ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 110

Mke Wangu Tuelewane

Mke Wangu Tuelewane ni jina la kutaja wimbo uliotungwa na kuimbwa na kundi zima la Msondo Ngoma kati ya miaka ya tisini na elfu mbili mwanzoni. Moja kati ya nyimbo zilizotamba sana katika miaka hiyo. Mashairi yake anazungumzia maelewano baina ya ...

Msafiri

Msafiri ni jina la kutaja wimbo uliotungwa na kuimbwa na kundi zima la Kwanza Unit. Mashairi yake anazungumzia hali halisi ya maisha. Kutoka dhikini kwenda katika maisha ya kati. Kama jinsi ilivyo nyimbo za hip hop, humu maelezo ya harakati ni mw ...

Swear It Again

Swear It Again ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife. Wimbo huu uliotoka kama single ya kwanza kutoka katika kundi la Westlife. Ulishika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki wa Uingereza Ufalme wa Muungano,Ilifanikiwa kuuza nakala 182.000 kati ...

Tricky, Tricky

Tricky, Tricky ni jina la wimbo wa mwanamuziki wa Kijerumani Lou Bega. Wimbo ulitoka mnamo mwaka wa in 1999, kutoka katika albamu yake ya kwanza ya A Little Bit of Mambo. Wimbo ulikuwa maridhawa kwa nchi ya Marekani na Sweden, ingawa ulikuwa umep ...

Unpretty

Unpretty ni jina la kutaja wimbo uliorekodiwa na kuimbwa na kundi zima la Kimarekani TLC. Wimbo ulitayarishwa na Dallas Austin na ulitungwa ushirikiano baina ya Austin na wanakundi la TLC Tionne "T-Boz" Watkins kwa ajili ya albamu yao ya tatu ili ...

Against All Odds (Take a Look at Me Now)

Against All Odds huu ni wimbo ambao awali uliimbwa na mwanamuziki wa Kiingereza Phil Collins. Wimbo huu pia umekuwa wimbo na maudhui ya filamu ya Against All Odds, kwa mara ya kwanza wimbo huu ulitokea katika mfulilizo wa nyimbo zake wa "Agaist A ...

Fool Again

Fool Again ni wimbo kutoka katika kundi la Westlife,wimbo huu ulitoka kama single yao ya tano,Wimbo huu ukawa wimbo wa tano mfululizo kutoka kwa Westlife kufika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza. Na kuvunja rekodi ya wimbo wa u ...

Kibongo Stance

Kibongo Stance ni jina la kutaja wimbo uliombwa na kutungwa na mkusanyiko wa baadhi ya wasanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Kiwa Bizz. Wimbo hautoki katika albamu yoyote kwa vile ulikuwa wimbo wa ushirikiano wa wasanii wa Kiwalani ...

Mambo Mambo

Mambo ni single ya nne ya mwanamuziki wa Kijerumani - Lou Bega. Single inatoka katika albamu ya A Little Bit of Mambo. Imekuja kuwa kibao pekee katika chati za Single za Kifaransa ambamo ilishisha nafasi ya 11 na pia katika chati za Walloon singl ...

My Love

My Love ni moja wa wimbo wa Westlife, ulitolewa kama singo kutoka katika albamu yao ya Coast to Coast. Wimbo wa My love ndio ulikuwa wimbo wa saba kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Muziki ya uingereza. Wimbo huo ulishika nafasi ya th ...

Thank God I Found You

Thank God I Found You ni wimbo uliandikwa na mwanamuziki wa Marekani Mariah Carey akishirikiana na Jimmy Jam na Terry Lewis kwa jili ya albamu ya Carey ya sita, iliyojulikana kama Rainbow, ambayo imeotoka mwaka 1999. Katika albamu hii, inawajumui ...

Wanksta

Wanksta ni single ya pili kutoka katika albamu ya kibwagizo halisi cha filamu ya 8 Mile. Kibao kilitolewa mnamo mwaka wa 2002, wimbo, ulioimbwa na 50 Cent, ulifikia nafasi ya 13. Ulikuwa wa kwanza kutumiwa kwenye mixtape ya No Mercy, No Fear.

What Makes a Man

What Makes a Man ni wimbo wa Westlife, uliotoka kama single katika albamu yao ya Coast to Coast. Ilikuwa ni single yao ya kwanza kushindwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Muziki ya Uingereza. Hali hii ikakifanya kikundi hichi kushi ...

AM to PM

"AM to PM" ni wimbo wa dansi-pop uliorekodiwa na mwimbaji wa muziki wa R&B-pop wa Kimarekani Bi. Christina Milian. Wimbo ulitungwa na Milian, Christian Karlsson na Pontus Winnberg, na kutayarishwa na Bloodshy na Avant kwa ajili ya albamu ya k ...

Gentleman (wimbo)

Gentleman ni jina la wimbo wa mwanamuziki wa Kijerumani Lou Bega. Wimbo huu ndiyo wa kwanza kutolewa kutoka katika albamu yake ya pili ya Ladies and Gentlemen.

I Lay My Love on You

I Lay My Love on You ni moja kati ya nyimbo zilizoimbwa na kundi la Westlife, wimbo huu ulitoka rasmi mwaka 2001, katika nchi za Australia, Kusinimashariki mwa bara la Asia na katika bara la Uropa isipokuwa katika nchi za Uingereza na Ieland.

Love Dont Cost a Thing

Love Dont Cost a Thing ni single kiongozi kutoka kwa albamu ya Jennifer Lopez inayoitwa J.Lo. Ilikuwa namba 3 kwenye chati ya Billboard Hot 100, kando ya kuwa namba 1 nchini Uingereza. Lopez aliimba nyimbo hii kwa mara ya kwanza kwenye sherehe za ...

Queen of My Heart

Queen of My Heart ", Ni wimbo halisi kutoka kwa kundi la Irish kundi la wavulana la Westlife, wimbo huu ulitoka kama single iliyoongoza katika albamu yao ya World of Our Own mwaka 2001. Wimbo huu ulikuwa wimbo wa tisa kutoka kwa kundi hili kuwahi ...

When Youre Looking Like That

When Youre Looking Like That ni wimbo kutoka kwa kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Westlife. Wimbo huu ulitolewa nchini Australia, Kusini Mashariki mwa bara la Asia, Latin Amerika na katika baadhi ya maeneo ya bara la Ulaya. Mwezi wa nne wa m ...

Yataka Moyo

Yataka Moyo ni jina la wimbo wa sita upande A kutoka katika tepu ya albamu ya Machozi Jasho na Damu ya msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Professor Jay. Wimbo umetayarishwa na P. Funk ndani ya Bongo Records.

You Raise Me Up

You Raise Me Up ni wimbo maarufu wa kutia moyo. Wimbo huu uliandikwa na Secret Gardens Rolf Lovland na mashairi yaliandikwa na Brendan Graham, ambaye huyu alikua ni mwandishi maarufu wa nyimbo kutoka Jamuhuri ya Island. WImbo huu hadi sasa umekwi ...

Bop Baby

Bop Baby Ni wimbo kutoka kwa Westlife, wimbo huu ulitoka kama single mwaka 2002. Wimbo huu uliandikwa na wanakikundu wa bendi hii Shane Filan, Brian McFadden na kutayarishwa na Chris OBrien na Graham Murphy.

Obvious

Obvious ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife, ulitolewa kama single ya tatu kutoka katika albamu yao ya nne iliyojulikana kwa jina la Turnaround. Obvious Single Mix Westlife Hits Medley Flying Without Wings / My Love / Mandy

Through the Rain

Through the Rain ni wimbo wenye miondoko ya pop ulioimbwa na Mariah Carey. Wimbo huu ulitungwa na kuandaliwa na Carey akishirikiana a Lione Cole kwa ajili ya albamu ya tisa ya studio iliyoitwa Charmbracelet iliotoka mwaka. Wimbo huu ulitoka kama ...

Unbreakable

Unbreakable ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife, wimbo huu ulitoka kama single yao ya kwanza kutoka katika albamu ya Greatest Hits iyotoka mwezi Novemba mwaka 2002. Ni wimbo uliioongoza katika kutoka namba uliyokuwepo hadi kufika namba moja. Ya ...

When You Look at Me

"When You Look at Me" ni wimbo mwimbaji wa Kimarekani - Christina Milian. Wimbo huu uliandikwa na Milian, Christin Karlsson, Nina Woodford, Fredrik Odesio na Henrik Jonback, na kutayarishwa na Bloodshy a Avant kwa ajili ya albamu ya kwanza ya mwa ...

World of Our Own (wimbo)

World of Our Own ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife, wimbo huu pia ndio umebeba jina la albamu yao ya "World of Our Own". Wimbo huu ulitoka kama single mwaka 2002. Wimbo huu ulitumika katika kituo cha televisheni cha Disney Channel Original Mo ...

Aint Nobody

Aint Nobody ni kibao kikali cha mwaka wa 1983 ambacho kiliimbwa na kundi zima la Rufus & Chaka Khan. Kilitolewa kikiwa kama wimbo wa ziada katika albamu yao moja-kwa-moja ya bendi Stompin at the Savoy. Kibao hiki kilifikia nafasi ya kwanza katika ...

Bringin On the Heartbreak

Bringin On the Heartbreak ni wimbo ambao awali ulirekodiwa na bendi ya muziki wa hard rock ya Kiingereza ya Def Leppard. Ilikuwa single ya pili kutoka katika albamu yao ya mwaka wa 1981, High n Dry. Wimbo ulitungwa na wanachama watatu wa bendi: S ...

Elimu Mitaani.com

Elimu Mitaani.com ni jina la kutaja wimbo uliombwa na kutungwa na msanii wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Dknob. Wimbo unatoka katika albamu yenye jina sawa na la wimbo. Wimbo ulitayarishwa na Miikka Mwamba kupitia studio za Kokwa Records. Wimb ...

Hey Whatever

Hey Whatever ni single kutoka kwa kundi la Westlife single hii ilitoko tar. 15 Septemba 2003. Single hii ni wimbo wa ’Rainbow Zephyr’’ kutoka kwa kundi la nchini Ireland linaloimba muziki wa miondoko ya Rock. Hey Whatever Single Remix Tonight Met ...

Jana Sio Leo

Jana Sio Leo ni wimbo wa Zola D akimshirikisha Dknob na Mez B. Wimbo ulitayarishwa katika studio ya Mandugu Digital ya Dar es Salaam, ikiwa chini ya utayarishaji wake Shark na Back Stage kunako mwaka wa 2003. Wimbo umepata kushika chati kadhaa ka ...

Miss P.

Miss P. ni wimbo wa Cherish, ulitolewa ukiwa kama wimbo wa kwanza baada ya kufanya wimbo kwa mara yao ya kwanza na msanii Da Brat katika wimbo wake wa "In Luv Wit Chu". Wakaonekana kama wamevunja rekodi katika medani ya muziki, wimbo ulipata mafa ...

Niko Bize

Niko Bize ni wimbo wa Jahffarie akimshirikisha Daz Baba. Wimbo unatoka katika albamu ya Niko Bize. Wimbo ulitayarishwa na P Funk Majani wa bongo Records. Wimbo ulitoka mnamo mwaka wa 2003 ukiwa na chati kadhaa za Redio One, Clouds FM, Times FM, M ...

Tonight/Miss You Nights

Tonight "/" Miss You Nights ni wimbo kutoka kwa Westlife, Wimbo huu wa "Tonight" kwa mara ya kwanza uliandikwa na Steve MacWayne Hector na Jorgen Elofsson wakati wimbo wa "Miss You Nights" ulitengenezwa kwa mara ya kwanza na Cliff Richard na kutu ...

21 Questions

"21 Questions" ni wimbo ulioimbwa na rapa 50 Cent. Nyimbo pia imemshirikisha rapa mwingine Bw. Nate Dogg, ambaye ametia vionjo kadhaa katika nyimbo. Sana-sana katika kiitikio, lakini katika kutaja wimbo huu haitajwi kama wimbo umeimbwa na 50 Cent ...

Naughty Girl

"Naughty Girl" ni wimbo wa mwimbaji wa R&B wa Kimarekani Bi. Beyoncé Knowles. Wimbo ulitungwa na Beyoncé Knowles, Scott Storch, Robert Waller, na Angela Beyincé kwa ajili ya albamu ya kwanza ya Beyoncé ya Dangerously in Love mnamo mwaka wa. W ...

Dont Forget About Us

Dont Forget About Us ni wimbo ulioandikwa na mwimbaji wa nchini Marekani aitwaye Mariah Carey kwa kushirikiana na Jermaine Dupri, Johntá Austin pamoja na Bryan-Michael Cox. Wimbo huu ulirekodiwa na Carey kwa ajili ya kurekodi albamu yake ya studi ...

Get It Poppin

"Get It Poppin" ni wimbo wa rapa Fat Joe akimshirikisha rapa wa po - Nelly na umetoka mnamo mwaka 2005. Wimbo umetolewa ukiwa kama wimbo wa pili kutoka katika albamu yake ya All or Nothing, ya kwanza yake ilikuwa "So Much More," na kuthubutu kush ...

Juhudi za Msela

Juhudi za Msela ni jina la kutaja wimbo uliombwa na kutungwa na msanii wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Dknob. Wimbo unatoka katika albamu Bomoa Mipango. Wimbo ulitayarishwa na Jonas Kiwile kupitia studio za Midaman Records. Wimbo ulitolewa kun ...

More Than Words

More Than Words ni wimbo ulioimbwa na wanamuziki wanaoimba muziki wa midundo ya Rork wa kundi la Extreme. Mpiga gitaa katika wimbo huu anaitwa Nuno Bettencourt na sauti zimetiwa na Gary Cherone. Wimbo huu ulitoka mwaka 1990 katika albamu yao ya E ...

Shake It Off

Shake It Off ni wimbo uliondikwa na mwimbaji wa nchini Marekani Mariah Carey, kwa kuhirikiana na waandishi wengine kama vile Jermaine Dupri, Bryan-Michael Cox, Johntá Austin, na ulirekodiwa katika abamu ya kumi ya Carey, iliyojulikana kama The Em ...

So Sick

"So Sick" ni wimbo wa mwimbaji wa muziki wa R&B–pop wa Kimarekani-Ne-Yo. Wimbo ulitayarishwa na watayarishaji wa Kinorwei maarufu kama Stargate kwa ajili ya albamu ya kwanza ya In My Own Words. Wimbo huu ulitoka ukiwa kama wimbo wa pili kutok ...

Stay

"Stay" ni wimbo wa kwanza kutoka katika albamu ya Ne-Yo ya In My Own Words. Albamu imepata kumshirikisha rapa Peedi na ilitayarishwa na Ron "Neff-U" Feemstar. Video ya "Stay" ilipata kurushwa hewani na BET na VH1 kunako mwezi wa Septemba ya mwaka ...

Amazing

Amazing ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife ambao umetoka katika albamu yao ya tatu inayoitwa Face to Face. Single hii ndiyo inayongoza katika nyimbo za kundi hili kwa kupata mauzo madogo kupita single zote. Ulipata nafasi ya nne katika chati y ...

Make It Rain

"Make It Rain" ni wimbo pekee kutoka katika albamu ya Fat Joe ya Me, Myself & I. Wimbo umeshirikisha Lil Wayne, ambaye humu kaimba kiitikio tu. Wimbo umetayarishwa na mtayarishaji machachari - Scott Storch. Wimbo umebahatika kushika nafasi ya 13 ...

Sexy Love

"Sexy Love" ni wimbo wa nne na wa mwisho kutolewa kwa U.S. na ni wimbo wa pili kutolewa kimataifa kutoka kwa msanii wa muziki wa R&B na pop Ne-Yo, kutoka katika albamu ya kwanza. Wimbo huu ulipata kushika nafasi ya 7 katika chti za Billboard ...

When Youre Mad

"When Youre Mad" ni wimbo wa tatu kutoka katika albamu ya kwanza ya mwimbaji-mtunzi wa muziki wa R&B-pop wa Kimarekani Ne-Yo. Wimbo unatoka katika albamu ya In My Own Words. Wimbo ulipata kushika nafasi ya 15 katika chati za Billboard Hot 100 ...

Camera Phone

Camera Phone ni wimbo wa nne kutoka katika albamu ya tatu ya msanii wa hip hop The Game, LAX. Wimbo umemshirikisha mwimbaji wa R&B Ne-Yo. Wimbo ulitayarishwa na Cool na Dre. Umeonekana kuwa kama wimbo wa ziada kwenye toleo la albamu tu. Nchin ...

Closer

Closer ni wimbo wa mwimbaji wa muziki wa pop-R&B wa Kimarekani - Ne-Yo. Wimbo ulitayarishwa na Stargate. Wimbo ulitolewa ukiwa kama wimbo wa kwanza kutoka katika albamu yake ya tatu ya Year of the Gentleman. Ilishika nafasi ya kwanza katika U ...