ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 112

Shikamo Seye

Shikamo Seye ni jina la wimbo wa tatu kutoka katika tepu na CD baadhi ya albamu ya Gerant ya msanii wa muziki wa soukous kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Wimbo unazungumzia msichana aliyeitwa Hidaya kupotea nchii Tanza ...

Theres Got to Be a Way

Theres Got to Be a Way ni wimbo ulioandaliwa na mwimbaji Mariah Carey akishirikiana na Ric Wake na kutayarishwa na Wake kwa ajili ya albamu ya Mariah yenye jina lake mwenyewe ya Mariah Carey iliyotoka mwaka 1990. Wimbo huu ulitoka kama single ya ...

Trapped

Trapped ni wimbo wa 2Pac ambao una-husu masuala ya ukatili unaofanywa na mapolisi. Ilikuwa single kutoka katika albamu yake ya kwanza, 2Pacalypse Now. Mstari wa kwanza inaenelezea hadithi ya 2Pac jinsi anavyo-bughudhiwa na maposili, na moja kati ...

End of the Road

End of the Road ni jina la wimbo uliorekodiwa na kundi la muziki wa R&B kutoka nchini Marekani Boyz II Men kwa ajili ya kibwagizo cha filamu ya Boomerang. Wimbo umetoka mwaka wa 1992, kutungwa na kutayarishwa na Kenneth "Babyface" Edmonds, L. ...

If Its Over

If Its Over ni wimbo ulioandikwa na mwandishi wa Kiingereza ambaye pia ni mwimbaji Mariah Carey akishirikiana na Carole King na pia wimbo huu uliandaliwa na Carey mwenyewe kwa kushirikiana an Walter Afanasieff kwa ajili ya albamu ya pili ya Maria ...

Minou

Minou ni jina la kutaja wimbo uliotungwa na kuimbwa na kundi zima la Marquis Original kati ya miaka ya tisini. Wimbo ulitolewa mwaka wa 1992. Mashairi yake anamsihi mke wake wasiachana na kuwambia abadili uamuzi wake kwa amemzoea sana. Pamoja na ...

Mystic Night Move

Mystic Night Move ni jina la kutaja wimbo uliombwa na kutungwa na msanii wa muziki wa raggae kutoka nchini Ivory Coast - Alpha Blondy. Mashairi yake anazungumzia kwanini mashujaa weusi wanakufa mapema. Mstari wa kwanza anasema: Naamka asubuhi na ...

I Get Around

I Get Around ni kibao cha pili kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop, 2Pac. Kibao kinatoka katika albamu ya pili ya Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z., na kimeshirikisha msanii kama vile Shock G na Money-B wa Digital Underground, kundi ambalo lilimtambu ...

Keep Ya Head Up

Keep Ya Head Up ni jina la kutaja kibao kikali cha mwaka wa 1993, ambacho kilitolewa na msanii wa muziki wa hip hop Tupac Shakur. Kina gusia hasa masuala yanayohusiana na ukosefu wa nidhamu kwa jinsia ya kike, hasa kwa wale wakina-mama maskini - ...

Anytime You Need a Friend

Anytime You Need a Friend ni wimbo ulioandikwa na kutayarishwa na mwanamuziki wa nchini Marekani Mariah Carey akishirikiana na Walter Afanasief, ambapo wimbo huu ulirekodiwa kama wimbo katika albamu ya studio ya tatu ya mwaka 1993. ni aina ya wim ...

Cradle to the Grave

Cradle to the Grave ni kwenye Thug Life, Thug Life Volume 1. Hiki ni kibao pekee kutoka katika albamu na kufikia nafasi ya chati, kwa kushika #25 kwenye chati za Billboard Hot Rap Singles na #91 kwenye chati za Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singl ...

U.N.I.T.Y.

U.N.I.T.Y ni jina la kutaja wimbo ulioshinda Tuzo za Grammy - ambao umeimbwa na rapa/mwigizaji Queen Latifah kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1993, Black Reign. Kibao kilitolewa mnamo tarehe 6 Januari, 1994, anakemea masuala ya utovu wa nidh ...

Dear Mama

Dear Mama ni wimbo wa rap ulioimbwa na msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani, 2Pac. Wimbo ulitayarishwa na Tony Pizarro kwa ajili ya albamu ya tatu ya 2Pac Me Against the World, iliyotolewa mnamo 1995. "Dear Mama" ulitungwa na 2Pac k ...

Gangstas Paradise (wimbo)

Gangstas Paradise ni wimbo wa rap ulioimbwa na Coolio akimshirikisha L.V. Wimbo umetengenezwa ukiwa kama kibwagizo cha filamu ya Dangerous Minds. Wimbo huu baadaye ukaja kutolewa kwenye mbili tofauti. Moja Gangstas Paradise na Kibwagizo cha Dange ...

One Sweet Day

One Sweet Day ni wimbo uliorekodiwa na mwimbaji wa nchini Marekani, Mariah Carey, kwa kushirikiana na kundi la vijana wa Boys II Men. Wimb huu umeandikwa na Carey mwenyewe kwa kushirikiana na, Walter Afanasieff pamoja na kundi la Boyz II Men lina ...

Always Be My Baby

Always Be My Baby ni wimbo uliondikwa na kutayarishwa na mwanamziki anayeimba miondoko ya pop Mariah Carey akishirikiana na Jermaine Dupri pamoja na Manuel Seal. Wimbo huu ulitoka ramsi mwaka 1996, kama single ya tatu katika toleo la Marekani kut ...

Bow Down (wimbo)

Bow Down ni kibao kikuu kilichotoka katika albamu ya kwanza ya kundi zima la Westside Connection, yenye jina sawa. Wimbo umekuwa wenye mafanikio makubwa kutoka kwa kundi hili, ukishika nambari 21 kwenye chati za Billboard Hot 100, huku ikishika n ...

C U When U Get There

C U When U Get There ni wimbo wa Coolio akiwa na 40 Thevz. Wimbo mzima umechukua sampuli ya Johann Pachelbel katika tungo yake ya Canon katika D Major. Wimbo ulitolewa mnamo mwaka 1997 ukiwa kama single ya kwanza kutoka katika albamu ya Coolio My ...

Fu-Gee-La

Fu-Gee-La ni single ya kwanza kutoka katika albamu ya pili ya kundi zima la The Fugees, The Score. Wimbo, ambao ulitayarishwa na Salaam Remi, imemjulisha samupuli ya wimbo wa "If Loving You Is Wrong, I Dont Want To Be Right" wa Ramsey Lewis, na k ...

Hit Em Up

Hit Em Up ni wimbo wa kunangana uliotungwa na Tupac Shakur, akishirikiana na kundi lake la rap la Outlawz. Wimbo ni wa upande wa pili wa single ya mwaka wa 1996, "How Do U Want It". Wimbo una hoja za matusi dhidi ya marapa kadhaa wa East Coast hi ...

I Believe I Can Fly

I Believe I Can Fly ni wimbo uliotolewa mnamo mwaka wa 1996 na mwimbaji wa R&B R. Kelly. Wimbo ulitungwa, kutayarishwa, na kuimbwa na R. Kelly. Wimbo ulipata kuwepo kwenye filamu ya mwaka wa 1996 ya Space Jam. "I Believe I Can Fly" ulikuwa na ...

If I Ruled the World (Imagine That)

If I Ruled the World ni wimbo mkali wa mwaka wa 1996 kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani - Nas akimshirikisha Lauryn Hill wa The Fugees. Wimbo unatokana na ngoma kama hii ya mwaka wa 1985 ya rapa aliyekwenda kwa jina la ...

Keep On Keepin On

Keep On, Keepin On ni single ya MC Lyte akiwashirikisha Xscape kutoka katika kibwagizo cha Sunset Park. Wimbo ulitayarishwa na kusaidia utunzi na Jermaine Dupri na umechukua sampuli ya wimbo wa Michael Jackson wa 1989 "Liberian Girl". Baadaye uka ...

Kipe Kitu

Kipe Kitu ni jina la wimbo uliotungwa na kuimbwa na kundi zima la muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, G.W.M. Wimbo umetayarishwa na Bonny Luv ndani ya Mawingu Studio. Wimbo huu ulitoka mwaka 1996, wa pili kutolewa baada ya Cheza Mbali na Ka ...

Life Goes On

Life Goes On ni single ya tano ya 2Pac kutoka katika albamu ya All Eyez on Me. Wimbo ulitolewa kwa ajili ya raifiki yake aitwaye Kato. Wimbo pia unazungumzia kifo chake mwenyewe, na mazishi yake. "Life Goes On" uliingizwa kwenye Greatest Hits ya ...

Only God Can Judge Me (wimbo)

Only God Can Judge Me ni wimbo kwenye CD ya kwanza ya albamu ya All Eyez on Me ya hayati Tupac Shakur. Wimbo unamshirikisha Rappin 4-Tay na ulirekodiwa wakati Shakur ameingia mkataba na Death Row Records. Huhesabiwa na washabiki kama wimbo wa hal ...

Ready or Not

"Ready or Not" ni single ya pili kutoka kwa kundi zima la muziki wa hip hop The Fugees. Wimbo ulitoka mwaka wa 1996 kutoka katika albamu ya The Score. Wimbo umechukua sampuli ya wimbo wa "Boadicea" wa Enya, na kiitikio chake kinatokana na wimbo w ...

So Many Tears

"So Many Tears" ni jina la kutaja single kutoka, na wimbo wa nne kutoka kwenye albamu ya tatu ya msanii wa muziki wa hip hop, Tupac Shakur - Me Against the World. Wimbo unajulikana sana ukiwa kama moja kati ya vibao vya huzuni na huruma sana vya ...

Temptations

Temptations ni jina la kutaja wimbo wa rapa Tupac Shakur. Ulitolewa ukiwa kama single kutoka katika albamu yake ya Me Against the World. Wimbo ulitayarishwa na Easy Mo Bee. Wimbo uliweza kufanya vizuri chini Marekani, kwa kushika nafasi ya 68 kwe ...

Da Joint

Da Joint ilikuwa single ya kwanza kutoka katika albamu ya EPMD, Back in Business. Wimbo umetayarishwa na Erick Sermon na Rockwilder, "Da Joint" umekuwa wimbo wa pili na wa mwisho kwa EPMD kuingia kwenye chati za Billboard Hot 100, kwa kushika naf ...

Honey (Wimbo wa Mariah Carey)

Honey ni wimbo ulioandaliwa na kutungwa na mwimbaji wa Marekani Mariah Carey kwa kushirikiana na Puff Daddy, Stevie J na Q-Tip The Ummah"), na ulirekodiwa kwa ajili ya albamu ya saba ya Carey iliyoitwa Butterfly iliyotoka mwaka 1997. Wimbo huu ul ...

I Wanna Be the Only One

I Wanna Be the Only One ni jina la wimbo wa kundi la wasichana la muziki wa R&B kutoka nchini Uingereza Eternal. Huu ulikuwa wimbo wao wa tatu kutolewa kama single kutoka katika albamu yao ya Before the Rain. Mnamo mwezi Mei 1997, kundi limeu ...

My Heart Will Go On

My Heart Will Go On ni wimbo unaotoka kwa filamu ya Titanic. Ilitayarishwa na James Horner na Will Jennings na kurekodiwa na Celine Dion. Ilikuwa namba 1 kote duniani, ikiwemo nchini Marekani, Uingereza na Australia. My Heart Will Go On ilitolewa ...

Youre Still the One

Youre Still the One ni jina la kutaja wimbo uliotungwa shirika na kurekodiwa na mwimbaji wa muziki wa country kutoka nchini Kanada - Shania Twain. Wimbo ulitolewa mnamo mwezi wa Januari 1998 ukiwa kama wimbo wa tatu kutolewa kama single ya miondo ...

Don Cartagena (wimbo)

"Don Cartagena" ni wimbo kutoka katika albamu ya Fat Joe ya Don Cartagena. Wimbo umeshirikisha P. Diddy kwenye upande wa kiitikio, ambaye humu kaimba kiitikio tu. Wimbo umetayarishwa na mtayarishaji machachari - Younglord. Wimbo umebahatika kushi ...

Hard Knock Life (Ghetto Anthem)

Hard Knock Life ni single kutoka katika albamu ya tatu ya rapa wa JKimarekani, Jay-Z. Single inatoka katika albamu ya Vol. 2. Hard Knock Life. Imechukua sampuli ya wimbo wenyejina lilelile la kigwagizo cha Broadway Annie. Wimbo umetayarishwa na T ...

I Dont Want to Miss a Thing

I Dont Want to Miss a Thing ni wimbo wa aina ya power ballad ulioimbwa na bendi ya muziki wa rock kutoka nchini Marekani Aerosmith. Wimbo huu umepata kuonekana kama kibwagizo cha filamu ya Armageddon na kuingia nafasi ya kwanza kwenye chati za Bi ...

No Place That Far

No Place That Far ni wimbo wa mwanamuziki wa Marekani anayeimba nyimbo zenye miondoko ya katri anayeitwa Sara Evans ambapo pia wimbo huu upo katika albamu yake ya No Place That Far. Wimbo huu ulikuwa wimbo wake wa kwanza kuingia katika nyimbo aro ...

Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiarmenia

Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiarmenia Kiarmenia: Հայկական Սովետական Սոցիալիստական Հանրապետություն, Hajkakan Sowetakan Sozialistakan Hanrapetutjun ; Kirusi Армянская Социалистическая Советская Республика, Armjanskaja Sozialistitscheskaja So ...

Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kikazakhi

Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kikazakhi ilikuwa kati ya jamhuri wanachama 15 za Umoja wa Kisovyeti hadi mwaka 1991. Jina lake liliandikwa kwa alfabeti ya Kikirili katika lugha ya Kikazakhi: "Қазақ Советтік Социалистік Республикасы" au kwa Ki ...

Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kikirgizi

Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kikirgizi ilikuwa kati ya jamhuri wanachama 15 za Umoja wa Kisovyeti hadi 1991. Jina lake liliandikwa kwa Kikirili katika lugha ya Kikirgizi: "Кыргыз Советтик Социалисттик Республикасы". Leo hii imekuwa nchi hur ...

Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimoldova

Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimoldova ilikuwa kati ya jamhuri wanachama 15 za Umoja wa Kisovyeti hadi 1991. Jina lake liliandikwa kwa Kikirili "Република Советикэ Сочиалистэ Молдовеняскэ au kwa maandiko ya Kilatini: Republica Sovietică Soc ...

Pharos ya Aleksandria

Pharos ya Aleksandria ilikuwa mnara wa taa mjini Aleksandria ya Misri ikahesabiwa kati ya maajabu saba ya dunia. Kimo chake hakikujulikana kikamilifu lakini kilikuwa kati ya mita 110 na 150. Mnara huu ulijengwa kwenye kisiwa kidogo kilichoitwa "P ...

Sanamu ya Zeus mjini Olympia

Sanamu ya Zeus mjini Olympia ilimwonyesha mungu mkuu wa dini ya Ugiriki ya Kale. Zeus aliaminiwa kuwa baba wa miungu wa Ugiriki. Sanamu yenye kimo cha mita 12 ilimwonyesha mungu huyu akikalia kitini kama mzee mwenye hekima. Ilikaa kwenye hekalu k ...

Hidekeli

Jina la Kiswahili lina asili yake katika Kiebrania cha Biblia kinachohifadhi jina la kale kabisa cha Kiakkadi linaloendelea pia katika maumbo la jina hili kwa Kiarabu, Kituruki, Kikurdi na Kiaramu.

Uruk

, king of Uruk ilikuwa mji wa Wasumeri katika Mesopotamia ya Kale. Baadaye ilikuwa sehemu ya milki ya Babeli. Mahali pake palikuwa kando la mto Frati uliohama na kupita sasa 30 km kutoka mahali pa Uruk. Uruk ilikuwa mahali muhimu katika maendeleo ...

Thebes

Majiranukta kwenye ramani: 25°43′14″N 32°36′37″E Thebes kwa Kigiriki: Θῆβαι, Thēbai ulikuwa mji katika Misri ya Kale karibu km 800 kusini mwa Bahari ya Mediteranea. Ilianza karibu na mji wa kisasa wa Luxor ikaendelea pia kwenye ukingo wa magharib ...

Pergamon

Pergamon ilikuwa mji wa Ugiriki ya Kale kwenye pwani ya magharibi ya Asia Ndogo katika Uturuki ya leo. Leo hii huko mji wa Bergama takriban kilomita 80 kaskazini ya Izmir. Wakati wa karne ya 3 na ya 2 kabla ya Kristo Pergamon ilikuwa mji mkuu wa ...

Plataia

Plataia au Plataea ulikuwa mji wa Ugiriki ya Kale, ulioko Ugiriki kusini, takriban kilomita 60 upande wa magharibi mwa Athens, kusini mwa Thebes. Plataia ilikuwa mji rafiki wa Athens na katika vita dhidi ya Waajemi jeshi la Plataia lilipigana pam ...

Sanamu ya Kolossos kisiwani Rhodos

Sanamu ya Kolossos kwenye kisiwa cha Rhodos ilikuwa kati ya maajabu saba ya dunia ya kale. Kolossos ilikuwa mnara wa taa mwenye umbo la sanamu ya mtu aliyesimama kwenye mlango wa bandari na kushika moto kama mwenge. Kazi ya sanamu ilikuwa kueleke ...