ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 114

Mwembe wa Kalimantan

Mwembe wa Kalimantan au kienyeji unajulikana kama Kasturi ni tunda la mti wa matunda ya msimu wa joto, wenye urefu wa takribani mita 10–30, unapatikana kwenye eneo dogo la Banjarmasin, Kusini mwa Borneo. Siku hizi miti hii imeadimika sehemu za po ...

Mwingasiafu

Mwingasiafu ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Huitwa mpupu pia lakini tafadhali jina hili litengewe Mucuna pruriens. Spishi hii hufananishwa mara nyingi na mbwanda lakini maua ni pinki na makaka ni marefu sana. Ma ...

Roeperocharis

Roeperocharis ni jenasi ya mimea itoayo maua kutoka familia ya okidi, Orchidaceae, yenye asili ya mashariki mwa Afrika. Spishi zinazotambulika kwenye jenasi hii tangu Juni 2014 ni zifuatazo: Roeperocharis alcicornis Kraenzl. katika HGReichenbach ...

Roeperocharis bennettiana

Roeperocharis bennettiana ni spishi ya okidi ya nchi kavu yenye asili ya Afrika Mashariki. Ni moja ya spishi 4 za jenasi Roeperocharis ambazo zinajulikana hadi mwaka 2014. Aina hii ya okidi imeripotiwa kukua kwenye uoto wa misitu, mbuga na nyanda ...

Amfibia

Amfibia ni kundi la wanyama wenye uti wa mgongo na damu baridi ambao wanaanza maisha kwenye maji na baada ya kupita metamofosi wanaweza kuendelea kwenye nchi kavu katika kipindi cha pili cha maisha yao. Vyura, salamanda na nyoka wanafiki wamo kat ...

Anakonda

Anakonda ni nyoka wakubwa sana wa jenasi Eunectes katika familia Boidae. Anakonda kwa umbile ni mkubwa zaidi ya chatu lakini wanafanana katika kutafuta mawindo yao kwani wote huvizia viumbehai wengine wapite katika mazingira yao kwa karibu na kuw ...

Arakinida

Arakinida ni ngeli ya wanyama wasio na utimgongo. Kiasi wanafana na wadudu lakini wana miguu nane badala ya sita. Katika uainishaji wa kisayansi wamepangwa kama oda kati ya arithropoda. Aina kati yao zinazojulikana zaidi ni buibui pamoja na nge n ...

Arithropodi

Arthropodi ni kundi kubwa la wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo. Mifano ni wadudu, nge, buibui au kaa. Katika uainishaji wa kisayansi wamejumlishwa katika faila ya Arthropoda. Wote huwa na kiunzi cha nje kin ...

Baisani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Baisani kutoka Kiing.: bison, Kisayansi: Bison ni jenasi ya wanyama wakubwa wa Amerika na Ulaya wanaofanana na ngombe.

Balabala (mjusi)

Balabala ni spishi za mijusi za nusufamilia Agaminae katika familia Agamidae. Mijusi hawa ni wadogo hadi wakubwa kiasi na wana miguu yenye nguvu na mkia mrefu. Katika spishi nyingi madume wana rangi kali, kama nyekundu, machungwa na buluu, lakini ...

Birisi

Birisi ni nyoka wasio na sumu wa familia Typhlopidae. Kwa lugha nyingine huitwa" nyoka vipofu” mara nyingi, kwa sababu hawana macho au macho yamepunguka mpaka madoa meusi yanayoweza kulinganua nuru na giza tu. Spishi moja, birisi tingatinga, imea ...

Black mamba

Black mamba ni aina ya nyoka mwenye sumu kali sana, mwanachama wa familia ya Elapidae asili ya sehemu za Afrika, Kusini kwa jangwa la Sahara. Ni nyoka wa pili mwenye sumu kali baada ya swila mfalme. Kwanza kuelezewa rasmi na Albert Günther mnamo ...

Bocho (Lophiiformes)

Mabocho ni spishi za samaki washawishi wa baharini wa oda Lophiiformes wanaopatikana katika bahari zote. Samaki hawa wanaishi kwenye sakafu ya bahari kwa kina cha m 40 hadi zaidi ya m 3.000. Spishi kadhaa za Afrika ya Mashariki zinaitwa chura-bah ...

Bocho (Scorpaeniformes)

Mabocho ni spishi za samaki za familia 15 za nusuoda Scorpaenoidei katika oda Scorpaeniformes zinazopatikana katika bahari zote za dunia na pengine katika maji baridi. Spishi za familia Plectrogeniidae na Triglidae huitwa mnuvi kama spishi za nus ...

Chakonokono

Chakonokono ni spishi za nyoka za jenasi Duberria katika familia Lamprophiidae. Wamepewa jina hili kwa sababu hula konokono. Nyoka hawa ni wafupi. Majike yanaweza kufika sm 45 lakini urefu wa wastani ni sm 25 na 35. Kichwa ni kifupi sana na hata ...

Chamayai

Chamayai ni spishi za nyoka wasio na sumu wa jenasi Dasypeltis katika familia Colubridae. Spishi zote zinapatikana katika Afrika. Nyoka hawa sio warefu sana, kwa wastani sm 50-80 lakini kadhaa wanaweza kufika m 1.15. Rangi yao ni nyeusi, kijivu, ...

Chapanya

Chapanya ni spishi ya nyoka pekee ya jenasi Pseudaspis katika familia Lamprophiidae. Anaitwa jina hili kwa sababu hula panya. Spishi hii ni mrefu kiasi, kwa wastani m 1-1.3 lakini hadi m 1.8. Kichwa ni kidogo chenye pua fupi na bapa. Waliokomaa w ...

Chata

Chata ni nyoka wasio na sumu wa jenasi Boaedon na Lamprophis katika familia Lamprophiidae. Nyoka hawa ni warefu kiasi, sm 150 kwa kipeo lakini kwa wastani majike ni sm 60-100 na madume sm 40-70. Wana mkia mrefu kiasi, kichwa kwa umbo wa pembetatu ...

Chatu

Chatu ni spishi za nyoka katika jenasi Python wa familia Pythonidae. Kwa sababu hawana sumu lazima waue mawindo yao kwa njia nyingine. Kwa hivyo huzongamea mwili wao kuzunguka kidari cha mawindo kisha kubana kwa nguvu ili kuzuia mawindo asipumue ...

Cherero

Cherero ni ndege wa jenasi Agapornis katika familia Psittacidae. Ndege hawa ni aina ya kasuku wadogo na wana rangi kali. Mkia wao ni mfupi kuliko kasuku wengine lakini kama hawa miguu yao ina vidole viwili vikabilivyo mbele na viwili vikabilivyo ...

Cherimiyo

Cherimiyo ni ndege wadogo wa jenasi Bias na Megabyas katika familia Platysteiridae wanaotokea Afrika kusini kwa Sahara. Zamani waliainishwa katika familia Muscicapidae. Labda Bias ina mnasaba zaidi na milali. Kila jenasi ina spishi moja tu. Dume ...

Choroa

Choroa ni wanyamapori wakubwa wa jenasi Addax na Oryx katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi O. beisa callotis, nususpishi O. b. beisa ilikuwa ikiitwa bara bara. Siku hizi spishi zote za Oryx huitwa choroa. Wanatoke ...

Chui milia

Chui milia ni mnyama mkubwa mlanyama wa familia ya Felidae katika ngeli ya mamalia, kwa hiyo chui milia hufanana na paka mkubwa. Chui milia wanaishi katika Asia katika pembetatu kati ya Uhindi, Siberia ya kusini na Indonesia. Mazingira wanayoende ...

Dagaa

Dagaa ni jina la kawaida la samaki wa oda Clupeiformes isipokuwa spishi za familia Chirocentridae. Spishi nyingi zina majina mengine pia, kama vile kapenta, kerenge, lumbu, mbarata, mwatiko, ndakala, pata, pawali, simu, uono na usipa. Spishi kadh ...

Digidigi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Digidigi ni wanyamapori wadogo wa jenasi Madoqua katika familia Bovidae. Wanyama hawa ni miongoni mwa wanyama wadogo kabisa wa Bovidae kimo sm 30–40 begani, urefu sm 50–70 na uzito kg 3–6. Wanatokea savana kavu ...

Dinosauri

Dinosauri ni jina la kundi la reptilia wakubwa sana walioishi duniani miaka milioni kadhaa iliyopita. Wataalamu huamini ya kwamba dinosauri walitokea miaka milioni 230 iliyopita wakatoweka ghafla miaka 65 iliyopita. Ndege hutazamwa kuwa katika na ...

Domobeleshi

Domobeleshi ni nyoka wasio na sumu wa jenasi Prosymna katika familia Lamprophiidae. Wamepewa jina hili kwa sababu hutumia domo lao kwa kuchimba kama beleshi. Nyoka hawa ni wafupi, sm 45 kwa kipeo lakini sm 25-35 kwa kawaida. Rangi yao ni kijivu a ...

Dondoo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Dondoo, dondoro au isha ni wanyamapori wadogo wa jenasi Raphicerus katika familia Bovidae wenye masikio makubwa. Wana rangi ya mchanga inayoelekea nyekundu na mara nyingi madoa au milima nyeupe. Madume wana pem ...

Fisi

Fisi, ijapokuwa wanafanana kiasi na canids, hutengeneza familia tofauti kabisa ya kibiolojia inayofanana kwa karibu kabisa na Herpestidae, hivyo kuangukia kwenye Feliformia. Spishi zote wana mwendo mithili ya dubu, kumpakakana na miguu yao ya mbe ...

Fisi madoa

Fisi madoa ni mmoja wa spishi za fisi ambao ni wanyama wanaokula mizoga yaani wanyama waliokufa au walioachwa na wanyama wala nyama, kwa mfano simba au chui. Fisi madoa pia ni wawindaji wazuri ambao wanaweza kujitafutia kitoweo chao wenyewe badal ...

Gambamiti

Gambamiti ni spishi za nyoka wa jenasi Hemirhagerrhis katika familia Lamprophiidae. Mchana hupanda miti na vichaka ambapo huwinda mijusi na kula mayai yao. Juu ya gome la mti hawaonekani vizuri kwa ajili ya muungano wa rangi, madoa na milia. Chon ...

Gonda

Magonda ni mijusi-islam wa jenasi Trachylepis katika familia Scincidae. Spishi hizi ni mijusi-islam wa kimsingi wenye kope zinazoweza kusogea, matundu ya masikio yanayoonekana vizuri na mkia mrefu kuliko mwili. Miguu imekua vizuri na inabeba vido ...

Guguye

Guguye, mabocho au mashinda-dovu ni spishi za samaki washawishi wa baharini wa familia Lophiidae katika oda Lophiiformes wanaopatikana katika Bahari ya Aktiki, ya Atlantiki, ya Hindi na ya Pasifiki. Samaki hawa wanaishi kwenye mchanga au matope y ...

Guruguru (familia)

Guruguru ni mijusi wa familia Gerrhosauridae walio na magamba magumu mgongoni. Mbavuni wana kunyanzi la ngozi kwa urefu mzima wa mwili. Mwongoni mwa mijusi hawa kuna spishi kubwa kabisa za Afrika: hadi sm 75. Lakini nyingi ni sm 30-45. Mkia wa sp ...

Guruguru (nusufamilia)

Guruguru, kwa fasiri nyembamba, ni mijusi wa nusufamilia Gerrhosaurinae katika familia Gerrhosauridae. Spishi za nusufamilia nyingine, Zonosaurinae, zinaitwa guruguru-visiwa. Mijusi hawa wana magamba magumu mgongoni. Mbavuni wana kunyanzi la ngoz ...

Haidra (mnyama)

Haidra au hidra ni wanyama wasio na uti, mwenye tabaka mbili za seli za mwili. Wanaishi katika maji safi. Mwili wao ni kama mwale. Wana kama mfuko katika miili yao ambayo hutumika kwa wote kuchukua chakula na kuondosha taka. Haidra ni wanyama-upu ...

Hanithi

Hanithi, hanisi au mkizi ni samaki wa baharini wa jenasi Elops katika familia Elopidae. Jina la Kiingereza," tenpounder”, ni kioja kwa sababu uzito wa kipeo wa samaki hawa ni kg 10. Hanithi ni samaki wakazi wa pwani yanayopatikana katika maeneo y ...

Joka wa Komodo

Joka wa Komodo ni spishi kubwa kushinda mijusi wote. Joka wa Komodo anatokea visiwa vya Komodo, Rinca, Gili Motang na Flores katika Indonesia.

Kaangao

Tachypleus gigas, Kaangao Mkubwa - Asia ya Kusini na ya Kusini Mashariki Carcinoscorpius rotundicauda, Kaangao-misitubahari Mangrove Horseshoe Crab - Asia ya Kusini Mashariki Limulus polyphemus, Kaangao wa Atlantiki Atlantic Horseshoe Crab - pwan ...

Kakakuona

Kakakuona ni wanyama wa familia Manidae ambao wamepambika na magamba na wana mkia mrefu. Wakitaka kujikinga dhidi ya wanyama mbuai wanajikunja. Huishi katika shimo la kina cha hadi mita 3.5 au katika mti mvungu. Hula mchwa na sisimizi na pengine ...

Kangaja

Kangaja au vinuka ni samaki wa baharini wa jenasi Acanthurus, Ctenochaetus na Prionurus katika familia Acanthuridae wa oda Perciformes ambao wana rangi kali na jozi ya miiba kwa umbo la vijembe, mmoja kwa kila upande wa msingi wa mkia. Spishi ful ...

Kasa

Kasa ni aina za makobe wakubwa kiasi wanaoishi baharini. Hutaga mayai yao katika mchanga wa fuko za kanda za tropiki na nusutropiki. Kama makobe wote kiwiliwili cha kasa kimefunikwa kwa gamba gumu liitwalo galili, lakini hawawezi kuvuta kichwa na ...

Kindi (mnyama)

Kindi ni wanyama wadogo wa familia Sciuridae. Spishi nyingine huitwa kidiri au kuchakulo. Wanatokea Amerika, Ulaya, Asia na Afrika na wamewasilishwa katika Australia. Takriban spishi zote huishi mitini, lakini kuchakulo huishi ardhini. Mkia wa ki ...

Kinyamadege

Kinyamadege au domobata ni mamalia wa Australia aliye na mdomo wa bata, miguu yenye utando kati vidole kama ile ya fisi-maji na mkia kama biva. Ni moja ya spishi tano za mamalia wanaotaga mayai, lakini ananyonyesha watoto wake kama mamalia wote w ...

Kipiri

Vipiri au vifutu ni spishi za nyoka wenye sumu katika familia Viperidae. Spishi nyingine huitwa bafe au moma pia. Nyoka hawa sio warefu sana lakini wanene kwa kulinganisha na nyoka wengine na wana kichwa kipana kwa umbo wa pembetatu na mkia mfupi ...

Kisukari (samaki)

Visukari au haluwa ni samaki wadogo hadi wastani wa baharini wa jenasi Ariomma, jenasi pekee ya familia Ariommatidae katika oda Perciformes, wanaotokea maji ya kina kikubwa. Pezimgongo la visukari limegawanyika katika mapezi mawili. Lile la mbele ...

Kitomo

Vitomo, vyelwende, vitatange, vitogoo au vitubaku ni samaki wa baharini wa jenasi Paracanthurus na Zebrasoma katika familia Acanthuridae wa oda Perciformes ambao wanafanana na kangaja lakini wana pezimgongo na pezimkundu makubwa kama tanga.

Kizambarau

Vizambarau ni nyoka wenye sumu wa jenasi Amblyodipsas katika familia Lamprophiidae. Asili ya jina lao ni rangi yao. Nyoka hawa ni warefu kiasi, zaidi m moja kwa kipeo lakini chini ya sm 60 kwa kawaida. Rangi yao ni nyeusi, kijivu au kahawia yenye ...

Kizurizuri

Kizurizuri ni samaki wa maji baridi wa nusufamilia Petrocephalinae katika familia Mormyridae na ngeli Actinopterygii ambao wanatokea Afrika tu. Nusufamilia hii ina jenasi moja, Petrocephalus, yenye spishi 46. Spishi hizi hazina pua ndefu na mdomo ...

Kobe

Makobe ni wanyama wadogo hadi wakubwa wa oda Testudines katika ngeli Reptilia. Spishi zinazoishi baharini huitwa kasa. Kiwiliwili chao kimefunikwa kwa gamba gumu liitwalo galili. Kwa kawaida galili hii ni yabisi, lakini kuna spishi zilizo na gali ...