ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 119

Gbadolite

Gbadolite ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Ubangi Kaskazini, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Makadirio ya idadi ya watu ni 113.807 2004. Ndio mji asili wa dikteta Mobutu Sese Seko ambaye aliuendeleza sana.

Hifadhi ya Salonga

Majiranukta kwenye ramani: 2°S 21°E Hifadhi ya Salonga ni eneo la hifadhi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uliopo katika beseni ya Mto Kongo. Ni hifadhi kubwa zaidi ya msitu wa mvua barani Afrika ikiwa na eneo la km² 36.000. Inaenea katika ...

Kalemie

Kalemie ni mji wa J.K. Kongo uliopo kando ya ziwa Tanganyika upande wa magharibi kwa kimo cha mita 785 juu ya UB pale ambako mto Lukuga unapotoka ziwani. Mwaka 2005 Kalemie ilikuwa na wakazi 147.000. Kuna bandari muhimu yenye mawasiliano kwa meli ...

Kisangani

Kisangani ni mji mkubwa wa mashariki mwa Kongo wenye wakazi zaidi ya 1.600.000. Ni mji mkubwa wa tatu wa nchi hiyo. Mji uko kando ya mto Kongo mahali ambako mto huu mkubwa umepita maporomoko ya Bayoma na kuwa njia ya maji hadi Kinshasa.

Ziwa Albert (Afrika)

Ziwa Albert - pia Albert Nyanza, Ziwa Mwitanzige, na zamani kwa miaka michache Ziwa Mobutu Sese Seko - ni moja ya maziwa makubwa ya Afrika. Ni ziwa kubwa la saba katika Afrika, likiwa na nafasi ya ishirini na saba kwa ukubwa katika ulimwengu mzima.

Chiba, Chiba

Chiba ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Chiba. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 960.000 wanaoishi katika mji huu.

Fukuoka, Fukuoka

Fukuoka ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Fukuoka. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.4 wanaoishi katika mji huu.

Honshu

Honshu ni kisiwa kikubwa zaidi ya Japani. Japani ni Nchi za visiwa na Honshu ni kisiwa chake kikuu. Iko upande wa kusini wa Hokkaido iliyopo ngambo ya Mlangobahari wa Tsugaru, upande wa kaskazini wa Shikoku (ngambo ya Bahari ya ndani ya Seto, na ...

Kisiwa cha Tsushima

Tsushima ni kisiwa cha Funguvisiwa la Japani katika eneo la kati la Mlango wa Korea kwenye ramani ya kijiografia 34°25N na 129°20E. Hiki ni kisiwa kikubwa kabisa cha Mkoa wa Nagasaki. Jiji la Tsushima limeenea katika kisiwa chote.

Kyoto

Kyoto ni mji wa Japani uliokuwa mji mkuu wa nchi kati ya 794 na 1868. Ilikuwa makao makuu ya Tenno wa taifa. Iko takriban kilomita 400 kusini magharibi ya Tokyo kwenye kisiwa cha Honshu. Sasa Kyoto ni mji mkubwa wa tatu nchini iliwa na wakazi mil ...

Wakayama, Wakayama

Wakayama ndiyo mji kwenye kisiwa cha Honshu nchi Japani. Ni makao makuu ya mkoa wa Wakayama. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1 wanaoishi katika mji huu.

Aleksandria

Aleksandria ni mji mkubwa wa pili wa Misri na bandari muhimu kwenye Bahari ya Mediteranea. Uko kando ya delta ya Nile kaskazini mwa Misri takriban 225 km kutoka Kairo.

Aswan

Aswan ni mji wa kusini kabisa nchini Misri wenye wakazi 200.000. Ni makao makuu ya mkoa wa Aswan. Imejulikana duniani kutokana na lambo la Aswan ambalo ni ukuta mkubwa unaozuia mwendo wa mto Nile na kusababisha kutokea kwa bwawa la Nasser. Tangu ...

Luxor

Luxor ni mji katika Misri ya Kusini. Mnamo mwaka wa 2012, karibu watu 506.588 waliishi huko. Inatembelewa na watalii wengi sana kutoka kote duniani sababu ya mahekalu ya Luxor na Karnak. Luxor imejengwa juu ya sehemu ndogo ya Thebes iliyokuwa mmo ...

Mlima Galala

Mlima wa Galala ni mlima ulioko katika Jimbo la Suez, Misri, una mwinuko wa futi 3.300 juu ya usawa wa bahari, ulio na aina nyingi za mimea. Mlima wa Galala ulikuwa unaitwa Gallayat Plateaus hadi ulipobadilisha jina katika miaka ya 1920. Ulikuwa ...

Mto Calabar

Mto Calabar ni mto nchini Nigeria ambao chanzo chake kinapatikana katika Jimbo la Cross River nchini Nigeria. Mto Calabar hutiririka kutoka kaskazini mwa mji wa Calabar na kujiunga na mto mkubwa wa Cross River takriban kilomita 8 kuelekea kusini. ...

Mto Otin

Mto Otin ni mto nchini Nigeria unaopatikana katika Jimbo la Osun. Chanzo chake ni mji wa Odo-Otin uliopo Kaskazini-Mashariki mwa Jimbo la Osun. Mkondo wake ni mita za ujazo 2684. Njia yake ni km 36. Mto huu ni tawimto la Mto Erinle.

Mto Sokoto

Mto Sokoto unapatikana kaskazini mashariki mwa Nigeria. Ni tawimto la mto Niger. Chanzo cha mto huo ni karibu na Funtua kusini mwa Jimbo la Katsina, kilomita 275 maili 171 katika mstari wa moja kwa moja kutoka Sokoto. Unapita Gusau kaskazini-magh ...

Jan Mayen

Jan Mayen ni kisiwa cha Norwei katika eneo ambapo Bahari ya Aktika na Atlantiki ya Kaskazini zinakutana. Eneo lake ni km² 373, urefu ni km 54 na upana km 2.5-15. Kisiwa kipo katikati ya Norwei, Isilandi na Greenland. Hakuna wakazi wa kudumu isipo ...

Kisiwa cha Bouvet

Kisiwa cha Bouvet ni kisiwa kisicho na wakazi katika kusini ya Bahari Atlantiki takriban kilomita 2500 kusini-magharibi ya Rasi ya Tumaini Jema. Ni eneo lililopo chini ya Norwei lakini si sehemu ya Norwei yenyewe. Si chini ya mkataba ya Antaktiki ...

Gdynia

Gdynia ni mji wa Polandi kwa wingi wa watu una bandari katika Bahari ya Baltiki. Mji huo ulikuwa na wakazi 247.799 mnamo Juni 2018.

Poland

Poland kwa Kipoland: Polska ni nchi ya Ulaya ya Kati. Imepakana na Ujerumani upande wa magharibi, Ucheki na Slovakia upande wa kusini, Ukraine na Belarus upande wa mashariki na Bahari ya Baltiki, Lituanya na Urusi mkoa wa Kaliningrad Oblast upand ...

Kismayu

Kismayu ni mji katika mkoa wa Jubbada Hoose wa Somalia mwambaoni mwa Bahari Hindi. Uko karibu na mdomo wa mto Juba. Kismayu ndio mji mkubwa katika eneo la Jubbaland. Mji wenyewe uko km 528 kusini magharibi mwa mji mkuu Mogadishu. Katika mwaka wa ...

Mogadishu

Mogadishu imeundwa mnamo mwaka 900 BK ikawa mji wa kaskazini kabisa wa utamaduni wa Waswahili kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki. Ilikuwa sehemu ya biashara ya kimataifa ya Waswahili jinsi inavyonekana kutokana na sarafu za kale za Uchina, Sri L ...

Berbera

Berbera ni bandari na mji wa Somalia ya Kaskazini wenye wakazi 260.000. Iko katika sehemu ya Somalia iliyojitenga kwa jina la Somaliland. Ni mji mkuu wa mkoa wa Sahil wa Somaliland na ndio bandari kuu ya bahari ya nchi hiyo. Berbera ni mji wa pwa ...

Hargeisa

Hargeisa ni mji mkuu wa Somaliland iliyojitenga na Somalia mwaka 1991. Iliwahi kuwa mji mkuu wa Somalia ya Kiingereza kuanzia 1941 hadi 1960. Kati ya 1960 hadi 1991 ilikuwa mji mkubwa wa pili wa Somalia. Mji uko katika bonde kwenye kimo cha mita ...

Khartoum

Khartoum ni mji mkuu wa Sudan na pia mki mkuu wa dola la shirikisho la Khartoum. Mji uko mahali mito ya Nile nyeupe na Nile ya buluu inapokutana. Kisheria "Khartoum" ni eneo tu mashariki ya Nile nyeupe na kusini ya Nile ya buluu lakini hali halis ...

Omdurman

Omdurman ni mji mkubwa kabisa nchini Sudan kando la mto Nile ikitazama mji mkuu Khartoum. Pamoja na Khartoum na Bahri ni mji mmoja kubwa sana unaounganishwa kwa madaraja kadhaa. Ina wakazi wanaokadiriwa kufikia karibu milioni 3.

Wadi Halfa

Wadi Halfa ni mji wa Sudan ya kaskazini kwenye mwambao wa Ziwa Nasser. Ni mwisho wa reli kutoka Khartoum na bandari ya feri kwenda Aswan nchini Misri. Mji huu ulianzishwa katika karne ya 19. Baada ya 1976 wakati wa kumaliza lambo la Aswan palikuw ...

Brussels

Brussels ni mji mkuu wa Ubelgiji na pia makao makuu ya ofisi za Umoja wa Ulaya. Kisheria jina la Brussels linataja mambo mbalimbali: - mji wa Brussels wenye wakazi 142.000 kwenye eneo la kilometa za mraba 32. - Jimbo la Brussels ambamo ndipo ulip ...

Flandria

Flandria ni jimbo la kaskazini kati ya majimbo matatu ya Ubelgiji. Lugha rasmi katika mikoa 5 ya jimbo ni Kiholanzi inayoitwa hapa Kiflaams ingawa ni lugha ileile. Idadi ya wakazi ni milioni 7. Serikali ya Flandria iko Brussels na mji mkubwa ya F ...

Amiens

Amiens ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Picardie nchini Ufaransa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 270.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 14-106 juu ya usawa wa bahari.

Basse-Terre (mji)

Basse-Terre ni mji mkuu wa eneo la ng’ambo la Ufaransa la Guadeloupe ambayo ni kisiwa kimoja cha ya katika Bahari ya Karibi. Mji wa Basse-Terre iko kusini-magharibi ya kisiwa cha Basse-Terre.

Besançon

Besançon ndiyo mji mkuu katika mkoa la Franche-Comté. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 222.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 235-610 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Bordeaux

Bordeaux ndiyo mji mkuu katika mkoa la Aquitaine. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 6 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Brive-la-Gaillarde

Infobox Settlement |jina_rasmi = Brive-la-Gaillarde |picha_ya_satelite = |maelezo_ya_picha = |pushpin_map = Ufaransa |pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Brive-la-Gaillarde katika Ufaransa |settlement_type = Jiji |subdivision_type = Nchi |subd ...

Caen

Caen ndiyo mji mkuu katika mkoa la Basse-Normandie. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 110.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 2-73 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Capesterre-Belle-Eau

Capesterre-Belle-Eau ni mji wa Ufaransa. Tarehe 20 Septemba 1837, Capesterre inakuwa ni mji wa Ufaransa na inachukua jina la Capesterre-Belle-Eau mwaka 1974.

Clermont-Ferrand

Clermont-Ferrand ndiyo mji mkuu katika mkoa la Auvergne. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 427.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 321-602 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Dijon

Dijon ndiyo mji mkuu katika mkoa la Bourgogne. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 263.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 321-602 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Limoges

Limoges ndiyo mji mkuu katika mkoa la Limousin. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 250.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 690-1410 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Metz

Metz ndiyo mji mkuu katika mkoa la Lorraine. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 430.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 162-256 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Montpellier

Montpellier ndio mji mkuu wa mkoa wa Languedoc-Roussillon, kusini mwa Ufaransa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 530.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 27 juu ya usawa wa bahari.

Mto Marne

Marne ni mto wa Ufaransa, tawimto upande wa kulia wa Seine katika eneo la mashariki na kusini ya Paris. Una urefu wa 514 kilometres. Mto ulizipatia jina lake wilaya za Haute-Marne, Marne, Seine-et-Marne, na Val-de-Marne. Mto Marne unaanza katika ...

Nantes

Nantes ndiyo mji mkuu katika mkoa la Pays de la Loire. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 800.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 2-52 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Nice

Nice ni mji wa Ufaransa kusini, katika mkoa wa Provence-Alpes-Côte dAzur. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 970.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 0-520 juu ya usawa wa bahari.

Orléans

Orléans ni mji wa Ufaransa. Iko mwambaoni wa mto Loire 130 km kusini ya Paris. Orléans ni makao makuu ya wilaya ya Loiret katika Mkoa wa Centre. Mji una chuo kikuu ni pia makao ya dayosisi ya Orleans yenye kanisa kuu la kihistoria lenye sifa kubw ...

Poitiers

Poitiers ni mji wa Ufaransa wa Kati kando ya mto Clain wenye wakazi 91 000. Ni mji wa kale unaotembelewa na watalii kwa sababu ya majengo mengi ya kale. Poitiers ndio mji mkuu katika mkoa wa Poitou-Charentes. Poitiers ilianzishwa na Wagallia kabl ...

Rennes

Rennes ndiyo mji mkuu katika mkoa la Bretagne. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2012, mji una wakazi wapatao 690.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 30 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Rouen

Rouen ndiyo mji mkuu katika mkoa la Haute-Normandie. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 530.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 2-152 kutoka juu ya usawa wa bahari.