ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 105

Dwight D. Eisenhower

Dwight David Eisenhower alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Watu wengi walikuwa humwita Ike. Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia alikuwa jenerali mkuu aliyeongoza uvamizi wa Normandy tarehe 5 Juni 1944. Kuanzia mwaka wa 1953 ...

Abraham Lincoln

Abraham Lincoln alikuwa Rais wa 16 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1861 hadi 1865. Alikuwa na Kaimu Rais wawili: kwanza Hannibal Hamlin, halafu Andrew Johnson aliyemfuata kama Rais, Lincoln alipouawa. Lincoln amejulikana kama rais wa upande wa kaska ...

George Washington

Alizaliwa kama mtoto wa pili wa mlowezi Augustine Washington katika koloni la Virginia lililokuwa mali ya mfalme wa Uingereza. Wazazi walikuwa na shamba kubwa lililolimwa na watumwa Waafrika. George alisoma shule miaka michache, hakuendelea sana ...

Levy Mwanawasa

Levy Mwanawasa alikuwa rais wa tatu wa Zambia tangu uhuru wa nchi. Alizaliwa katika Mufulira Zambia. Akamwoa Maureen Mwanawasa katika ndoa yake ya pili akazaa naye watoto 4. Mwanawasa alisoma sheria kwenye Chuo Kikuu cha Zambia akafanya kazi ya w ...

Elia Bombarone

Elia Bombarone wa Cortona alikuwa mfuasi wa Fransisko wa Asizi ambaye alimteua kuwa makamu wake. Baada ya uongozi wa Yohane Parenti, Elia alichaguliwa kuongoza tena utawa wa Ndugu Wadogo.

Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Norwei

Mawaziri wa Naibu tangu 1940 mpaka 1942 Waziri Mkuu: Vidkun Quisling Nasjonal Samling tangu 5 Aprili mpaka 15 Aprili 1940 Rais wa Mawaziri: Vidkun Quisling Nasjonal Samling tangu 1942 mpaka 1945 Mktuano wa baraza ya utawala: Ingolf Elster Christe ...

Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Tanzania

Orodha ya viongozi Orodha ya Masultan wa Zanzibar Orodha ya Magavana Wakuu wa Tanganyika Orodha ya Marais wa Tanganyika Orodha ya Marais wa Tanzania Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Zanzibar

Jimbo la Uchaguzi la Emuhaya

Jimbo la Uchaguzi la Emuhaya ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Vihiga Magharibi wa nchi, miongoni mwa majimbo matano katika kaunti hiyo.

Jimbo la Uchaguzi la Aldai

Jimbo la Uchaguzi la Aldai ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Nandi miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo.

Jimbo la Uchaguzi la Butula

Jimbo la Uchaguzi la Butula ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili hupatikana katika kaunti ya Busia magharibi mwa Kenya, miongoni mwa majimbo saba katika kaunti hiyo. Lina wodi nne ambazo huwachagua madiwani kwa baraza la Bu ...

Jimbo la Uchaguzi la Funyula

Jimbo la Uchaguzi la Funyula ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia, miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo.

Jimbo la Uchaguzi la Gatanga

Gatanga ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo saba ya Uchaguzi yaliyo katika Kaunti ya Muranga. Lina wodi saba ambazo zote zimo katika baraza la Kaunti.

Jimbo la Uchaguzi la Gatundu Kaskazini

Jimbo la Uchaguzi la Gatundu Kaskazini ni mojawapo ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo kumi na mawili ya uchaguzi katika Kaunti ya Kiambu. Lina wodi nne ambazo zote zinatawalwa na baraza la Kaunti.

Jimbo la Uchaguzi la Imenti ya Kati

Jimbo la Uchaguzi la Imenti ya Kati ni moja kati ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Marsabit, mashariki mwa nchi. Lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la utawala wa mitaa la Meru Cen ...

Jimbo la Uchaguzi la Kikuyu

Jimbo la Uchaguzi la Kikuyu ni mojawapo ya majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika Kaunti ya Kiambu miongoni mwa majimbo kumi na mawili ya kaunti hiyo.

Jimbo la Uchaguzi la Kwanza

Jimbo la Uchaguzi la Kwanza ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo matano katika Kaunti ya Trans-Nzoia. Jimbo hili lina wodi saba, kila moja ikichagua madiwani kwa baraza la Kaunti.

Jimbo la Uchaguzi la Lurambi

Jimbo la Uchaguzi la Lurambi ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo kumi na mawili katika Kaunti ya Kakamega Magharibi mwa nchi.

Jimbo la Uchaguzi la Mlima Elgon

Jimbo la Uchaguzi la Mlima Elgon ni mojawapo ya Majimbo ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Bungoma, Magharibi mwa nchi.

Jimbo la Uchaguzi la Mogotio

Mogotio ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo sita ya Kaunti ya Baringo. Lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1997. Jimbo hili lina wodi 12 na zote huchagua madiwani kwa Baraza la Kaunti.

Jimbo la Uchaguzi la Nambale

Jimbo la Uchaguzi la Nambale ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia nchini Kenya, miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo.

Jimbo la Uchaguzi la Shinyalu

Jimbo la Uchaguzi la Shinyalu ni Mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo kumi na mawili katika kaunti ya Kakamega.

Jimbo la Uchaguzi la Sigor

Jimbo la Uchaguzi la Sigor ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Pokot Magharibi. Lina Wodi 14, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Kaunti.

Jimbo la Uchaguzi la Webuye

Jimbo la Uchaguzi la Webuye ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Bungoma Magharibi mwa nchini na ni moja kati ya majimbo ya kaunti hiyo.

Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Magharibi

Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Magharibi ni mojawapo ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Kisumu miongoni mwa majimbo matatu ya wilaya hiyo. Lina wodi 11, zote zikichagua madiwani kwa munisipali ya ...

Yasini

Majiranukta kwenye ramani: 4.668654°S 39.193150°E  / -4.668654; 39.193150 Yasini ni kijiji cha kata ya Mayomboni, Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kijiji hiki kipo kwenye mpaka kati ya Tanzania na Kenya, karibu na mwambao wa Bahari Hindi kwenye pande zo ...

Emil von Zelewski

Emil von Zelewski alikuwa afisa wa jeshi la Ujerumani. Alipokuwa kamanda ya kwanza wa jeshi la ulinzi la kikoloni katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani aliongoza jeshi hilo katika vita dhidi ya Wahehe alipouawa.

Dubai Gold Souk

Dubai Gold Souk ni soko la jadi lililopo mjini Dubai. Soko hili lipo mjini mashariki mwa Dubai katika sehemu za biashara wilayani Deira. Kuna zaidi ya wauzaji 300 wanaofanya biashara. Kuna maduka ya rejareja katika soko hili yanayojulikana kama D ...

Chapeli

Kikanisa ni jengo litumiwalo na Wakristo kama mahali pa ibada. Inaweza kuwa ndani ya taasisi kubwa kama kanisa, chuo, hospitali, ikulu, gereza au chumba cha kuhifadhi maiti au inaweza kuwa imejitenga kabisa, wakati mwingine kwa misingi yake yenye ...

Kanisa la Mtakatifu Clotilde

Mtakatifu Clotilde Basilica ni kanisa la mjini Paris, linatokea katika maeneo ya Rue Las Cases, katika eneo la Saint-Germain-de-Pres. Kanisa hili linafahamika zaidi kwakuwa na minara miwili, yaani kulia na kushoto kote kuna minara.

Mnara wa Eiffel

Mnara wa Eiffel ni jengo mashuhuri la mji wa Paris nchini Ufaransa. Mnara huu ulipokea jina lake kutoka kwa mjenzi wake aliyekuwa mhandisi Alexandre Gustave Eiffel. Kimo chake ni mita 300 na juu yake kuna antena ya redio jumla ya kimo inafikia mi ...

Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro

Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro ni hifadhi ya taifa inayopatikananchini Tanzania, lakini ni maarufu duniani kutokana na mandhari mazuri ya Mlima Kilimanjaro ambao ni mlima mrefu kuliko yote barani Afrika na unapatikana katika nchi ya Tanzania. Hifad ...

Yellowstone National Park

Hifadhi ya Taifa ya Yellowstone ni mbuga ya kitaifa nchini Marekani. Ilikuwa mbuga ya kwanza wa kitaifa kutangazwa duniani. Jina lilichukuliwa kutoka Mto Yellowstone, ambao unapita katikati ya hifadhi. Yellowstone lilipokewa katika orodha ya Urit ...

Eastleigh (Nairobi)

Eastleigh ni mtaa wa Nairobi nchini Kenya. Iko upande wa mashariki wa Naírobi mjini. Uwanja wa ndege wa kijeshi wa Eastleigh uko upande wa kaskazini ya mtaa. Mtaa wa mabanda wa Mathare Valley imepakana moja kwa moja na Eastleigh.

Embakasi (Nairobi)

Embakasi ni mtaa wa Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Uko mashariki mwa katikati ya jiji. Ni mtaa wa makazi na wengi wa raia wanaoishi humo ni wa mapato ya daraja la pili la wastani. Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, uwanja wa ndege mkuu Nairobi uk ...

Kariobangi

Kariobangi ni mtaa wa Nairobi ulio kata ya tarafa ya Kasarani. Iko upande wa mashariki wa Nairobi kati ya Dandora na Huruma. Kuna Kariobangi North na Kariobangi South; nyumba ziko za ghorofa lakini kuna pia maeneo ya mabanda. Mtaa huu unajulikana ...

Kibera (Nairobi)

Kibera ni mtaa Katika jiji la Nairobi, Kenya ambapo watu huishi na kufanya kazi ndogo kama kuuza mahindi ya kushemshwa,matunda, mboga na kadhalika. Baadhi ya watu hao, kunao ambao hawawezi kufanya kazi yoyote. Hata hivyo, watu wengi wameonyesha s ...

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Eldoret

Majiranukta kwenye ramani: 0°24′16″N 35°14′20″E Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Eldoret IATA: EDL, ICAO: HKEL ni kiwanja cha ndege cha Eldoret, mji katika Kenya Magharibi.

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta

Uwanja wa ndege Kimataifa wa Jomo Kenyatta, uliofahamika kwanza kama uwanja wa ndege wa Embakasi na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nairobi, ndio uwanja unaopata wasafiri wengi sana katika Afrika ya Mashariki. Huu ni uwanja wa saba ulio na shughu ...

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi

Kigezo:Infobox airport Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi IATA: MBA, ICAO: HKMO, pia Uwanja wa Ndege wa Mombasa, ni kiwanja cha ndege cha Mombasa, Kenya.

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Murtala Muhammed

Majiranukta kwenye ramani: 06°34′38″N 003°19′16″E Kigezo:Infobox airport Uwanja wa Ndege Kimataifa wa Murtala Muhammed Murtala Muhammed International Airport kwa lugha ya kimombo uko katika sehemu ya Ikeja, nchi ya Lagos, nchini Nigeria, na uwanj ...

A19, Tanzania

Barabara kuu ya A19 nchini Tanzania inaunganisha bandari za Mtwara kwenye Bahari ya Hindi na Mbamba Bay kwenye Ziwa Nyasa. Inaanza mjini Mtwara kwenye njiapanda na barabara B2 ya kwenda Dar es Salaam. Kutoka hapo inaelekea upande wa kusini maghar ...

A7, Tanzania

Barabara ya kitaifa ya A7 ni barabara kuu nchini Tanzania inayounganisha Dar es Salaam na Iringa. Ni barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 492. Inaanza ndani ya jiji la Dar es Salaam kwenye Barabara ya Morogoro. Ndani ya jiji ni pana yenye nji ...

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ni kiwanja cha ndege cha Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Tanzania. Ilijulikana pia kama Uwanja wa ndege wa Kisauni na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mjini Dar es Salaam ni kiwanja cha ndege kikubwa na muhimu zaidi nchini Tanzania. Kipo kilomita 12 kutoka kitovu cha jiji upande wa kusini magharibi. Jina lake limetolewa kwa heshima ya baba wa taifa ...

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro unahudumia eneo la mlima Kilimanjaro pamoja na miji ya Moshi na Arusha katika Tanzania ya kaskazini. Ni uwanja mdogo unaofikiwa zaidi na ndege za nchini Tanzania. Makampuni ya kimataifa yanayohudumia KI ...

Uwanja wa ndege wa Mwanza

Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Mwanza ni uwanja mkubwa wa ndege kwa miji ya karibu na nchi za jirani iliyoko jijini la Mwanza nchini Tanzania. Uwanja huu ni kitovu kikuu cha Auric Air na Delavia- Far East Airways, na pia kitovu kidogo kwa aajili ya ...

Uwanja wa ndege wa Mbeya

Uwanja wa ndege wa Mbeya ni uwanja wa ndege mdogo unaohudumia jiji la Mbeya, kusini mwa Tanzania. Ulikuwa uwanja wa ndege wa kwanza wa Mbeya lakini ilhali ni mdogo unatumiwa tu na eropleni ndogo; usafiri wa hewani wa Mbeya kwa kawaida hupita uwan ...

Uwanja wa ndege wa Songwe

Uwanja wa ndege wa Songwe ni uwanja wa ndege unaohudumia jiji la Mbeya nchini Tanzania. Uko takriban km 20 upande wa magharibi wa jiji katika bonde la mto Songwe. Uwanja huo unaweza kupokea pia ndege kubwa hivyo imechukua nafasi ya uwanja wa ndeg ...

Uwanja wa ndege wa Tanga

Uwanja wa ndege wa Tanga ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Tanga nchini Tanzania. Kiwanja hiki kiko kilomita 5 maili 3.1 kusini magharibi wa mji. Maruko la ndege kiratiba zimepangwa kuelekea miji wa Arusha na Dar es Salaam; na visiwa vya ...

Kituo cha Hamburg Dammtor

Kituo cha Hamburg Dammtor ni kituo cha reli mjini Hamburg, kaskazini mwa Ujerumani. Kinahudumia treni za umbali mrefu na pia treni za reli ya mjini. Treni za mjini za S11, S21 na S31 za S-Bahn pamoja na treni za kieneo na za umbali mrefu husimama ...