ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 118

Hifadhi ya Saadani

Hifadhi ya Saadani ni mojawapo kati ya hifadhi za taifa la Tanzania, ya 13 kutangazwa na ya pekee kupatikana kwenye Bahari ya Hindi Inaenea katika km2 1062 za Mkoa wa Tanga.

Hifadhi ya Tarangire

Hifadhi ya Taifa ya Tarangire inapatikana katika mkoa wa Manyara ikiwa na ukubwa wa kilometa za mraba 2850. Iko umbali wa kilometa 118 Kusini Magharibi mwa mji wa Arusha nchini Tanzania. Hifadhi hii ni maarufu kwa makundi makubwa ya tembo kuliko ...

Hifadhi ya Ziwa Manyara

Hifadhi ya Ziwa Manyara ni hifadhi ya Taifa ya Tanzania iliyo maarufu sana nchini kwa simba wanaopanda juu ya miti. Aina hii ya simba hupatikana ndani ya hifadhi hii pekee barani Afrika. Hifadhi hii iko umbali wa kilometa 126 kutoka Arusha mjini ...

Milima ya Mahale

Milima ya Mahale ni milima ambyo ni moja ya hifadhi katika nchi ya Tanzania. Hifadhi hii iko magharibi mwa Tanzania ikiwa inapakana na Ziwa Tanganyika. Hifadhi hii inaundwa na vilima vilivyojipanga na kufunikwa na misitu minene ikiwa na jumla ya ...

Agaro

Agaro ni mji ambao unapatikana kusini mwa Ethiopia. Barabara ambayo hapo awali iliunganisha Agaro na Jimma "ilijulikana zaidi kwa kina kuliko urefu wake" hadi maboresho yalipo kamilika mnamo mwaka 1962. Barabara ya Bedele, yenye urefu wa kilomita ...

Ziwa Chew Bahir

Ziwa Chew Bahir au Ziwa Istifanos, Stefanie, Basso Naebor na Chuwaha, ni ziwa la Ethiopia kusini, ambalo likijaa linaenea hadi kaskazini mwa Kenya. Liko mita 573 juu ya usawa wa bahari.

Mekelle

Mekelle ni mji mkuu wa jimbo la Tigray katika Ethiopia ya kaskazini. Iko takriban 650 km kaskazini ya Addis Ababa. Idai ya wakazi ilikadiriwa mw. 2005 kuwa 220.000. Kuna chuo kikuu kinachotoa masomo hasa ya kilimo na uchumi.

Mlima Abdul Kasim

Mlima Abul Kasim ni mlima unaopatikana kusini mashariki mwa Ethiopia, eneo la Arsi katika ukanda wa Oromia. Mlima huo ndio sehemu yenye mwinuko mrefu zaidi katika Seru woreda, ukiwa na urefu wa mita 2573 juu ya usawa wa bahari. Mlima huo umekua n ...

Mlima Abuna Yosef

Abuna Yosef ni mlima maarufu ulio karibu na mwinuko wa mashariki wa Nyanda za Juu za Ethiopia. Una urefu wa mita 4.260 juu ya usawa wa bahari. Ni mlima wa sita kwa urefu nchini Ethiopia na mlima wa 19 kwa urefu barani Afrika. Unapatikana sehemu i ...

Mlima Batu

Mlima Batu ni moja ya milima mirefu ya Milima Bale ya Ethiopia, jimbo la Oromia. Sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Bale, na ipo katika Kigezo:Nyuzi, inafikia mwinuko wa mita 4.307. Unajumuisha vilele viwili, Tinnish Batu, ambacho ni kirefu kuliko Til ...

Mlima Bwahit

Mlima Bwahit ni kilele cha Milima ya Semien katika Mkoa wa Amhara wa Ethiopia. Mwinuko wake unakadiriwa kuwa na urefu wa futi 4430 au 4437, na kuifanya mlima wa tatu wa juu kabisa nchini Ethiopia na mlima wa 13 au 14 wa juu zaidi barani Afrika. I ...

Mlima Hay

Mlima Hay unapatikana kaskazini magharibi mwa jimbo la Amhara, nchini Ethiopia. Uko katika Hifadhi ya kitaifa ya Milima ya Semien, karibu na kilele cha juu cha taifa hilo, Ras Dashen. Mlima Hay una mwinuko wa mita 4173 juu ya usawa wa bahari.

Mto Alanga

Mto Alanga unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Gibe, ambao ni tawimto la mto Omo. Kwa njia hiyo maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.

Mto Amara (Ethiopia)

Mto Amara unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Gibe, ambao ni tawimto la mto Omo. Kwa njia hiyo maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.

Mto Balagas

Mto Balagas unapatikana kaskazini mwa Ethiopia, ukichangiwa na mto Balessa na mto Dorana. Ni tawimto la mto Tekeze ambao unaungana na mto Atbarah kuelekea Nile.

Mto Balessa

Mto Balessa unapatikana kaskazini mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Balagas ambao unachangia mto Tekeze ambao hatimaye unaungana na mto Atbarah kuelekea Nile.

Mto Denchya

Mto Denchya unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Omo, ambao unatokana na muungano wa mto Gibe na mto Wabe na unaishia katika ziwa Turkana.

Mto Didessa

Mto Didessa unapatikana magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Abay, nalo linapokea kwanza maji ya mto Enareya, mto Aet, mto Wama, mto Angar na mto Dobana. Beseni lake linaenea katika kilometa mraba 19.630.

Mto Dorana

Mto Dorana unapatikana kaskazini mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Balagas ambao unachangia mto Tekeze ambao hatimaye unaungana na mto Atbarah kuelekea Nile.

Mto Dukoko

Mto Dukoko unapatikana kaskazini mwa Ethiopia, ukichangia mto Zarima ambao ni tawimto la mto Tekeze ambao tena unaungana na mto Atbarah kuelekea Nile.

Mto Ganale Dorya

Mto Ganale Dorya ni mto wa Ethiopia kusini wenye maji mwaka mzima. Unapoungana na mto Dawa, karibu na mpaka wa Somalia, inakuwa mto Jubba ambao unatiririkia kusini hadi bahari ya Hindi.

Mto Gibe

Mto Gibe unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Unachangiwa maji na mto Amara, mto Alanga na mto Gilbel Gibe. Ndio tawimto kubwa zaidi la mto Omo, ambao unatokana na muungano wa mto Gibe na mto Wabe na unaishia katika ziwa Turkana.

Mto Gidabo

Mto Gidabo ni mto unaopatikana nchini Ethiopia kusini-kati, ndani ya Bonde la Ufa. Eneo la mto Gidabo ni moja ya maeneo yanayoongoza kwa uzalishaji wa kahawa nchini Ethiopia.

Mto Gilgel Gibe

Mto Gilgel Gibe unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Gibe, ambao ni tawimto la mto Omo. Kwa njia hiyo maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.

Mto Gojeb

Mto Gojeb unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Omo, ambao unatokana na muungano wa mto Gibe na mto Wabe na unaishia katika ziwa Turkana.

Mto Guder

Mto Guder unapatikana katikati ya Ethiopia na unapokea maji ya mto Dabissa na mto Taranta. Beseni lake linaenea katika kilometa mraba 7.011. Ni tawimto la mto Abay Nile ya Buluu.

Nyanda za juu za Ethiopia

Nyanda za juu za Ethiopia ni eneo la milima mirefu nchini Ethiopia zikienea hadi Eritrea. Sehemu kubwa za eneo hilo zina kimo za kuanzia mita 1.500 juu ya usawa wa bahari, na vilele vya milima mirefu zaidi vinafikia mita 4.500.

Ogaden

Ogaden ni jina la kimataifa la eneo kubwa la Ethiopia ya mashariki. Zamani ilikuwa jina la jimbo linaloitwa leo mkoa wa Somali la Ethiopia. Ogaden imepakana na Kenya, Somalia na Jibuti. Eneo hili lina umbo la pembetatu na jumla ni takriban kilomi ...

Soddo

Soddo au ni mji uliopo kusini-kati mwa Ethiopia. Ilikuwa ni sehemu ya Sodo Wearda ya zamani ambayo ilihusisha Sodo Zuria. Sodo ina kiwanja cha ndege na barabara yenye urefu wa kilomita 166 maili 103 inayounganisha Sodo na Chida, ambayo ujenzi wak ...

Bi Kidude

Bi Kidude alikuwa gwiji wa muziki katika bara la Afrika. Bi Kidude alikuwa msanii mkongwe na mahiri sana katika fani ya muziki wa mwambao ambao hujulikana kwa jina la Taarabu. Muziki huo, ambao ni mchanganyiko wa muziki toka nchi za Kiarabu na vi ...

Hawa Mayoka Said

Hawa anaishi Dar es Salaam, Tanzania. Mama yake anaitwa Ndagina Hassan. Hawa ana mtoto mmoja. Hawa aliimba na Diamond Platinumz wimbo ambao unaitwa" Nitarejea”, mwaka wa 2011. Watu wengi waliupenda wimbo huo na wanaamini kwamba wimbo huo ulimpa D ...

Moshi William

TX Moshi William alikuwa mmoja wa wanamuziki mahiri wa muziki wa dansi nchini Tanzania aliyeweza kurekodi albamu 13. Alizaliwa Tanga mwaka 1958 na kufariki dunia 29 Machi 2006 na kuacha mke mmoja na watoto wanne. Kwa miaka mitatu mfululizo 2003, ...

Shenazi Salum

Shenazi Salum alikuwa muigizaji, mchezaji wa muziki wa kujitegemea na pia kungwi yaani mtu anayefundisha waakina mama namna ya kukaa na mume. Shenazi alizaliwa jijini Dar es Salaam, Tanzania na kufariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Tundu ...

Siti Binti Saad

Siti binti Saad. Baba yake bwana Saadi alikuwa ni Mnyamwezi kutoka Tabora na mama yake alikuwa ni Mzigua toka Tanga, lakini wote wawili walizaliwa Zanzibari. Hali ya maisha ya familia yao ilikuwa ni duni sana na walijishughulisha zaidi katika shu ...

Watengwa

Watengwa ni kundi la muziki kutoka Arusha, Tanzania. Kundi hili lilianzishwa mnamo mwaka 1999 katika eneo linaloitwa Kijenge Juu. Kundi hili ni maarufu kwa aina ya muziki wao wa Hip Hop, Ragga, Reggae, Afrobeat, n.k. nchini Tanzania na pia inasem ...

Hukwe Zawose

Hukwe Zawose alikuwa mwanamuziki wa kiasili wa kitanzania, na muziki wake hasa ulikuwa wa kabila la Wagogo. Ala aliyotumia zaidi ilikuwa ilimbal pamoja na zeze; alipiga pia filimbi. Kipaji chake cha muziki kiligunduliwa na aliyekuwa rais wa kwanz ...

Busia, Uganda

Katika mwaka 2002, sensa ya kitaifa ilihesabu idadi ya wakazi Busia, Uganda, kuwa 36.630. Mwaka 2008, Uganda Bureau of Statistics ilikadiria idadi ya wakazi wa mji huu kuwa 43.200.

Kasese

Kasese ni mji mkuu wa Wilaya ya Kasese nchini Uganda wenye wakazi wake takriban 66.600. Mji uko magharibi mwa Ziwa George. Awali mji huu ulikua kutokana na uchimbaji wa madini ya shaba katika eneo ka Kilembe, na hapo baadaye uchimbaji wa kobalti. ...

Maporomoko ya Bujagali

Majiranukta kwenye ramani: 0°29′56″N 33°08′24″E Maporomoko ya Bujagali au Budhagali yalikuweko karibu Jinja, Uganda, mto Nile ulikotoka ziwa Viktoria hadi Novemba 2011, yalipofunikwa na Lambo la Bujagali. Wataalamu wengine waliyahesabu kuwa chanz ...

Mbale, Uganda

Mbale ni mji wa Uganda ya kusini-mashariki mwenye wakazi 76.000 kwenye mguu wa mlima Elgon. Ni makao makuu ya wilaya ya Mbale. Umbali na Jinja ni 120 km na 190 km na Kampala.

Mto Lwajjali

Mto Lwajjali unapatikana nchini Uganda. Unamwaga maji yake katika Mto Sezibwa ambao unaingia katika ziwa Kyoga.

Mto Mayanja (Kafu)

Mto Mayanja unapatikana nchini Uganda. Una urefu wa kilomita 150. Ni tawimto la Mto Kafu ambao unaingia katika Nile ya Viktoria.

Ziwa Kyoga

Ziwa Kyoga ni ziwa kubwa lenye kina kifupi katika Uganda, karibu Km² 1.720 kwa eneo na mwinuko wa mita 914 juu ya usawa wa bahari. Mto Viktoria Nile hupitia katika ziwa hili katika njia yake kutoka Ziwa Viktoria na kuelekea Ziwa Albert. Chanzo ki ...

Ziwa Nabugabo

Ziwa Nabugabo ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Masaka. Ziwa hilo liko kilometa 4 kutoka Ziwa Nyanza ambalo lilitengana nalo miaka 5.000 iliyopita.

Parokia ya Kishogo

Parokia ya Kishogo ni moja kati ya parokia 29 za Jimbo Katoliki la Bukoba. Parokia hii ipo katika wilaya ya Bukoba Vijijini mkoani Kagera, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania. Kwa upande wa Mashariki inapatikana na Parokia za Itahwa na Mwemage zikit ...

Bantustan

Bantustan ilikuwa jina la eneo maalumu katika Afrika Kusini wakati wa siasa ya Apartheid. Eneo hilo lilitenganishwa kwa ajili ya kabila fulani la Waafrika asili. Kimsingi ilikuwa kama rizavu katika makoloni ya Uingereza, lakini chini ya siasa ya ...

Bhisho

Bhisho nyati kwa Kixhosa; pia: Bisho ni mji mdogo wa Afrika Kusini ambao ni mji mkuu wa jimbo la Rasi ya Mashariki. Ilikuwa mji mkuu wa bantustan ya Ciskei hadi 1994. Bhisho ilianzishwa kama mtaa wa makazi kwa ajili ya Waafrika Weusi kando la mji ...

Black Kei River

Mto Black Kei ni mto wa Afrika Kusini wenye chanzo chake kusini magharibi mwa mji wa Queenstown, katika Rasi ya Mashariki. Unaendelea kuishia katika mto White Kei, na kuunda mto wa Great Kei. Vijiji mbalimbali viko karibu na pembezoni mwa mto huo ...

Durban

Durban ni mji wa Afrika Kusini katika jimbo la KwaZulu-Natal. Kuna takriban wakazi milioni 4. Fuko za Durban zapendwa na watalii kwa sababu maji ya Bahari Hindi si baridi na kuna jua tele. Bandari ya mji ni kubwa katika Afrika Kusini ni bandari a ...

Johannesburg

Johannesburg ni jiji kubwa katika nchi ya Afrika Kusini. Ni mji mkuu wa jimbo la Gauteng. Mji ulianzishwa 4 Oktoba 1886 ukakua haraka baada ya kupatikana kwa dhahabu. Siku hizi ni kitovu cha kiuchumi wa Afrika Kusini na makao ya soko la hisa kubw ...