ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 12

Tick Tock (wimbo)

"Tick Tock" ni jina la wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Mayestron uko Ulaya Ireland mwaka wa 2018, umetolewa rasmi 29 Oktoba 2018. Wimbo umetayarishwa na Mayestron mwenyewe kupitia studio yake ya COP Record Entert ...

Bongo Records

Bongo Records ni studio ya kurekodia muziki nchini Tanzania. Studio inamilikiwa na mtayarishaji wa muziki wa hip hop na Bongo Flava P Funk Majani. Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 1995 ikiwa na ya wasanii wachache. Pindi ilipoanzishwa haikuwa na ...

Cash Money Records

Cash Money Records ni studio ya kurekodia muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 1991, ikiwa chini ya ndugu wawili - Bryan "Baby" Williams na Ronald "Slim" Williams.

Interscope Records

Interscope Records ni studio ya muziki ya Kimarekani, inayomilikiwa na studio ya Universal Music Group, na ikiwa inafanyakazi kama moja kati ya mastudio matatu ya UMG - Interscope-Geffen-A&M. Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 1990.

Konvict Muzik

Konvict Muzik ni studio ya kurekodia muziki inayomilikiwa na mwimbaji wa R&B na hip hop Akon. Mbali na Akon, kuna wanamuziki waliomaarufu kama vile T-Pain, Ray Lavender na Kardinal Offishall ambao wote wamesaini mkataba na studio hiyo. Toka m ...

Studio ya kurekodia

Studio ya kurekodia ni mahali palipoandaliwa kwa kurekodi sauti hasa muziki. Studio za aina hii hutawaliwa na watu binafsi au mara nyingi na makampuni ya kurekodia yanayouza rekodi kama DVD au CD za muziki. Studio ndogo zinatumiwa pia na wanamuzi ...

Tommy Boy Records

Khia Force MDs Above the Law The Cliks Skarr-Akbar Handsome Boy Modeling School Thunderpuss Silver Label/Tommy Boy Rustic Overtones Blake Lewis Joydrop Everlast TKA Choice M.C.s Amber Coldcut 808 State Naughty by Nature Pimpadelic Planet Patrol B ...

Virgin Records

Virgin Records ni studio ya kurekodia muziki kutoka Uingereza. Studio ilianzishwa na makabaila wa Kiingereza, Richard Branson, Simon Draper, na Nik Powell kunako mwaka wa 1972. Studio baadaye iliuzwa kwa kampuni ya Thorn EMI, na kisha baadaye, wa ...

Tuzo ya Pulitzer ya Muziki

Tuzo ya Pulitzer ya Muziki ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ilitolewa kuanzia 1943 kwa tungo ya muziki iliyochezwa au kurekodiwa mara ya kwanza katika mwaka uliopita; pia kulikuwa na tuzo maalumu. Katik ...

Grammy Awards

Grammy Awards au Tuzo za Grammy - au Grammys - hutolewa kila mwaka na National Academy of Recording Arts and Sciences ya nchini Marekani kwa ajili ya kazi zilizopata mafanikio makubwa katika soko la muziki. Sherehe hizi za ugawaji wa tuzo hushiri ...

.07%

".07% ni sehemu ya kumi na tisa ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Ni sehemu ya kwanza ambayo ina maelezo yanayosomwa na mtu mwingine mbali na Sendhil Ramamurthy ...

Better Halves

Better Halves ni sehemu ya sita ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

Cautionary Tales

Cautionary Tales ni sehemu ya saba ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza tarehe 19 Novemba 2007.

Collision (Heroes)

Collision ni sehemu ya nne ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa ubunifu wa kisayansi unaorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes. Kipengele hiki awali kilipewa jina la "Come Together".

Company Man

Company Man ni sehemu ya kumi na saba ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Ni kipenge cha kwanza cha Heroes kutelekeza muundo kamili wa hadithi na kufululiza kweny ...

Distractions (Heroes)

Distractions ni sehemu ya kumi na nne ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

Dont Look Back (Heroes)

Dont Look Back ni sehemu ya pili ya msimu wa kwanza wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes. Sehemu imeongozwa na Allan Arkush na kutungwa na Tim Kring. Sehemu hii wahusika wanapambana na mato ...

Fallout (Heroes)

Fallout ni sehemu ya kumi na moja ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

Fight or Flight (Heroes)

Fight or Flight ni sehemu ya tano ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar. 22 Oktoba, 2007. Kipengele hiki kinamwoneshe Bi. Elle kwa mara ...

Five Years Gone

Five Years Gone ni sehemu ya ishirini ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Hiki ni kipengele cha mwisho kabla ya vipande vitatu vya mwisho vya msimu wa kwanza. Seh ...

The Fix (Heroes)

The Fix ni sehemu ya kumi na tatu ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

Four Months Ago.

Four Months Ago. ni sehemu ya saba ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Kipengele hiki kilitungwa na mwanzilishi/matayarishaji mtendaji wa mfululizo huu Tim Kring na kuongozwa na mtayaris ...

Four Months Later.

Four Months Later. ni sehemu ya kwanza ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Sehemu hii ilitungwa na Tim Kring na kuongozwa na Greg Beeman. Ilirushwa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 24 Septe ...

Genesis (Heroes)

Genesis ni sehemu kuu ya kwanza ya mfululizo wa ubunifu wa kisayansi unaorushwa na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes. Sehemu hii imeongozwa na David Semel na kutungwa na Tim Kring. Sehemu hii inaonesha wahusika kadhaa wakuu wanagundua hali za ...

Godsend (Heroes)

Godsend ni sehemu ya kumi na mbili ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

Hiros

Hiros ni sehemu ya tano ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

Homecoming (Heroes)

Homecoming ni sehemu ya tisa ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

How to Stop an Exploding Man

How to Stop an Exploding Man ni sehemu ya ishirini na tatu na mwisho ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Sehemu hii ilitungwa na Tim Kring na kuongozwa na Allan A ...

The Kindness of Strangers (Heroes)

The Kindness of Strangers ni sehemu ya nne ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar. Oktoba 15, 2007. Kipengele hiki kinamtambulisha Monic ...

Kindred (Heroes)

Kindred ni sehemu ya tatu ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Kipengele hik kilitungwa na J. J. Philbin na kuongozwa na Paul Edwards. Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar ...

Landslide (Heroes)

Landslide ni sehemu ya ishirini na mbili ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Ni sehemu ya pili ya vipande vitatu vya mwisho katika msimu wa kwanza.

The Line (Heroes)

The Line ni sehemu ya sita ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar. 29 Oktoba, 2007 huko nchini Marekani.

Lizards (Heroes)

Lizards ni sehemu ya pili ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Sehemu hii ilitungwa na Michael Green na kuongozwa na Allan Arkush. Ilianza kurushwa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 1 Oktoba, ...

Nothing to Hide

Nothing to Hide ni sehemu ya saba ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

One Giant Leap

One Giant Leap ni sehemu ya tatu ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha ubunifu wa kisayansi - kinachorushwa hewani na kituo cha NBC, Heroes. Imeongozwa na Greg Beeman na kutungwa na Jeph Loeb.

Out of Time (Heroes)

Out of Time ni sehemu ya saba ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar. 5 November 5, 2007.

Parasite (Heroes)

Parasite ni sehemu ya kumi na nane ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Kipengele hiki kilikuwa maarufu kwamba, kwenye baadhi ya masoko, maneno ya utangulizi "Prev ...

Powerless (Heroes)

Powerless ni sehemu ya 11 na ya mwisho ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes na sehemu ya therathini-na-nne ya jumla ya sehemu zote. Ilitungwa na mtarishaji-mwenza Jeph Loeb na imeongozwa n ...

Run!

Run! ni sehemu ya kumi na tatu ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes. Washiriki wa kawaida Milo Ventimiglia na Santiago Cabrera hawajaonekana kwenye kipengele ...

The Second Coming (Heroes)

The Second Coming ni jina la kutaja sehemu ya kwanza ya msimu wa tatu wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes, na sehemu ya therathini-na-tano kwa hesabu ya sehemu zote. Kipengele hiki kilitungwa na m ...

Seven Minutes to Midnight (Heroes)

Seven Minutes to Midnight ni sehemu ya nane ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes.

The Hard Part

The Hard Part ni sehemu ya ishirini na moja ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Ni sehemu ya kwanza katika sehemu tatu za mwisho za msimu wa kwanza. Jina linatoka ...

Truth & Consequences

Truth & Consequences ni sehemu ya kumi ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Ilianza kurushwa kuanzia tar. 26 Novemba, 2007. Katika kurushwa kwake kwa mara ya kwanza, ilipokea watazamaji m ...

Unexpected (Heroes)

Unexpected ni sehemu ya kumi na sita ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Washiriki wa kawaida Noah Gray-Cabey, Ali Larter na Leonard Roberts hawajaonekana kwenye ...

24 (msimu wa 1)

Msimu wa Kwanza wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24 ulianza kurushwa hewani mnamo tar. 6 Novemba 2001 hadi 21 Mei 2002. Mwanzo wa hadithi ya msimu huu inaanzia saa 6:00 usiku katika siku ya uchaguzi wa Rais wa Marekani.

24 (msimu wa 2)

Msimu wa Pili ni mfululizo wa TV wa 24 ulianza kurushwa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 28 Oktoba 2002 hadi tar. 20 Mei 2003. Msimu huu ulianza na kuishia saa 8:00 asubuhi. Kipengele cha kwanza kina saa zima ikiwa kama kivutio cha biashara.

24 (msimu wa 3)

Msimu wa Tatu ya mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24 ulioanza kurushwa nchini Marekani mnamo tar. 28 Oktoba 2003 na kipengele cha mwisho kuishia mnamo tar. 25 Mei ya mwaka wa 2004. Kipengele kikubwa kinatembea saa nzima na kilitolewa huri ...

24 (msimu wa 4)

Msimu wa Nne ya mfululizo wa televisheni wa 24 ulioanza kurushwa hewani mnamo tar. 9 Januari 2005 na kipengele cha mwisho kuishia 23 Mei 2005. Mstari wa hadithi ya msimu wa nne inaanza na kuisha saa 1:00 Asubuhi. Kipande cha kwanza cha dakika 10 ...

24 (msimu wa 5)

Msimu wa Tano ya mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24 kilichoanza kurushwa hewani kuanzia tar. 15 Januari 2006 na kumalizia msimu wake kunako tar. 22 Mei 2006. Hadithi ya Msimu wa Tano inaanza na kushia 7:00 asubuhi. Muda wake uko sawa na ...

24 (msimu wa 6)

Msimu wa Sita ya mfululizo wa televisheni wa 24 ulioanza kurushwa hewani nchini Marekani mnamo siku ya Jumapili, 14 Januari 2007, Uingereza mnamo 21 Januari 2007 na nchini Australia mnamo 30 Januari 2007. Hadithi ya msimu huu inaanza na kuisha sa ...