ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 108

Sans Commentaire

Sans Commentaire ni jina la kutaja albamu ya mwimbaji wa muziki wa dansi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama Madilu System. Albamu imetoka mwaka wa 1994. Utayarishaji wa albamu hii ulifanyika nchini Ufaransa katika studio ...

The Kershaw Sessions

"The Kershaw Sessions" ni jina la albamu kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa dansi mwenye asili ya Kongo-Tanzania, Remmy Ongala. Albamu imetoka mwaka 1994 kwa mujibu wa mtandao wa Discogs na WorldCat - vilevile 1995 kwa mujibu wa mtandao wa Allmu ...

Usher (albamu)

Usher ni jina la albamu ya kwanza ya mwimbaji wa R&B-pop wa Kimarekani - Usher. Albamu ilitolewa mnamo tar. 30 Agosti 1994 na studio ya LaFace Records na Arista Records. Albamu ilipata kushika nafasi ya kwanza kwenye cha za Billboard 200 Bora ...

Dernière Minute

Dernière Minute ni jina la kutaja albamu ya mwanamuziki, mwimbaji na mnenguaji mashuhuri kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama Yondo Sister. Albamu imetoka mwaka wa 1995. Sehemu kubwa ya utayarishaji wa albamu hii ulifanyika ...

Forgiven, Not Forgotten

Secret Life live Forgiven Not Forgotten acoustic The Right Time acoustic Rainy Day also appears as the b side of Love To Love You Runaway live The Right Time radio edit Toss the Feathers live - instrumental

Jealous Ones Envy

Jealous Ones Envy ni jina la kutaja albamu ya pili ya msanii wa muziki wa hip hop, Fat Joe. Albamu ilitoka mnamo mwaka wa 1995. Albamu ilitayarishwa na Diamond D, L.E.S., DJ Premier, Fat Joe, Domingo, na Joe Fatal.

Ni Mimi

Ni Mimi ni jina la albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop wa Dar es Salaam, Tanzania maarufu kama II Proud. Albamu imetoka mwaka wa 1995 - ikiwa kama albamu ya kwanza ya rap iliyotungwa kwa Kiswahili kwa utunzi wa rapa mwenyewe b ...

Nyboma (albamu)

"Nyboma" ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1995 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Nyboma. Wimbo maarufu kutoka katika albamu ni pamoja na Maya, Lidy, Abissina, Masala na Anicet. Albamu imebeba nyimbo ...

All World: Greatest Hits

All World: The Greatest Hits ni albamu ya kwanza ya vibao vikali vya kompilesheni kutoka kwa msanii wa hip hop, LL Cool J, ambayo imetolewa mnamo mwaka wa 1996. Inachukua nafasi kutoka kazi zake za awali za Def Jam, Radio, mpaka albamu yake ya mw ...

Dr. Dre Presents the Aftermath

Dr. Dre Presents: The Aftermath ni albamu ya kompilesheni ambayo imetolewa na kutayarishwa na rapa na mtayarishaji wa Kimarekani, Dr. Dre. Albamu ilitolewa mnamo tar. 26 Novemba, 1996, wiki moja baada ya kutolewa kibao chake kikuu cha "East Coast ...

Legal Drug Money

Legal Drug Money ni albamu ya kundi la muziki wa hip hop la The Lost Boyz, ikiwa imeshirikisha wanachama kama vile Mr. Cheeks, Freaky Tah, DJ Spigg Nice na Pretty Lou. Alabmu imeshirikisha vibao vikali vitano ikiwa pamoja na wimbo kama "Renee", " ...

Ndani ya Bongo

Ndani ya Bongo ni jina la albamu ya pili kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop wa Dar es Salaam, Tanzania maarufu kama II Proud. Albamu imetoka mwaka 1996 mwaka mmoja tangu atoe albamu ya kwanza. Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Kwa ...

Space Jam (kibwagizo)

Space Jam ni kibwagizo halisi cha albamu ya filamu ya mwaka wa 1996 yenye jina sawa na la albamu, ambayo ndani yake imechezwa na Michael Jordan na washiriki wote wa Looney Tunes. Albamu imeshirikisha kibwagizo cha filamu ambacho pia kilichopigwa ...

Back in Business

Back in Business ni albamu ya marejeo kutoka kwa kundi zima la muziki wa hip hop la EPMD, ambalo limevunjia kwa matatizo ya kibinafsi mnamo mwaka wa 1992. Baada ya kutoa albamu nne zenye mafanikio baina ya 1988 na 1992, lakini hao wakarudi tena u ...

Butterfly

Butterfly ni albamu ya sita ya studio, kutoka kwa Mwanamuzikin wa Marekeni anayeimba nyimbo zenye miondoko ya pop, Mariah Carey, iliyotoka resmi tarehe 19 Septemba 1997, kupitia katika studio za Columbia Recoerds. Albamu hii iliweza kuuza nakazal ...

Caedmons Call (albamu)

Caedmons Call ndiyo albamu ya kwanza ya bendi ya Caedmons Call iliyo na makao yao Houston,Texas. Walirekodi katikaa studio za Nickel & Dime, Avondal Estates, GA.

Love, Peace & Nappiness

Love, Peace & Nappiness ni jina la kutaja albamu ya pili kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini Queens, New York - Lost Boyz. Albamu hii haijakubalika sana kama jinsi ilivyokulika ile albamu yao ya kwanza, Legal Drug Money, lakini bado iliweza k ...

My Way (albamu ya Usher)

My Way ni jina la kutaja albamu ya pili ya mwimbaji-mtunzi wa R&B Usher. Albamu ilitolewa ba studio ya LaFace Records mnamo tar. 16 Septemba ya mwak wa 1997. Single maarufu kutoka kwenye albamu hii, ni pamoja na "You Make Me Wanna", "My Way", ...

Phenomenon

Phenomenon ni jina la kutaja albamu kamili halisi ya rapa LL Cool J. Baada ya kupata mafanikio katika albamu yake iliyopita, Mr. Smith, misimamo ni ileile inafuata humu, ikiwa sambamba kabisa na vibao vikali kadhaa vya ladha ya R&B, na vibao ...

Vunja Mifupa

"Vunja Mifupa" ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1997 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye badaye kaja kuweka makazi yake nchini Kenya, Samba Mapangala. NyimboAlbamu ina nyimbo nane. Albamu ilitole ...

*NSYNC

*NSYNC ni albamu iliyotolewa na kundi la wanamuziki la N Sync, iliyotolewa mnamo 24 Machi 1998 nchini Marekani.Ilifika #2 kwenye chati na imeuza zaidi ya nakala milioni 10 nchini Marekani, na kuthibitishwa 10x platinum na kutuzwa RIAA diamond award.

Destinys Child (albamu)

Destinys Child ni albamu ya kwanza ya kundi la wanamuziki Destinys Child. Ilikuwa na singles kama "No, No, No" na "With Me" na ikashinda tuzo la Best R&B/Soul Album of the Year at the Soul Train Lady of Soul Awards. Albamu hii ilikuwa kwenye ...

Don Cartagena

Don Cartagena ni jina la kutaja albamu ya tatu ya msanii wa muziki wa hip hop Fat Joe. Hii ni albamu yake ya kwanza tangu kuingia mkataba na studio ya Atlantic Records. Vilevile ni albamu yake ya kwanza kushirikisha wasanii wa hip hop mchanganyik ...

Home for Christmas

Home for Christmas ni albamu ya pili kutoka kundi la wanamuziki waitwao N Sync, iliyotolewa mnamo 10 Novemba 1998. Single ya "Merry Christmas, Happy Holidays" ilipata mafanikio ya kiasi kwenye redio. Ilithibitishwa 2x platinum nchini Marekani na ...

Make It Reign

Make It Reign ni jina la albamu ya kwanza ya marapa wawili wa Kimarekani, Lord Tariq na Peter Gunz. Album ilitolewa mnamo mwaka wa 1998 kupitia studio ya Columbia Records. Albamu imetoa single mbili matata kabisa, iliyopata sifa sana ilikuwa "Dej ...

Niite Mr. II

Niite Mr. II ni jina la albamu ya tatu kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop wa Dar es Salaam, Tanzania maarufu kama II Proud. Albamu imetoka mwaka 1998, miaka miwili tangu atoe albamu yapili. Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Zaidi ...

Order in the Court

Order in the Court ni jina la kutaja albamu ya nne ya rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani - Queen Latifah. Albamu ilitoka mnamo tar. 16 Juni 1998 huko nhcini Marekani kupitia studio za Motown Records. Albamu ipo katika moja ya sehemu ...

LB IV Life

LB IV Life ni jina la kutaja albamu ya mwisho kutolewa na kundi zima la muziki wa hip hop la Lost Boyz. Mwanachama mwenzao Freaky Tah aliuawa miezi sita kamili kabla ya kutolewa kwa albamu, lakini amefanya mionekano kadhaa kwenye albamu. Albamu i ...

A Little Bit of Mambo

A Little Bit of Mambo ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya mwanamuziki wa Kijerumani - Lou Bega. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1999. Albamu iilisukumwa vilivyo na single yake ya "Mambo No. 5", na kupelekea albamu kupata tunu ya platinamu katik ...

Live (albamu ya Usher)

Live ni albamu ya ukumbini ya msanii Usher. Albamu ilitolewa mnamo tar. 23 Machi 1999 na studio ya LaFace Records ikiwa imejumlisha vibao vyote mashuhuri vya Usher vya muda wote aliokuwa kwenye shughuli hizi za kimuziki. Tangu hapo ametunukiwa Dh ...

Millennium

Millennium ni albamu kutoka kundi la wanamuziki wa Marekani. Backstreet Boys. Ilivunja rekodi nyingi duniani, na ni moja ya albamu yenye mauzo bora kote duniani, ikiuza zaidi ya nakala milioni 40. Hii albamu ndiyo iliyokuwa albamu yenye mafanikio ...

Nje ya Bongo

Nje ya Bongo ni jina la albamu ya nne kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop wa Dar es Salaam, Tanzania maarufu kama II Proud. Albamu imetoka mwaka 1999, mwaka mmoja tangu atoe albamu ya tatu. Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Deiwaka ...

The Writings on the Wall

The Writings on the Wall ni albamu ya Destinys Child iliyoshinda tuzo la Grammy Award. Ilitolewa na Columbia mnamo 27 Julai 1999 nchini Marekani. Albamu hii ilikuwa na single nne; Bills, Bills, Bills na Say My Name zilifika namba 1, na single ya ...

Westlife (albamu)

Westlife ni albamu kutoka kwa kundi la Westlife, moja ya albamu iliyofanya vizuri katika maeneo mbalimbali. Albamu hii ilitoka tar. 1 Novemba 1999, nchini Uingereza. Albamu hii pia ilijumuisha single tatu ambazo ni "Swear It Again", "If I Let You ...

Black & Blue

Black & Blue ni albamu ya Backstreet Boys iliyotolewa baada ya albamu ya Millenium. Hii ni albamu yao ya nne. Huko nchini Marekani, Black & Blue iliuza nakala milioni 1.6 katika wiki yake ya kwanza ya kutolewa, na kuifanya kundi la kwanza katika ...

G.O.A.T.

G.O.A.T. ni jina la kutaja albamu ya nane ya rapa wa Kimarekani, LL Cool J. Albamu ilitolewa kupitia studio ya Def Jam Recordings. Albamu ilitolewa mnamo tar. 5 Septemba 2000, na kuweza kushika nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard 200 huko ...

I Will Sing

I Will Sing ni albamu ya muziki wa kuabudu ya kikristo iliyorekodiwa na Don Moen. Imerekodiwa papo kwa hapo katika studio ya CBN Virginia Beach, Virginia, Albamuyamuziki wa kuabudu ya kikristo ilitayarishwa na Paulo Mills, na inajumuisha uimbaji ...

Mikosi

Mikosi ni jina la albamu ya kwanza kutoka kwa kundi zima la muziki wa hip hop la Temeke Dar es Salaam, Tanzania maarufu kama G.W.M. Albamu imetoka mwaka wa 2000 - ukiwa mwaka wa matoleo mengi ya albamu za hip hop ya Tanzania kutoka. Hamasa ya kut ...

Ngoma Iko Huku

Ngoma Iko Huku ni jina la kutaja albamu yenye nyimbo mchanganyiko kwa vipindi tofauti ya hayati Salum Abdallah akiwa na Cuban Marimba. Albamu imekusanya vibao vyake vyote ambavyo ni vikali na kuviweka pamoja. Hasa kutoka 1955 hadi 1965 mwaka amba ...

Tamally Maak (albamu)

Tamally Maak pia huitwa Tamally Maak au Tamalli maak ni jina la albamu iliyotoka 2000 kutoka kwa msanii Amr Diab. Albamu ina wimbo mkali uliopendwa kimataifa wenye jina sawa na albamu. Albamu imepata mafanikio makubwa sana huko Mashariki ya Kati ...

8 Days of Christmas

8 Days of Christmas ni albamu ya Krismasi iliyoimbwa na Destinys Child, na kutolewa na Columbia Records mnamo Oktoba 2001 ncini Marekani. Ilifika namba 25 kwenye chati ya Billboard 200 na ikauza zaidi ya nakala 23.000 kwenye wiki yake ya kwanza. ...

8701

8701 ni albamu ya tatu kutoka kwa mwimbaji aitwaye Usher, iliyotolewa na Arista Records mnamo 7 Agosti 2001. Usher alishirikiana na mwimbaji na msanii Jermaine Dupri. Wasanii wengine walioshiriki ni kama P. Diddy, Bryan Michael Cox na Babyface. A ...

Celebrity

Celebrity ni albamu ya tano na ya mwisho ya N Sync. Ilitolewa mnamo 24 Julai 2001. Albamu hii ilithibitishwa 5x platinum nchini Marekani na ilipata mauzo ya zaidi ya milioni 10 kote duniani. Albamu hii ilipata mauzo ya takriban milioni 1.9 kwenye ...

Christina Milian (albamu)

Christina Milian ni jina la kutaja albamu ya mwimbaji/mwigizaji wa Kimarekani Bi. Christina Milian. Albamu hii ameipa jina lake kwa kuwa ni albamu yake ya kwanza. Hilo ni la kawaida kwa wanamuziki wengi duniani. Albamu hii ilitolewa chini ya stud ...

Escape

Escape ni albamu ya Enrique Iglesias iliyorekodiwa katika lugha ya Kiingereza mwaka wa 2001. Mwishoni mwa mwaka wa 2002, toleo maalum la albamu hii ilitolewa iliyo na nyimbo mbili za ziada, "Maybe" Marko Taylor Mix na "To Love a Woman", aliyoimba ...

Im Already There

Im Already There ni albamu ya tano kutolewa na kundi kutoka nchini Marekani linaloimba muziki wa country - liitwalo Lonestar. Albamu hii ilitoka mwaka 2001 kupitia studio ya BNA Records. Albamu hii iliweza kuuza nakala milioni kadhaa ikiwa na sin ...

Ladies and Gentlemen (albamu)

"Gentleman" - 3:26 "Yeah Yeah" - 3:51 "Shit Happens" - 3:23 "Lady" - 3:27 "Money" - 3:08 "Calling Her" - 0:52 "Club Elitaire" - 5:03 "God Is a Woman" - 4:05 "Lonely" - 3:39 "Angelina" - 3:17 "People Lovin Me" - 3:51 "My Answering Machine" - 0:50 ...

Machozi Jasho na Damu

"Machozi Jasho na Damu" ni jina la kutaja albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Kitanzania, Professor Jay. Albamu imetoka mwaka 2001, mwaka mmoja tangu kutolewa albamu aliyofanya na kundi zima la Hard Blasters Crew, Fung ...

Makaveli & Dillinger Dont Go 2 Sleep

Makaveli & Daz Dillinger Dont Go 2 Sleep - Tha EP ni albamu ya kutaja nyimbo mchanganyiko iliyotolewa na Makaveli na Daz Dillinger. Albamu hii ina nyimbo nane. Kuna matoleo mengine mawili ya ambayo pia ni EP, lakini toleo halisi lina nyimbo nane ...

Nini Chanzo

Nini Chanzo ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Juma Nature. Albamu ilitolewa mwaka wa 2001 ikiwa imetayarishwa chini ya P. Funk Majani lakabu Kinyewele Kimoja. Albamu ilisambazwa na Wananchi ...