ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 122

Diyarbakır

Diyarbakır ni mji mkubwa sana uliopo kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika eneo la ukingo wa Mto Tigris, huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Diyarbakır wenye wakazi karibuni milioni 1.5. Wenye lundiko la watu takriban 600.000, huu ni mji wa ...

Edirne

Edirne (anc. Hadrianopolis ; Kigiriki Adrianòpolis, Αδριανουπολις; Kibulgaria Одрин ni mji katika sehemu ya magharibi mwa nchi ya Uturuki, katika sehemu yake iliyopo kwenye bara la Ulaya, karibu kabisa na mipaka ya Ugiriki na Bulgaria. Huu ni mji ...

Gaziantep

Gaziantep ni mji mkuu wa Jimbo la Gaziantep nchini Uturuki. Mji huu unatazamwa kama moja kati ya miji ya kale duniani ambayo hadi leo bado inakaliwa. Mji huo una vituo viwili vya utawala wa wilaya zake, Sahinbey na Sehitkamil, na unakaliwa na wak ...

Giresun

Giresun ni jina la mji mkuu wa Mkoa wa Giresun katika kaskazini-mashariki ya Ukanda wa Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Takriban 175 km kutoka magharibi mwa jiji la Trabzon. Mji una wakazi wapatao 90.000.

Gümüshacıköy

Gümüshacıköy ni mji na wilaya iliopo mjini magharibi mwa Mkoa wa Amasya huko nchini Uturuki. Takriban 20 km kutoka kwenye mji wake ulio mkubwa kabisa mjini hapa wa Merzifon. Mji unachukua eneo la 653 km² na jumla la wakazi takriban 29.795 na weng ...

Gümüshane

Gümüshane ni jina la kutaja mji mkuu wa Jimbo la Gümüshane katika maeneo ya Bahari Nyeusi huko nchnii Uturuki. Mji umelaliana na Ziwa Harsit, kwenye mapolomoko yenye takriban futi 5.000. Takriban maili 40 kutoka kusini-magharibi mwa mji wa Trabzo ...

Hopa

Hopa ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Artvin huko nchini Uturuki. Takriban km 67 kutoka mjini kwa Artvin. Kwa upande wa mashariki, mji upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi karibu kidogo na mpaka wa nchi ya Georgia.

Iğdır

Iğdır ni jina la mji mkuu wa Jimbo la Iğdır lililopo mjini Mashariki mwa Mkoa wa Anatolia, Uturuki. Mji umepakana na Armenia, Nakhchevan na Iran. Mpaka wa Armenia una sababishwa na Mto Aras. Mlima mrefu wa Uturuki ni Ağrı Dağı, upo ndani ya jimbo ...

Isparta

Isparta ni jina la mji uliopo magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkaoa wa Isparta. Takriban watu 250.000 wanaishi mjini hapa. Mji upo mita 1035 kutoka juu ya usawa wa bahari. Jina lingine la mji ni "Mji wa Miuaridi". Katika majina ...

Istanbul

Istanbul ni mji mkubwa zaidi katika nchi ya Uturuki, ukiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya milioni 11 na 15, ambao wanaufanya kuwa miongoni mwa miji mikubwa ya dunia. Huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Istanbul. Eneo la Istanbul linaelekea pande z ...

Izmir

Izmir, kwa jina la kihistoria Smyrna, ni mji wa tatu kwa ukubwa katika Uturuki, na ndio mji wenye bandari kubwa baada ya Istanbul. Upo katika eneo la maji yatokayo Ghuba ya Izmir, katika Bahari ya Aegean. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Izmir, ambao u ...

Kahramanmaras

Kahramanmaras ni mji uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kahramanmaras. Mji una wakazi takriban 326.198, kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000.

Karaman

Karaman ni mji wa kusini ya kati huko nchini Uturuki. Mji upo kaskazini mwa Milima ya Taurus, takriban kilomita 100 kutoka mjini kusini mwa Konya. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Karaman. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadai ya ...

Kars

Kars ni mji uliopo mjini kaskazini-mashariki ya nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kars. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi imefikia kiasi cha 130.361 wanaoishi mjini hapa.

Kastamonu

Kastamonu ni wilaya kuu ya Jimbo la Kastamonu huko nchini Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wanaoishi katika wilaya hii ilikadiriwa kufikia kiasi cha 102.059 ambao wengine 64.606 wanaishi katikati ya m ...

Kırıkkale

Kırıkkale ni mji mkuu wa Jimbo la Kırıkkale nchini Uturuki. Upo kilomita 80 kutoka mashariki mwa mji wa Ankara. Jina la mji huu lina maana ya ngome iliyovunjikwa. Mji upo mita 713 juu ya usawa wa bahari. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa ...

Kırklareli

Kırklareli ni mji mkuu wa Jimbo la Kırklareli mjini Thrace ya Mashariki, katika sehemu ya Ulaya huko Uturuki. Mji una wakazi wapatao 66.000, kwa mujibu wa sensa walizofanya mnamo mwaka wa 2000. Mji upo katika kimo cha mita 203O kutoka juu ya usaw ...

Kırsehir

Kırsehir, zamani uliitwa Macissus na Justinianopolis, ni mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kırsehir. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji umekadiriwa kuwa na wakazi wapatao 115.078 ambao wengine 88.105 wa ...

Kütahya

Kütahya ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 213.000. Upo karibu na mto Porsuk, mita 969 kutoka juu ya usawa wa bahari. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kütahya, unaokaliwa na watu 684.082. Mkoa wa Kütahya una eneo kubwa ...

Mardin

Mardin ni mji uliopo mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Mardin, unajulikana sana kwa ujenzi wake wa staili ya Kiarabu, na maeneo yake ya milima ya mawe inayoitazama Syria kwa upande wa kaskazini. Mji wa Mardin ...

Milima ya Anatolia Kaskazini

Milima ya Anatolia Kaskazini ni safu ya milima katika Uturuki. Inafuatana na pwani ya Bahari Nyeusi upande wa kaskazini wa rasi ya Anatolia kwa urefu wa kilomita 1.000 hivi. Jina la kihistoria la eneo hili ni "Ponto" kwa hiyo milima huitwa vile k ...

Milima ya Taurus

Milima ya Taurus ni milima ya kusini mwa Uturuki inayotenganisha Bahari ya Mediteranea na mabonde ya Mesopotamia upande wa kusini na nyanda za juu za Anatolia upande wa kaskazini. Safu za milima hii zina urefu wa kilomita 1.500 ikianza karibu na ...

Muğla

Muğla ni jina la mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Muğla, ambayo imekuja hadi katika pwani ya Bahari ya Aegean upande wa kusini-magharibi mwa nchi. Mji upo m 660 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mus

Mus ni jina la kuita mji mkuu wa Jimbo la Mus huko nchini Uturuki. Idadi ya wakazi kimanispaa ya mjini hapa inataja kuwa ni 64.088. Mji huu unatazamika kama mmoja kati ya miji ya mwanzoni kabisa ya kituo cha ustarabu wa Kiarmenia na kujengwa maka ...

Ordu

Ordu ni jina la kutaja mji na bandari uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Huu ndiyo mji mkuu wa Jimbo la Ordu. Kiasili jina linamaa ya "jeshi" kwa Kituruki. Mji una wakazi takriban 136.000, kwa mujibu wa sensa walioifanya ka ...

Sinop (Uturuki)

Sinop ni jina la mji uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 47.000. Mji huu kihistoria unajulikana kama Sinope. Pia, huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Sinop.

Solhan

1- A – a – Adır, adırvas, alef, alınç, alısk, alliy, apey, arcic, arco, ard, arıs, aros, asın, asmi, asm, ati, aver, aw, awo, ayre, azo 2- B – b – Bar, barmı, barz, barzi, basna, baweri, bawkal, bawo, berıħ, beron, betal, bey, bın, bınki, bıra, b ...

Tarso

Tarso ni mji wa kale na wilaya iliopo katika Mkoa wa Mersin kwenye Kanda ya Mediteranea kusini mwa Uturuki. Iko mdomoni wa mto Tarsus Cay jina la kale: Kydnos karibu na mwambao wa Mediteranea. Mji una wakazi 216.382 sensa ya mwaka 2000.

Tekirdağ

Tekirdağ ni mji uliopo Thrace ya Mashariki, katika sehemu ya Kiulaya, Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Tekirdağ na unaonekana na wengi kama mji ni mdogo sana, mji mtulivu sana kuliko kituo chake cha kibaishara cha Çorlu, ambapo ndipo kuna mak ...

Uturuki

Uturuki Jamhuri ya Uturuki ; kwa Kituruki: Türkiye Cumhuriyeti ni nchi ya kimabara kati ya Asia na Ulaya. Sehemu kubwa iko Asia ya magharibi lakini sehemu ndogo ya eneo lake upande wa magharibi wa Bosporus iko Ulaya.

Yozgat

Yozgat, zamani uliitwa Bozok ni mji uliopo nchini Uturuki. Pia, huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Yozgat katika Kanda ya Anatolia ya Kati nchini Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 113.614 of ambao we ...

Zonguldak

Zonguldak ni mji na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Zonguldak katika kanda ya Bahari Nyeusi nchini Uturuki. Idadi ya wakazi wanaoishi mjini hapa ni 104.276 ambayo ilihesabiwa mnamo mwaka wa 2000. bandari muhimu ya Bahari Nyeusi, na ni maarufu kwa ajili ...

Sanaa

Sanaa ni mji mkuu wa Yemeni mwenye wakazi 1.747.627. Iko kwa 15°21N na 44°12E kwenye nyanda za juu za Yemen kwenye kimo cha 2.200 m juu ya UB. Mji uko takriban 300 km kaskazini ya Aden ambayo ni mji mkubwa wa nchi.

Krete

Krete ni kisiwa kikuu na chenye watu wengi zaidi cha Ugiriki, na ni cha tano katika Bahari ya Kati, baada ya Sicily, Sardinia, Cyprus na Corsica. Pamoja na visiwa vya jirani vya bahari ya Aegean kinaunda mkoa wa Krete Περιφέρεια Κρήτης, mmoja kat ...

Livingstone (mji)

Livingstone ni mji na makao makuu ya mkoa wa Kusini wa Zambia, kando ya mto Zambezi, wenye wakazi 110.000. Mji ni kitovu cha utalii wa Maporomoko ya maji ya Victoria Falls upande wa Zambia. Pia ni kituo cha mpakani kwenye daraja la Zambezi kwenda ...

Luangwa

Luangwa ni mji wa Zambia kwenye pembetatu ya mpakani kati ya Zambia, Msumbiji na Zimbabwe mahali panapoishia mto Luangwa katika Zambezi si mbali na ziwa la lambo la Cabora Bassa. Ngambo ya Zambezi upande wa Zimbabwe iko Kanyembe na ngambo ya mto ...

Lusaka

Lusaka ni mji mkuu wa Zambia. Jiji la Lusaka liko Kusini ya Kati ya Zambia, na mahali pake ni 15°25 Kusini, 28°17 Mashariki Archived Machi 25, 2011 at the Wayback Machine. Iko futi 4200 juu ya UB. Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa watu 1.391. ...

Magadi, Kenya

Magadi, Kenya ni mji katika Mkoa wa Bonde la Ufa katika Ziwa Magadi. Mji wa Magadi upo kaskazini mashariki mwa Ziwa Natron in Tanzania. Mji wa Magadi upo kando ya Ziwa Magadi upande wa mashariki.Kampuni ya Magadi Soda Company ipo katika mji huu. ...

Alameda, California

Alameda ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 72.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 60 km².

Albany, California

Albany ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 16.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 13 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 14 km².

Anaheim, California

Anaheim ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 350.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 48 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 131 km².

Antioch, California

Antioch ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 100.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 13 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 71 km².

Arcadia, California

Arcadia ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 53.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 147 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 29 km².

Avalon, California

Avalon ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 3.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 9 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 8 km².

Azusa, California

Azusa ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 45.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 186 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 23 km².

Bakersfield, California

Bakersfield ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 334.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 123 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 293 km².

Baldwin Park, California

Baldwin Park ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 85.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 114 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 18 km².

Bell Gardens, California

Bell Gardens ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 44.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 37 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 6 km².

Bell, California

Bell ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 37.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 43 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 7 km².

Belmont, California

Belmont ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 25.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 13 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 12 km².