ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 120

Strasbourg

Strasbourg ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Alsace. Mji upo mita 132-151 juu ya usawa wa bahari. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 700.000 wanaoishi katika mji huu.

Toulouse

Toulouse ndiyo mji mkuu katika mkoa la Midi-Pyrénées. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 1.1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 115-263 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Chandigarh

Chandigarh ni mji wa Uhindi kaskazini. Eneo lake lahesabiwa kama eneo maalumu la kitaifa si sehemu ya jimbo lolote lakini wakati huohuo ni mji mkuu wa majimbo mawili jirani Punjab na Haryana. Eneo lina kilomita za mraba 114 na idadi ya wakazi ina ...

Dekkani

Dekkani ni tambarare kubwa ya juu inayojumisha sehemu kubwa ya Uhindi Kusini. Tambarare hii inaenea katika majimbo manane ya Uhindi. Maeneo yake kwa jumla ni zaidi ya km² 422.000 ambazo ni sawa na asilimia 43 za Uhindi wote. Umbo la Dekkani ni ta ...

Jaipur

Jaipur ni mji mkuu wa jimbo la Rajastan nchini Uhindi. Mnamo mwaka wa 2011, karibu watu milioni tatu waliishi hapo. Iko mnamo km 300 kusini magharibi kwa Delhi na takriban km 200 magharibi kwa Agra. Kuna viwanda mbalimbali katika jiji hilo, ambal ...

Kashmir

Kashmir ni eneo katika kazkazini ya Bara Hindi kwenye milima ya Himalaya. Eneo hili limegawiwa kati ya Pakistan na Uhindi tangu 1947. Sehemu ndogo katika milima ya juu ya Kazkazini imevamiwa na Uchina tangu 1962. Fitina ya Kashmir imesababisha ta ...

Kochi, Kerala

Kochi ni mji katika jimbo la Kerala kwenye kusini-magharibi ya Uhindi. Kochi ina bandari asilia kwenye mwambao wa Bahari ya Kiarabu ikiwa na historia ndefu ya biashara ya kimataifa. Mnamo mwaka 2021 mji ulikuwa na wakazi 600.000, rundiko la jiji ...

Aachen

Aachen ni jiji la nchini Ujerumani ambalo lipo katika jimbo la Rhine Kaskazini-Westfalia. Mji huo una wakazi wapatao 260.000 wanaoishi huko na unajulikana kwa kuwa na chuo kikuu cha Rheinisch-Westfälisch Technische Hochschule RWTH na kuwa na hist ...

Bergisch Gladbach

Bergisch Gladbach ni mji uliopo nchini Ujerumani katika jimbo la Rhine Kaskazini-Westfalia. Mji upo karibu na mji wa Cologne una wakazi takriban 110.016 waishio katika mji huo.

Bielefeld

Bielefeld ni jiji lililopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Ujerumani. Jiji lipo katika jimbo la Rhine Kaskazini - Westfalia. Mji wa Bielefeld una wakazi wapatao 330.000 wanaoishi mji hapa. Mji pia una Chuo Kikuu cha Bielefeld.

Bonn

Bonn ni mjii nchini Ujerumani katika jimbo la Rhine Kaskazini-Westfalia kando la mto Rhein karibu na Cologne. Kuna wakazi 314.000 kwenye eneo la 141 km². Bonn imejulikana kimataifa kwa sababu ilikuwa mji mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani ...

Bremen

Bremen ni mji wenye bandari muhimu katika Ujerumani ya Kaskazini. Iko kando ya mto Weser takriban km 50 kabla haujaingia katika Bahari ya Kaskazini. Mto Weser unapanuka baada ya kupita mji kuwa na mdomo mpana sana kabla ya kuishia baharini hivyo ...

Eisleben

Eisleben ni mji katika jimbo la Saksonia-Anhalt nchini Ujerumani. Mji huu ni mashuhuri kama mahali pa kuzaliwa kwa Martin Luther na kwa hiyo jina rasmi ni Lutherstadt Eisleben. Mnamo mwaka 2015 Eisleben ilikuwa na wakazi 24.198.

Emden

Emden ni mji na pia bandari iliyoko kaskazini-magharibi mwa nchi ya Ujerumani, katika mto Ems. Ni mji mkuu wa mkoa wa Frisia ya Mashariki. Hadi mwaka 2006, mji ulikuwa na wakazi wapatao 51.692.

Frankfurt am Main

Frankfurt am Main ni kati ya miji mikubwa ya Ujerumani. Ina wakazi 747.000. Rundiko la mji wa Frankfurt pamoja na miji mingine kama Mainz na Wiesbaden inaitwa eneo la Rhein-Main lenye wakazi milioni nne. Frankfurt ni kitovu cha uchumi ch Ujeruman ...

Hannover

Hannover ni mji mkuu wa jimbo la Saksonia ya nchini Ujerumani. Idadi ya wakazi wake ni takriban 519.000. Mtangulizi wa mji ilikuwa kijiji kando la mto Leine kwenye nafasi ya kuvuka mto huu kwa miguu; mabaki ya makazi yaligunduliwa yaliyokuwepo ta ...

Ingolstadt

Ingolstadt ni mji wa Bavaria nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Danubi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 124.387. Mji ulianzishwa 806. Ingolstadt (Kijerumani matamshi: alikuwa vita wengi walitaka jinai duniani kote

Köln

Maana asili ya jina ni "koloni". Ni mji wa kale ulioundwa kwa jina la "Colonia Claudia Ara Agrippinensis" kama koloni ya Waroma wa Kale mnamo mwaka 50. Mahali pa mji paliwahi kuwa boma la Kiroma na kabla ya hapo kijiji cha kabila cha Waubii. Köln ...

Lüneburg

Lüneburg ni mji wa Saksonia nchini Ujerumani ya Kaskazini. Idadi ya wakazi wake ni takriban 72.800. Ni makao makuu ya wilaya ya Lüneburg; hadi kufutwa kwa mikoa ya Saksonia Chini ilikuwa pia makao makuu ya mkoa. Lüneburg ni mji wa kihistoria. Nyu ...

Nürnberg

Nürnberg ni mji wa pili mkubwa zaidi wa jimbo la Ujerumani la Bavaria baada ya mji mkuu wa Munich, na wenyeji wake 511.628 wanaifanya kuwa jiji la 14 kubwa zaidi nchini Ujerumani. Katika Mto Pegnitz na Mto Dinibe Mkuu wa Rhine, iko katika eneo la ...

Stuttgart

Stuttgart ni mji mkuu wa jimbo la Baden-Württemberg nchini Ujerumani mwenye wakazi 590.000. Mji uko katika bonde kando la mto Neckar. Stuttgart ni mji mkubwa wa sita wa Ujerumani na kitovu cha kiuchumi cha Ujerumani kusini-magharibi. Makampuni ma ...

Braga

Braga ni mji wa Ureno kaskazini-magharibi. Una wakazi 137.000. Hivyo ni wa saba kati ya miji ya Ureno. Eneo lake ni la km² 183.40&nbsp.

Funchal

Funchal ni makao makuu wa visiwa vya Madeira ikiwa kwenye kisiwa kikuu kinachoitwa Madeira pia. Vilevile makao makuu ya wilaya ya Funchal. Madeira ni funguvisiwa la Kireno katika sehemu ya Kiafrika ya Atlantiki. Maana ya neno "funchal" ni "shamar ...

Lisbon

Lisbon ni mji mkuu wa Ureno, pia mji mkubwa wa nchi wenye wakazi 560.000; pamoja na rundiko la mji ni milioni mbili. Mji uko kando ya mto Tejo kwenye kona ya kusini-magharibi ya Ulaya mwambaoni kwa Atlantiki.

Ureno

Ureno kwa Kireno Portugal ni nchi kwenye pembe ya kusini magharibi kabisa ya Ulaya. Upande wa magharibi na kusini imepakana na Bahari ya Atlantiki, na upande wa mashariki na kaskazini imepakana na Hispania. Mafunguvisiwa ya Atlantiki ni pia sehem ...

Dvina ya Kaskazini

Dvina ya Kaskazini ni mto mkubwa katika kaskazini ya Urusi unaopitia Vologda Oblast na Arkhangelsk Oblast ukiishia katika Hori ya Dvina ya Bahari Nyeupe. Matawimto makuu ni Vychegda kulia, Vaga kushoto, na Pinega kulia.

Ket

Ket ni mto ulioko Urusi; una urefu wa kilometa 1.621. Ket ni tawimto la mto Ob unaopeleka maji yake hadi Bahari ya Aktiki. Mkondo wake mdomoni ni mita za ujazo 469 kwa sekunde. Ket ina chanzo chake katika Krasnoyarsk Krai ikiendela katika Tomsk O ...

Kisiwa cha Bering

Kisiwa cha Bering ni kisiwa cha Kirusi kilichopo ndani ya Bahari ya Bering takriban kilomita 230 upande wa mashariki wa Rasi ya Kamchatka. Ni sehemu ya Visiwa vya Kamanda vinavyotazamwa kuwa sehemu ya magharibi ya pinde la Visiwa vya Aleuti. Kisi ...

Milima ya Ural

Kwa maana mengine ya neno hili tazama hapa Milima ya Ural Kirusi: Ура́льские го́ры - uralskiye gory ni safu ya milima nchini Urusi na Kazakhstan inayoelekea kutoka kaskazini kwenda kusini kwa urefu wa kilomita 2.500. Safu ya Ural hutazamiwa kama ...

Rasi ya Chukchi

Rasi ya Chukchi ni rasi ya mashariki zaidi ya Asia. Upande wa mashariki inaishia kwenye Rasi Dezhnev karibu na kijiji cha Uelen. Imepakana na Bahari ya Chukchi upande wa kaskazini, Bahari ya Bering upande wa kusini, na Mlango wa Bering upande wa ...

Severnaya Zemlya

Severnaya Zemlya ni funguvisiwa la Urusi katika Bahari Aktiki mbele ya pwani ya kaskazini ya Siberia. Inatenganisha bahari za kando za Bahari ya Kara na Bahari ya Laptev. Visiwa vyake huwa na eneo la nchi kavu la km² 37.000. Ni visiwa vinne vikub ...

Tambarare ya Siberia Magharibi

Tambarare ya Siberia Magharibi ni tambarare kubwa ambayo inachukua sehemu ya magharibi ya Siberia, kati ya Milima ya Ural upande wa magharibi na Mto Yenisei upande wa mashariki, tena Milima ya Altay upande wa kusini mashariki. Eneo lote ni takrib ...

Visiwa Vipya vya Siberia

Visiwa Vipya vya Siberia ni funguvisiwa la Bahari Aktiki katika kaskazini ya Urusi. Viko upande wa kaskazini wa pwani ya Siberia kati ya Bahari ya Laptev na Bahari ya Siberia Mashariki.

Visiwa vya Kamanda

Visiwa vya Kamanda ni kundi la visiwa katika Bahari ya Bering, takriban kilomita 200 - 300 upande wa mashariki wa Rasi ya Kamchatka katika Siberia, upande wa mashariki mwa Urusi. Zinahesabiwa kuwa sehemu ya magharibi kabisa ya pinde la Visiwa vya ...

Volga

Volga ni mto mrefu kuliko yote ya Ulaya. Mwendo wake kuanzia chanzo hadi mdomo uko nchini Urusi. Urefu wake ni km 3.690. Inanaza kaskazini- magharibi ya Moskva na kupita kwenye tambarare za Urusi ya magharibi. Inaishia kwenye Bahari ya Kaspi kwa ...

Gotland

Gotland ni kisiwa, manispaa na jimbo nchini Uswidi. Ndiyo kisiwa kikubwa cha kwanza nchini Uswidi na pia ni kisiwa kikubwa cha Bahari ya Baltiki. Kuna wakazi 58.003 mwaka 2016. Mji mkubwa wa kwanza ni Visby.

Kiruna

Kiruna ni mji na manispaa ya kaskazini kabisa nchini Uswidi. Kuna wakazi 18.154. Kiruna ni mji ulioanzishwa 1899 kama kituo cha migodi ya kuchimba chuma. Mwaka uleule njia ya reli ilikamilishwa hadi mahali pa mji mpya iliyokuwa lazima kwa kubeba ...

Sion, Uswisi

Sion ni mji wa Uswisi, manispaa, na mji mkuu wa jimbo la Valais na wilaya ya Sion. Kuanzia Desemba 2019 ilikuwa na idadi ya watu 34.710. Mnamo 17 Januari 1968, manispaa ya zamani ya Bramois iliungana na manispaa ya Sion. Mnamo 1 Januari 2013, man ...

Thun

Thun ni mji na manispaa katika wilaya ya utawala ya Thun katika jimbo la Bern nchini Uswizi. Iko mahali Aare inapita kutoka Ziwa Thun, kilomita 30 kusini mashariki mwa Bern. Kuanzia Desemba 2018 manispaa ina karibu wakazi 45.000 na karibu 80.000 ...

Uswisi

Uswisi ni nchi ya Ulaya isiyo na pwani katika bahari yoyote. Imepakana na Ujerumani, Ufaransa, Italia, Austria na Liechtenstein. Jina rasmi ni Confoederatio Helvetica kwa Kilatini: Shirikisho la Kiswisi. Majimbo yake 26, ambayo huitwa "kantoni", ...

Adana

Adana ni mji wa Uturuki. Huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Adana. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 1.130.710 waishio huko, na kuufanya kuwa mmoja kati ya miji mitano mikubwa katika nchi ya Uturuki. Mwaka wa 2006 m ...

Afyonkarahisar

Afyonkarahisar ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Uturuki, na ni mji mkuu wa Mkoa wa Afyonkarahisar. Afyon ni mji uliopo milimani kutoka nchi kavu kuelekea katika pwani ya Aegean, takriban km 250 kutoka kusini-magharibi mwa mji wa Ankara hadi ku ...

Aksaray

Aksaray ni mji uliopo Anatolia ya Kati nchini Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Aksaray. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi waishio katika wilaya hiyo ni 236.560 ambao wengine 129.949 wanaishi katika mji wa A ...

Amasra

Amasra ni mji wa bandari ndogo ya Bahari Nyeusi iliopo katika Mkoa wa Bartın huko nchni Uturuki. Mji huu unaheshimiwa leo hii kwa sababu ya fukwe zake za bahari na hali ya uasili wa mambo yake, ambacho imefanyia wakazi wa hapa kujifanyia shughuli ...

Amasya

Amasya ni kata ya Mkoa wa Amasya iliyopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Inachukua eneo la km 1730, na idadi ya wakazi inapata 33.000, ambao wengine 74.000 wanaishi mjini na waliosalia wanaishi vijijini. Kimo kutoka usawa wa bahari ni m. 411. Amas ...

Ardahan

Ardahan ni mji uliopo mjini kaskizini-mashariki ya nchi ya Uturuki, ambao umepakana na mpaka wa nchi ya Georgia. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Ardahan.

Artvin

Artvin ni mji uliopo kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, ambao pia upo katika Mto Çoruh karibu kabisa na mpaka wa nchi ya Georgia. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Artvin.

Ağrı

Ağrı, zamani uliitwa Karaköse au Karakilise, ni mji mkuu wa Mkoa wa Ağrı uliopo mwishoni mwa mashariki ya nchi ya Uturuki, karibu kidogo na mpaka wa nchi ya Iran.

Bolu

Bolu ni mji ulipo nchini Uturuki, na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Bolu. Idadi ya wakazi wa mji huo wanafikia 84.565. Bolu ipo katika njia ya zamani itokayo mjini Istanbul hadi Ankara, ambayo inapanda kuelekea juu ya Mlima Bolu, wakati njia mpya ya g ...

Burdur

Burdur, ni mji ulipo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mjii mkuu wa Mkoa wa Burdur katika Uturuki. Mji upo katika pwani ya Ziwa Burdur. Mji unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 67.097 kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007.