ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 11

Tupac: Resurrection (kibwagizo)

Tupac: Resurrection ilitolewa na Amaru Entertainment kama kibwagizo cha filamu ya makala kuhusu Tupac ya mwaka wa 2003. Tupac: Resurrection ilipata kuchaguliwa katika sherehe za Tuzo za Academy. Ina rekodi kadhaa zilizowahi kutolewa na 2Pac, ikiw ...

Michezo ya Afrika Nzima

Michezo ya Afrika Nzima ni tukio la michezo mbalimbali ya mataifa ya Afrika linalofanyika kila baada ya miaka minne, linaloandaliwa na Muungano wa Kamati za Kitaifa za Olimpiki za Afrika. Mataifa yote yanayoshiriki lazima yawe ya bara la Afrika. ...

Backgammon

Backgammon ni mchezo wa ubao unaochezwa na watu wawili. Kila mchezaji anatembeza kete zake kwenye ubao. Anatumia dadu 2 kuamulia idadi ya hatua kwa kila kete. Mshindi ni huyu anayemaliza kupeleka kete zote hadi mwisho wa njia na kutoka ubaoni. Wa ...

Dadu

Dadu ni kidude ambacho kwa kawaida kina umbo la mchemraba lakini kuna aina nyingine pia. Inatumiwa kwa kuirusha katika michezo ya bahati au pia katika mchezo ambako namba inahitajika kwa njia ya kubahatika. Dadu ya kawaida huwa na pande sita na n ...

Judo

Judo aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini Japan iko pia kati ya michezo ya Olimpiki. Ilianzishwa mwaka 1882 na Jigorō Kanō. Judo ni mchezo wa kifalsafa unaoathiriwa na mafundisho ya Ubuddha. kati ya misingi yake si kumshambulia mpinzani laki ...

Michezo ya mapigano

Michezo ya mapigano ni jumla ya michezo ambayo kwa kawaida watu wawili wanapigana kufuatana na kanuni za mchezo. Mifano ni mchezo wa ngumi, mwereka, judo au karate. Michezo mingi ya mashindano yatumia mikono, miguu au hata mwili kwa jumla. Silaha ...

Bondia

Bondia ni mwanamichezo anayetekeleza mchezo wa ngumi. Bondia ni mtu wa kiume au wa kike anayepigana na bondia mwingine kwa kutumia mikono inayofungwa kwa namna ya ngumi akifuata sheria na kanuni za mchezo huu. Kwa kawaida mabondia huvaa glovu. Kw ...

Mchezo wa ngumi

Mchezo wa ngumi ni aina ya michezo ya mapigano ambapo mabondia wawili wanapigana kwa kutumia ngumi pekee kwa kufuata kanuni za mchezo. Wote wawili huvaa glavu nene kwa shabaha ya kupunguza hasara za kiafya. Mashindano yasimamiwa na refa, kwa kawa ...

Mpira wa miguu

Mpira wa miguu ni mchezo unaochezwa na jumla ya wachezaji ishirini na wawili katika timu mbili, kila timu ikiwa na wachezaji kumi na mmoja. Lengo hasa la mchezo huu ni wachezaji kuumiliki mpira kwa kutumia miguu na kufunga goli, yaani kuuingiza m ...

Kombe la Mataifa ya Afrika

Kombe la Mataifa ya Afrika ni shindano kuu la soka la kimataifa katika Afrika. Shindano hili husimamiwa na Confederation of African Football, na lilichezwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 1957. Tangu mwaka wa 1968, shindano hili hufanyika baada ya mi ...

Ligi Kuu Tanzania Bara

Ligi Kuu Tanzania Bara ni ligi ya kiushindani ya juu kabisa nchini Tanzania, inasimamiwa na shirikisho la soka nchini Tanzania TFF. Ilianzishwa mwaka 1965, kipindi hicho ikijulikana kama "Ligi ya Taifa". Jina hilo lilibadilishwa kuwa "Ligi Daraja ...

Ligi Kuu ya Jibuti

Tadjourah FC AS Port Total CDE Colas FNP Police Nationale Gendarmerie Nationale Sheraton Hôtel ASS d’Ali-Sabieh Établissement Abdi FC Société Immobilière de Djibouti Kartileh

Shaha (kete)

Shaha ni kete muhimu zaidi katika mchecho wa sataranji. Anaweza kutembea hatua 1 kila upande kwa mraba yoyote jirani. Kifupi chake katika miniti za mchezo ni "K". Shabaha ya mchezo wa sataranji ni kumkamata shaha. Kwa hiyo ni muhimu kumlinda na k ...

Uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi

Uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi ni uwanja wa shughuli mbalimbali ulioko Kasarani, maeneo ya nje ya Nairobi, Kenya. Uwanja huu una kiwango cha kukimu takribani watu 60.000. Uligharamiwa na Serikali ya Uchina mwaka wa 1987 kwa ajili ya All-Af ...

Mwanamuziki

Mwanamuziki ni mtu anayepiga vyombo vya muziki kama vile gitaa au piano au mtu mwenye kuimba. Mwanamuziki ni mtu anayetunga muziki, hata kama anaandika nyimbo kwa ajili ya kupigwa na watu wengine. Mtu anayetunga nyimbo anaitwa mtunzi. Kawaida mtu ...

Muziki wa klasiki

Muziki wa Klasiki upo katika aina za orchestra. Asili ya muziki huu ni hasa kwenye utamaduni wa Kimagharibi na hasa kwenye muziki wa liturujia. Kwa kawaida hulenga ala za nyuzi, yaani Violin, viola, cello, na besi-mbili ambavyo vyote ni vyombo vy ...

Odi Pop

Odi Pop au Gengeton ni mtindo wa muziki maarufu nchini Kenya ambao unatokana na aina mbalimbali za muziki kama Genge, Hip Hop na Reggaeton na kuchanganya ushawishi kutoka kwa muziki wa Reggae na Dancehall, na kujenga kwenye msingi wa mahadi ya Ki ...

Ala ya muziki

Ala ya muziki ni kifaa kinachotoa sauti zinazotumiwa katika muziki. Kila ala ya muziki inatoa mitetemo katika hewa inayoendelea kusambaa na kupokewa na masikio kama sauti. Kimsingi kila kitu kinachotoa sauti kinaweza kutumiwa kama ala ya muziki, ...

Gitaa

Gitaa ni ala ya muziki yenye nyuzi 4 hadi 12 zinazokazwa na kupigwa kwa kuzidonia kwa kidole au kucha. Gitaa huwa na bodi yake ambayo ni sanduku la ubao na juu yake shingo ambako nyuzi zinafungwa na kukazwa. Gitaa la kawaida huwa na nyuzi 6. Bodi ...

Kalimba

Kalimba ni ala ya muziki toka Afrika hasa Kusini kwa Sahara. Kalimba inaundwa na ubao na mabamba membamba ya chuma, kwa hivyo ni ala ya mabamba. Kalimba zinaitwa pia likembe, ilimba, mbira huru, mbira njari, mbira nyunga nyunga, nhare, matepe, nj ...

Kinanda cha filimbi

Kinanda cha filimbi ni ala ya muziki inayotoa sauti kwa njia ya kupuliza hewa kupitia filimbi zinazochaguliwa kwa njia ya kupiga vibao vya kinanda kwa vidole vya mkono au -kwenye kinanda cha filimbi kikubwa zaida- pia kwa miguu. Filimbi hupangwa ...

Kora (ala ya muziki)

Kora ni ala ya muziki toka Afrika, hasa Afrika ya Magharibi. Kora ni kinubi chenye nyuzi 21, hivyo ni ala za nyuzi. Wanamuziki mashuhuri ambao hupiga kora ni Mamadou Sidiki Diabate toka Mali ama Sona Jobarteh toka Gambia.

Marimbula

Marimbula ni ala ya muziki toka Visiwa vya Karibi, hasa Kuba. Lakini ilifanya kutia na kalimba toka Afrika. Marimbula hufanana na kalimba kubwa. Marimbula inaundwa na ubao na mabamba membamba ya chuma, kwa hivyo ni ala ya mabamba.

Piano

Piano ni ala kubwa ya muziki yenye vibanzi vyeupe na vyeusi ambavyo hubonyezwa na kutoa sauti tofauti. Sauti hutokea wakati nyundo ndogo zinapopiga nyaya zinazofungwa kwenye fremu ya metali. Kinanda huwa na funguo 88 na kila mmoja una nyundo yake ...

Tarumbeta

Tarumbeta ni ala ya muziki ya kupuliza ikitengenezwa kwa metali hasa shaba nyeupe. Upande wa mdomo ni nyembamba na upande wa mwisho ni pana yenye. Urefu wa bomba lake linaweza kukaribia mita 1 na nusu lakini bomba hili limepindwa mara mbili kwa k ...

Ukulele

Ukulele ni ala ya muziki yenye nyuzi nne ingawa nyuzi sita au nane pia huweza kutumiwa. Ala hii ilianzishwa karne ya 19 huko Hawaii na wahamiaji wa Kireno kutoka Madeira na Cabo Verde baada ya kuiga miundo ya magitaa madogo ya Kireno kama machete ...

Zumari

Zumari ni ala ya muziki inayopigwa kwa kupulizwa mdomoni. Umbo lake ni kama bomba jembamba upande wa mdomoni na pana upande unaotokea sauti. Inapatikana kote duniani. Hewa inapulizwa ndani kwa mdomo kupitia shimo; mkondo wa hewa unapita kwenye ko ...

Mario (albamu)

Mario ni albamu ya kwanza ya mwimbaji Mario, iliyotolewa mwaka wa 2002 wakati yeye alipokuwa na miaka 15. Nyimbo zilizovuma ni kama "Just a Friend 2002," "Braid My Hair" na "Cmon". Albamu hii iliuza zaidi ya nakala 96.000 katika wiki ya kwanza na ...

Billboard 200

Billboard 200 ni safu ya kutaja albamu za muziki na ma-EP 200 zenye-mauzoya juu huko nchini Marekani. Safu hii huchapishwa kila wiki na jarida la Billboard. Mara kwa mara hutumiwa kufikisha au kutoa habari za umaarufu wa msanii au kundi la wasani ...

Hot R&B/Hip-Hop Songs

R&B/Hip-Hop Songs ni chati inayotolewa kila wiki na Billboard huko nchini Marekani. Chati hii ilianzishwa mnamo mwaka wa 1942, inatumika kufuatilia mafanikio ya nyimbo maarufu katika maeneo ya mijini, au hasa kumbi za wale Waafrika-Waamerika. ...

Anti-Virus

Anti-Virus lilikuwa jina la kutaja mapambano au harakati ya wasanii wa muziki wa hip hop kudai haki zao za msingi ambazo walikuwa wakizipigania dhidi ya kile walichokuwa wakifanyiwa na baadhi ya vyombo vya habari vyenye nafasi au fursa kubwa kwa ...

Beatboxing

Beatboxing ni jina la kutaja aina ya upigaji ngoma kwa kutumia mdomo - hasa kwa kuhusisha sanaa ya utayarishaji wa midundo ya ngoma, wizani, na sauti za kimuziki kwa kutumia mdomo wa mtu, midomo, ulimi, na sauti. Pia inaweza kuhusisha kuimba, sau ...

Bongo Flava

Bongo Flava ni jina badala la muziki wa Hip hop ya Tanzania. Mtindo huu ulianzishwa kwenye miaka ya 1990, hasa ukiwa kama mwigo au utokanaji wa hip hop kutoka Marekani, ikiwa na ongezeko la athira ya muziki wa reggae, R&B, afrobeat, dancehall ...

Dapstrem Entertainment

Dapstrem Entertainment ni huduma ya usambazaji huru wa muziki wa dijiti wa Kenya - iliyoanzishwa mnamo 2016. Dapstrem Entertainment kimsingi inapeana wanamuziki na wamiliki wengine wa haki fursa ya kusambaza na kuuza au kusambaza muziki wao kupit ...

Rockstar4000

Rockstar4000 ni jina la lebo maarufu ya muziki na televisheni kutoka nchini Afrika Kusini ina tawi dogo nchini Tanzania. Msanii maarufu ambaye alikuwa na hadi sasa yupo chini ya lebo hii ni Ali Kiba ambaye mwaka wa 2017 amekuwa mkurugenzi na mshi ...

Muziki wa dansi

Muziki wa dansi ni muziki kutoka nchini Tanzania. Ulianzishwa katika mji wa Dar es Salaam kunako miaka ya 1930, na unapendeka leo hadi leo hii. Muziki wa dansi unatokana na muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo au "rumba ya ki ...

Tuks Camerata

Camerata ya Chuo Kikuu cha Pretoria ni mojawapo wa kwaya tano ambazo ziko katika kampasi ya Chuo Kikuu cha Pretoria, nchini Afrika Kusini. Nne zingine ni Chorale ya Chuo Kikuu cha Pretoria, kwaya ya vijana ya Chuo Kikuu cha Pretoria, kwaya ya wat ...

Zangalewa

Zangalewa ni wimbo uliorekodiwa mwaka wa 1986 na kikundi cha densi cha Zangalewa. Wimbo huu unajulikana nchi karibu zote za Afrika, na kutumiwa na skauti, polisi na wanajeshi wa nchi hizo haswa katika mazoezi yao. Umeimbwa katika lugha kadhaa zin ...

Ahmed Kipande

Ahmed Mohamed Kipande alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa kuwa mwanzilishi wa bendi ya muziki wa dansi maarufu kama "Kilwa Jazz Band.

Dekula Kahanga

Alain Kahanga Dekula ni mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - Tanzania. Alifahamika zaidi kwa kuwa miongoni mwa wapigaji gitaa la solo wakubwa wa bendi ya Marquis Original.

Mafumu Bilali

African Beat ilianzishwa mwaka 1998, baada ya Mafumu Bilali Bombenga kujiengua kutoka katika bendi ya African Stars ambayo nayo ilianzishwa mnamo mwaka 1994 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam, huku yeye akiwa ndiye muanzilishi. B ...

Mbaraka Mwinshehe

Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Ni mwanamuziki pekee aliyeshinda mashindano ya China miongo iliyopita akamshinda Franco.

Omari Kungubaya

Mzee Omari Kungubaya alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Alifahamika zaidi kwa kuwa mtunzi wa wimbo wa kipindi cha salam za wagonjwa katika redio ya taifa ya Tanzania.

Ellen Evangelistic Singers

Ellen Evangelistic Singers ni kwaya ya kanisa la Wasabato inayolenga kutoa huduma kwa jamii na kueneza Injili ndani na nje ya Tanzania.

Ray Steadman-Allen

Ray alizaliwa katika hospitali ya akina Mama ya Jeshi la Wokovu, mjini Clapton, wakati wazazi wake waliokuwa afisa wa Jeshi la Wokovu alikuwa wakiishi katika eneo la Horfield,Bristol. Walipopata kazi jijini London katika mwaka wa 1937, Ray aliaji ...

Yared wa Ethiopia

Yared wa Ethiopia ni kati ya Wakristo maarufu wa Ethiopia. Anatajwa kama mwanzilishi wa muziki wa Kikristo nchini. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Mei.

Led Zeppelin

Led Zeppelin ni bendi ya muziki aina ya hard rock kutoka Uingereza iliyoanzishwa mwaka 1968. Iliundwa na Robert Plant, Jimmy Page, John Paul Jones na John Bonham.

Pink Floyd

Pink Floyd ni bendi ya muziki aina ya rock kutoka Uingereza iliyoanzishwa mwaka 1964. Iliundwa na David Gilmour, Roger Waters, Nick Mason, Richard Wright na Syd Barrett.

Queen

Queen ni bendi ya muziki wa rock kutoka Uingereza iliyoanzishwa mwaka 1970. Iliumbwa na Freddie Mercury, Brian May, Roger Taylor na John Deacon. Walifanya albamu 15 za studio tangu mwaka 1973 mpaka mwaka 1995. Tangu Freddie Mercury amepofa mwaka ...

The Rolling Stones

The Rolling Stones ni bendi ya muziki aina ya rock and roll kutoka Uingereza iliyoanzishwa mwaka 1962. Iliundwa na Mick Jagger, Keith Richards, Brian Jones, Bill Wyman na Charlie Watts. Mwanzoni walijaribu kuiga blues na rock and roll ya Marekani ...