alden ilianzishwa katika mwaka wa 1884 na Charles H. Alden.Hii ni kampuni ya kuunda viatu vya wanaume,vya kazi na vya anasa pia. Kampuni hii ina makao yake Middlesborough, Massachusetts.Hii kampuni ya kuunda viatu ilipatikana ...

Kampuni ya Kittinger

Kampuni ya Kittinger ni kampuni ya Marekani ya kuunda samani za kikoloni. Kampuni ilianzishwa katika mwaka wa 1866 Buffalo, New York. Kutoka mwaka wa 1937 hadi 1990, ilikuwa kampuni kuu ya kuunda fanicha ya Shirika la Colonial Williamsburg Founda ...

Kampuni ya Magazeti ya Southern

Kampuni ya Magazeti ya Southern ni kampuni ya uchapishaji ya kuendesha kampuni zingine ambayo ina makao yake makuu katika eneo la Houston, Texas. Kampuni hii ilianzishwa,hapo awali, kama Kampuni ya Magazeti ya Southern, ya Tennessee katika mwaka ...

Kampuni ya Viatu ya Brown

Kampuni ya Viatu ya Brown ni kampuni ya viatu ambayo inamiliki aina mbalimbali ya viatu nchini Marekani na Kanada. Makao yake makuu yanapatikana Clayton, Missouri,kitongoji kidogo kilichokuwa karibu na St. Louis, Missouri.

Kampuni ya Viatu ya Hanover

Kampuni ya Viatu ya Hanover imo katika Hanover, Pennsylvania ilikuwa mojawapo ya kampuni kubwa za kuunda viatu na zenye mafanikio katika kata la York. Kuhusu jengo la kampuni hii: Aina ya Jengo: Viwanda Mfumo wa Ujenzi: matofali, mawe, na kuni. P ...

Shirika la A.H. Belo

A.H Belo Corp ni kampuni inayohusika na vyombo vya habari iliyokuwa na makao yake Dallas,Marekani. Kampuni hii inamiliki magazeti manne ya kuchapishwa kila siku na majarida matano madogomadogo. Shirika la sasa liliundwa baada ya Shirika la Belo k ...

De Beers

De Beer wanamiliki migodi Botswana, Afrika Kusini, Angola, pia walikuwa wakimiliki mgodi wa Mwadui hapa Tanzania kwa sasa wamiliki ni petra wanaosadikiwa kuwa ni kampuni la De Beers. De Beers ndilo kampuni la kwanza kwa utajiri afrika wakiwa wana ...

Vodacom

Vodacom ilianzishwa mwaka wa 1994 na kudi la Vodafone Plc kutoka Uingereza na Telkom kuroka Afrika Kusini. Kwa sasa, Vodafone linamiliki asilimia sitini na tano 65 za kampuni na usimamizi wa majukumu ya kampuni. Kampuni ya Vodacom lina wateja mil ...

Calgary Sun

Calgary Sun gazeti la kila siku linalochapishwa katika eneo la Calgary, Alberta Kanada. Hii ni mgawanyiko wa Sun Media, kampuni ya Quebecor. Lilichapishwa kwa mara ya kwanza katika mwaka wa 1980, gazeti hili huchapishwa katika mtindo sawa na tabl ...

The Province

The Province ni gazeti la kila siku linalochapishwa na mtindo wa gazeti la porojo. Gazeti hili huchapishwa katika eneo la British Columbia na Kundi la Pacific Newspaper, kampuni shirika ya CanWest Global Communications. Limekuwa gazeti la kila si ...

Athi River Mining

Athi River Mining ni kampuni ya kibiashara nchini Kenya inayochimba madini na kutengeneza bidhaa kama saruji, mbolea wa kilimo, aina kadhaa za chokaa na minerali mingine kwa matumizi ya viwandani na katika ujenzi. Kampuni ilianzishwa na Bwana H.J ...

Bidco

BIDCO ni mojawapo ya makampuni kubwa zaidi ya kutengeneza mafuta ya kupikia na vyombo vya sabuni katika eneo la Afrika Mashariki na Kati. Kituo kikuu cha Kampuni hii kiko mjini Thika, Kenya.

Crown Berger (Kenya)

Crown-Berger Kenya ni kampuni ya rangi nchini Kenya; iliyoanzishwa mwaka wa 1958 na hushiriki katika utengenezaji na usambazaji wa rangi. Crown-Berger ina makao yake makuu mjini Nairobi imeorodheshwa katika Soko la Hisa la Nairobi.

Kundi la AccessKenya

AccessKenya ni kampuni ya kuwasilisha huduma za mtandao ziko nchini Kenya. Ilianzishwa katika mwaka wa 1995 na ndugu Daudi na Jonathan Somen ili kuwa kampuni ya kuuza huduma za kiteknolojia kwa wateja wa kampuni zilizo ndani ya Kenya ikiwa sehemu ...

Kundi la Sameer

Kundi la Sameer ni kundi kubwa la kampuni za Afrika zilizo na makao yao nchini Kenya. Sameer imejihusisha na ukulima,sekta ya viwanda,teknolojia, ujenzi,usafiri na fedha. Ofisi za kampuni hii zinapatikana mjini Nairobi na imeorodheshwa katika Sok ...

Magadi Soda Company

Kampuni ya Magadi ya Kenya inatengeneza bidhaa za soda na inapatikana mjini Magadi kusini magharibi mwa Kenya. Kampuni ilianzishwa 1911 kando ya Ziwa Magadi ambamo madini ya Trona yanapatiana. Kwenye kampuni madini ya trona yanageuzwa kuwa Soda j ...

Mara GROUP

Mara GROUP ni kikundi cha Kenya chenye kupigania mazingira ambacho kinalenga kuboresha utalii nchini Kenya. Lengo lake kuu ni kutoa msaada kwa jumuiya za kijamii kupitia Utumiaji na kuwaleta wafanyakazi wa kujitolea wa kimataifa ili kuboresha mai ...

Nation Media Group

Nation Media Group ni kundi la vyombo vya habari vya Kenya lililoorodheshwa kwenye Soko la Hisa la Nairobi. NMG ilianzishwa na Aga Khan IV mwaka wa 1959 na ndilo shirika kubwa la binafsi la vyombo vya habari katika Afrika Mashariki na Kati na lin ...

Safaricom

Safaricom, ni kampuni ya mtandao inayoongoza nchini Kenya. ilianzishwa mwaka wa 1997 kama raslimali ya Telkom Kenya. Mwezi Mei mwaka wa 2000, kudi la Vodafone PIC kutoka Uingereza, ambalo ndilo kampuni kubwa la mawasiliano duniani, lilimiliki asi ...

Meridian Bet Tanzania

Meridian Bet Tanzania ni waendeshaji wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania. Kampuni hii imepewa leseni ya kuendesha michezo ya bahati nasibu ikiwa imejizatiti vilivyo katika kufanya biashara hii katika sekta zote ikiwemo kwenye maduka na mitand ...

TaTEDO

TaTEDO ni Shirika la Kijasiriamali la Kitaifa, lisilo la Kiserikali linalojishughulisha na uendelezaji wa nishati endelevu za kisasa. Shirika hili lina uzoefu wa kuendeleza nishati mbadala tangu 1990, katika utengenezaji wa sera za nishati, upang ...

Kampuni ya Green Flag

Green Flag ni kampuni ya kutoa usaidizi wa shida za magari barabarani iliyo na makao yake Uingereza. Iliundwa katika mwaka wa 1971 ikiwa chama cha National Breakdown Recovery Club na ikaendeshwa chini ya jina hili ikimilikiwa na National Car Park ...

Viatu vya Faith

Viatu vya Faith ni kampuni ya Uingereza ya kuunda viatu ambayo ilianzishwa katika mwaka wa 1964 na mhasibu wa London aliyeitwa Samuel Faith na mke wake,Terri. Baada ya Samuel kustaafu, mwanawe Jonathan alichukua usimamizi wa biashara hiyo,ya fami ...

Kenya Commercial Bank (Uganda)

Kenya Commercial Bank, pia hujulikana kama KCB Uganda ni benki ya kibiashara nchini Uganda. Inalenga kutimiza mahitaji ya kibenki ya watu binafsi na makampuni.

Regent International Hotels

Regent International Hotels ni hoteli za anasa, ambazo ni sehemu ya Kampuni ya Carlson, ambayo inasimamia hoteli tisa nchini Asia, Marekani na Ulaya. Ilianzia nchini Hong Kong mwaka 1970, na katika miaka ya 1990 Regent ilikuwa sehemu ya hoteli ya ...

Serena Hotels

Serena Hotels ni mnyororo wa hoteli inayofanya kazi nchini Afghanistan, Kenya, Msumbiji, Pakistan, Rwanda, Tanzania na Uganda. Ni moja ya makampuni 96 yaliyo chini ya Aga Khan Fund for Economic Development, ambayo ni shirika la kutoa faida kwenye ...

Gitobu Imanyara

Baada Imanyara kumaliza zaidi ya miaka miwili katika gereza la Maximum Security kutokana na mashtaka yanayohusiana na kazi yake kama mwanasheria wa haki za binadamu, yeye alianzisha jarida la sheria ya kila mwezi ilioitwa Nairobi law mwaka wa 198 ...

Ingeborg Schwenzer

Ingeborg Schwenzer ni msomi wa sheria wa kijerumani na profesa wa sheria za ulinganifu katika Chuo Kikuu cha Basel, Switzerland.

Mauaji ya Halaiki ya My Lai

Mauji ya Halaiki ya My Lai au The My Lai Massacre yalikuwa mauaji ya mamia ya watu yaliyofanywa na kikosi cha majeshi ya Marekani katika kijiji cha My Lai, nchini Vietnam Kusini tarehe 16 Machi 1968. Katika kumbukumbu za My Lai yameorodheshwa maj ...

Mwanasheria Mkuu

Mwanasheria Mkuu ni mtaalamu wa sheria mwenye kazi ya kushauri serikali au mahakama katika utekelezaji wa majukumu yake. Nafasi hii inapatikana katika nchi mbalimbali hasa kama zinazothiriwa na haki ya Uingereza yaani katika koloni zake za zamani ...

Wizara za Serikali ya Tanzania

Hii ni orodha ya Wizara za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Orodha hii inahusisha wizara zote pamoja na zile ambazo hazipo katika masuala ya Muungano. Kuhusu mawaziri waliopo angalia: Baraza la mawaziri Tanzania.

Dola Huru

Dola Huru ni moja kati ya majimbo tisa ya Afrika Kusini. Mji mkuu ni Bloemfontein ambayo ni pia makao ya mahakama kuu ya taifa. Jimbo lilianzishwa 1994 kwa kuunganisha jimbo la awali la Dola Huru la Oranje na maeneo ya bantustan kadhaa hasa QwaQw ...