ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 127

Ziwa Saimaa

Saimaa ni ziwa kubwa zaidi nchini Ufini. Linaenea katika km 2 4380 za maji. Mto Vuoksi unapita katika Saimaa. Miji iliyo karibu na fukwe za Saimaa ni Lappeenranta, Joensuu, Mikkeli, Imatra, Savonlinna na Varkaus.

Mto Adur

. Mto Adur ni mto katika Sussex, Uingereza. Wilaya ya Adur West Sussex imeitwa baada yake. Mto huu ulitumiwa na vyombo kubwa hadi mji wa Steyning ambapo bandari kubwa ilikuwa. Hata hivyo baada ya muda bonde la mto lilivuta na bandari kuhamia kati ...

Chillingham Castle

Ngome ya Chillingham ni ngome ya kipindi cha Enzi ya Kati katika historia iliyoko kwenye kijiji cha Chillingham kwenye kaskazini ya Northumberland, Uingereza. Katika ngome hii wanapatikana ngombe wa aina adimu sana ya Ngombe wa Chillingham. The c ...

Douglas

Douglas ni mji mkuu wa Isle of Man. Kuna wakazi 25.422 ambao ni takriban theluthi moja ya wakazi wote wa kisiwa. Mji uko upande wa mashariki wa Man na tangu 1863 umekuwa mji mkuu. Umejengwa kando la bandari asilia. Msingi wa uchumi ni utalii. Jin ...

Isle of Man

Isle of Man ni kisiwa baharini kati ya Uingereza na Ueire chenye wakazi 75.000 kwenye eno la 572 km². Man ni eneo chini ya taji la Uingereza si sehemu ya Uingereza yenyewe. Douglas ni mji mkuu. Lugha rasmi ni Kiingereza pamoja Kimanx ambacho ni l ...

Jersey

Jersey ni kisiwa kikubwa kati ya Visiwa vya mfereji wa Kiingereza chenye wakazi 90.000. Kipo karibu na pwani la Ufaransa lakini ni eneo chini ya taji la Uingereza isipokuwa si sehemu ya Uingereza mwenyewe. Mji wa pekee ni Saint Helier. Lugha zina ...

Leeds

Leeds ni mji katika kaskazini ya Uingereza na mji mkubwa wa tatu nchini mwenye wakazi 458.000 mjini penyewe ambao pamoja na rundiko la "Metropolitan Borough City of Leeds" wanafikia 700.000. Leeds ilikua kuwa mji mkubwa wakati wa mapinduzi ya viw ...

Manchester

Manchester ni mji uliopo kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uingereza. Mji unajulikana kama "mji mkuu wa kaskazini ya Uingereza". Manchester una kilabu mbili za mpira ambazo zinajulikana sana, Manchester United na Manchester City.

Mto Ember

Mto Ember ni mto katika kata ya Surrey, Uingereza Ni tawimto la Mto Mole ambao unagawanyika mara mbili katika Hifadhi ya Kisiwa cha barn katika Kusini Mashariki na Magharibi Molesey. Sehemu kubwa huwa Mto Ember na hutiririka katika mashariki na k ...

Mto Fal

Mto Fal unapitia Cornwall, Uingereza, kuanzia Goss Moor na kufika katika mtaro wa Uingereza Falmouth. Juu au karibu na ufuko wa Fal ni majumba ya Pendennis na St Mawes na vilevile Shamba la Trelissick. Mto Fal hutenganisha rasi ya Roseland kutoka ...

Mto Hull

Una chanzo katika Yorkshire Wolds. Unaweza kupitika kwanzi mkutano wake na Driffield Navigation katika Aike Beck, na inaendelea kupitia makutano na mtaro wa leven, Arram Beck na Beverley Beck. Inajiunga na mto Humber katikati ya Kingston juu ya H ...

Newcastle upon Tyne

Newcastle ni mji wa Uingereza ulio kando ya mto Tyne. Mji una watu wengi: takriban wakazi 271.600 wanaishi mjini huko. Jiji hili lilikua baada ya kuongozwa na Waroma na likaitwa the Castle na Robert Curthose.

Scarborough

Scarborough ni mji kwenye pwani ya North Yorkshire, Uingereza. Ni moja ya makazi kubwa katika kanda, na wakazi zaidi ya 50.000, na pana mijini karibu kanda ya watu 100.000, na kubwa zaidi bahari mapumziko katika Pwani ya Mashariki.

Muziki wa Jibuti

Jibuti ni taifa dogo lipatikanalo katika Pembe ya Afrika ambayo imekuwa mitimdo mingi ya muziki za humo nchini. Watu wa huko wamejikidhi kwa wengi katika mji wa uvuo ambao pia huitwa Mji wa Jibuti. Nchi hiyo imekuwa ikishirikishwa mataifa mengi, ...

Paul Simon

Paul Simon ni mwanamuziki wa country, anaimba na kupiga gitaa. Amewahi kushirikiana na wanamuziki wengi; moja ya makundi hayo ni Ladysmith Black Mambazo. Nyimbo alizowahi kuimba ni "Homeless", "Mother and child reunion" na "Diamond in the sole of ...

Hans Buchner (Mtunzi)

Hans Buchner alikuwa mtungaji muziki na mpigakinanda kutoka nchi ya Ujerumani. Aliandika "Kitabu cha Msingi". Humo kitabuni alikusanya muziki kwa kinanda pamoja na maelezo ya upigakinanda.

Chinua Achebe

Chinua Achebe alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Nigeria. Ameandika vitabu vingi vyenye riwaya, mashairi na insha. Hadithi zake zinatumia mitindo ya fasihi simulizi ya lugha yake ya asili, Kiigbo. Hata hivyo ameandika hasa kwa Kiingereza. Baadhi ya ...

Penina Muhando

Muhando alizaliwa Berega Mkoa wa Morogoro nchini Tanzania mwaka 1948. Alipata shahada ya sanaa,shahada ya elimu,napia shahada ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam.Alifanikiwa kuwa profesa na pia kiongozi wa idara ya sanaa ya maigizo kat ...

Conrad Aiken

Kigezo:Short description Kigezo:Tfm Conrad Potter Aiken Agosti 5, 1889 - 17 Agosti 1973 alikuwa mwandishi na mshairi wa Amerika, aliyeheshimiwa na Tuzo ya Pulitzer, Tuzo ya Kitabu cha Kitaifa, na alikuwa Mshindi wa Mshairi wa Merika kutoka 1950 h ...

Edward Albee

Edward Franklin Albee alikuwa mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake" Nani Anaogopa Virginia Woolf?” iliyotolewa 1962. Kwa ajili ya tamthiliya zake za baadaye alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya T ...

Gwendolyn Brooks

Gwendolyn Elizabeth Brooks alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1949, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi kwa mashairi yake. Alikuwa Mwafrika-Mmarekani wa kwanza kupokea tuzo hiyo.

George Cain

George Cain alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa pia Mmarekani mweusi. Anajulikana hasa kwa riwaya yake Blueschild Baby.

James Gould Cozzens

James Gould Cozzens alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1949, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Guard of Honor.

Douglas Southall Freeman

Douglas Southall Freeman alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu mara mbili: mwaka wa 1935 kwa wasifu yake ya Robert Edward Lee, na mwaka wa 1958 kwa wasifu yake ya George Washington.

Alex Haley

Alex Palmer Haley alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa riwaya yake Roots inayosimulia historia ya vizazi vya Waafrika waliofungwa utumwani na kupelekwa Marekani. Mwaka wa 1977, alipokea tuzo maalumu ya Pulitzer upande w ...

John Hersey

John Hersey alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1945, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake A Bell for Adano.

William Inge

William Motter Inge alikuwa mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1954 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa ajili ya tamthiliya yake iitwayo kwa Kiingereza Picnic.

Marjorie Rawlings

Marjorie Kinnan Rawlings alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1939, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Yearling.

Conrad Michael Richter

Conrad Michael Richter alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika hadithi fupi na riwaya kuhusu historia ya Marekani. Mwaka wa 1951, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Town.

Theodor Seuss Geisel

Theodor Seuss Geisel alikuwa mwandishi na mchoraji vielezo kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa vitabu vyake kwa watoto alivyoviandika chini ya jina la Dr. Seuss.

Sam Shepard

Samuel Shepard Rogers alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa jina la Sam Shepard. Mwaka wa 1979 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa ajili ya tamthiliya yake iitwayo kwa ...

Carl Van Doren

Carl Clinton Van Doren alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1939, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa wasifu yake ya Benjamin Franklin.

Alice Walker

Alice Malsenior Walker ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Aliandika hasa riwaya na mashairi yanayoonyesha hali ya Wamarekani-Waafrika. Anajulikana hasa kwa riwaya yake" Rangi ya Zambarau” iliyotolewa 1982. Mwaka wa 1983 alikuwa mshindi ...

Robert Penn Warren

Robert Penn Warren alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya na mashairi. Mwaka wa 1947, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake All the Kings Men. Kwa mashairi yake, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mara ...

Thornton Wilder

Thornton Niven Wilder alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Aliandika riwaya na tamthiliya. Mwaka wa 1928 alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Bridge of San Luis Rey. Tena alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya mara mbi ...

William Carlos Williams

William Carlos Williams alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Marekani. Pamoja na kufanya kazi kama daktari, aliandika mashairi, insha za historia na riwaya fupi. Mwaka wa 1963 wakati alipokuwa ameshafariki aliteuliwa kuwa mshindi wa Tuzo y ...

May Ayim

May Ayim alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Ujerumani. Baba yake ni Mghana na mama yake Mjerumani. Alilelewa mbali na wazazi wake na familia waliompanga chini ya jina la May Opitz. Alijihusisha hasa na haki za Waafrika nchini Ujerumani. Ali ...

George Byron

George Gordon Byron, 6th Baron Byron alikuwa mshairi na mwandishi mashuhuri nchini Uingereza. Mara nyingi anatajwa kwa cheo chake cha kikabaila kama Lord Byron. Alikuwa mrithi wa mali kubwa hivyo aliweza kuendesha maisha kufuatana na mapenzi yake ...

Jostein Gaarder

Jostein Gaarder ni mwandishi kutoka nchi ya Norwei. Alisoma falsafa, teolojia na masomo ya fasihi chuoni na kuwa mwalimu wa falsafa kabla hajajitegemea kama mwandishi. Ameandika hasa kwa watoto. Baadhi ya vitabu vyake ni: Ulimwengu wa Sofia 1991, ...

Hans Christian Andersen

Hans Christian Andersen alikuwa mwandishi nchini Denmark. Hususani anafahamika zaidi kwa ngano zake.

Victor Hugo

Victor Hugo alikuwa mwandishi muhimu wa kipindi cha uromantiki nchini Ufaransa. Alitunga riwaya, mashairi na tamthiliya nyingi.

Henrik Ibsen

Henrik Johan Ibsen alikuwa mwandishi wa Norwei. Aliandika hasa maigizo amesifiwa kimataifa kama "baba wa igizo la kisasa". Ibsen aheshimiwa kuwa mkubwa kati ya waandishi wote wa Norwei.

James Joyce

James Augustine Aloysius Joyce alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchini Ueire. Amejulikana hasa kwa riwaya zake za Ulysses 1922 na Finnegans Wake 1939 pamoja na hadithi fupi za "Dubliners" 1914. Joyce alikuwa mwenyeji wa mji wa Dublin. Hata kam ...

Amélie Nothomb

Les Prénoms épicènes, Albin Michel, 2018 Journal d’Hirondelle, 2006 Barbe-Bleue, 2012 Pétronille, Albin Michel, 2014 Antéchrista, 2003 Frappe-toi le coeur, Albin Michel, 2017 Cosmétique de lennemi, 2001 Tuer le père, 2011 Le Voyage dHiver, 2009 P ...

Marcel Proust

Valentin Louis Georges Eugène Marcel Proust alikuwa mwandishi nchini Ufaransa. Alituga hasa riwaya lakini pia masimulizi mafupi. Kazi yake iliyojulikana zaidi ni À la recherche du temps perdu ikatolewea kwa mfululizo wa vitabu saba kati ya 1913 h ...

Sophokles

Sofokles alikuwa mshairi na mwandishi wa Ugiriki ya Kale anayekumbukwa pamoja na Aeschylos and Euripides kama mmoja wa watungaji wakuu watatu wa michezo tanzia wa ustaarabu huu wa Kigiriki. Alitunga michezo zaidi ya 120 na 7 imehifadhiwa hadi leo ...

Marguerite Yourcenar

Marguerite Cleenewerck de Crayencour, jina la kisanii: Marguerite Yourcenar alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Ubelgiji-Ufaransa.

Humphrey Bogart

Humphrey DeForest Bogart alikuwa mwigizaji filamu wa Kimarekani. Huyu ameonekana katika zaidi ya filamu sabiini na tano. Miongoni mwa filamu mashuhuri alizocheza ni pamoja na The Maltese Falcon, Casablanca na The African Queen.

Marlon Brando

Marlon Brando alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa mhusika mkuu katika baadhi ya filamu zilizotamba sana huko miaka ya nyuma, A Streetcar Named Desire, The Wild One, The Godfather, Superman, Apocalypse Now, n ...

Judy Garland

Judy Garland alikuwa mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Uhusika wake maarufu ni ule wa Dorothy Gale kutoka katika filamu ya The Wizard of Oz 1939. Pia ni mshindi wa Tuzo za Oscar na ameshinda tuzo zingine kadha wa kadha kwa ajil ...