ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 102

Rivers State

Kigezo:Infobox Nigerian States Rivers State ni mojawapo kati ya majimbo 36 ya Nigeria. Mji wake mkuu ni Port Harcourt. Kusini limepakana na Bahari ya Atlantiki, Kaskazini na jimbo la Imo Abiaand Anambra, Mashariki na jimbo la Akwa Ibom na Maghari ...

Jimbo la Sokoto

Jimbo la Sokoto ni jimbo katika sehemu ya kaskazini-magharibi mwa Nigeria. Jimbo hili lilipata jina lake kutoka kwa mji wake mkuu wa Sokoto, mji ambao una historia ya muda mrefu na kiti cha Sokoto Caliphate.

Aust-Agder

Aust-Agder ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Imepakana na Telemark, Rogaland, na Vest-Agder. Kunako mwaka wa 2002, kulikuwa na wakazi takriban 102.945, ambayo ni 2.2% ya jumla ya idadi ya wakazi wa nchini Norwei. Ni kweli ina kilomita za mraba z ...

Buskerud

Buskerud ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo limepakana na Akershus, Oslo, Oppland, Sogn og Fjordane, Hordaland, Telemark, na Vestfold. Ngazi ya utawala ya jimboni hapa ipo mjini Drammen.

Hedmark

. Hedmark ni moja kati ya majimbo ya Norwei. Jimbo limepakana na Sor-Trondelag, Oppland na Akershus. Ngazi ya utawala ya jimbo hili ipo mjini Hamar. Hedmark huwa upande wa kaskazini-mashariki mwa sehemu ya Ostlandet, sehemu ya kusini ya jimbo. In ...

Hordaland

Hordaland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo hili limepakana na Sogn og Fjordane, Buskerud, Telemark na Rogaland. Hordaland ni jimbo la tatu kwa ukubwa baada ya Akershus na Oslo kw idadi ya wakazi. Ngazi ya utawala ya mjini jimboni hapa ipo ...

Nord-Trondelag

Nord-Trondelag ni moja kati ya majimbo ya Norwei. Jimbo lipo upande wa kaskazini mwa Trondelag. Na kwa mwaka wa 2010, jimbo lina wakazi takriban 131.555, inaifanya liwe jimbo la nne kwa uchache wa wakazi jimboni. Manispaa kubwa jimboni hapa ni pa ...

Oppland

Oppland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo limepakana na Sor-Trondelag, More og Romsdal, Sogn og Fjordane, Buskerud, Akershus, Oslo na Hedmark. Ngazi ya utawala ya jimboni hapani ipo mjini Lillehammer. Oppland pamoja na Hedmark, ni moja kat ...

Oslo

Olso iko kwenye mwisho wa kaskazini wa fyord ya Oslo fyord ni jina la hori ndefu na nyembamba za pwani la Norwei. Visiwa 40 ni sehemu ya eneo la mji. Mahali pa juu ni mlima wa Kirkeberget mwenye kimo cha mita 629. Kuna misitu mingi ndani ya eneo ...

Rogaland

Rogaland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo lipo Kaskazini mwa Norwei, likikwa limepakana na baadhi ya mjimbo mengine kama vile Hordaland, Telemark, Aust-Agder na Vest-Agder. Jimboni hapa ni mahali pa kuu pa viwanda vya mafuta ya petroli, n ...

Sogn og Fjordane

Sogn og Fjordane ni moja kati ya majimbo ya Norwei. Jimbo hili limepakana na More og Romsdal, Oppland, Buskerud, na Hordaland. Makao makuu ya jimbo hili yapo mjini Hermansverk katika manispaa ya Leikanger - wakati mji mkubwa kabisa ni Forde.

Juba ya chini

Juba ya chini ni mkoa wa kiutawala kusini mwa Somalia. Makao makuu yake yakiwa Kismayo, kwenye autonomous Jubaland. Una misitu ya kijani na anyama pori kama simba, twiga, viboko, mamba na fisi. Juba ya kusini imepakana na Kenya, Mkoa wa Kisomali ...

Mkoa wa Boharo

Boharo ni mmoja kati ya mikoa ya kiutawala ya Puntland iliyokatisha kati ya mkoa Somalia. Iliyo na kona nje ya "Sanaag Haylan.

Mkoa wa Galguduud

Galguduud ni mkoa wa kiutawala wa katikati Galmudug wa serikali ya Somalia. Makao makuu ni Dusmareb.

Mkoa wa Shebelle wa Kati

Umepakana na mikoa kama Galguduud, Hiran, Shabelle wa Chini Shabellaha Hoose, na Banaadir, pamoja na Bahari ya Somalia. Kama sehemu ya zamani ya mkoa wa Benadir, Middle Shabelle ulikuwa mji mkuu wa Mogadishu mpaka katikati ya mwaka-1980s, ambapo ...

Darfur Magharibi

12°53′N 22°58′E Darfur Magharibi Gharb Darfor ni mojawapo ya majimbo 26 yanayojumuisha Sudan, na moja ya tatu yanayojumuisha kanda ya Darfur. Ina eneo la km² 79.460 na idadi ya wakazi wake inakadiriwa kuwa 1.007.000 2006. Inapakana na Darfur Kask ...

Mkoa wa Dar es Salaam

Dar es Salaam ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Umepakana na Mkoa wa Pwani pande zote barani na Bahari ya Hindi upande wa mashariki. Eneo la mkoa ni jiji la Dar es Salaam ambalo ndilo kitovu cha shughuli za biashara na za utawala, kwa kiasi fulani ...

Mkoa wa Iringa

Mkoa wa Iringa ni mojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye Postikodi namba 51000. Upo katikati ya nchi, kidogo upande wa kusini. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Njombe, Mbeya, Singida na Dodoma. Makao makuu yako katika manisipaa ya I ...

Kondoa-Irangi

Kondoa-Irangi ni jina la kihistoria kwa ajili ya mmojawapo kati ya mikoa ya kiutawala katika koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Eneo la mkoa huo ulikuwa na kilomita za mraba 55.600. Makao makuu ya mkoa huo yalikuwa Kondoa Mjini. Ofisi n ...

Mkoa wa Geita

Mkoa wa Geita ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Umepakana na Kagera upande wa magharibi, Shinyanga upande wa kusini na Mwanza upande wa mashariki. Ziwa la Viktoria Nyanza liko kaskazini. Makao makuu ya mkoa yapo Geita mjini. Kabla ya kuanzishwa mk ...

Mkoa wa Mara

Mkoa wa Mara ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 31000. Umepakana na mikoa jirani ya Mwanza na Shinyanga upande wa kusini, Arusha upande wa kusini-mashariki, Kagera kwa njia ya Ziwa Nyanza na Kenya upande wa mashariki. Jina lina ...

Mkoa wa Mbeya

Mkoa wa Mbeya ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye Postikodi namba 53000, ukipakana na Zambia na Malawi, halafu na mikoa ya Rukwa, Tabora, Singida na Iringa, mbali na mkoa mpya wa Songwe uliomegwa kutoka ule wa Mbeya upande wa magharibi mwaka 20 ...

Mkoa wa Morogoro

Morogoro ni jina la mto, mji, wilaya na mkoa wa Tanzania. Mkoa wa Morogoro ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye Postikodi namba 67000. Umepakana na mikoa ya Tanga, Pwani, Lindi, Ruvuma, Iringa, Dodoma na Arusha. Eneo lake ni km² 72 939, ambapo k ...

Mkoa wa Mtwara

Mtwara ni jina la mji na mkoa wa Tanzania wenye postikodi namba 63000 Mkoa wa Mtwara ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Uko katika pembe la kusini-mashariki kabisa la nchi. Umepakana na Mkoa wa Lindi upande wa kaskazini, Bahari Hindi kwa mashariki, ...

Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneo

Hii ni orodha ya tawala za mikoa ya Tanzania katika mpangilio wa: *jumla ya eneo, eneo la nchi kavu, na eneo la maji. Taarifa hii inalingana na uanzishwaji wa mikoa mipya minne mnamo Machi 2012, ambao umefikisha jumla ya idadi ya mikoa kuwa 31. B ...

Mkoa wa Ruvuma

Mkoa wa Ruvuma ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Umepewa jina kutokana na mto Ruvuma ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Umepakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini na Mkoa w ...

Mkoa wa Simiyu

Mkoa wa Simiyu ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania,wenye postikodi namba 39000. Ulianzishwa rasmi Machi 2012 kwa kumega mkoa wa Shinyanga upande wa mashariki. Makao makuu yako Bariadi.

Mkoa wa Tanga

Majiranukta kwenye ramani: 5°18′15″S 38°19′3″E Mkoa wa Tanga ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania na uko Kaskazini Mashariki mwa nchi, ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki na mikoa ya Morogoro, Manyara na Kilimanjar ...

Wilaya za Tanzania

Tazama makala ya muda Wilaya za Tanzania 4 ina maandalizi ya vigezo vipya. Majina ya kata zote zimo! Mikoa ya Tanzania imegawanyika katika wilaya zinazoongozwa na halmashauri. Wilaya hizo zimeorodheshwa hapo chini kimkoa:

Korsika

Korsika ni kisiwa cha Ufaransa katika Mediteranea. Ni kisiwa kikubwa cha nne katika Mediteranea baada ya Sisilia, Sardinia na Kupri. Iko upande wa kusini kwa Ufaransa na upande wa magharibi kwa Italia bara lakini kaskazini kwa kisiwa chake cha Sa ...

Mkoa wa Kaskazini, Uganda

Mkoa wa Kaskazini ni mmoja wa mikoa minne ya Uganda. Wakati wa sensa ya mwaka 2014 Mkoa wa Kaskazini ulikuwa na wakazi 7.188.139. Sawa na mikoa mingine Mkoa wa Kaskazini hauna mamlaka ya kiutawala.

Andhra Pradesh

Andhra Pradesh, ni moja kati ya majimbo 28 ya India. Jimbo lipo mjini kusini-mashariki mwa pwani ya India. Ni jimbo la nne kwa ukubwa wa eneo na ni la tano kwa hesabu ya wingi wa wakazi nchini India. Mji mkuu wake ni Hyderabad. Jumla ya pato la n ...

Kerala

Kerala ni jimbo ya Uhindi lililopo kwenye kusini magharibi ya nchi hii. Mji mkuu wake ni Thiruvananthapuram. Kerala ina eneo la 38.863 km² na wakazi 33.268.000 2008. Msongamano wa watu ni 856 kwa km². Jimbo hili lilipata mipaka yake mwaka 1956 ku ...

Puducherry

Puducherry ni eneo maalumu la kitaifa nchini Uhindi. Ndani yake kuna maeneo madogo manne ya pekee yanayohesabiwa kwa pamoja kama eneo la kitaifa au Union Territory. Hizo sehemu nne ni Pondicherry, Karaikal, Yanam na Mahé. Yalikuwa makoloni madogo ...

Punjab (Uhindi)

Punjab ni jimbo la Uhindi lililopo katika kaskazini magharibi ya nchi hii. Ni sehemu ya eneo la kihstoria ya Punjab iliyogawiwa kati ya Pakistan na Uhindi na kila upande tena kwa majimbo mbalimbali yenye majina tofauti. Punjab ya Kihindi ina waka ...

Mikoa ya Uholanzi

Kila mkoa unatekeleza wajibu zinazokabidhiwa kwake na serikali kuu. Mkoa huwa na bunge ya kimkoa inayoitwa "Provinciale Staten", halafu kamati ya utendaji ya "Gedeputeerde Staten" inayosimamiwa na "Commissaris van de Koningin" au kamishna wa malk ...

Flevoland

Flevoland ni moja kati ya mikoa ya nchini Uholanzi. Mkoa upo katikati ya nchi, katika eneo la zamani la Zuiderzee. Mkoa ulianzishwa mnamo tar. 1 Januari 1986; ukiwa kama mkoa wa kumi na mbili nchini Uholanzi, na Lelystad ukiwa kama mji mkuu wake. ...

Baden-Württemberg

Baden-Württemberg ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 10.7 kwenye eneo la 35 752 km². Mji mkuu ni Stuttgart. Waziri mkuu ni Winfried Kretschmann. Jimbo liko katika kusini magharibi ya nchi likipakana na Ufaransa ...

Bavaria

Bavaria ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 12.5 kwenye eneo la 70 551 km². Mji mkuu ni München. Waziri mkuu ni Markus Söder.

Brandenburg

Brandenburg ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 2.6 kwenye eneo la 29 056 km². Mji mkuu ni Potsdam. Waziri mkuu ni Matthias Platzeck wa chama cha SPD anayesimamia serikali ya mseto.

Hamburg

Hamburg ni mji mkubwa wa Ujerumani ya Kaskazini. Ni mji mkubwa wa pili nchini baada ya mji mkuu Berlin. Ina bandari kubwa na ni kitovu cha biashara ya nje. Idadi ya wakazi ni 1.744.215. Hamburg ni dola-mji ikiwa ni moja ya majimbo 16 ya kujitawal ...

Hesse

Hesse ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 6.1 kwenye eneo la 21 114 km². Mji mkuu ni Wiesbaden. Waziri mkuu ni Volker Bouffier.

Mecklenburg-Pomerini Magharibi

Mecklenburg-Pomerini Magharibi ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 1.652 kwenye eneo la 23.180 km². Mji mkuu ni Schwerin. Waziri mkuu ni Erwin Sellering.

Rhine Kaskazini-Westfalia

Rhine Kaskazini-Westfalia ni moja kati ya majimbo makubwa ya shirikisho la Ujerumani. Lipo magharibi mwa Ujerumani na idadi ya wakazi ni takriban 18.033.000 waishio katika Jimbo hili: ndilo linaloongoza nchini kwa idadi ya watu. Mji wake mkuu ni ...

Rhine-Palatino

Rhine-Palatino ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 4.0 kwenye eneo la 19.847 km². Mji mkuu ni Mainz. Waziri mkuu ni Maria Luise "Malu" Dreyer.

Saar

Saar ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 1.022 kwenye eneo la 2.568 km². Mji mkuu ni Saarbrücken. Waziri mkuu ni Annegret Kramp-Karrenbauer.

Saksonia

Saksonia ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi 4.173.000 kwenye eneo la 18 415 km². Mji mkuu ni Dresden, mji mkubwa Leipzig. Waziri mkuu ni Michael Kretschmer. Jimbo liko katika mashariki ya nchi likipakana na Ucheki na Po ...

Saksonia Chini

Saksonia ya chini ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 7.9 kwenye eneo la 47 609 km². Mji mkuu ni Hannover. Waziri mkuu ni Stephan Weil.

Saksonia-Anhalt

Saksonia-Anhalt ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 2.3 kwenye eneo la 20 446 km². Mji mkuu ni Magdeburg. Waziri mkuu ni Reiner Haseloff.

Schleswig-Holstein

Schleswig-Holstein ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 2.8 kwenye eneo la 15.763 km². Mji mkuu ni Kiel. Waziri mkuu ni Torsten Albig.