ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 109

Unbreakable – The Greatest Hits Vol. 1

Unbreakable – The Greatest Hits Vol. 1. Hii ni albamu ya nne kutoka katika kundi la Westlife. Albamu hii ilitoka tar. 11 Novemba 2002. Ilifanikiwa kufika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza na kushika nafasi ya 66 nchini Australi ...

7 (Albamu ya Enrique Iglesias)

Enrique Iglesias aliandika au alisaidia kuandika na akatayarisha kila wimbo kwenye albamu hii. Jimmy Iovine alikuwa mtayarishaji mkuu wa albamu hii, pamoja na Iglesias. Enrique aliwaambia Toronto Sun kwamba yeye alichukua uangalifu maalum kwenye ...

Binti (albamu)

Binti ni jina la albamu ya pili ya mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Lady Jay Dee. Albamu imetoka mwaka wa 2003. Albamu imetayarishwa na studio mbalimbali jijini za jijini Dar es Salaam. Kama kawaida ya wasanii wengi wa k ...

Dangerously in Love

"Sings” featuring Missy Elliott – 4:59 "Dangerously in Love 2” – 4:54 "Gift from Virgo” – 2:46 "Me, Myself and I” – 5:01 "The Closer I Get to You” duet z Luther Vandross – 4:57 "Beyoncé interlude” – 0:16 "Crazy in Love” featuring Jay-Z – 3:56 "Sp ...

God Will Make a Way - Kali ya Don Moen

God Will Make a Way - Kali ya Don Moen ni albamu ya muziki wa kuabudu ya kikristo iliyorekodiwa na Don Moen. Albamu ya kikristo ya kisasa ina baadhi ya nyimbo za Moen zilizopata umaarufu sana Ilitolewa na Uaminifu / Hosana!Muziki / Sony tarehe 13 ...

Martina

Martina ni albamu ya saba ya msanii wa Muziki wa Country wa Marekani Martina McBride. Ilitolewa mnamo Sptemba 30, 2003. Iliwahikuwa ya kwanza katika chati za Country album, nay saba katika chati za US album. Imedhibitishwa mara mbili kuwa katika ...

The Remixes

The Remixes ni albamu ya kwanza yenye nyimbo za mseto kutoka kwa mwimbaji Mariah Carey, iliyotoka nchini Marekani tarehe 14 Oktoba 2003 na Columbia Records. Ni mkusanyiko wa nyimbo za Mariah Carey: CD moja ni ya nyimbo za klabu, na CD ya pili ina ...

Allow Us to Be Frank

Allow Us to Be Frank ni albamu ya sita kutoka kwa kundi la muziki wa pop la Westlife. Albamu ilitolewa tar. 8 Novemba 2004. Albamu hii ilifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya nchini Ireland na kushika nafasi ya tatu n ...

Its About Time (albamu ya Christina Milian)

Its About Time ni albamu ya pili ya mwimbaji wa Kimarekani Bi. Christina Milian. Albamu ilitolewa na studio ya Island Records mnamo 15 Juni 2004 katika Japan, na 13 Julai 2004 katika Marekani. Albamu hii imekuwa kama ya kwanza kwa Milian katika U ...

Real Talk (albamu)

Real Talk ni albamu ya nyimbo za Kikristo ya kwanza ya Lecrae aliyounda akiwa pekee yake yaani akijitegemea.Hapo mwanzoni kulikuwa na toleo mbili tofauti ya albamu hii; moja ilyotolewa na Reach Records na toleo la Cross Movement.Albamu hii ilikuw ...

The Monsterican Dream

Shotgun Divorce – 04:42 Kalmageddon – 04:33 Blood Red Sandman – 04:03 My Heaven Is Your Hell – 03:41 Wake The Snake – 03:46 Bring It On The Raging Hounds Return – 04:35 Magistra Nocte – 01:33 Threatical Trailer – 01:09 Fire In The Hole – 03:27 Pe ...

Urban Legend

Urban Legend ni albamu ya tatu kutoka kwa mwanamuziki T.I., iliyotolewa mnamo 30 Novemba 2004 ambapo kulikuwa na mafanikio ya Single yake: "Bring Em Out".

Face to Face

Face to Face ilikuwa albamu ya saba kutoka kwa kundi la Kiireland la Westlife. Albamu ilitolewa tar. 31 Oktoba 2995. Pamoja na nyimbo nyingine, lakini albamu hii ina nyimbo nyingi zenye miondoko ya pop. Single ya kwanza katika albamu hii, ni wimb ...

Live at the House of Blues (Tupac Shakur)

Tupac: Live at the House of Blues lilikuwa tumbuizo la mwisho kurekodiwa la hayati 2Pac. Albamu ilikorekowa mnamo tar. 4 Julai, 1996 na kisha kutolewa mnamo 2005, miaka 9 baada ya kifo chake kunako mwaka wa 1996. Albamu imebeba vibao vikali kama ...

Lounatic

Lounatic ni jina la albamu ya tatu ya mwanamuziki wa Kijerumani Lou Bega. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 2005. Kuna matoleo mawili ya albamu hii ya Lounatic: toleo la kwanza na toleo la pili. Pia, matoleo hayo yana orodha tofauti ya nyimbo. Kwa ...

Number 1s

#1s ni albamu yenye mkusanyiko wa nyimbo za Destinys Child kutoka kwa albamu zao za zamani: The Writings on the Wall, Survivor, This Is The Remix, na Destiny Fulfilled. Ilitolewa mnamo 25 Oktoba 2005, na ikafika namba 1 kwenye chati ya Billboard ...

The Prophet Returns

2Pac - The Prophet Returns ni jina la kutaja albamu yenye mkusanyiko wa nyimbo za Tupac Shakur. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 2005 kupitia studio za Death Row Records na Koch Records.

Released

Released ilikuwa albamu kutoka kwa Westlife na ilitolewa nchini Afrika Kusini pekee. Albamu hii ilitolewa rasmi tarehe 31 Machi 2005. Hii ikiwa katika ziara yao ya Face To Face Albamu hii ina jumla ya nyimbo 18, ikiwa ni pamoja na rimixes ya nyim ...

The Rose, Vol. 2

The Rose, Vol. 2 ni jina la kutaja albamu ya mwaka wa 2005 yenye mtindo wa ushairi wa Tupac Shakur. Albamu hii imeshehena muundo halisi wa sanaa ya ushairi wa rekodi za muziki wa Tupac, wengine ni wanaojulikana ni pamoja na Ludacris na Bone Thugs ...

The Way It Is

The Way It Is ni albamu ya kwanza kuotka kwa mwimbaji Keyshia Cole, iliyotolewa mnamo 21 Juni 2005. Ilikuwa namba 6 kwenye chati ya Billboard 200 na ilikuwa na singles tano: "Never", "I Changed My Mind", To Be Over", "I Should Have Cheated", na " ...

Timeless

Timeless ni jina la kutaja albamu ya 2005 ya mwimbaji wa muziki wa miondoko ya Country wa Marekani, Martina McBride. Albamu hii ni mkusanyiko wa vibao 18 vya miondoko ya classic country. Wasanii maarufu ambao vibao vyao viliangaziwa ni pamoja na ...

You Cant See Me

You Cant See Me ni albamu ya kwanza ya mpiganaji miereka wa WWE John Cena na binamu yake Tha Trademarc. Wimbo huu ulitolewa mnamo 2005 na ulianza katika nafasi ya 15 katika tamasha za Billboard na #3 katika orodha ya Rap. Nchini UK, albamu hii il ...

After the Music Stops (albamu)

After the Music Stops ni albamu ya mwanamuziki wa Kikristo Lecrae iliyotolewa mwaka wa 2006. Albamu hii ilichaguliwa kwa tuzo ya Stellar ya Rap/Hip-Hop/Gospel CD of the Year ingawa haikushinda.

Cassie (albamu)

Ryan Leslie alitayarisha kipande kikubwa cha albamu hii, ambayo ni mchanganyiko wa muziki wa kisasa, pop na R & B. Cassie alisema katika mahojiano, "Mimi ninaweza ku-rap, kuimba R & B, nyimbo za polepole na vitu ambavyo wasichana hupenda, nina wi ...

The Arockalypse

Supermonstars The Anthem Of The Phantoms – 04:04 Good To Be Bad – 03:31 Whos Your Daddy? – 03:38 The Chainsaw Buffet – 03:47 Hard Rock Hallelujah – 04:07 They Only Come Out At Night – 03:49 It Snows in Hell – 03:37 SCG3 Special Report – 03:46 The ...

The Love Album

The Love Album ni albamu ya nane kutoka kwa kundi maarufu kama Westlife kutoka nchini Ireland. Albamu hii ilitolewa tar. 20 Novemba 2006, dunia nzima. Albamu hii ilitolewa nchini Ufilipino, wiki moja kabla ya kutolewa rasmi dunia nzima na hiyo ik ...

A 2Pac Tribute: Dare 2 Struggle

A 2Pac Tribute: Dare 2 Struggle ni jina la albamu iliyotolewa kwa lengo la kumuenzi kioo cha muziki wa hip hop hayati Tupac Shakur. Dr. Mutulu Shakur baba asiyemzazi wa Tupac alitoa albamu hii kama kumbukumbu ya miaka 35 ya kuzaliwa kwa Tupac na ...

9 Lives

DeLuna ameshirikiana kuandika kila nyimbo na RedOne, ambaye pia ametayarisha albamu hii. Albamu ilipata kushika nafasi ya 58 katika chati za U.S. kwa Billboard 200 bora, na kuweza kuuza nakala 11.000 katika wiki ya kwanza tangu kutolewa. Albamu h ...

Back Home

Back Home ni albamu ya nane katika jumla ya albmu za kudi la Westlife ambayo ilitolewa tar. 5 Novemba 2007. Albamu hii inajumuisha nyimbo mpya na baadhi ya nyimbo zimerudiwa. Orodha ya nyimbo katika albamu hii ilitolewa katika tovuti yao ya Westl ...

Because of You (albamu ya Ne-Yo)

Because of You ni albamu ya pili kutoka kwa msanii wa Def Jam Ne-Yo, albamu ilitolewa mnamo tarehe 8 Mei 2007. Wimbo maarufu wa kutoka katika albamu hiyo ni "Because of You." Kulikuwa na fununu za kusema kuwa katika albamu ilibidi waalikwe baaadh ...

Beginnings: The Lost Tapes 1988–1991

Beginnings: The Lost Tapes 1988–1991 ni jina la kutaja albamu ya msanii wa rekodi za muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani, 2Pac. Albamu ilitolewa baada ya kifo chake - mnamo tar. 12 Juni, 2007 kupitia studio za Koch Records. Awali albamu ilit ...

Epiphany

Epiphany ni albamu ya pili kutoka kwa msanii wa utunzi a uimbaji wa R&B T-Pain. Kibao rasmi cha kwanza kutoka kwenye albamu ni pamoja na "Buy U a Drank ". Epiphany iliingia kwenye chati za Billboard 200 ikiwa nafasi ya kwanza - huku ikiwa ime ...

Just Like You

Just Like You ni albamu ya pili ya mwanamuziki aitwaye Keyshia Cole. Mwanzowe, ilitolewa mnamo 8 Julai 2007, kisha tarehe ikapelekwa mbele hadi 7 Agosti 2007, na hatimaye ikatolewa 25 Septemba 2007. Albamu hii ilichaguliwa kama Best Contemporary ...

A Different Me

A Different Me ni albamu ya tatu kutoka kwa mwanamuziki: Keyshia Cole, iliyotolewa mnamo 16 Desemba 2008 nchini Marekani. Albamu hii imethibitishwa platinum na RIAA.

Bomoa Mipango

Bomoa Mipango ni albamu ya Dknob ya mwaka wa 2008. Albamu ina nyimbo zipatazo kumi. Albamu imeshirikisha wasanii kabambe wa muziki wa kizazi kipya, wasanii hao ni kama vile Squeezer, Benjamin, Q Jay, Ray C, Soprano na Only Face. Albamu inasambazw ...

Deadache

Missing Miss Charlene – 05:10 The Rebirth of the Countess – 01:59 Raise Hell in Heaven – 03:32 Deadache – 03:28 Evilyn – 04:00 The Devil Hides Behind Her Smile – 04:12 Man Skin Boots – 03:42 Dr. Sin Is In – 03:47 The Ghosts of the Heceta Head – 0 ...

I Am. Sasha Fierce

I Am. Sasha Fierce - ni jina la kutaja albamu ya R&B ya msanii Beyoncé. Albamu inategemewa kutoka kunako tar. 18 Novemba, katika mwaka wa 2008 nchini Marekani.

Relentless

Relentless Relentless ni albamu ya pili kutolewa na mwanamuziki wa Kikristo Natalie Grant. Ilitolewa katika mwaka wa Februari 2008. Nyimbo nne alizoiimba akiwa pekee yake zilitolewa kutoka albamu hii: In Better Hands, I Will Not Be Moved, Perfect ...

Thr33 Ringz

Thr33 Ringz ni jina la kutaja albamu ya tatu ya mwimbaji na mtunzi wa R&B T-Pain. Albamu ilitolewa nchini Marekani mnamo tar. 11 Novemba 2008, ikaingia nafasi ya nne kwenye chati za albamu za Billboard 200 na nafasi ya kwanza kwenye chati za ...

Year of the Gentleman

Wimbo wa kwanza ni "Closer", ambayo ilitolewa kunako tar. 15 Aprili. Ilipoanza kuingia katika chati za UK ilipata kushika nafasi ya 22, na kisha baadaye ikaja kushika nafasi ya kwanza. Katika chati za Billboard Hot 100 bora, wimbo umepata kushika ...

The Karaoke Collection

The Karaoke Collection ni DVD ya kundi la Westlife iliyotoka nchini Hong Kong pekee mnamo mwezi Januari mwaka 2009. DVD hii ina nyimbo zao za video zipatazo 22, mingi kati ya hiyo ni nyimbo zalizofanya vizuri katika chati mbalimbali za nchini Uin ...

Black Panties

1. "Legs Shakin" featuring Ludacris 2. "Cookie" 3. "Throw Money On You" 4. "Prelude" 5. "Marry the Pussy" 6. "You Deserve Better" 7. "Genius" 8. "All the Way" featuring Kelly Rowland 9. "My Story" featuring 2 Chainz 10. "Right Back" 11. "Spend Th ...

Mwingi wa Habari

Mwingi wa Habari ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania - P. the MC. Albamu ilitolewa kupitia studio za Tattoo Records na Bongo Records. Albamu ilianza kufanyiwa harakati za uuzaji mnamo tar. 18 O ...

Mala Fama, Buena Vidha

Hey Morra Un Camion Lleno de Puras de Esas Me Voy A Poner Bien Loco Mala Vibra Mala Fama, Buena Vidha La Durango Es El Pinche Dharius Te Gustan Los Malos Alla por Cd. Juarez De Party Sin Ti Ando Bien Amanecido Perro Loco

The Way You Look Tonight

The Way You Look Tonight ni wimbo uliotokea katika filamau ya Swing Time. Wimbo huu kwanza uliimbwa na Fred Astaire. Wimbo huu pia ulipata tuzo ya Academy Award for Best Original Song mwaka 1936. Wimbo huu ulitungwa na Jerome Kern na kupewa masha ...

Fly Me to the Moon

Fly Me to the Moon ni wimbo wenye miondoko ya pop uliotungwa na kuandikwa na Bart Howard mwaka 1954. Ulipewa jina la asili la n Other Words na ulipelekwa kwa mara ya kwanza katika utambuzi wa nyimbo na Felicia Sanders. Wimbo huu ukaja kujulikana ...

Come Fly with Me

Come Fly with Me ni wimbo uliotengenezwa mwaka 1957 na Jimmy Van Heusen, na mashairi kutungwa na Sammy Cahn. Van Heusen had alipenda sana kupaa anagni kwani aliwahi kuwa rubani wakati wa vita vya pili vya dunia. "Come Fly with Me" wuliandikwa na ...

Seasons in the Sun

Seasons in the Sun ni toleo la Kiingereza la wimbo wa "Le Moribond" ulioimbwa na mwanamuziki wa Ubelgiji, na mtunzi wa nyimbo Jacques Brel. Ulikuwa wimbo bora wa mwaka 1974, kwa Terry Jacks na ilikuwa wimbo bora wa Krismasi nchini Uingereza, kwa ...

Ill Be There

Ill Be There ni wimbo uliotungwa na Berry Gordy, Bob West, Hal Davis na Willie Hutch ambapo baadae ulikuja kutokea nyimbo mbili, yaani wimbo ambao ulikuja kurekodiwa na kundi la nchini Marekani la The Jackson 5. Mwaka 1992 na wimbo huu uliimbwa n ...

Mandy (wimbo)

Brandy ni moja kati ya nyimbo zilizovuma katika mwaka 1971 kutoka kwa watunzi Scott English na Richard Kerr. Ulifanikiwa kufika katika nafasi ya 12 katika chati ya single za Uingereza. Huku toleo la kwanza lilifanya vibaya nchini Marekani. Mwaka ...