ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 128

Sadd

Ukubwa na Sadd unabadilika na kiwango cha maji yanayotoka Ziwa Viktoria. Kwa wastani urefu wake ni 320 km kutoka kaskazini hadi kusini na upana waka kati ya upande wa mashariki hadi magharibi ni 240 km; eneo lake linalofunikwa kwa maji huwa kati ...

Bahari ya Eire

Bahari ya Eire ni sehemu ya bahari inayotenganisha visiwa vya Eire na Britania. Ndani yake kuna visiwa viwili vikubwa kiasi ambayo ni Anglesey Welisi na Isle of Man, pamoja na visiwa vidogo. Inapakana na nchi za Welisi, Uingereza na Uskoti zote s ...

Afrika ya Mashariki

Afrika ya Mashariki ni sehemu ya bara la Afrika ambayo iko upande wa mashariki, ikipakana na Bahari ya Kihindi. Kadiri ya Umoja wa Mataifa Afrika ya Mashariki ina nchi 18 zifuatazo: Morisi mji mkuu Port Louis Djibouti mji mkuu Jibuti mji) Komori ...

Azania

Azania ni jina la kihistoria kwa ajili ya sehemu mbalimbali za pwani ya Afrika ya Mashariki. Asili yake ni zamani za Waroma na Wagiriki wa kale kwa eneo lililokuwa la watu wa Lugha za Kikushi.

Bendera ya Afrika Kusini

Bendera ya Afrika Kusini ni ya pekee kati ya bendera za dunia ikiwa na rangi sita. Kimsingi muundo wake ni milia mitatu ya kulala ya nyekundu, kijani na buluu; pamoja na kanda nyembamba nyeupe juu na chini ya mlia wa kijani. Huu mlia wa katikati ...

Bendera ya Algeria

Bendera ya Algeria ina milia miwili ya kusimama ya upana uleule. Kushoto rangi ni kijani na upande wa kulia nyeupe. Katikati kuna hilali nyekundu au mwezi mwandamo mwekundu pamoja na nyota ya pembetano nyekundu. Nyeupe inatakiwa kumaanisha usafi ...

Bendera ya Jamhuri ya Afrika ya Kati

Bendera ya Jamhuri ya Afrika ya Kati ina milia minne ya kulala ya rangi buluu - nyeupe - kijani - njano inayokatwa na mlia mmoja mwekundu wa kusimama. Ndani ya mlia wa juu kuna nyota ya pembetano njano. Bendera hii imetungwa na Barthélemy Boganda ...

Bendera ya Angola

Bendera ya Angola ina milia miwili ya kulala. mlia wa juu ni nyekundu na mlia wa chini ni nyeusi. Katikati kuna nembo ya njano. Jinsi ilivyo katika nchi mbalimbali za Afrika bendera ya chama tawala imebadilishwa kidogo na kutangazwa kuwa bendera ...

Bendera ya Benin

Bendera ya Benin ilianzishwa Desemba 1958 wakati koloni ya Kifaransa ya Dahomey ilipopewa madaraka ya kujitawala. Mwaka 1960 Dahomey ikapata uhuru wa kitaifa ikaendelea na bendera ileile. Baada ya mapinduzi ya Mathieu Kérékou jina la Dahomey lili ...

Bendera ya Eswatini

Bendera ya Eswatini ina milia ya rangi za buluu, njano na nyekundu. Katikati iko ngao ya kijeshi ya Kiafrika yenye rangi nyeusi na nyeupe pamoja na mikuki ya njano. Upana wa milia ni katika uhusiano wa 3:1:8:1:3. Rangi zina maana ifuatayo: Nyekun ...

Bendera ya Ethiopia

Bendera ya Ethiopia mara nyingi inatajwa kuwa bendera ya kwanza ya kiafrika. Rangi zake ni kijani kibichi, njano na nyekundu. Kutokana na sifa za Ethiopia za kuwa nchi ya pekee katika Afrika iliyojitetea dhidi ya uvamizi wa ukoloni. Rangi zake zi ...

Bendera ya Ghana

Bendera ya Ghana ina milia mitatu ya kulala ya rangi nyekundu, dhahabu na kijani pamoja na nyota nyeusi katikati. Hizi ni rangi za Ethiopia zinazoitwa pia rangi za Umoja wa Afrika. Bendera ya Ethiopia ilikuwa ya kwanza katika Afrika ya kurudia ra ...

Bendera ya Gambia

Bendera ya Gambia ni ya milia mitatu sambamba ya nyekundu, buluu ny kijani kibichi inyotenganishwa na kanda nyembamba za nyeupe. Mlia wa nyekundu juu humaanisha nchi ya mbuga. Buluu chini yake ni alama ya mto Gambia unaopita nchi yote, na mlia wa ...

Bendera ya Guinea

Bendera ya Guinea ina milia mitatu ya kusimama yenye rangi za nyekundu, njano na kijani - kibichi. Rangi hizi ziko pia kwenye bendera ya Ethiopia na ya Ghana zinaonyesha athira za Ethiopia na pia Ghana. Mara nyingi rangi hizi huelezwa kuwa na maa ...

Bendera ya Guinea-Bissau

Bendera ya Guinea-Bissau ina milia mitatu ya rangi nyekundu, njano na kijani pamoja na nyota nyeusi. Mlia mwekundu ulio na nyota nyeusi unasimama upande wa nguzo lakini mbili za njano na kijani zimelala. Hizi ni rangi za bendera ya Ethiopia au ra ...

Bendera ya Jibuti

’’Bendera ya Taifa la Jiibuti’’’ ina mistari miwili ikatayo kushoto hadi kulia, rangi ya Samawati na Kijani ikiwa na umbo la Pembe tatu la rangi Nyeupe ikikalia sehemu ya kuinulia, ikiwa na nyota ya sehamu tano ya rangi Nyekundu katikati. Sehemu ...

Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imepatikana tangu Februari 2006 kutokana na katiba mpya ya nchi. Katiba iliazimia kurudia mfano wa bendera iliyowahi kutumiwa kati ya miaka 1963 na 1971 kabla nchi haijaitwa "Zaire". Buluu yake imebadil ...

Bendera ya Jamhuri ya Kongo

Bendera ya Jamhuri ya Kongo ina milia mitatu ya hanamu yenye rangi za Umoja wa Afrika kijani-njano-nyekundu. Ilianzishwa Agosti mwaka 1958 Kongo ilipopata madaraka ya kujitawala ndani ya Umoja wa Kifaransa ikaendelea kuwa bendera ya taifa baada y ...

Bendera ya Kamerun

Bendera ya Kamerun ina milia mitatu ya kusimama yenye rangi za kijani-nyekundu-njano pamoja na nyota njano ya pembetano katika mlia wa katikati. Muundo wa bendera hufanana na bendera ya Ufaransa Kamerun ilikuwa koloni yake lakini inatumia rangi z ...

Bendera ya Mali

Bendera ya Mali ina milia mitatu ya wima ya rangi nyekundu, njano na kijani kibichi. Rangi hizi ambazo huitwa rangi za Umoja wa Afrika ni zilezile zinazopatikana katika bendera nyingi za nchi za Afrika kutokana na athari ya Ethiopia kama nchi ya ...

Bendera ya Msumbiji

Bendera ya Msumbiji ina milia mitatu ya kulala ya rangi kijani - nyeusi - njano. Mlia mweusi ulio katikati ina kanda mbili nyembamba byeupa kando. Upande wa nguzo kuna pembetatu nyekundu yenye jembe, bunduki na kitabu juu ya nyota njano ndani yak ...

Bendera ya Moroko

Bendera ya Moroko ni nyekundu ina nyota ya kijani yenye pembe tano katikati. Ilitumiwa rasmi tangu 17 Novemba 1915 lakini ina historia ya karne kadhaa nchini. Rangi nyekundu ilionyeshwa tangu karne ya 17 na watawala wa familia ya Waalawi kwa saba ...

Bendera ya Nigeria

Bendera ya Nigeria ina milia ya kusimama mitatu, miwili ya nje ni kijani na ile ya katikati ni myeupe. Bendera ilipatikana katika mashindano ya kitaifa kabla ya uhuru mwaka 1959 na kuonekana rasmi mara ya kwanza tarehe 1.10.1960. Mshindi aliyetun ...

Bendera ya Senegal

Bendera ya Senegal ina milia tatu za wima pamoja na nyota ya pembetatu katikati. Milia ni za rangi nyekundu, njano na kijani kibichi. Nyota ni ya kijani. Maana ya rangi ni kama zifuatazo: Njano ni rangi ya dhahabu na utajiri unaotokana na kazi ya ...

Bendera ya Togo

Bendera ya Togo ina milia mitano ya kulala ya kijani inayobadilishana na njano. Mraba mwekundu uonyeshayo nyota nyeupe ya pembe tano uko kwenye kona ya juu upande wa kushoto. Bendera hii ni kati bendera zinazotumia rangi za Umoja wa Afrika. Rangi ...

Bendera ya Tanzania

Bendera ya Tanzania ni ya mstatili unaokatwa pembe kwa pembe na kanda nyeusi yenye milia za njano kandokando. Pembetatu ya juu ina rangi ya majani, pembetatu ya chini ni ya buluu. Matumizi ya bendera inahifadhiwa chini ya sheria ya "The National ...

Bendera ya Zimbabwe

Bendera ya Zimbabwe ni ya milia saba ya kulala na pembetatu upande wa nguzo. Rangi za milia ni kimsingi ile ya Ethiopia au rangi za Umoja ya Afrika: Kijani - njano - nyekundu. Rangi hizi zinarudia mara mbili lakini ufuatano unabadilishwa. Mlia wa ...

Bendera ya Zambia

Bendera ya Zambia ni ya kijani. Katika kona ya chini kuna eneo ndogo la milia mitatu ya kusimama ya nyekundu, nyeusi na dhahabu. Juu yake iko tai ya dhahabu. Bendera hii imetokana na bendera ya chama cha kupigania uhuru United National Independen ...

Abuja

Abuja ni mji mkuu wa Nigeria. Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa watu 178.462 Archived Machi 25, 2011 at the Wayback Machine. Balozi za nchi nyingi zikahamishwa Abuja kutoka Lagos.

Bamako

Bamako ilianzishwa kama mji katika karne ya 17 BK na machifu wa kabila la Niare Seribadian Niaré na Soumba Coulibaly. Jina la asili lilikuwa "Bammako" Kibambara: "bwawa la mamba". Bamako ilikuwa soko muhimu pamoja na mji wa elimu ya Kiislamu kati ...

Conakry

Chanzo cha Conakry ni kwenye kisiwa cha Tombo kilicho karibu sana na rasi ya Kaloum. Mji ulianzishwa baada ya kisiwa kuhamishwa kutoka utawala wa Uingereza chini ya Ufaransa. Wafaransa waliunganisha mwaka 1887 vijiji vinne vya Conakry, Boulbinet, ...

Dakar

Dakar ni mji mkuu wa Senegal ikiwa na wakazi 2.352.000. Iko kwenye rasi la Verde ambalo ni pembe la magharibi ya Afrika. Bandari yake ina nafasi nzuri kwa biashara na Ulaya na Amerika. Mji ulianzishwa na Wafaransa mwaka 1857 walipoondoka kisiwa c ...

Dar es Salaam

Kwa maana nyingine, tazama Mkoa wa Dar es Salaam Dar es Salaam ni jiji kubwa kuliko yote nchini Tanzania. Pia ni jina la mkoa wake. Dar es Salaam ni mji mkongwe na wenye watu wengi zaidi katika Jumuia ya Afrika Mashariki. Katika Tanzania ndio mji ...

Dodoma (mji)

Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania na pia ni Jiji. Ilitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania mwaka 1973, lakini mnamo tarehe 26 Aprili 2018 katika maadhimisho ya miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa a ...

Freetown

Freetown ni mji mkuu pamoja na badari kubwa na kitovu cha uchumi wa nchi Sierra Leone. Iko kwenye kando la Atlantiki kwenye rasi ya Freetown. Idadi ya wakazi ni 1.070.000. Mji uliundwa 1787 kwa ajili ya watumwa wenye asili ya Afrika waliowekwa hu ...

Gaborone

Gaborone ni mji mkuu wa Botswana ikiwa na wakazi 186.000. Iko kusini-mashariki ya nchi. Mji huu ulianzishwa kwenye makao ya chifu Kgosi Gaborone wa BaTlokwa. Waingereza walijenga kituo kidogo cha kiutawala kando ya kijiji cha chifu. Makao haya ma ...

Harare

Harare ni mji mkuu wa Zimbabwe pia mji mkubwa nchini ikiwa kwenye kimo cha 1.500m juu ya UB. Idadi ya wakazi imekadiriwa kufika 1.600.000, pamoja na mitaa ya nje hadi 2.800.000. Harare ni kitovu cha utawala pia cha uchumi nchini. Mtaa wa nje ulio ...

Jamestown (St. Helena)

Jamestown ni bandari na mji mkuu wa eneo la ngambo la Uingereza lenye visiwa vidogo vya Saint Helena, Ascension na funguvisiwa ya Tristan da Cunha. Mji uko kisiwani St. Helena katika bahari ya Atlantiki takriban 1.868 km mbele ya pwani la Angola. ...

Jibuti (mji)

Jibuti ni mji mkuu na mji mkubwa nchini Jibuti ukiwa na wakazi 400.000. Mji wenyewe uko kwenye rasi inayogawa Ghuba ya Aden kutoka Ghuba ya Tadjoura. Yenyewe iko 11°36 kaskazini, 43°10 mashariki 11.60, 43.1667.

Kampala

Kampala ni mji mkuu wa Uganda, pia mojawapo ya wilaya za nchi. Iko karibu na ziwa kubwa la Nyanza Viktoria, mita kama 1.189 juu ya UB. Kampala ni mji mkubwa wa Uganda ikiwa na wakazi 1.208.544 2002. UNDIO, UNEP, Benki ya Uchumi na East Africa Dev ...

Libreville

Libreville ni mji mkuu na mji mkubwa nchini Gabon. Iko kwenye pwani la Atlantiki kiasi ndani ya mdomo wa mto Komo au mto Gabon. Kuna bandari. Libreville ina wakazi 578.000 2005. Jina la" Libreville” lina maana ya" mji huru” au" mji wa watu huru” ...

Lome

Lomé ni mji mkuu wa Togo katika Afrika ya Magharibi pia mji mkubwa wa nchi hii pamoja na kitovu chake cha kiutawala na kiuchumi ikiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa 796.000. Iko mwambanoni wa Ghuba ya Guinea ya Atlantiki kwenye pwani fupi ya Togo y ...

Malabo

Malabo ni mji mkuu wa Guinea ya Ikweta mwenye wakazi 90.000 - 100.000. Iko mwambaoni wa Atlantiki kwenye pwani la kaskazini ya kisiwa cha Bioko. Mji ulianzishwa kwa jina la Port Clarence kuanzia 1827 na Waingereza waliokuwa wamekodi kisiwa cha Fe ...

Mamoudzou

Mji una vijiji sita pamoja na kitovu cha mji mwenyewe, ndivyo Kawéni hapa kuna viwanda, Mtsapéré, Passamainti, Vahibé, Tsoundzou I na Tsoundzou II. Eneo lake hutawaliwa katika wilaya tatu za Mamoudzou I, Mamoudzou II na Mamoudzou III.

Maseru

Maseru ni mji mkuu wa Lesotho ikiwa na wakazi 174.000 Einwohner. Chuo Kikuu cha Lesotho na kiwanja cha kimataifa cha ndege ni karibu na mji. Maseru iko kwa mto Caledon. Ni mji mkubwa wa pekee nchini.

Monrovia

Monrovia ni mji mkuu wa Liberia. Eneo uliko mji huu mwanzoni liliitwa Cape Mesurado na Wareno katika miaka ya 1560. Eneo hili lilianzwa kujenga mji mwaka 1822 na chama cha American Colonization Society ikiwa ni makazi ya watu waliokombolewa toka ...

NDjamena

Ndjamena ni mji mkuu pia mji mkubwa kabisa nchini Chad. Idadi ya wakazi hukadiriwa kuwa kati ya 800.000 na milioni moja. Ndani ya manisipaa kuna hara au mitaa kumi.

Niamey

Niamey ni mji mkuu wa Niger. Iko mwambaoni wa mto Niger. Ikiwa na wakazi 674.950 Niamey ni mji mkubwa wa Niger na kitovu cha kiutawala, kiuchumi na kiutamaduni. Kilimo katika mazingira yya mji kina karanga kama mazao ya sokoni; kuna viwanda vya m ...

Nouakchott

Nouakchott ni mji mkuu wa Mauritania. Iko mwambaoni wa Atlantiki katika magharibi ya nchi. Idadi ya wakazi imekadiriwa kupita milioni moja.

Port Louis

Port Louis ni mji mkuu wa jamhuri ya Morisi. Ikiwa na wakazi 170.000 ni mji mkubwa wa taifa hili la visiwani katika Bahari Hindi. Kiwanja cha kimataifa cha ndege cha Sir Seewoosagur Ramgoolam kipo 30 km kusini ya mji. Kutoka Port Louis kuna feri ...