ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 107

Yohane Parenti

Labda alizaliwa Carmignano Italia, lakini alisoma sheria na kupata nafasi ya hakimu huko Civita Castellana. Alijiunga na utawa pamoja na mwanae baada ya ziara ya Fransisko mjini Firenze mwaka 1211. Mwaka 1219 Fransisko alimtuma Hispania alipoanzi ...

Yohane Righi

Yohane Batista Righi wa Fabriano, 1469 circa – Cupramontana, 1539) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo na padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia. Anaheshimiwa kama mwenye heri hasa tarehe 11 Machi.

Yohane wa Parma

Yohane Buralli wa Parma alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia ambaye aliongoza utawa wa Ndugu Wadogo. Papa Pius VI alimtangaza mwenye heri mwaka 1777. Anaheshimiwa hasa tarehe 19 Machi.

Maria Magdalena wa Pazzi

Maria Magdalena wa Pazzi alikuwa mmonaki wa shirika la Wakarmeli aliyepata umaarufu kutokana na ubora wa maisha yake ya sala hata akatangazwa mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake.

Kiriako mkaapweke

Kiriako mkaapweke alikuwa mmonaki kwa muda wa miaka 90 hivi. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Septemba au 10 Novemba.

Wakonsesyoni

Shirika la Kukingiwa Dhambi ya Asili, au Wakonsesyoni, ni shirika la wanawake wamonaki lililoanzishwa mwaka 1484 huko Toledo Hispania na Beatriz wa Silva. Huyu mwanamke wa ukoo maarufu wa Ureno alijiunga na monasteri na hatimaye akawa mwanzilishi ...

Askofu msaidizi

Askofu msaidizi ni kiongozi wa Kikristo aliyeteuliwa hasa kwa lengo la kwamba amsaidie askofu wa jimbo kuongoza na kusimamia jimbo lake kulingana na mwongozo wake.

Askofu wa jimbo

Askofu wa jimbo ni askofu ambayo anachunga kwa mamlaka kamili jimbo fulani. Kwa msingi huo anatofautiana na askofu mwandamizi, askofu msaidizi n.k. Katika Kanisa Katolikini kazi yake kufundisha, kutakasa na kuongoza waamini wote wa jimbo lake aki ...

The Joplin Globe

The Joplin Globe ni gazeti la kuchapishwa kila siku kwa wiki katika eneo la Joplin, Missouri,Marekani. Linasambazwa katika makata 14 katika kusinimashariki mwa Missouri. Tangu mwaka wa 2002, imemilikiwa na shirika la Community Newspaper Holdings. ...

Birmingham Post

Birmingham Post ni gazeti lililoanza kuchapishwa hapo awali na John Frederick Feeney kwa jina la Daily Post katika eneo la Birmingham, Uingereza katika mwaka wa 1857. Hili lilikuwa gazeti liuzwalo sana katika eneo la West Midlands, ingawaje haiku ...

The Era (gazeti)

The Era lilikuwa gazeti la Uingereza la kuchapishwa kila wiki, lilichapishwa kutoka mwaka wa 1838 hadi 1939. Hapo awali, lilikuwa gazeti la habari ya jumla lakini likajulikana kwa habari yake ya michezo na,hapo baadaye, habari zake za maigizo.

Lincolnshire Echo

Lincolnshire Echo ni gazeti la asubuhi la kila siku la Uingereza la eneo la Lincolnshire. Lilianzishwa katika mwaka wa 1894 na huchapishwa tangu Jumatatu mpaka Jumamosi. Linamilikiwa na kampuni ya Northcliffe Newspapers. Maeneo makuu ya usambazaj ...

Nottingham Evening Post

Nottingham Evening Post ni gazeti la Uingereza ambalo huchapishwa katika eneo la Nottingham, Nottinghamshire na maeneo tofauti ya Derbyshire kama vile Long Eaton na Sandiacre. Post huchapishwa kila wiki kutoka Jumatatu mpaka Jumamosi huku matoleo ...

Hamshahri

Hamshahri ni gazeti kuu la kitaifa la Iran katika lugha ya Kiajemi linalochapishwa na Manispaa ya Tehran, na lilianzishwa na Gholamhossein Karbaschi. Hili ndilo gazeti,la kila siku, la kwanza la Iran linalochapishwa katika rangi zote mbalimbali. ...

Prajasakti

Prajasakti ni gazeti la lugha ya Kitelugu linalochapishwa kutoka Andhra Pradesh, Uhindi. Lilianza kama gazeti la kila siku katika mwaka wa 1981, Vijayawada ikiwa makao lake. Hivi sasa, linachapishwa katika vituo 9 haswa Hyderabad, Vijayawada, Vis ...

Bendera

Bendera ni kitambaa chenye rangi mbalimbali. Mara nyingi ina umbo la pembenne, pia la mraba au pembetatu. Ina kazi ya kitambulisho au alama ya mawasiliano.

Afrika ya Kusini-Magharibi

Afrika ya Kusini-Magharibi ilikuwa jina la eneo la Namibia ya leo kuanzia mwaka 1922 hadi uhuru wa nchi ya Namibia mwaka 1990. Maeneo yake yaliunganishwa mara ya kwanza ilipokuwa koloni la Afrika ya Kusini-Magharibi ya Kijerumani kwenye mwaka 188 ...

Vuguvugu la Uarabuni

Vuguvugu la Uarabuni au Vuguvuru la Kiarabu, Mchipuko wa Uarabuni ni istilahi iliyokuwa inatumika na vyombo vya habari kwa ajili ya wimbi la mapinduzi la migomo na maandamano ambayo yasiyo-na-fujo na yenye-fujo, vurumai, machafuko na vita ya yeny ...

Kumbukizi ya Kimataifa ya Maangamizi ya Wayahudi

Kumbukizi ya Kimataifa ya Maangamizi ya Wayahudi ni siku maalumu ya kufanya kumbukumbu ya kimataifa inayoadhimishwa kila mwaka mnamo 27 Januari ambayo ni tarehe ambapo Kambi ya Mauti ya Auschwitz ilikombolewa na Jeshi Jekundu la Urusi kwenye mwak ...

Kleopatra

Kleopatra alikuwa malkia na farao wa mwisho wa Misri. Alizaliwa katika nasaba ya Waptolemaio. Alipata elimu nzuri hadi kusema lugha nyingi kama vile Kikopti, Kiarabu, Kiaramu, Kihabeshi, Kifarsi na Kigiriki kama lugha ya mama.

Dongye

Dongye ilikuwa nchi iliochukua sehemu za kaskazini-mashariki mwa Peninsula ya Korea kuanzaia 150 KK hadi kunako 400 CE. Imepakana na Goguryeo na Okjeo kwa upande wa kaskazini, Jinhan upande wa kusini, na Lelang Commandery ya China kwa upande wa m ...

Ufalme wa Buyeo

Buyeo au Puyŏ, Fuyu kwa Kichina, ulikuwa ufalme wa kale wa Korea uliopo kwenye Manchuria ya leo kaskazini mwa nchi ya Korea Kaskazini, kunako karne ya 2 KK hadi 494. Mabadiki yake yaka-fyonzwa na ufalme wa jirani na ndugu zao Goguryeo mnamo 494. ...

Khalifa bin Harub wa Zanzibar

Sayyid Khalifa II bin Harub Al-Said alikuwa mtawala wa 9 wa Usultani wa Zanzibar. Alikuwa sultani kuanzia 9 Desemba 1911 hadi 9 Oktoba 1960. Hali halisi alikuwa mtawala kwa jina tu wakati mamlaka ya serikali ilikuwa mkononi mwa afisa mkazi Mwinge ...

Kiserbokroatia

Kiserbokroatia iliyoitwa pia Kikroatoserbia ilikuwa lugha rasmi ya Yugoslavia pamoja na Kislovenia na Kimasedonia. Wakati wa Ufalme na baadaye Jamhuri ya Yugoslavia Kiserbia na Kikroatia zilitazamia kama lahaja za lugha moja iliyoendelea kwa karn ...

Otto von Bismarck

Otto von Bismarck alikuwa mwanasiasa mashuhuri wa Ujerumani katika karne ya 19. Akiwa waziri mkuu wa Prussia alijenga umoja wa Ujerumani katika vita tatu dhidi ya Denmark 1864, Austria 1866 na Ufaransa 1870/71. Kama Chansella wa Dola la Ujerumani ...

Ernst Röhm

Ernst Julius Röhm alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa Mjerumani. Alikuwa kati ya wafuasai wa kwanza wa Adolf Hitler na mwanachama muhimu katika chama cha NSDAP aliwa kiongozi wa wanamigambo wa SA. Aliuawa kwa amri ya Hitler.

Mkutano wa Potsdam 1945

Mkutano wa Potsdam ulitokea kuanzia 17 Julai hadi 2 Agosti 1945 katika mji wa Potsdam, Ujerumani. Waliohudhuria walikuwa viongozi wa nchi washindi wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia, ambao walikuwa mwanzoni Winston Churchill, baadaye Clement Attlee kam ...

Sokrates

Sokrates alikuwa mwanafalsafa Mgiriki. Nje ya falsafa, anajulikana hasa kwa kifo chake. Alifariki kutokana na kunywa sumu baada iliyokuwa adhabu yake kwa kupatikana na hatia katika mahakama ya watu wa Athens. Ilidaiwa kwamba mafunzo yake yaliingi ...

Horatius

Quintus Horatius Flaccus alikuwa mshairi mashuhuri wa Roma ya Kale. Alizaliwa kama mtoto wa mtumwa aliyepewa uhuru na bwana wake na kutajirika baadaye. Hivyo aliweza kumpa mwanawe elimu nzuri. Alisomea Roma na baadaye Ugiriki. Aliandika mengi kwa ...

Vergilio

Publius Vergilius Maro, alikuwa mwandishi na mshairi mashuhuri wa Roma ya Kale. Aliandika kwa lugha ya Kilatini. Vergilio alizaliwa Italia ya Kaskazini akasoma mjini Roma alipoanza kutunga shairi zake za kwanza akaendelea kuishi Italia ya Kusini ...

Close to the Edge

"Total Mass Retain single version" – 3:21 "America" Paul Simon – 4:12 "And You and I alternate version" – 10:17 "Siberia" – 9:19

Talking Book

"Superstition" Wonder - 4:26 "Lookin for Another Pure Love" Wonder, S. Wright - 4:44 "I Believe When I Fall in Love It Will Be Forever" Wonder, Y. Wright - 4:51 "Blame It on the Sun" Wonder, Syreeta Wright - 3:26 "Big Brother" Wonder - 3:34

Tattoo You

Tattoo You ni albamu ya kundi la muziki la The Rolling Stones. Albamu iltolewa mnamo mwaka wa 1981. Ilioyofuata ilikuwa inaitwa Emotional Rescue, imehakikiwa kuwa ni albamu iliyofanya vizuri katika mauzo na ilifamika kuliko. Pia kuwa kama albamu ...

90125

90125 ni albamu ya kumi na moja ya bendi ya muziki wa rock-Yes kutoka nchini Uingereza. Albamu iltolewa mnamo mwaka wa 1983. Albamu ilishirikisha wimbo maarufu uitwao Owner of a Lonely Heart.

Maria Tebbo

"Maria Tebbo ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1979 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Sam Mangwana. Albamu ina nyimbo nne tu, upande A 2 na upande B 2. Albamu ilitolewa katika muundo wa Vinyl. Kazi ya ...

Bitoto

Kwa matumizi tofauti ya jina hilo angalia Bitoto "Bitoto" ni albamu iliyotoka mwaka 1985 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo nne tu. Na imetoka katika muundo wa Vinyl, LP.

Soucis Ya Likinga

"Soucis Ya Likinga" ni albamu iliyotoka mwaka 1986 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo nne tu, mbili upande na mbili upande B. Hii ni albamu ya kwanza ya Pepe Kalle kuiteng ...

Storms of Life

Storms of Life ni albamu ya mwanzo ya nyota wa Muziki wa Country Randy Travis ambayo ilitolewa mnamo 6 Juni 1986 na Warner Bros. Records Nashville. Imedhibitishwa mara tatu kuwa katika kiwango cha mauzo cha Multi-Platinum na RIAA kwa kuuza zaidi ...

Always and Forever

Always & Forever ni albamu ya pili ya mwimbaji wa muziki wa ’country’’ Randy Travis. Ilitolewa mnamo 4 Aprili 1987 na shirika la Warner Bros. Records. Singles zilizotolewa katika albamu hii ni pamoja na singles "Too Gone Too Long", "I Wont Need Y ...

Kwasa Kwasa

"Kwasa Kwasa" ni albamu iliyotoka mwaka 1988 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo nne tu, mbili upande na mbili upande B. Hii ni albamu ya pili ya Pepe Kalle kuitengeneza ak ...

LArgent Ne Fait Pas Le Bonheur!

"LArgent Ne Fait Pas Le Bonheur!" ni albamu iliyotoka mwaka 1988 kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo sita - moja ikiwa vyombo vitupu. Hii ni albamu ya nne ya Pepe Kall ...

Moyibi

"Moyibi" ni albamu iliyotoka mwaka 1988 kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo sita. Hii ni albamu ya tatu ya Pepe Kalle kuitengeneza akiwa nchini Ufaransa baada ile ya K ...

Explosion

"Explosion" ni jina la albamu ya tatu iliyotoka mwaka 1989 kutoka kwa kundi la muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Loketo. Albamu hii ni moja kati ya albamu bora kabisa za Loketo kama kundi. Nyimbo kali kutoka katika albamu ...

Kwassa Kwassa

"Kwassa Kwassa" ni jina la albamu ya saba kutoka kwa msanii wa muziki wa dansi na soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kanda Bongo Man. Albamu imetoka mwaka wa 1989. Nyimbo kali zilizotamba kutoka katika albamu ni pamoja na Liza, Sai ...

Pepe-Kalle

"Pepe-Kalle" ni albamu iliyotoka mwaka 1989 kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo nne tu basi. Hii ni albamu ya tano ya Pepe Kalle kuitengeneza akiwa nchini Ufaransa baa ...

Pon Moun Paka Bougé

"Pon Moun Paka Bougé" ni albamu iliyotoka mwaka 1989 kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo nne tu basi. Hii ni albamu ya sita ya Pepe Kalle kuitengeneza akiwa nchini Ufa ...

Walking with a Panther

Walking with a Panther ni jina la kutaja albamu ya tatu ya msanii wa rap na mauzo ya juu katika muziki huu, LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1989, albamu ilifanikiwa sana kimauzo, ikiwa na single kadhaa zilizoweza kushika chati. Albamu ...

Chronicles

Chronicles ni albamu ya mkusanyiko ambayo imetolewa na bendi ya rock kutoka Canada Rush. Albamu hii ilitolewa mnamo 1990. Mkusanyiko huu ulisanywa bila uwepo wa bendi hiyo. Mkusanyiko wa video za muziki wa Rush ambao unaitwa Chronicles: The Video ...

Isambe Monie

"Isambe - Monie" ni jina la albamu ya nane kutoka kwa msanii wa muziki wa dansi na soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kanda Bongo Man. Ni moja kati ya albamu zilizotamba sana katika ulimwengu wa rhumba na soukous kwa miaka ya 1990. ...

Space Bandits

Space Bandits ni albamu ya studio ya 1990 iliyotolewa na bendi ya Uingereza ya space rock inayoitwa Hawkwind. Ilikaa katika chati za UK album kwa juma moja katika nafasi ya 70. Kufikia katikati mwa 1989, kundi hili lilibadilisha mpangilio wao huk ...