ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 103

Maeneo ya Shirikisho la Urusi

Maeneo ya Shirikisho la Urusi ni maeneo yanayofanya kikatiba Shirikisho la Urusi. Maeneo haya ni kama majimbo au madola katika nchi nyingine ya shirikisho. Jina la Kirusi ni "субъекты федерации" inayoweza kutafsiriwa kama "nafsi za shirikisho" au ...

Kaliningrad Oblast

Kaliningrad Oblast ni jina la kutaja mkoa wa Urusi. Mji mkuu wake ni Kaliningrad. Eneo la Kaliningrad Oblast liko nje ya Urusi penyewe kati ya Poland na Lithuania. Hadi mwaka 1945 ilikuwa sehemu ya jimbo la Prussia Mashariki katika Ujerumani. Kwe ...

Karelia

Karelia ilikaliwa na wakazi wanaoongea Kifini. Kwa muda mrefu maeneo yake yaligombaniwa baina ya Urusi na Uswidi. Tangu mwaka 1721 sehemu kubwa ya Karelia ilikuwa sehemu ya Milki ya Urusi, sehemu nyingine ilibaki upande wa Uswidi ikawa baadaye se ...

Tuva

Tuva ni jina la jamhuri mojawapo ndani ya Shirikisho la Urusi. Iko katika Siberia ya kusini, kwenye kitovu cha kijiografia cha Asia. Imepakana na nchi ya Mongolia upande wa kusini na maeneo yafuatayo ya Shirikisho la Urusi: Jamhuri ya Altai, Jamh ...

Yakutia

Jamhuri ya Sakha) ni jina la mkoa ulioko nchini Russia, katika sehemu yake ya Asia inayoitwa Siberia. Mji mkuu ni Yakutsk. Yakutia ina eneo la km² 3.083.523 mara tatu eneo la Tanzania lakini idadi ya wakazi ni 958.528 pekee sensa ya 2010.

Kanda ya Anatolia ya Kati

Kanda ya Anatolia ya Kati ni moja kati ya kanda 7 za Uturuki ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuhesabia sensa ya wakazi.

Kanda ya Anatolia ya Mashariki

Kanda ya Anatolia ya Mashariki ni moja kati ya kanda 7 za Uturuki ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuhesabia sensa ya wakazi.

Mkoa wa Aydın

Aydın ni mkoa uliopo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye Kanda ya Aegean. Mji mkuu wa mkoani hapa ni Aydın ambao una makadirio ya wakazi wapatao 150.000.

Mkoa wa Bursa

Bursa ni jina la mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye kanda ya Bahari ya Marmara. Mikoa inayopakana na hapa ni pamoja na Balıkesir kwa upande wa magharibi, Kütahya kwa kupande wa kusini, Bilecik na Sakarya kwa upande w ...

Mkoa wa Çanakkale

Çanakkale ni jina la mkoa uliopo katika kanda ya Marmara huko nchini Uturuki. Mkoa upo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi. Mkoa umechukua jina la mji wake mkuu wa Çanakkale.

Mkoa wa Eskisehir

Eskisehir ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa inayopatikana na mkoa huu ni pamoja na Bilecik kwa upande wa kaskazini-magharibi, Kütahya kwa upande wa magharibi, Afyon kwa upande wa kusini-magharibi, Konya k ...

Mkoa wa Gümüshane

Gümüshane ni jina la kutaja mkoa uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki, umepakana na Bayburt kwa upande wa mashariki, Trabzon upande wa kaskazini, Giresun na Erzincan kwa upande wa magharibi. Umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 6.575 una ...

Mkoa wa Hatay

Hatay ni mkoa uliopo kusini mwa nchi ya Uturuki, katika pwani ya Mediteranea. Kwa upande wa kusini na mashariki mwa mkoa huu, unapakana na Syria. Mkoa unawakazi wapatao 1.386.224. Wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 5.403.

Mkoa wa Kırklareli

Kırklareli ni jina la mkoa uliopo mjini kaskaini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi. Mkoa umepakana vilivyo na mapaka wa nchi ya Bulgaria kiasi cha kilomita 180 kutoka mkoani hapa. Unapaka na mkoa wa Edirne kwa ...

Mkoa wa Kırsehir

Mkoa wa Kırsehir ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki, unaunda kuwa kama moja kati ya sehemu za kanda ya Anatolia ya kati. Upo mita 985 kutoka juu ya usawa wa bahari. Mji mkuu wake ni Kırsehir.

Mkoa wa Kütahya

Kütahya ni jina kutaja moja kati ya mikoa ya Uturuki. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 11.889. Mkoa una idadi ya wakazi wapatao 684.082. Mnamo mwaka wa 1990, Kütahya ilikuwa na wakazi wapatao 578.020.

Mkoa wa Adana

Mkoa wa Adana ni jina la mkoa nchini Uturuki, lenye kilomita za mraba zipatazo 14.030. Upo kwenye kanda ya Mediteranea kusini mwa Uturuki. Mikoa iliyokaribiana na mjini hapa ni pamoja na Mersin kwa upande wa magharibi, Hatay kwa upande wa kusini- ...

Mkoa wa Adıyaman

Adıyaman ni jina la mkoa huko mjini kusini-katikati mwa nchi ya Uturuki. Mkoa huu ulianzishwa mnamo mwaka wa 1954 nje ya sehemu ya Mkoa wa Malatya. Mkoa una eneo la kilomita za mraba zipatazo 7.614. Takriban watu 677.518) imezidi kutoka 513.131 k ...

Mkoa wa Afyonkarahisar

Afyonkarahisar ni jina la mkoa wa mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa inayopakana karibu na hapa ni pamoja na Kütahya kwa upande wa kaskazini-magharibi, Usak kwa upande wa magharibi, Denizli kwa upande wa kusini-magharibi, Burdur kwa upand ...

Mkoa wa Aksaray

Aksaray ni mkoa wa kati nchini Uturuki. Mkoa huu unapakana na mikoa mingine kama vile Konya kwa upande wa magharibi na kusini yake, Niğde kwa upande wa kusini-mashariki, Nevsehir kwa upande mashariki, na Kırsehir kwa upande wa kaskazini. Mkoa una ...

Mkoa wa Antalya

Mkoa wa Antalya ni moja kati mikoa 81 ya Uturuki. Mkoa upo mjini kusini-mashariki mwa pwani ya Mediteranea, kati ya Milima ya Taurus na Bahari ya Mediteranea. Mji mkuu wake ni Antalya wenye idadi ya wakazi takriban 714.000.

Mkoa wa Artvin

Artvin ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki, katika pwani ya Bahari Nyeusi kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa kona ya nchi, kwenye mpaka wa nchi ya Georgia. Mji mkuu wake ni Artvin.

Mkoa wa Balıkesir

Balıkesir ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki. Mkoa una mistari ya pwani mbili, ambao ni Bahari ya Marmara na Aegean. Mikoa inayopakana na mkoa huuu ni pamoja na Çanakkale kwa upande wa magharibi, Izmir kusini-magharibi, Manisa kwa upande a kus ...

Mkoa wa Batman

Batman ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki, ambao unajulikana sana kwa kuwa na Wakurdi wengi sana. Upo mjini kusini-mashariki mwa Anatolia. Mkoa una idadi ya wakazi wapatao 500.000.

Mkoa wa Bilecik

Bilecik ni jina la mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa umepakana na baadhi ya mikoa mingine kama vile Bursa kwa upande wa upande wa mashariki, Kocaeli na Sakarya kwa upande wa kaskazini, Bolu kwa upande wa magharibi, Eskisehir k ...

Mkoa wa Bingöl

Mkoa wa Bingöl ni mkoa uliopo mjini Mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchini Uturuki. Mkoa ulianzishwa mnamo mwaka wa 1946 ukiwa nje ya sehemu ya Elazığ na Erzincan. Mikoa ya jirani na mkoa huu ni pamoja na Tunceli, Erzurum, Mus, Diyarbakır, E ...

Mkoa wa Bitlis

Bitlis ni mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Upo kwenye eneo la magharibi mwa Ziwa Van. Idadi kubwa ya wakazi ni kundi la Wakurdi wanaoishi mkoa hapa. Mji mkuu wake ni Bitlis.

Mkoa wa Bolu

Bolu ni mkoa uliopo kaskazini-magharibi mwa Kanda ya Bahari Nyeusi nchini Uturuki, upo katikati ya mji wa Istanbul na Ankara. Umechukua eneo la kilomita za mraba 7.410 na idadi ya wakazi takriban 270.417. Mji mkuu wake ni Bolu.

Mkoa wa Burdur

Burdur ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-magharibi ma nchi ya Uturuki. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Muğla na Antalya kwa upande wa kusini, Denizli kwa upande wa magharibi, Afyon kwa upande wa kaskazini, na Isparta kwa upande wa ma ...

Mkoa wa Diyarbakır

Diyarbakır ni jin la kutaja mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 15.355 na jumla ya wakazi 1.494.321. Awali idadi ya wakazi wanaoishi hapa ilikuwa 1.362.708 kwa hesabu ya sensa ya mwak ...

Mkoa wa Elazığ

Elâzığ ni mkoa uliopo nchini Uturuki ambao pia mji mkuu wake ni Elâzığ. Idadi ya wakazi ni 595.307 kama jinsi ilivyohesabiwa hapo 2006. Idadi ya wakazi hapo awali ilikuwa 569.616 kwa mwaka wa 2000 na 498.225 kwa mwaka wa 1990. Mkoa unachukua eneo ...

Mkoa wa Gaziantep

Gaziantep ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-kati mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wake ni jiji la Gaziantep ambalo lina idadi ya wakazi 853.513 kwa sensa ya mwaka wa 2000. Mikoa ya jirani na mkoa huu ni pamoja na Adıyaman kwa upande wa kaskazini, ...

Mkoa wa Giresun

Giresun ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki. Upo katika pwani ya Bahari Nyeusi. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Trabzon kwa upande wa mashariki, Gümüshane kwa upande wa kusini-magharibi, Erzincan kwa upande wa kusini, Sivas kw ...

Mkoa wa Isparta

Isparta ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa ya karibu na mkoa huu ni pamoja na Afyon kwa upande wa kaskazini-magharibi, Burdur kwa upande wa kusini-magharibi, Antalya kwa upande wa kusini, na Konya kwa upande ...

Mkoa wa Istanbul

Mkoa wa Istanbul ni moja kati ya Mikoa ya Uturuki. Upo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 5.196 na jumla ya wakazi takriban 12.573.836. Awali idadi ya wakazi kuwa 10.018.735 kunako mwaka wa 2000. ...

Mkoa wa Kastamonu

Kastamonu ni mkoa uliopo nchini Uturuki. Upo katika Kanda ya Bahari Nyeusi, kaskazini mwa nchi. Umezungukwa na Sinop upande wa mashariki, Bartın na Karabük upande wa magharibi, Çankırı upande wa kusini, Çorum upande wa kusini-mashariki na Bahari ...

Mkoa wa Kayseri

Mkoa wa Kayseri ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Upo kwenye eneo la Anatolia, na umezungukwa na Mlima Erciyes, Mlima Hasan na Mlima Ali. Mlima umepewa jina kama hili ikiwa kama heshima tu kwake - kwa sababu aliomba kuishi katika eneo ...

Mkoa wa Malatya

Malatya ni jina la mkoa uliopo katika kanda ya Mashariki mwa Anatolia huko nchini Uturuki. Sehemu yake kubwa ni eneo la milima mikubwa sana. Mji mkuu wake ni Malatya. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 12.313. Mkoa huu una wakazi t ...

Mkoa wa Manisa

Manisa ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa yake ya karibuni ni pamoja na Izmir kwa upande wa magharibi, Aydın kwa upande wa kusini, Denizli kwa upande wa kusini-mashariki mwa nchi, Usak kwa upande wa mashariki ...

Mkoa wa Mardin

Mkoa wa Mardin ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki, wenye wakazi takriban 745 778. Awali idadi ya wakazi ilikuwa 835.173 kunako mwaka wa 2000.

Mkoa wa Mersin

Mersin ni jina la mkoa uliopo mjini kusini mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye pwani ya Bahari ya Mediteranea kati ya Antalya na Adana. Mji mkuu wake ni Mersin.

Mkoa wa Mus

Mus ni jina la mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 8.196, na wakazi takriban 488.997. Awali wakazi walikuwa 453.654 mnamo 2000. Aina kubwa ya wakazi wa hapa ni Wakurdi. Mji mkuu waken ...

Mkoa wa Rize

Rize ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Upo mashariki mwa pwani ya Bahari Nyeusi kati ya Trabzon na Artvin. Mji mkuu wake ni Rize.

Mkoa wa Sakarya

Sakarya ni jina la mkoa uliopo katika eneo la pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Mkoa unapakana na baadhi ya mikoa kama vile Kocaeli kwa upande wa magharibi, Bilecik kwa upande wa kusini, Bolu kwa upande wa kusini-mashariki, na Düzce kwa ...

Mkoa wa Samsun

Samsun ni mkoa uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Idadi ya wakazi wanaoishi mkoani hapa ni 1.209.137 2000. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Sinop kwa upande wa kaskazini-magharibi, Çorum kwa upande wa magharibi, A ...

Mkoa wa Sinop

Sinop ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki, katika eneo la Bahari Nyeusi. Mji umechukua eneo la kilomita za mrabva zipatazo 5.862. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Kastamonu kwa upande wa magharibi, Çorum kwa upande kusini, na S ...

Mkoa wa Sivas

Sivas ni jina la mkoa uliopo mjini mashariki mwa sehemu ya kanda ya Anatolia ya Kati huko nchini Uturuki. Huu ni mji wa pili kwa ukubwa katika orodha ya miji ya Uturuki. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Yozgat kwa upande wa magha ...

Mkoa wa Tokat

Tokat ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unapakana karibu kabisa na mikoa ya jirani kama vile Amasya kwa upande wa kaskazini-magharibi, Yozgat upande wa kusini-magharibi, Sivas kwa upande wa kusini-mashariki, na Ordu ...

Mkoa wa Trabzon

Trabzon ni jina la mkoa uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Upo kwenye kanda muhimu kabisa, Trabzon ni moja kati ya bandari ya kibiashara ya zamani sana katika miji ya Anatolia. Idadi ya wakazi wa hapa ni 1.061.055. Mikoa ya ...

Mkoa wa Van

Van ni jina la mkoa mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki, kati ya Ziwa Van na mpaka wa nchi ya Iran. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 19.069 na jumla ya wakazi wapatao 1.012.707.