ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 104

Mkoa wa Yozgat

Yozgat ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Çorum kwa upande wa kaskazini-magharibi, Kırıkkale kwa upande wa magharibi, Kırsehir kwa upande wa kusini-magharibi, Nevsehir kwa upande kusini, ...

Mkoa wa Izmir

Izmir ni jina la kutaja moja kati ya Mikoa ya Uturuki uliopo mjini magharibi mwa Anatolia kwenye pwani ya Bahari ya Aegean. Mji mkuu wa mkoani hapa ni Izmir. Mji huu ulianzishwa na Wagiriki Smyrna kunako karne ya 11 KK. Kwa upande magharibi umezu ...

Mkoa wa Sanlıurfa

Sanlıurfa ni jina la mkoa uliopo kusini-mashariki ya Anatolia huko nchini Uturuki. Jiji la Sanlıurfa ndiyo mji mkuu wa mkoa ambalo limezaliwa kwa kutokana na ji la mkoa wenyewe. Idadi ya wakazi ni 1.700.352.

Wilaya za Uturuki

Usak: 209.912 wilaya kuu Karahallı: 12.502 Jumla: 334.111 Banaz: 38.393 Esme: 36.370 Sivaslı: 21.658 Ulubey: 15.276

Matabeleland North

Matabeleland North ni mkoa wa Zimbabwe upande wa kaskazini ya Bulawayo. Kuna wakazi 700.000 katika eneo la kilomita za mraba 75.025. Makao makuu ya mkoa yapo mjini Lupane. Mkoa umepakana na Bulawayo, Matabeleland South, Midlands na Mashonaland We ...

Haile Mariam Desalegne

Haile Mariam Desalegne ni mwanasiasa wa nchini Ethiopia. Mwaka 2010 alikuwa waziri wa mambo ya nje na makamu wa waziri mkuu wa Ethiopia. Baada ya kifo cha waziri mkuu Meles Zenawi terehe 20 Agosti 2012 alikuwa waziri mkuu mtendaji. Haile Mariam n ...

Meles Zenawi

Meles Zenawi alikuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia tangu 22 Agosti 1995 hadi kifo chake. Alitangulia kuwa rais wa nchi kati ya 28 Mei 1991 na 22 Agosti 1995. Alifuatwa na makamu wake Haile Mariam Desalegne.

Yaa Asantewaa

Yaa Asantewaa alikuwa malkia mama wa Edweso, sehemu ya milki ya Ashanti. Mnamo mwaka 1900 aliongoza vita ya mwisho ya Waashanti dhidi ya uenezaji wa utawala wa Uingereza kwenye Gold Coast leo Ghana.

Felix Eboue

Félix Adolphe Éboué 26 Desemba 1884 - 17 Machi 1944 alikuwa Mfaransa mweusi Mfaransa aliyezaliwa Guyana na alikuwa kiongozi wa kikoloni na pia wa Wafaransa Huru.

Orodha ya Marais wa Komori

1995 - 1995: Mohamed Taki Abdulkarim 1999 - 2002: Azali Assoumani 1975 - 1975: Ahmed Abdallah 2016 - 2019: Azali Assoumani 1978 - 1989: Ahmed Abdallah 2019 - sasa: Azali Assoumani 2011 - 2016: Ikililou Dhoinine 2019 - 2019: Moustadroine Abdou 200 ...

Njenga Karume

Karume ana diploma katika Usimamizi wa Biashara kutoka Jeans School KIA. Wakati Kenya ilikuwa bado chini ya utawala wa kikoloni, alianzisha duka katika barabara ya Grogan sasa barabara ya Kirinyaga mjini Nairobi. Ilikuwa moja kati ya maduka chach ...

John Njoroge Michuki

John Njoroge Michuki ni mfanyabiashara ba mwanasiasa nchini Kenya. Michuki ni mwenyeji wa wilaya ya Muranga alikozaliwa katika familia ya Wakikuyu. Alisoma A-levels huko Mangu High School pamoja na Mwai Kibaki halafu uchumi kwenye chuo kikuu cha ...

Wilfred Moriasi Ombui

Wilfred Ombui Moriasi ni Mwanasiasa wa Kenya. Yeye ni Mwanachama wa Chama cha KANU. Nimbunge anayewakilisha Jimbo la Mugirango Kaskazini kwa tikiti ya Chama cha KANU

Masinde Muliro

Masinde muliro alikuwa mwanasiasa wa Kenya, mmoja wa viongozi wakuu katika kuchagiza siasa nchini Kenya. Alikuwa mpigania uhuru aliyejulikana na alifanya kampeni kwa ajili ya marejesho ya demokrasia ya vyama vingi nchini Kenya katika miaka yake y ...

Charity Ngilu

Charity Kaluki Ngilu ni mwanasiasa Mkenya aliyekuwa waziri wa afya katika serikali ya rais Mwai Kibaki kuanzia 2002 hadi 2007. Ngilu alizaliwa katika Ukambani wilaya ya Makueni mwaka 1952. Alifanya kazi na Benki Kuu ya Kenya hadi kuanzisha kampun ...

Paul Ngei

Paul Joseph Ngei alikuwa mwanasiasa wa Kenya ambaye alikuwa kizuizini kwa jukumu lake katika harakati za kupinga ukoloni lakini baadaye alishikilia nyadhifa kadhaa za wizara.

Achieng Oneko

Ramogi Achieng Oneko alikuwa mpigania uhuru na mwanasiasa katika nchi ya Kenya. Nchini Kenya, alikuwa anachukuliwa kama shujaa wa kitaifa. Alizaliwa katika kijiji cha Tienga katika eneo ndogo la Uyoma katika Wilaya ya Bondo mnamo mwaka wa 1920.

Michael Wamalwa Kijana

Christopher Michael Kijana Wamalwa alizaliwa Sosio, kijiji kilichoko karibu na Kimilili, katika wilaya ya Bungoma nchini Kenya. Alikuwa mwana wa mbunge mashuhuri, William Wamalwa. Alikuwa kiranja mkuu mvulana na mshirika mijadala ya shule shupavu ...

Laurent Kabila

Laurent-Désiré Kabila alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanzia Mei 1997 hadi kuuawa 2001. Alifuatwa na mwanawe Joseph Kabila. Kabila alifika ikulu kwa kumpindua Mobutu Sese Seko.

Mobutu Sese Seko

Joseph-Désiré Mobutu aliyejiita baadaye Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga alikuwa rais na dikteta wa Zaire kati ya miaka 1965 na 1997.

Juvenal Habyarimana

Juvénal Habyarimana alikuwa rais wa pili wa Rwanda. Alitawala karibu mikaka 20 kuanzia 1973 hadi 1994. Alitoka katika jumuiya ya Wahutu akaongoza serikali iliyolenga kuzuia kurudi kwenye mamlaka kwa Watutsi ambao ni kundi kubwa la pili nchini Rwa ...

Juma Jamaldin Akukweti

Juma Jamaldin Akukweti alikuwa Waziri nchini Tanzania, Ofisi ya Waziri Mkuu, pia alikuwa Mbunge katika Bunge la Tanzania.

Angellah Kairuki

Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi., Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2010 – 2015, 2015 - 2020. Mwaka 2015 alipata kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya ...

Augustine Philip Mahiga

Augustine Philip Mahiga alikuwa mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha siasa cha CCM. Aliteuliwa kuwa mbunge na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa miaka 2015 – 2020 na kuwa Waziri ...

John Momose Cheyo

John Momose Cheyo ni Mbunge katika Bunge la Tanzania. John Cheyo ni mojawapo wa viongozi wakongwe wa vyama vya upinzani Tanzania. Cheyo alipata umaarufu sana nchini Tanzania katika kinyanganyiro cha uchaguzi wa 1995 ambapo alisema kwa ufupi kwamb ...

David Mathayo David

Tovuti ya Bunge la Tanzania Jina la kwanza ni Mathayo David Msuya. Ila baada ya kuingia anga za siasa, aliamua kulibadili jina lake kuwa Mathayo David Mathayo na kuondoa jina la ukoo "Msuya" ambalo ni jina la baba yake halisi David Msuye aliyewah ...

Seif Shariff Hamad

Maalim Seif Shariff Hamad alikuwa mwanasiasa wa Zanzibar. Aliwahi kuwa Waziri Kiongozi wa serikali ya Zanzibar 1984-1988 akagombea mara kadhaa Urais wa nchi hiyo akipata kila mara kura nyingi sana. Mara mbili alipata kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais ...

Juma Hamad Omar

Juma Hamad Omar ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ole kwa miaka 2015 – 2020. Juma Omar alipata elimu yake ya msingi Skuli ya msingi Ngambwa 1960-1968 baadae kujiunga na elimu ya sekond ...

Dk. Omar Ali Juma

Dk. Omar Ali Juma alikuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu nchini Tanzania, iliyokuwa inaongozwa na Rais Benjamin William Mkapa.

Abedi Amani Karume

Sheikh Abeid Amani Karume alikuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Alizaliwa mwaka 1905 na kufariki tarehe 7 Aprili 1972 kwa kupigwa risasi. Karume aliongoza nchi baada ya mapinduzi yaliyomwangusha Sultani aliyekuwa akitawala Zanzibar hadi mwanzoni mw ...

Chedieli Yohane Mgonja

Alikuwa Waziri wa Elimu, Habari na Michezo, na Waziri wa nchi mambo ya nje. Aliwahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Mtwara na Tabora. Aliingia kwenye siasa mwaka 1965, akiwa Mbunge wa Upare/Same na mwaka huo akateuliwa kuwa waziri wa utamaduni, siasa na mic ...

Christopher Mtikila

Christopher Mtikila alikuwa mchungaji wa Kikristo na mwanasiasa nchini Tanzania kama kiongozi wa chama cha upinzani cha Democratic Party.

Mwigulu Nchemba

Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM ambaye kwa sasa ni waziri wa Sheria na Katiba. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Iramba Magharibi mwaka 2010 akarudishwa bungeni kwa miaka 2015 – 2020. Baa ...

Philemon Ndesamburo

Philemon Kiwelu Ndesamburo alikuwa mbunge wa jimbo la Moshi Mjini katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Alipata nafasi ya kuwa mbunge kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Mwanasiasa huyo aliingia katika kinyang’anyiro hicho ...

Sixtus Raphael Mapunda

Sixtus Raphael Mapunda ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mbinga Mjini kwa miaka 2015 – 2020.

Aime Cesaire

Aimé Fernand David Césaire alikuwa mshairi, mwandishi na mwanasiasa Mfaransa mwenye asili ya Afrika kutoka kisiwa cha Martinique katika Bahari ya Karibi. Pamoja na Léopold Sédar Senghor na Léon-Gontran Damas alianzisha dhana ya negritude. Alikuwa ...

Emmanuel Macron

Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron ni mwanasiasa nchini Ufaransa aliyezaliwa mjini Amiens. Mwaka 2017 alichaguliwa na wananchi kuwa rais wa taifa. Akiwa na umri wa miaka 39, Macron akawa rais mdogo zaidi katika historia ya Ufaransa

Jawaharlal Nehru

Jawaharlal Nehru alikuwa waziri mkuu na kiongozi wa kwanza wa kisasa wa Uhindi. Alitawala miaka 17 tangu uhuru wa mwaka 1947 hadi 1964.

Erich Honecker

Erich Honecker alikuwa mwanasiasa wa Kikomunisti wa Ujerumani Mashariki ambaye aliongoza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani kutoka mwaka 1971 hadi 1989. Baada ya maungano ya Ujerumani ya 1990, alihamia Umoja wa Kisovyeti lakini alirudishwa Uje ...

Nyamko Sabuni

Nyamko Ana Sabuni ni mwanasiasa nchini Uswidi aliyechaguliwa kuwa waziri katika serikali ya Fredrik Reinfeldt tangu Oktoba 2006. Anasimamia wizara ya kuingiza katika jamii wahamiaji waliofika Uswidi pamoja na usawa wa kijinsia.

Pierre Nkurunziza

Pierre Nkurunziza alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Burundi, na rais wa taifa hilo tangu mwaka 2005 hadi kifo chake. Alikuwa mwenyekiti wa chama cha Baraza la Kitaifa la Kutetea Demokrasia, Burundi CNDD-FDD hadi kuchaguliwa kuwa rais. Tarehe 13 Me ...

Barack Obama

Barack Hussein Obama II alikuwa rais wa 44 wa Marekani. Ni Mwafrika-Mwamerika wa kwanza kushika wadhifa huo, na pia mtu wa kwanza mwenye kuzaliwa Hawaii kuwa rais wa Marekani. Obama awali alihudumu kama Seneta mdogo kutoka jimbo la Illinois, tang ...

Yemi Osinbajo

Oluyemi Oluleke Osinbajo ni wakili na mwanasiasa nchini Nigeria. Tangu 29 Mei 2015 alikuwa makamu wa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari. Yeye ni pia wakili, mwanasheria aliyefundisha kwenye chuo kikuu alishika vyeo mbalimbali katika idara ya sheria ...

Bunge la Tanzania

Bunge linamjumuisha rais wa Tanzania pamoja na wabunge. Mnamo mwaka 2017 kulikuwa na wabunge 393 wanaoingia kwa namna tofauti Wabunge 10 walioteuliwa na Rais wa Tanzania Mwanasheria Mkuu Wabunge 113 walioingia kupitia viti maalumu kwa wanawake Wa ...

Rosebud Kurwijila

Rosebud Violet Kurwijila, wa Tanzania, ni mkuu wa idara ya maendeleo ya kiuchumi vijijini na kilimo ya Umoja wa Afrika. Kabla alikua ni mratibu wa programu ya maendeleo ya ACTIONAID iliyopo Tanzania.

Orodha ya Marais wa Marekani

Katika Katiba ya Marekani, Rais wa Marekani ni Mkuu wa Taifa pamoja na kuwa Mkuu wa Serikali wa nchi hiyo. Kama mkuu wa tawi la utendaji na mkuu wa serikali ya majimbo, rais ndiye mwenye cheo na madaraka makuu zaidi katika nchi ya Marekani. Rais ...

Orodha ya Marais wa Togo

PTP Togo Progress Party CUT Togolese Progress Party RPT Rally of the Togolese People CPP Patriotic Pan-African Convergence CAR Action Committee for Renewal Utd Rally of the Togolese People Mil Jeshi CFN Coordination of New Forces

PW Botha

Pieter Willem Botha alikuwa waziri mkuu na rais nchini Afrika Kusini. Alijulikana kwa majina ya "P.W." na Die Groot Krokodil Afrikaans: "mamba mkuu". Botha alikuwa mwanasiasa wa asili ya makaburu na waziri mkuu wa Afrika Kusini kati ya 1978 na 19 ...

Omar Bongo

El Hadj Omar Bongo Ondimba alikuwa Rais wa nchi ya Gabon tangu mwaka wa 1967. Baadhi ya marais barani Afrika, Bongo ameshika urais kwa muda mrefu kabisa. Alimfuata Leon Mba akiwa na umri wa miaka 31 tu, na wakati ule alikuwa rais kijana kabisa du ...

John Agyekum Kufuor

John Kofi Agyekum Kufuor ni mwanasiasa. Alikuwa rais wa 11 wa Ghana tangu 7 Januari 2001 hadi 7 Januari 2009. Uchaguzi wake ulikuwa badiliko la kwanza la mkuu wa nchi kufuatana na katiba bila kuingilia kwa jeshi. Alipata asilimia 48.4 za kura kat ...