ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 113

Ch

Ch ni alama ya tatu katika alfabeti ya Kiswahili cha kisasa inayofuata menginevyo utaratibu wa alfabeti ya Kilatini. Ch ni maungano ya herufi mbili za Kilatini ambazo hutazamiwa kama herufi moja katika mwandiko wa Kiswahili. Kilatini chenyewe hak ...

D

Kati ya namba za Kiroma D ni alama ya 500. Katika shule za nchi mbalimbali D ni maksi ya duni ya kupita. katika muziki D ni noti. katika ya vipimo sanifu vya kimataifa "d" ni alama ya siku dies - day Kwa magari D ni alama ya gari kutoka Ujerumani.

E

Katika shule za nchi mbalimbali E ni maksi ya duni inayoonyesha mtu ameshindwa mtihani. Kwa magari E ni alama ya kimataifa ya gari kutoka Hispania "Espana". katika muziki E ni noti. *katika fizikia E ni alama ya kiwango cha nishati E=mc 2.

F

F ni herufi ya 6 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni alama ya Digamma katika alfabeti ya Kigiriki ya kale.

G

Alama ya G ilianzishwa katika alfabeti ya Kilatini kama badiliko la herufi C. Asili ya herufi G ni pamoja na C katika miandiko iliyotangulia alfabeti ya Kilatini. Waroma walipokea mwandiko kutoka alfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti za Kiitalia ...

H

kati ya vipimo sanifu vya kimataifa "h" ni alama ya saa kilat. hora - kiing. hour katika muziki H ni noti. Kwa magari H ni alama ya gari kutoka Hungaria. Katika kemia H ni alama ya elementi ya hidrojeni.

J

Historia ya herufi J ni pamoja na I. Asili ya alama ni picha andishi iliyoonyesha mkono. Wafinisia walikuwa rahisihsa alama hiyo na kuiita kwa neno lao la mkono "yad" au: yod. Wakaitumia kama alama ya sauti "y" na pia ya "i" ndefu. Wagiriki wakai ...

K

Katika Kemia K ni alama ya elementi ya Kali kwenye gari K ni alama ya mimataifa kwa magari kutoka Kambodia kati ya vipimo sanifu vya kimataifa K ni alama ya Kelvini kiwango cha halijoto

Q

Q ni herufi ya 17 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia alfabeti ya Kiswahili. Haitumiki katika mwandishi wa maneno ya Kiswahili isipokuwa kwa maneno ya kigeni. Hapo sauti yake huwa ni "k". Hutokea mara nyingi pamoja na "u" kama Qu kwa sauti ...

R

Asili ya herufi R ni miandiko iliyotangulia alfabeti ya Kilatini. Waroma walipokea mwandiko kutoka alfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama Kietruski. Wagiriki walipokea kutoka Wafinisia. Wafinisia walikuwa na alama ya "res ...

S

Asili ya herufi S ni miandiko iliyotangulia alfabeti ya Kilatini. Waroma walipokea mwandiko kutoka alfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama Kietruski. Wagiriki walipokea kutoka Wafinisia. Wafinisia walikuwa na alama ya "shi ...

T

Tâw ilikuwa herufi ya mwisho katika alfabeti ua Wasemiti wa kale. Alama yake ilikuwa msalaba. Wagiriki walipopokea alama za Wafinisia waliiita alama Tau na kusukuma mstari wa kulala juu hadi mwanzo wa mstari wa kusimama. Waetruski na Waroma wa Ka ...

U

Historia ya U ina asili za pamoja na V, W, Y na F. Historia hii ni ngumu kidogo kwa sababu alama ilipita katika alfabeti za lugha ambazo zilitumia hasa alama hii kwa sauti tofautitofauti. Kwa sababu hii matamshi yalibadilika kati ya lugha na lugh ...

V

katika kemia V ni alama ya elementi vanadi. Kati ya namba za Kiroma V ni alama ya namba 5. kama alama ya mkono V ya vidole viwili ni alama ya ushindi "victory" Kwa magari V ni alama ya gari kutoka Vatikani. Kati ya Vipimo sanifu vya kimataifa V n ...

W

katika kemia W ni alama ya elementi Wolframi. Kati ya vipimo sanifu vya kimataifa W ni alama ya watt. katika jiografia W hutumiwa mara nyingi kama kifupi cha upande wa magharibi "west".

X

X ni herufi ya 24 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni piamalfabeti ya Kiswahili. Sauti yake ni "ks". Haitumiki katika mwandishi wa maneno ya Kiswahili isipokuwa kwa maneno ya kigeni. Kati ya namba za Kiroma X humaaaisha namba 10.

Y

Historia ya Y ina asili za pamoja na U, W, V na F. Historia hii ni ngumu kidogo kwa sababu alama ilipita katika alfabeti za lugha ambazo zilitumia hasa alama hii kwa sauti tofautitofauti. Kwa sababu hii matamshi yalibadilika kati ya lugha na lugh ...

Algae

Algae ni jina la kundi kubwa la viumbehai vidogo kati ya protista sana vinavyofanana na mimea. Zina uwezo wa kujilisha kwa njia ya usanisinuru yaani hutengeneza chakula chao kwa msaada wa mwanga wa jua. Kuna aina nyingi sana za algae nyingine zin ...

Dentini

Dentini ni jina la aina ya mfupa wa pekee unaojenga sehemu kubwa ya jino. Kwa kawaida hufunikwa kwa enameli ya jino upande wa kichwa cha jino au tajino na simiti kwenye sehemu ya kizizi cha jino.

Enameli ya jino

Enameli ya jino ni sehemu ya jino inayoonekana tukifungua kinywa. Ni dutu ya ufupa mgumu sana inayofunika na kulinda kichwa cha jino au tajino. Enameli hii inapatikana kwa meno ya binadamu na wanyama wengi pamoja na samaki kadhaa. Enameli inaweza ...

Fofota

Fofota ni sehemu ya ndani ya jino. Inafanywa na tishu laini na seli hai, hasa neva na mishipa ya damu. Inaenea katika uwazi uliopo katika dentini ya jino. Kama enameli ya jino na dentini ina kitundu basi fofota inaathiriwa moja kwa moja na baridi ...

Kaakaa

Kaakaa ni sehemu ya juu ya kinywa, iwe ile inayotenganisha eneo la kutamkia sauti nazali na sauti nyingine ufizi juu unaoitwa pia ufizi kaakaa. ile iliyopo kati ya fizi na uwazi wa pua, au Hiyo ya pili inatofautishwa tena kati ya kaakaa laini amb ...

Kinywa

Kinywa au mdomo ni uwazi ndani ya kichwa mwenye shughuli tofauti kwa binadamu na wanyama wengi wenye uti wa mgongo. ni mahali pa kutokea kwa sauti ambako sauti inayotengenezwa kooni inapokea umbo lake kwa msaada wa ulimi na midomo hivyo ni sehemu ...

Kizizi cha jino

Kizizi cha jino ni sehemu ya jino iliyopo chini ya kichwa cha jino au tajino. Kizizi kinashika jino katika taya. Kizizi hufunikwa kwa sementi ya jino na kinajengwa kwa dentini ambayo ni aina ya mfupa. Kwa kawaida vizizi vya jino vinaishia kwenye ...

Machonge

Machonge ni meno ambayo yamechongoka na yenye uwezo mkubwa wa kusaga chakula kama nyama na vyakula vingine. Wanyama tofauti hutumia meno hayO kwa ajili ya kujilinda, kula na vinginevyo. Wanyama hao ni kama: mbwa, paka, simba, chui na wengineo.

Meno

Meno ni viungo vya mwili vilivyopo kinywani vyenye kazi ya kutafuna yaani kumega chakula. Meno hupatikana kwa vertebrata wanyama wenye uti wa mgongo. Nje ya kutafuna chakula hutumiwa pia kama silaha za kujilinda au kushambulia wanyama wengine. Wa ...

Sementi ya meno

Sementi ya jino ni dutu inayofanana na aina ya mfupa na kufunika uso wa dentini ya kizizi cha jino. Ni ganda jembamba linalotunza dentini na kuishika katika ufizi wa meno na kitundu cha taya. Sementi hii inafanywa hasa kwa kampaundi ya kalisi ina ...

Shavu la mkono

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Shavu na Mashavu Shavu la mkono kwa Kilatini na Kiingereza: biceps ni musuli wa kilimbili, sehemu ya juu ya mkono katikati ya kiko na bega.

Ufizi wa meno

Ufizi wa meno ni tishu laini inayofunika mataya ndani ya kinywa. Inaziba hasa nafasi kati ya kizizi cha jino na kitundu cha taya. Tofauti na tishu laini ya midomo na mashavu, ufizi unashikana na mfupa wa mataya chini yake. Ufizi ulio mzima unaony ...

Vitundu vya mataya

Vitundu vya mataya ni nafasi katika mataya zinazoshika vizizi vya meno. Pamoja na sementi ya meno na ufizi wa meno vitundu hivi ni sehemu ya mfumo unaoshika jino mahali pake tayani.

Buganivilia

Buganivilia ni jenasi ya mimea inayotoa maua yenye asili yake katika Bara la Amerika ya Kusini kuanzia Brazili na kusonga magharibi kuelekea Peru na kusini hadi Argentina kusini. Mimea hii ina maua meupe madogo. Sehemu za mimea zenye rangi kali s ...

Kitunguu

Kitunguu ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa kila mahali pa dunia. Spishi A. cepa haitokei porini. Spishi za pori yenye nasaba ya karibu sana ni A. vavilovii na A. asarense.

Kitunguu maji

Kitunguu maji ni aina ya tunguu kama vitunguu vingine, kwa mfano kitunguu saumu. Kitunguu maji kitiba nacho kina uwezo wa kutibu maradhi arobaini 40, miongoni mwa maradhi hayo ni joto la mwili kwa ujumla na mbegu za uzazi zilizokuwa za moto.

Kitunguu saumu

Kitunguu saumu au kitunguu thumu ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa mahali pengi duniani. Hata kama" sativum” inamaanisha" ya pori”, mimea ya spishi hii ambayo inamea porini inatokana na mashamba na bustani. Jamaa yake ya pori ni A. long ...

Maharagwe

Maharagwe ni mbegu za mimea mbalimbali kutoka familia ya Fabaceae lakini mara nyingi sana Phaseolus vulgaris. Mbegu hizi ni zao muhimu la chakula zinazolimwa kote duniani. Kuna spishi mbalimbali zinazojumlisha kati ya mazao ya jamii kunde. Mara n ...

Mbaazi (mmea)

Mbaazi ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Mbegu zake huitwa mbaazi pia. Mmea huu hukuzwa sana katika maeneo makavu ya tropiki na nusutropiki.

Mbamia

Mbamia au mbinda ni kichaka ambacho matunda yake huliwa sana katika kanda za tropiki, mara nyingi kama supu yenye kuteleza.

Mbaruti

Mbaruti au mtunguja bonde ni aina ya mpopi iliyo na maua njano na majani yenye miiba. Mmea huu hutumika katika uganga wa kienyeji, lakini umevamia Afrika kutoka Mexiko na sikuhizi unaletea mashamba shida nyingi.

Mbei

Laurus, Mbei Laurel Laurus novocanariensis, Mbei wa Visiwa vya Kanari Canary Island Laurel Laurus nobilis, Mbei wa Kawaida Bay Laurel Laurus azorica, Mbei wa Azores Laurel

Mbigili

Mbigili ni aina ya mmea ya familia Zygophyllaceae inayotambaa ardhini na ambayo matunda yake yana miiba kali inayoweza kutoboa magurudumu ya baisikeli na kuumiza miguu sana. Hutumika kama mboga hususani na wakazi wa pwani.

Mbiringani

Mbiringani, mbilingani au mbilinganya hupandwa sana katika panda za tropiki na nusutropiki au ndani ya nyumba za vioo katika nchi za baridi. Matunda yake, mabiringani, ni meusi-zambarau, pengine kijani au kijani na zambarau.

Mbuyu

Kwa maana tofauti ya jina hili angalia hapa Mbuyu Mbuyu Adansonia digitata ni mti mkubwa wa ukanda wa tropiki. Matunda yake yanaitwa mabuyu, gamba la tunda linaitwa kibuyu na ubuyu ni nyama ya tunda.

Mbwanda

Mbwanda, mbwende au mkwende ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Mbegu zake, zinazoitwa bwanda au bwende, zinakua ndani ya makaka yanayofanana na upanga. Hata makaka huitwa bwanda. Spishi nyingine za jenasi Canavalia ...

Mchai

Mchai ni kichaka ambacho majani, na pengine matawi, yake hutumika kutengeneza chai. Spishi hii inatoka Asia ya Mashariki, ya Kusini-Mashariki na ya Kusini, lakini sikuhizi hupandwa mahali pengi pa kanda tropiki na nusutropiki.

Mchaichai

Mchaichai ni jina la nyasi za nusufamilia Andropogoneae. Majani yake yana harufu na ladha ya limau, kwa hiyo hunywewa kama chai, yakiwa peke yake au kama mchanganyiko na majani ya chai. Lakini spishi kadhaa, kama mchaichai fukuza-mbu, hazinyweka. ...

Mchekwa

Michekwa ni vichaka au miti ya familia Fabaceae na kuna zaidi ya spishi 500. Jina hili hutumika kwa Piliostigma thonningii pia lakini spishi hii ina majina mengi mengine. Michekwa inatokea misituni kwa kanda za tropiki za Afrika, Amerika na Asia ...

Mdumu mwitu

Midumu-mwitu ni mimea inayokula wadudu kwa kutumia mtego kwa umbo wa kikombe kirefu au mdumu wenye maji ndani. Mimea hii ni wana wa familia mbili: Nepenthaceae au midumu-mwitu ya Dunia ya Kale na Sarraceniaceae au midumu-mwitu ya Dunia Mpya. Imed ...

Mfenesi

Mfenesi ni mti wa familia Moraceae. Tunda lake huitwa fenesi na ni tunda la mti lililo kubwa kabisa kuliko matunda ya mti yote hadi kg 36 na sm 90x20. Hata hivyo, mti mmoja unaweza kuzaa matunda 100 hadi 200 kwa mwaka. Mbao za mti huo ni nzuri kw ...

Mfuu

Mifuu ni miti ya jenasi Vitex katika familia) Lamiaceae. Spishi nyingine huitwa mbwanga, mgege, msasati, mtalali au mvumba. Jenasi hiyo ina spishi takriban 250 na kati ya hizo kadhaa zinatokea Afrika ya Mashariki. Matunda yake yalikayo huitwa maf ...

Mgobi

Mgobi, mgarara au mgwana ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Spishi hii inafanana na mbwanda lakini inamea karibu na ufuko katika mchanga takriban safi. Maua ni pinki na makaka ni mafupi na mapana zaidi. Mbegu zake ...