ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 117

Pofu (jenasi)

Pofu, mbungu au mbunju ni wanyamapori wa jenasi Taurotragus katika familia Bovidae. Wanatokea savana zenye miti katika Afrika. Wanyama hawa ni wakubwa kuliko spishi nyingine za Bovidae za Afrika. Rangi yao ni kahawianyekundu, kahawia, hudhurungi ...

Pomboo

Kwa kundinyota linalojulikana pia kama "delphinus" angalia Dalufnin Pomboo kwa Kiingereza dolphin ni wanyama wa bahari wa familia mbalimbali katika oda ya Cetacea au nyangumi. Wanahesabiwa kati ya nyangumi wenye meno Odondoceti. Spishi nyingi zin ...

Pongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Pongo, Kulungu au Mbawala ing. bushbuck ni mnyama wa Afrika wa jenasi Tragelaphus katika familia Bovidae ambaye anafanana na Tandala.

Puff adder

Puff adder ni nyoka mwenye sumu wa jamii ya kifutu anayepatikana savannah na nyasi katika Moroko na kusini magharibi mwa Arabia na hasa kote Afrika Kusini kwa Sahara isipokuwa katika maeneo ya misitu na ya mvua.

Puju

Puju au puju pembe ni samaki wa baharini wa jenasi Naso katika familia Acanthuridae wa oda Perciformes. Kama ndugu wao kangaja wana jozi za miiba kwa umbo la vijembe kwenye kila upande wa msingi wa mkia. Lakini rangi zao si kali kama zile za kang ...

Reptilia

Reptilia ni kundi la wanyama wenye damu baridi, ngozi ya magamba badala ya nywele au manyoya wakipumua kwa mapafu. Siku hizi wataalamu hupendelea jina Sauropsida. Wanazaa kwa njia ya mayai; wengine wanatega mayai na wadogo wanatoka nje bila ngazi ...

Sokwe (Hominidae)

Sokwe mkubwa au sokwe peke yake ni jina la binadamu na nyani wakubwa wa familia Hominidae wanaofanana sana na binadamu. Tofauti na nyani wengine ni kuwepo kwa mkia; karibu nyani wote huwa na mkia lakini masokwe wakubwa hawana kabisa. Binadamu ana ...

Sundakuwili

Sundakuwili ni spishi za nyoka wa jenasi Eryx katika familia Boidae. Wamepewa jina hili kwa sababu ncha zote mbili zinaonekana sawa. Nyoka hawa ni wafupi. Spishi ndefu kabisa E. conicus inaweza kufika mita moja, lakini spishi fupi hufika sm 40 tu ...

Suni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Suni ni wanyamapori wadogo sana wa jenasi Neotragus na Nesotragus katika familia Bovidae. Wanyama hawa ni wadogo kabisa wa Bovidae kimo sm 25–40 begani, urefu sm 40–60 na uzito kg 2.5–5.5. Wanatokea misitu miny ...

Swila-bahari

Swila-bahari ni nyoka wenye sumu wa jenasi mbalimbali wa nusufamilia Hydrophiinae katika familia Elapidae. Kama jina lao linaonyesha, nyoka hawa wanaishi baharini. Spishi ya Afrika ya Mashariki huitwa mkiadau pia. Takriban spishi zote zinafika ur ...

Tandala

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia hapa Tandala Tandala kwa Kiingereza: kudu ni wanyama wa jenasi Tragelaphus katika familia Bovidae. Spishi nyingine huitwa bongo, kulungu, malu, nyala au nzohe. Wanatokea Afrika katika maeneo yenye miti ku ...

Tohe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Tohe ni wanyamapori wa jenasi Pelea na Redunca katika familia Bovidae. Wana rangi ya mchanga au ya kijivu lakini tumbo ni jeupe. Madume ya Redunca wana pembe zilizopindika kuelekea mbele, wale wa Pelea wana pem ...

Tondi

Tondi, mitonzi au mitozi ni samaki wa baharini na maji baridi wa familia Plotosidae katika oda Siluriformes wanaofanana na mikunga lakini kuwa na sharubu kama kambale. Huitwa ngogo pia lakini jina hili tafadhali litumike kwa jenasi Synodontis.

Tupa (nyoka)

Tupa ni spishi za nyoka za jenasi Gonionotophis katika familia Lamprophiidae. Wamepewa jina hili kwa sababu mwili wao una umbo wa tupa yenye pande tatu. Nyoka hawa ni wafupi hadi warefu kiasi, kati ya sm 30 na 160. Kichwa cha spishi ndefu kinafan ...

Tuwanyika

Tuwanyika, domotai au nondo ni spishi za nyoka wa jenasi Rhamphiophis katika familia Lamprophiidae. Nyoka hawa ni warefu kiasi: kwa kipeo m 1.5-2.5 kulingana na spishi. Rangi yao ni kijivu, kahawia, pinki, machungwa au nyeupe. Kichwa ni kifupi, p ...

Uduvi

Uduvi ni wanyama wadogo wa bahari wa oda Decapoda katika nusufaila Crustacea. Hawa ni aina za kamba wadogo. Majina "uduvi" na "ushimbu" hutumika kwa kundi la wanyama hawa au kwa fungu sokoni. Wanyama pekee huitwa "duvi" au "kijino". Wanatumika ka ...

Ufunda

Funda, dagaa-donzi au dagaa ya gege ni samaki wadogo kiasi wa baharini wa familia Apogonidae katika oda Perciformes lakini spishi kadhaa zinaishi katika maji baridi, zile za jenasi Glossamia hasa.

Ukukwi

Kukwi ni spishi za nyoka kijani wa jenasi Philothamnus katika familia Colubridae wasio na sumu. Spishi nyingine huitwa isale, namalanga, naranyasi, ngowe au nyokameni. Kwa kawaida urefu wa nyoka hawa ni chini ya m 1, mara nyingi sm 50-100 na hadi ...

Ukukwi-miti

Kukwi-miti ni spishi za nyoka za jenasi Hapsidophrys na Rhamnophis katika familia Colubridae. Nyoka hawa ni warefu kiasi: kwa wastani sm 70-100 na kipeo cha m 1.1-1.3 kulingana na spishi. Wanafanana na kukwi lakini magamba ya mgongo ya spishi za ...

Wombati

Wombati ni marsupialia wenye miguu midogo ambao wanapatikana nchini Australia. Wana urefu wa mita moja. Wanyama hao wapo wa aina tatu za spishi na wapo katika familia ya Vombatidae.

Mkangaga

Mimea mingi yenye vifereji huunda maua na mbegu kwa uzazi. Walakini, kikundi kikubwa cha mimea katika ngeli Polypodiopsida haitoi hata moja wala nyingine. Wanazaa kupitia uundaji wa spora. Hizi mara nyingi hufanyika katika vikundi, vinavyoitwa so ...

Karanga

Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia Karanga Karanga au njugu kwa Kiingereza: peanut au groundnut ni mbegu ya mnjugu na moja kati ya mazao muhimu duniani. Jina la kisayansi la mmea huo ni Arachis hypogaea. Vikonyo vya karanga vinaingia katik ...

Kiazi kitamu

Kiazi kitamu ni mmea wa chakula uliomo katika familia ya Convolvulaceae. Kuna aina mbalimbali, k.m.: kirehana halitumwa - aina njano sena - aina nyeupe kindoro - aina nyekundu Chakula ni kiazi au sehemu nene za mizizi yake yenye wanga, vitamini n ...

Tumbaku

Tumbaku ni majani makavu ya mtumbaku ambayo yanatumiwa na binadamu kwa kuvuta kama sigara, kutafuniwa mdomoni au tumbaku ya kunusa. Tumbaku huwa ndani yake kemikali ya nikotini ambayo mwili unazoea haraka sana na kuifanya vigumu kwa wavuta tumbak ...

Mfiwi

Mfiwi ni jina la mmea katika familia Fabaceae. Mbegu zake huitwa fiwi. Asili ya mfiwi ni milima ya Andes na Amerika ya Kati. Siku hizi mimea hii hukuzwa mahali pengi katika maeneo yaliyo na joto wastani.

Mgwaru

Mgwaru ni mmea wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Maua na makaka yake ni katika mafundo mazito. Mbegu zake huitwa magwaru. Yamkini mhenga wa mgwaru ni mmea wa Afrika Cyamopsis senegalensis lakini umegeuka mashambani kwa Uhindi na P ...

Mharagwe-pana

Mharagwe-pana ni jina la mmea katika familia Fabaceae. Mbegu zake huitwa maharagwe mapana. Asili ya mmea huu ni Mashariki ya Kati lakini siku hizi hukuzwa mahali poti katika kanda za nusutropiki na wastani. Vipande vinavyolika ni mbegu, matumba m ...

Mkiwi

Mikiwi ni mimea ya jenasi Actinidia katika familia Actinidiaceae. Mimea hii ni vichaka vyenye urefu wa hadi m 6 au mitambazi ya hadi m 30. Inazaa matunda yalikayo ambayo huitwa kiwi. Asili ya mimea hii ni Asia ya Mashariki lakini spishi kadhaa hu ...

Kigogo

Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia makala ya kigogo Kigogo ni shina la mti lililokatwa. Kiuchumi kigogo ni chanzo cha ubao unaokatwa kwa matumizi ya kibinadamu. Kigogo huwa pia chanzo cha mtumbwi chombo kidogo cha usafiri wa majini na chel ...

Mkalatusi

Mikalatusi au mikalitusi ni miti na vichaka ya jenasi Eucalyptus katika familia Myrtaceae. Miti hii kiasili inatokea Australia na maeneo jirani ya Australasia. Kuna spishi zaidi ya 700 katika jenasi hii. Spishi 15 pekee ziko nje ya Australia. Sik ...

Mkungu (mti)

Mkungu ni mti mkubwa unaopandwa sana katika kanda ya tropiki. Asili yake labda ni Asia ya Kusini lakini hii siyo ya hakika. Jozi za matunda yake huliwa sana huko pwani.

Gegereka

Gegereka ni arithropodi walio na viungo vyenye matagaa mawili na kiunzi-nje ngumu ambacho kimeumbwa kwa khitini na kaboneti ya kalisi. Mifano ni kaa, kamba, kambakoche na uduvi. Takriban spishi zote zinatokea majini, baharini hasa. Spishi kadhaa ...

Cheche (samaki)

Spishi mbili za cheche ni Megalops atlanticus cheche wa Atlantiki na Megalops cyprinoides cheche wa Indo-Pasifiki. Cheche wa Atlantiki hupatikana pwani ya Atlantiki ya Magharibi kutoka Virginia mpaka Brazili, kupitia pwani ya Ghuba ya Mexico, na ...

Msusa

Chuchunge, chuchungi, vidau, viroho, makule, mikeke au misusa ni samaki wa baharini wa familia Hemiramphidae katika oda Beloniformes ambao taya la chini ni refu zaidi sana kuliko taya la juu. Wanatokea katika maji vuguvugu ya dunia na huogelea ka ...

Ntachi

Domodomo ni samaki wa maji baridi wa nusufamilia Mormyrinae katika familia Mormyridae na ngeli Actinopterygii ambao wanatokea Afrika tu. Spishi nyingi zina pua ndefu na/au mdomo wa chini mrefu. Kwa hivyo inaonekana kama zina aina ya mwiro na kwa ...

Mwatiko

Fupefupe wanaweza kukua hadi m 1.80 lakini mara nyingi hawana urefu wa zaidi ya m 1. Wanaweza kufikia uzito wa kg 14 na umri wa miaka 15. Wana mwili uliorefuka ambao umefinywa na kuwa na umbo linganifu na laini, pezimgongo moja, mapeziubavu yenye ...

Spika (samaki)

Goromwe au spika ni samaki wa baharini wa familia Synodontidae katika oda Aulopiformes wanaoishi sakafu ya bahari hadi kina cha m 400 katika kanda za tropiki na nusutropiki. Spishi nyingine huitwa bumbo, bumbura au jumbereru.

Yahudhi

Hongwe, fumi au yahudhi ni samaki wa baharini na maji baridi katika familia Ariidae wa oda Siluriformes ambao wana sharubu ndefu. Wanatokea kanda za tropiki na nusutropiki duniani kote. Familia hii ina spishi 143.

Vundu

Kambale ni samaki wa maji baridi wa familia Clariidae katika oda Siluriformes ambao wana sharubu nne na wanaweza kupumua hewa. Spishi nyingine huitwa chimwanapumba, kabwili, kibabila, pondo na sapua. Familia hii ina spishi 116 ambazo nyingi sana ...

Panya (samaki)

Kifimbo wa pwani za Afrika ya Mashariki ni mkubwa kuliko spishi zote nyingine ana uzito wa kipeo wa kg 10.0 na urefu wa sm 104. Spishi nyingine ni sm 25-50 kwa kipeo. Rangi yao ni ya fedha kwenye mbavu na kijivu hadi kijani-zaituni mgongoni. Kiji ...

Nyika (samaki)

Manikwe au nyika ni samaki wa maji baridi wa familia Malapteruridae katika oda Siluriformes ambao wanatokea Afrika tu. Familia hii ina jenasi 2 na spishi 21. Spishi kadhaa za familia hii zina uwezo wa kutoa mrusho wa umeme hadi volti 350 wakitumi ...

Binini

Mkizi au binini ni samaki wa baharini na pengine wa maji baridi za familia Mugilidae katika oda Mugiliformes. Wanatokea katika kanda za wastani hadi tropiki. Wana magamba mapana na rangi ya kijivu na hudhurungi mgongoni. Pengine hanithi huitwa mk ...

Mkunga (samaki)

Mikunga ni samaki wa baharini na/au maji baridi katika oda Anguilliformes walio na umbo la nyoka. Hufanyiwa maendeleo makubwa kutoka hatua ya mapema ya lava hadi hatua ya mwisho ya waliokomaa, na wengi ni samaki mbuai.

Ngarengare

Ngarara, ngarengare, watumbuudau, watumbuu, mgendi, mgezi au mikule ni samaki za baharini na maji baridi wa familia Belonidae katika oda Beloniformes.

Ngonje

Ngogo, gogo, kolokolo au ngonje ni samaki wa maji baridi wa jenasi Synodontis katika familia Mochokidae na oda Siluriformes ambao wanatokea Afrika tu. Jenasi hii ina spishi 131. Kwa Kiingereza huitwa squeakers kwa sababu wakati wanapokasirika au ...

Panzimai

Panzi-bahari, panzi-maji, panzimai au ndegemaji ni samaki wa baharini wa familia Exocoetidae katika oda Beloniformes ambao wanaweza kuruka juu ya maji na kwenda mbali kiasi, mpaka mamia ya mita." Mabawa” yao ni mapeziubavu kwa kweli. Katika spish ...

Papa Mbingusi

Papa mbingusi, mbingusi au papa nyundo ni kundi la papa katika familia Sphyrnidae. Jina la tatu imepewa kwa ajili ya muundo usio wa kawaida na kipekee wa vichwa vyao, ambao ni bapa na kupanuliwa hivyohivyo katika umbo la "nyundo" liitwalo kefalof ...

Shepwa

Taa ni aina za samaki zilizo na mnasaba na papa. Papa upanga na papa charawanza ni aina za taa pia. Majina mengine ya samaki hawa ni shepwa, karwe, pungu na nyenga. Kama papa, taa wana kiunzi cha gegedu. Mwili wao ni bapa, isipokuwa ule wa papa u ...

Mdudu

Mdudu kwa lugha ya mitaani ni aina ya mnyama mdogo asiye vertebrata, yaani mnyama bila uti wa mgongo. Wanyama waitwao" wadudu” wana miguu kwa kawaida. Lakini hata wanyama wadogo bila miguu huitwa wadudu kwa lugha ya kawaida, wanyama wadogo sana h ...

Kifaru

Kwa gari la kijeshi linalobeba silaha tazama hapa: Kifaru Vifaru au faru ni wanyamapori wakubwa wa familia Rhinocerotidae. Spishi mbili zinapatikana Afrika na nyingine tatu huko Asia. Nchini Uhindi wanabaki faru 2700 tu na hata faru weupe nao wam ...