ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 106

Kuku

Kuku ni ndege anayefugwa na binadamu nyumbani tangu miaka 8.000 hivi. Kwa sababu hiyo ni miongoni mwa wanyama waliosambaa zaidi duniani na ndio ndege walio wengi zaidi duniani. Watu hutumia nyama yake na mayai kama chakula. Mwanzoni kuku walifung ...

Kunguru

Kunguru ni ndege wakubwa kiasi wa familia Corvidae. Spishi nyingine huitwa vinubi. Wanatokea mabara yote isipokuwa Antakitiki. Spishi nyingi ni nyeusi au nyeusi pamoja na rangi ya nyeupe, kijivu au kahawa; nyingine zina rangi mbalimbali kama bulu ...

Kwale (ndege)

Kwa maana nyingine ya jina hili angalia hapa Kwale pia kware ni ndege wa jenasi mbalimbali katika nusufamilia Perdicinae wa familia ya Phasianidae. Spishi za jenasi Pternistis zinatambuliwa kuwa na nasaba mbali kidogo na jenasi nyingine. Ingawa w ...

Linksi

Lynx lynx, Linksi wa Ulaya Eurasian lynx Lynx canadensis, Linksi wa Kanada Canada lynx Lynx rufus, Linksi-nyika Bobcat Lynx pardinus, Linksi wa Hispania Iberian lynx

Mbayuwayu

Mbayuwayu au vijumbamshale ni ndege wa familia Hirundinidae. Spishi nyingine zinaitwa kinega au kizelele. Wanafanana na teleka lakini hawa wamo katika oda yao yenyewe Apodiformes. Mbayuwayu wana miguu mifupi kama teleka lakini mabawa yao ni mafup ...

Mbuni

Mbuni ni ndege wakubwa wa familia Struthionidae. Kuna spishi mbili katika jenasi moja, lakini wataalamu wengine wanafikiri ni spishi moja tu. Ndege hawa ni wakubwa kuliko wengine wote. Wana miguu mirefu na shingo ndefu na wanaweza kukimbia sana, ...

Mbuzi

Kwa nyota zenye kutumia jina hili angalia Mbuzi Mbuzi ni wanyama wakubwa kiasi wa nusufamilia Caprinae katika familia Bovidae. Spishi kadhaa huitwa kondoo lakini kwa kiuainisho hakuna tofauti kuu kati ya makundi haya. Spishi zote za porini zina p ...

Mbuzi-kaya

Mbuzi-kaya ni mnyama katika ngeli ya mamalia ambaye huzaa na kunyonyesha mwenye miguu minne na mwenye tabia zinazofanana na ngombe. Kwa ukubwa, mbuzi aliyekomaa ni pungufu ya theluthi moja ya ngombe aliyekomaa. Mbuzi-kaya, kama alivyo ngombe, ni ...

Mkesha

Mikesha ni ndege wa familia ya Turdidae ambao ni wadogo na wanono. Spishi za jenasi Neocossyphus na Stizorhina zinaitwa shesiafu pia. Rangi yao kuu ni rangi ya kahawia na madoa meupe na meusi; wengine wana rangi ya machungwa au nyekundu na wengin ...

Mnandi

Minandi ni ndege wa maji wa familia Phalacrocoracidae ambao wanafanana na vibisi lakini wana mkia mrefu zaidi na domo lao ana ncha kwa kulabu. Rangi yao kuu ni nyeusi. Minandi huzamia majini ili kukamata samaki. Hujenga matago yao kwa matawi na m ...

Mustelidae

FAMILIA MUSTELIDAE spishi 57 na jenasi 22 Fisi-maji Mkubwa wa Afrika au Fisi-maji Kijivu, Aonyx capensis African Clawless Otter Fisi-maji wa Kongo, Aonyx congicus Cameroon Clawless Otter Fisi-maji Mashariki, Aonyx cinerea Oriental Small-clawed Ot ...

Mwewe

Mwewe ni ndege mbuai wa nusufamilia Elaninae na Milvinae katika familia Accipitridae. Hawana sifa bainifu pamoja isipokuwa wengi wana mkia mwenye panda. Mabawa yao ni marefu na miguu yao haina nguvu kwa sababu yake ndege hawa huruka sana angani. ...

Ndovu

Ndovu au tembo ni aina za wanyama wenye umbo kubwa kupita wanyamapori wote. Watoto wake wakizaliwa hufikia kg 100 na ndovu mzima huwa na uzito wa tani 2 hadi 5; kimo ni hadi m 4. Kibiolojia ni mamalia. Sehemu ya pekee mwilini ni mwiro ambao hali ...

Ngombe

Kwa kundinyota inayoweza kuitwa Ngombe angalia hapa Tauri Ngombe zamani pia bakari ni wanyama wakubwa wanaokula nyasi. Ni wanyama wanaofugwa kwa wingi sana kwa ajili ya nyama, maziwa, ngozi au pia kwa kuvuta plau au gari la kukokotwa. Kibiolojia ...

Nguruwe

Phacochoerus a. aethiopicus, Ngiri wa Afrika Kusini Cape Warthog imekwisha sasa 1865 Phacochoerus aethiopicus, Ngiri-jangwa Desert Warthog Hylochoerus meinertzhageni, Nguruwe Mweusi Giant Forest Hog Phacochoerus a. delamerei, Ngiri Somali Warthog ...

Nguruwe-kaya

Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru Nguruwe-kaya ni kundi la wanyama wanaofugwa kote duniani. Kibiolojia ni nususpishi ya Sus scrofa. Jumla ya nguruwe duniani hukadiriwa kuwa bilioni mbili. Nguruwe hufikia uzito wa kilogramu 40–350. Kichwa kinai ...

Njiwa

Njiwa ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Columba na Patagioenas katika familia Columbidae. Spishi nyingine huitwa kunda pia. Wana rangi ya kijivu na nyeupe na pengine kuna rangi ingaayo ya buluu au zambarau. Wanatokea mazingira yote yenye miti. Nji ...

Nyani

Nyani ni wanyama wa jenasi Papio, Theropithecus na Mandrillus katika familia Cercopithecidae. Jina la" nyani” hutumika pia kumaanisha spishi kubwa zote za Catarrhini pamoja na masokwe. Nyani wa kabila Papionini wanatokea Afrika lakini nyani koti ...

Paa (Bovidae)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Paa ni jina la kawaida kwa wanyama wadogo wa Afrika wanaofanana na swala na walio na pembe fupi. Huainishwa katika nususfamilia Cephalophinae ya familia Bovidae. Paa-chonge ni wanyama wengine katika familia Tra ...

Panzi

Panzi ni aina za wadudu wanaokula mimea. Wameainishwa katika nusuoda Caelifera ya oda Orthoptera. Takriban spishi zote huchupa mbali kwa kutumia miguu yao ya nyuma ambayo ina nguvu sana. Nyingi zinaweza kuruka angani. Panzi wana vipapasio vifupi ...

Popo

Popo ni mamalia kama panya mwenye mabawa. Spishi zake nyingi sana hula wadudu: hizi zimo katika nusuoda Microchiroptera. Spishi kubwa za nusuoda hii hula ndege, mijusi, vyura na hata samaki. Spishi chache za popo mnyonya damu huko Amerika ya Kusi ...

Punda

Punda ni wanyama wakubwa kiasi wa nusujenasi Asinus ya jenasi Equus katika familia Equidae wafananao na farasi mdogo. Spishi moja, ambayo inatokea Asia, huitwa kiang. Punda anayejulikana sana ni yule anayefugwa, lakini kuna punda porini pia. Watu ...

Shakwe

Shakwe ni ndege wa familia Laridae. Watu wengi huita spishi za Sternidae shakwe pia. Spishi za Laridae zina michanganyiko ya rangi za nyeupe, nyeusi na kijivu; nyingine ni nyeupe kabisa, nyingine kijivucheusi. Ndege hawa wana domo lenye nguvu na ...

Shomoro

Shomoro ni ndege wadogo wa jenasi Passer katika familia ya Passeridae ambao wana rangi ya nyeusi, nyeupe, majivu na kahawia. Ndege hawa huitwa korobindo pia, lakini jina hili litumiki afadhali kwa kuita ndege wa jenasi Petronia. Shomoro wenye kic ...

Sikipi

Sikipi ni ndege wa jenasi mbalimbali katika nusufamilia Perdicinae wa familia Phasianidae. Spishi za Ptilopachus huainishwa katika familia Odontophoridae siku hizi, kwa sababu zina nasaba na tombo wa Dunia Mpya. Ndege hawa wanafanana na kwale na ...

Simba

Kwa kundinyota inayoweza kuitwa "Simba" angalia hapa Asadi Simba jina la kisayansi: Panthera leo ; kwa Kiingereza lion ni mnyama mkubwa mla nyama carnivore wa familia ya Paka katika ngeli ya mamalia. Maana yake ni kwamba simba hufanana na paka mk ...

Sungura

Sungura ni wanyama wa jenasi mbalimbali katika familia Leporidae ambao wanaweza kukimbia kwa kasi sana. Sungura wa Ulaya anaweza kwenda hata mpaka km 72 kwa saa. Huishi kwa upweke au kwa jozi, miili yao huweza kusharabu ya mvutano wa dunia wakati ...

Swala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Swala ni wanyama walao manyasi katika nusufamilia Antilopinae, Aepycerotinae na Pantholopinae za familia Bovidae. Hupatikana katika maeneo yenye nyasi fupi na vichaka vifupi fupi hasa kwenye maeneo mengi ya hif ...

Tausi

Tausi ni ndege wakubwa wa jenasi Pavo na Afropavo katika familia ya Phasianidae. Dume ana rangi ing’aayo ya majani au buluu na mkia wake ni mrefu mwenye rangi nyingi. Jike ana rangi inayofifia pengine kahawia tu. Jinsia zote zina ushungi. Dume hu ...

Tumbusi

Tumbusi au tai mzoga ni ndege wakubwa wa nusufamilia Aegypiinae na Gypaetinae katika familia Accipitridae ambao hula mizoga. Wana mnasaba na tai. Huko Amerika kuna ndege wafananao na tumbusi, lakini wale hawana mnasaba sana na huwekwa katika fami ...

Yemen

Yemen Kiarabu: الجمهورية اليمنية ni nchi kusini mwa Bara Arabu. Imepakana na Omani, Saudia na Bahari Hindi. Nchi za karibu ngambo ya mlango wa bahari wa Bab el Mandeb ni Eritrea, Jibuti na Somalia. Eneo lake ni pamoja na kisiwa cha Sokotra na vis ...

Al-Masudi

Al-Masudi alikuwa mwanahistoria, mwanajiografia na mpelelezi Mwarabu. Wakati mwingine huitwa "Herodoti wa Waarabu". Al-Masudi alikuwa mwandishi mashuhuri kwa kuunganisha historia na jiografia ya kitaalamu katika kitabu chake kikubwa "Malisho ya D ...

Khwarizmi

Muhammad ibn Musa al-Khwarizmi alikuwa mtaalamu wa hisabati, jiografia na falaki katika dola la Waabasiya aliyeishi muda mrefu mjini Baghdad. Alizaliwa katika familia ya Kiajemi yenye asili katika kwenye milki ya Khwarezm. Haijulikana kama yeye m ...

Jimbo Katoliki la Cremona

Jimbo katoliki la Cremona ni mojawapo kati ya majimbo 223 ya Kanisa Katoliki nchini Italia na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Milano. Askofu wake ni Antonio Napolioni.

Jimbo Katoliki la Lodi

Jimbo katoliki la Lodi ni mojawapo kati ya majimbo 223 ya Kanisa Katoliki nchini Italia na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Milano. Askofu wake ni Maurizio Malvestiti.

Jimbo Katoliki la Pavia

Jimbo Katoliki la Pavia ni mojawapo kati ya majimbo 223 ya Kanisa Katoliki nchini Italia na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Milano. Askofu wake ni Corrado Sanguineti.

Jimbo Kuu la Pesaro

Jimbo Kuu la Pesaro ni mojawapo kati ya majimbo 223 ya Kanisa Katoliki nchini Italia na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Askofu mkuu wake ni Piero Coccia. Jimbo Kuu hilo lina majimbo yafuatayo katika kanda yake: Fano-Fossombrone-Cagli- ...

Jimbo Katoliki la Vigevano

Jimbo Katoliki la Vigevano ni mojawapo kati ya majimbo 223 ya Kanisa Katoliki nchini Italia na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Vigevano iko katika eneo la Pavia kwenye mkoa wa Lombardia. Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Milano. As ...

Anselm wa Canterbury

Anselm wa Canterbury alikuwa kati ya wanafalsafa na wanateolojia muhimu zaidi wa zama za kati huko Ulaya. Baada ya kujiunga na monasteri wa Wabenedikto wa Bec huko Ufaransa, alipopata sifa kama kiongozi wa kiroho na mlezi, kama mhubiri wa mrekebi ...

Gaudentius wa Ossero

Gaudentius wa Ossero, O.S.B.Cam. alikuwa askofu wa Ossero, katika kisiwa cha Lošinj tangu mwaka 1030, huku akipingwa na kusingiziwa hadi 1042, alipojiuzulu na kujiunga na Wabenedikto Wakamaldoli chini ya Peter Damian. Alifariki Ancona tarehe 31 M ...

Kreshensi wa Iesi

Kreshensi Grizi wa Iesi alikuwa na mtawa wa Kanisa Katoliki aliyeongoza Ndugu Wadogo ka mkuu wa shirika lote. Hatimaye akawa askofu. Alipokufa Aimoni wa Faversham 1244, mvutano ndani ya shirika la Ndugu Wadogo ulijitokeza kwa nguvu. Mtumishi mkuu ...

Lupus wa Sens

Lupus wa Sens alikuwa askofu wa 19 wa Sens, Ufaransa. Alikuwa mtoto wa Betton, kabaila wa Tonnerre, kutoka ukoo uliotawala Burgundy. Kwa ushujaa wake alipelekwa uhamishoni. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhi ...

Papa Alexander V

Alexander V kwa mtazamo rasmi wa Kanisa Katoliki alikuwa antipapa wakati wa Farakano la Magharibi, ingawa wanahistoria wengine wanamuona kuwa Papa halisi. Aliogoza kuanzia 26 Juni 1409 hadi kifo chake mwaka 1410.

Roberto Bellarmino

Roberto Francesco Romolo Bellarmino alikuwa mtawa wa Shirika la Yesu, halafu padri, askofu na kardinali wa Kanisa Katoliki anayeshika nafasi muhimu katika historia ya karne ya 16 na 17. Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri tarehe 13 Mei 1 ...

Tomaso wa Villanova

Tomaso wa Villanova, O.S.A., awali Tomás García y Martínez alikuwa mtawa kutoka Hispania maarufu kama mhubiri na mwandishi. Hatimaye alipata kuwa askofu mkuu aliyeshughulikia sana maskini wa jimbo lake. Papa Aleksanda VII alimtangaza mtakatifu ta ...

Antoni wa Padua

Antoni wa Padua alikuwa padri na mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo, maarufu hasa kwa mahubiri yake yaliyomstahilia heshima ya kutangazwa Mwalimu wa Kanisa. Kwa vipawa vyake vya pekee upande wa akili, elimu, busara, kiasi, ari ya kitume na sala has ...

Bernardo wa Clairvaux

Bernardo wa Clairvaux alikuwa padri, abati na mwenezaji mkuu wa urekebisho wa Citeaux wa shirika la Benedikto wa Nursia. Aliitwa" Babu wa mwisho” kwa sababu alitetea na kustawisha teolojia ya mababu wa Kanisa wakati wa kujitokeza teolojia mpya ya ...

Petro Kanisio

Petro Kanisi alizaliwa Nijmegen tarehe 8 Mei 1521 akafariki Freiburg tarehe 21 Desemba 1597. Alikuwa mtawa, mwanateolojia na padri wa Kanisa Katoliki. Alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri mwaka 1864, halafu na Papa Pius XI kuwa mtakatifu ...

Camaldoli

Camaldoli ni monasteri muhimu katika eneo la msitu la kijiji cha Poppi, katika mkoa wa Toscana, Italia. Ndiyo asili ya tawi la Wakamaldoli la wamonaki Wabenedikto. Ilianzishwa mwaka 1023 hivi na Romwald abati kwa ruhusa ya askofu Tedaldo wa Arezzo.

Lidano

Lidano alikuwa abati Mbenedikto anayesifiwa kwa kukausha madimbwi ya Lazio kusini, Italia, na kwa kuanzisha monasteri ya Sezze katika Dola la Papa. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Julai.