ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 116

Mbuni wa Kawaida

Mbuni wa Kawaida ni ndege wakubwa wasioruka wa familia Struthionidae wenye asili ya bara la Afrika. Mbuni wa kawaida wako katika ngeli ndogo ya Palaeognathae pamoja na ndege wengine kama Kiwi na Emu. Ndege hawa wenye shingo na miguu mirefu huweza ...

Mdudu-ute

Wadudu-ute ni viumbehai vinavyofanana na nyungunyungu wafupi na wanene. Wana mnasaba na vidudu-dubu na arithropodi. Jina lao linarejea uwezo wao wa kurushia ute katika vitundu viwili vya matezi nyuma ya mdomo ili kujitetea au kukamata mawindo. Mw ...

Menofisi

Menofisi ni spishi za nyoka za jenasi Lycophidion katika familia Lamprophiidae. Jina lao linatoka kwa nususi kwamba meno yao ni marefu na yamepindika nyuma. Nyoka hawa ni wafupi. Majike ya spishi kadhaa yanaweza kufika sm 60 lakini madume ni wafu ...

Mesopropithecus

Mesopropithecus ni jenasi ya lemuri aliyewahi kuishi Madagaska; alikuwa mkubwa zaidi kuliko komba yeyote kati ya hawa walio hai leo. Waligawanyika katika spishi tatu: M. dolichobrachion, M. globiceps na M. pithecoides. Mesopropithecus pamoja na P ...

Mhanga

Mhanga ni mnyama wa Afrika aliye spishi pekee ya oda Tubulidentata ambayo inaishi hadi sasa. Wanatokea pande nyingi za Afrika kusini kwa Sahara. Wahanga hula sisimizi na mchwa.

Mhanganungu

Wahanganungu au ekidna ni wanyama wa familia Tachyglossidae katika oda Monotremata wanaofanana na kalunguyeye. Wanatokea Australia na Nyugini. Wanyama hawa pamoja na kinyamadege ni mamalia pekee wanaobaki ambao bado wanataga mayai. Lakini kinyume ...

Mjusi

Mijusi ni wanyama watambaachi katika oda Squamata ya ngeli Reptilia. Spishi nyingi sana zina miguu minne, lakini kuna spishi nyingine zilizopoteza miguu miwili au miguu yote. Urefu wa mijusi unaanzia kutoka sm kadhaa hadi m 3. Mijusi hula nyama, ...

Mjusi-islam

Mijusi-islam ni mijusi wa familia Scincidae walio na ngozi laini inayongaa. Spishi za jenasi Trachylepis huitwa magonda pia. Miguu ya mijusi hawa ni mifupi kwa kawaida na spishi nyingi zina miguu iliyopunguka au hazina miguu. Spishi hizi husongea ...

Mjusi-kafiri

Mijusi-kafiri ni mijusi wa oda ya chini Gekkota wasio na kope na wanaokiakia usiku. Spishi zinazoishi katika nyumba za watu huitwa nikwata pia. Mijusi hawa ni kundi lenye spishi nyingi kuliko makundi mengine: takriban spishi 1500, nyingi katika A ...

Mjusi-kafiri mchana

Mijusi-kafiri mchana ni mijusi wa jenasi Phelsuma katika familia Gekkonidae. Kinyume na spishi nyingine za mijusi-kafiri, ambazo hukiakia usiku, spishi hizi hukiakia mchana. Katika Unguja na Pemba spishi za huko huitwa mijusi wa mnazi pia, kwa sa ...

Mjusi-kafiri vidole-vinene

Mijusi-kafiri vidole-vinene ni mijusi wa jenasi Chondrodactylus, Elasmodactylus na Pachydactylus katika familia Gekkonidae. Vidole vya mijusi hawa ni vinene kiasi. Mijusi hawa wana rangi ya majivu au kahawa mara nyingi pamoja na madoa, madoa-mach ...

Mkonje

Mikonje, mikonge au panga ni spishi mbili za samaki wa baharini katika jenasi Chirocentrus ya familia Chirocentridae na oda Clupeiformes. Wana nasaba na dagaa. Spishi zote mbili zina mwili uliorefuka na mataya yenye meno marefu makali ambayo huwe ...

Mkubayoka

Wakubayoka ni spishi za nyoka wasio na sumu za jenasi Natriciteres katika familia Colubridae. Wamepewa jina hili kwa sababu hufikiriwa kuwa feli mbaya. Nyoka hawa ni wafupi. Majike ya spishi kadhaa yanaweza kufika sm 54 lakini madume ni wafupi za ...

Mkunga Umeme (Samaki)

Mkunga Umeme ni samaki mwenye umeme wa Amerika Kusini. Hadi 2019, iliainishwa kama spishi pekee katika jenasi yake. Licha ya jina, si Mkunga, bali ni Samaki-kisu.

Mlanyoka

Walanyoka ni nyoka wenye sumu wa jenasi Polemon katika familia Lamprophiidae. Wamepewa jina hili kwa sababu hula nyoka wengine wadogo kuliko wao wenyewe. Nyoka hawa sio warefu sana, sm 85 kwa kipeo. Kichwa hakina shingo na mkia ni mfupi sana weny ...

Mlasisimizi Mkubwa

Mlasisimizi mkubwa ni spishi kubwa kushinda walasisimizi wote. Spishi hii ni pekee katika jenasi Myrmecophaga. Walasisimizi hutumia ulimi wao mrefu na wa kunata ili kukamata sisimizi na mchwa katika kichuguu cha wadudu hawa.

Mnuvi

Minuvi, songwe au vumbana ni spishi za samaki za baharini za nusuoda Platycephaloidei katika oda Scorpaeniformes walio na kichwa bapa na kipana. Spishi za familia Triglidae huitwa mnuvi pia lakini ni wana wa nusuoda Scorpaenoidei.

Mnuvi (Triglidae)

Minuvi au panzi-bahari ni samaki wa baharini wa familia Triglidae katika oda Scorpaeniformes ambao wana mapeziubavu makubwa yanayowasaidia kuruka juu ya maji, lakini huumbia umbali mfupi kuliko panzi-bahari wengine wa familia Exocoetidae. Wanafan ...

Moma

Moma ni spishi za nyoka wenye sumu wa jenasi Bitis katika familia Viperidae. Spishi moja huitwa bafe pia na spishi nyingine wa familia Viperidae huitwa vipiri. Spishi nyingi za moma, zile za Afrika ya Mashariki hasa, ni kubwa na nene kuliko vipir ...

Mondo (mnyama)

servals.org - servals in the wild and as pets World Conservation Union site - habari za kina big cats online Archived Machi 29, 2007 at the Wayback Machine. - Makala fupi

Muumakondoo

Waumakondoo ni nyoka wa jenasi Psammophylax katika familia Lamprophiidae. Wamepewa jina hili kwa sababu watu walifikiri kwamba nyoka hawa wanaweza kuuma kondoo. Lakini hiyo si kweli. Meno yao ni madogo na yapo nyuma katika taya. Isitoshe sumu yao ...

Ndege (mnyama)

Ndege ni wanyama wenye uti wa mgongo na miguu miwili wanaozaliana kwa kutaga mayai. Biolojia inawapanga katika ngeli ya Aves. Ndege wameenea kote duniani kuanzia Aktiki hadi Antaktiki. Ndege mdogo huwa na sentimita 5 tu na ndege mkubwa ana urefu ...

Ngiri

Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru Ngiri, gwasi au mbango ing. warthog ni wanyama wa jenasi Phacochoerus katika familia Suidae. Hawa ni aina za nguruwe-mwitu wenye sugu kubwa kichwani, madume hasa sababu ya jina kwa Kiingereza: warthog. Wana pa ...

Ngisi

Ngisi ni wanyama wa bahari wenye minyiri kumi. Minane baina ya hiyo huitwa mikono na miwili mingine ni minyiri kweli. Kwa urefu wote wa chini ya mikono kuna vikombe vya kumungunyia vilivyo na vikulabu mara nyingi. Minyiri inabeba vikombe kama hiv ...

Ngole

Ngole, gangawia, sukutu, nyoka-kima au peku ni spishi ya nyoka-miti wenye rangi ya majani au kahawia katika familia Colubridae. Anatokea katika Afrika kusini kwa Sahara. Nyoka huyu ni mrefu kiasi, kwa wastani sentimeta 100-160 lakini anaweza kufi ...

Nguchiro Miraba

Nguchiro miraba ni wanyama walanyama wadogo wanaoishi hasa katika nchi za Afrika kusini kwa Sahara. Hula wadudu na wanyama wengine wadogo. Tofauti na nguchiro wengine wanaoishi mara nyingi maisha ya pekee, nguchiro mraba huishi kwa makundi ya wan ...

Ngurunguru

Ngurunguru au mbuzi mawe ni swala wadogo wanaotokea Afrika kusini kwa Sahara tu. Jina" mbuzi mawe” ni kielekezi cha makazi yao: maeneo yenye mawe na majabali mengi. Swala hawa ni wadogo wenye kimo cha sm 58 begani. Wana rangi ya kahawa hadi kijiv ...

Nikwata

Nikwata ni spishi za mijusi-kafiri katika jenasi Hemidactylus ya familia Gekkonidae. Wamepewa jina hili kwa sababu huishi katika nyumba za watu mara nyingi. Spishi nyingine za Hemidactylus huitwa mijusi-kafiri vidole-majani na hawa wanatokea pori ...

Nyakatu

Nyakatu ni nyoka wasio na macho wala sumu wa familia Leptotyphlopidae. Kwa lugha nyingine huitwa" nyoka-nyungunyungu” mara nyingi, kwa sababu wengi wanafanana na nyungunyungu warefu. Wanafanana pia na birisi lakini hawa ni warefu kwa kulinganisha ...

Nyamera (jenasi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Nyamera ni wanyamapori wakubwa wa jenasi Beatragus na Damaliscus katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi D. korrigum topi, lakini siku hizi spishi na nususpishi zote huitwa nyamera ...

Nyati-maji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Nyati-maji ni mnyama mkubwa anayejulikana sana, aliye wa spishi Bubalus bubalis katika nusufamilia Bovinae. Spishi hii ina nususpishi tano ndani yake: B. b. migona B. b. bubalis Nyati-maji B. b. fulvus B. b. ke ...

Nyegere

Nyegere, melesi au mhilu ni mnyama mdogo wa familia Mustelidae anayetokea Afrika, Mashariki ya Kati na Uhindi. Nyegere huishi peke yao kwenye shimo analolichimba yeye mwenyewe. Ni wachimbaji wazuri sana. Vile vidole vyao vyenye kucha ndefu na ngu ...

Nyoka Laini

Nyoka laini ni nyoka wa jenasi Meizodon katika familia Colubridae. Wamepewa jina hili kwa sababu ya ngozi yao laini. Nyoka hawa ni wafupi na wembamba, sm 80 kwa kipeo lakini sm 30-60 kwa kawaida. Rangi ya wapevu ni kijivu au kahawia lakini nyoka ...

Nyoka mabaka

Nyoka mabaka ni nyoka wa jenasi Chamaelycus katika familia Lamprophiidae walio na mabaka mgongoni. Nyoka hawa ni wafupi, hadi sm 37 lakini sm 20-34 kwa kawaida. Rangi ni kijivu au kahawia na wana mabaka meusi mgongoni. Tabia za nyoka mabaka hazij ...

Nyoka Mchimbaji

Nyoka wachimbaji ni nyoka wenye sumu wa jenasi Atractaspis katika familia Lamprophiidae. Wana jina hili kwa sababu huchimba ardhini. Nyoka hawa ni wafupi na wembamba lakini spishi kadhaa zinaweza kuwa nene kiasi. Urefu wao ni sm 30-70 na m moja k ...

Nyoka mdomo-kulabu

Nyoka mdomo-kulabu ni nyoka wa jenasi Scaphiophis katika familia Colubridae. Wamepewa jina hili kwa sababu mdomo wa juu una umbo wa kulabu kama domo la kipanga. Nyoka hawa ni warefu kiasi, m 1.6 kwa kipeo lakini m 0.9-1.3 kwa kawaida. Rangi ya mg ...

Nyoka Meno-hanjari

Nyoka meno-hanjari ni spishi ya nyoka wa jenasi Xyelodontophis katika familia Colubridae. Amepewa jina hili kwa sababu ana chonge ndefu zinazofanana na hanjari. Nyoka huyu ni warefu kiasi: m 1-1.5. Rangi yake ya juu ni kijivu au kahawia pamoja na ...

Nyoka-chale

Nyoka-chale ni nyoka wenye sumu wa jenasi Homoroselaps katika familia Lamprophiidae. Wamepewa jina hili kwa sababu ya milia yao ya rangi nzuri. Wanatokea Afrika ya Kusini. Nyoka hawa ni wafupi na wembamba, sm 65 kwa kipeo lakini sm 20-40 kwa kawa ...

Nyoka-kijiti

Nyoka-kijiti ni spishi za nyoka wa jenasi Thelotornis katika familia Colubridae. Wakikaa tuli mtini wanafanana na kijiti au kitawi kilichokauka. Nyoka hawa ni wembamba sana na warefu kiasi: kwa wastani sm 90-130 na kipeo cha m 1.4-1.6 kulingana n ...

Nyoka-maji

Nyoka-maji ni nyoka wasio na sumu wa jenasi Lycodonomorphus katika familia Lamprophiidae. Kuna nyoka-maji katika jenasi Grayia wa familia hiyo pia, lakini nyoka hawa ni warefu zaidi mara mbili. Na pia tena kuna nyoka-maji katika familia Colubrida ...

Nyoka-maji (Colubridae)

Nyoka-maji hawa ni nyoka wa jenasi Crotaphopeltis katika familia Colubridae. Kuna nyoka-maji katika familia Lamprophiidae pia, jenasi Grayia na Lycodonomorphus. Nyoka hawa sio warefu sana, hadi sm 90 lakini sm 30-60 kwa kawaida. Rangi yao ni nyeu ...

Nyoka-maji (Grayia)

Nyoka-maji wa jenasi Grayia ni nyoka wasio na sumu katika familia Lamprophiidae. Kuna nyoka-maji katika jenasi Lycodonomorphus wa familia hiyo pia, lakini nyoka hawa ni wafupi zaidi kwa kima cha 50%. Nyoka hawa ni warefu kiasi. Spishi kubwa inawe ...

Nyoka-mbio

Nyoka-mbio ni nyoka wa jenasi Platyceps katika familia Colubridae. Wamepewa jina hili kwa sababu wanaweza kupiga mbio sana. Nyoka hawa ni wafupi kiasi, m 1.5 kwa kipeo lakini sm 40-90 kwa kawaida. Rangi yao ni kijivu au kahawia mara nyingi pamoja ...

Nyoka-mchanga

Nyoka-mchanga ni spishi za nyoka wa jenasi Psammophis katika familia Lamprophiidae. Nyoka-mchanga mdogo huitwa kidurango pia. Nyoka hawa ni wafupi hadi warefu kiasi. Spishi nyingi ni sm 50-100 lakini nyoka-mchanga maridadi ni sm 45 kwa kipeo na n ...

Nyoka-misitu

Nyoka-misitu ni nyoka wa jenasi Buhoma katika familia Lamprophiidae ambao wanatokea misituni kwa Afrika ya Magharibi na ya Mashariki. Kuna spishi nyingine ya nyoka-misitu katika jenasi Hormonotus, nyoka-misitu njano. Nyoka hawa sio warefu sana, s ...

Nyoka-misitu Njano

Nyoka-misitu njano ni nyoka wa familia Lamprophiidae ambao wanatokea misituni kwa Afrika ya Magharibi na ya Mashariki. Kuna spishi nyingine za nyoka-misitu katika jenasi Buhoma. Nyoka huyu ni mrefu kiasi, hadi sm 90 lakini sm 40-70 kwa kawaida. K ...

Nyoka-miti

Nyoka-miti ni nyoka wa jenasi Dipsadoboa katika familia Colubridae. Amepewa jina hili kwa sababu hukaa mitini takriban masaa yote. Nyoka hawa ni warefu kiasi, m 1.4 kwa kipeo lakini sm 60-90 kwa kawaida. Rangi yao ni kijani au kahawia. Spishi kah ...

Nyoka-miti Kichwa-kipana

Nyoka-miti kichwa-kipana ni nyoka wa jenasi Toxicodryas katika familia Colubridae. Amepewa jina hili kwa sababu hukaa mitini takriban masaa yote na kichwa ni kipana kuliko nyoka-miti wengine. Nyoka hawa ni warefu, hadi m 2.8 lakini m 1-2 kwa kawa ...

Nyoka-miti Mweusi

Nyoka-miti weusi ni spishi za nyoka za jenasi Thrasops katika familia Colubridae. Wanafanana na kukwi-miti lakini rangi yao ni nyeusi badala ya kijani. Nyoka hawa ni warefu kuliko kukwi: kwa kipeo m 2-2.5 kulingana na spishi na kwa wastani m 1.4- ...

Nyoka-miviringo

Nyoka-miviringo ni nyoka wenye sumu wa jenasi Elapsoidea katika familia Elapidae. Wamepewa jina hili kwa sababu mwili wao una miviringo mingi, ule wa wachanga hasa. Nyoka hawa sio warefu sana, sm 80 kwa kipeo. Kichwa ni kifupi na mkia ni mfupi. W ...