ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 13

Shirika la Riadha la Kenya

Shirika la Riadha la Kenya linalojulikana kama AK ni jumuia linazosimamia Riadha nchini Kenya. Shirika hili ni memba wa IAAF na Shirikisho la Riadha Afrika. AK huratibu mashindano ya Riadha nchini Kenya. Pia hutuma timu ya Kenya kushiriki katika ...

Maktaba ya IOGT

Maktaba ya IOGT nchini Tanzania iko chini ya shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na uzuiaji wa matumizi ya dawa za kulevya, hasa kwa vijana. Maktaba hii inakusanya na kuhifadhi habari mbalimbali kutoka ndani ya nchi na hata nchi jira ...

Shirika la Huduma za Maktaba Tanzania

Shirikia la Huduma za Maktaba Tanzania lilianzishwa kisheria chini ya sheria za Tanzania iliyopitishwa na bunge mwaka 1972. Shirika la Huduma za Maktaba Tanzania limekabidhiwa jukumu la kusimamia maendeleo ya huduma za maktaba Tanzania ikiwa ni p ...

Umma wa Wapanda Baiskeli Dar es Salaam

Umma wa Wapanda Baiskeli Dar es Salaam ni jina la Shirika Lisilo la Kiserikali la umoja wa Wanabaiskeli kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Umma huu unaruhusu mtu yeyote mwenye baiskeli kujiunga nao bila ada yeyote ile.

Airbus

Airbus SAS ni kampuni kubwa ya kutengeneza eropleni katika Ulaya na moja ya makampuni makubwa duniani katika fani hii. Kwa jumla imeajiri watu 50.000 katika nchi mbalimbali na hasa katika viwanda vyake huko Ufaransa, Ujerumani, Uingereza na Hispa ...

Boeing

Boeing ni kampuni nchini Marekani ya kutengeneza eropleni, helikopta, roketi na vifaa vingine kwa matumizi ya kiraia na ya kijeshi kwa usafiri wa hewani na kwenye anga-nje. Ni kampuni kubwa duniani ya aina hii; katika utengenezaji wa ndege za abi ...

Air Afrique

Air Afrique ilianzishwa tarehe 28 Machi 1961. Wambia wake wakuu wakati huo walikuwa Société pour le Développement du Transport Aérien en Afrique SODETRAF pamoja na mataifa yaAfrika ya Magharibi yafuatayo: Chadi Niger Mali Gaboni Ivory Coast Jamhu ...

Air France

Air France ni shirika la ndege kuu la Ufaransa iliyo na makao makuu mjini Tremblay-en-France. Air France inasafiri hadi miji 150 kote duniani. Air France ilianzishwa mnamo 7 Oktoba 1933 baada ya muungano wa kampuni za Air Orient, Air Union, Compa ...

Air Madagascar

Société Nationale Malgache de Transports Aériens inayojulikana kama Air Madagascar ni ndege iliyo mjini Antananarivo. Ni ndege ya kitaifa inayohudumu ncu za Uropa, Asia na Afrika. Makao yake makuu ni kwenye Uwanja wa Ndege wa Ivato.

Air Namibia

Air Namibia ni ndege ya kitaifa ncini Namibia, iliyo na makao yake kwenye jumba la Trans Namib mjini Windhoek. Inahudumu safari za nchini Namibia na za ngambo. Makao ya ndege zake ni kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Windhoek Kosea Kutako.

Air Seychelles

Air Seychelles ni kampuni ya ndege ya nchi ya Seychelles yenye makao yake mjini Mahé". Tangu 2012 asilimia 40 za hisa zake ziko mkononi mwa Etihad Airlines ya Abu Dhabi.

Air Zimbabwe

Air Zimbabwe ni ndege ya kitaifa ya nchi ya Zimbabwe illiyo na makao yake kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare mjini Harare. Inahudumu ndege za kwenda Afrika Kusini, Asia na London Gatwick.

Cathay Pacific

Cathay Pacific Limited ni kampuni kuu ya ndege ya Hong Kong, China, ikiwa na makao yake makuu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya Hong Kong. Mnamo 2008, Cathay Pacific na Dragonair ilihudumu ndege 138.000, na kubeba wasafiriwa takriban milioni ...

Comair

Comair ni ndege iliyo na makao yake nchini Afrika Kusini. Makao ya ndege zake ni kwenye Uwanja wa ndege wa OR Tambo mjini Johannesburg pamoja na makao mengine kwenye nyanja za ndege za Cape Town na Durban.

Deutsche Lufthansa

Deutsche Lufthansa ni shirika ya ndege kubwa zaidi kwenye bara Ulaya, kulingana na jumla ya wasafiriwa inabeba. Ni ndege kuu nchini Ujerumani. Jina la kampuni hili linatokana na Luft na Hansa. Ofisi kuu ipo mjini Cologne, na makao makuu ya ndege ...

Emirates

Emirates ni ndege kuu katika bara la arabu Middle East, iliyo chini ya kampuni ya The Emirates Group. Ni ndege ya kitaifa iliyo mjini Dubai, miliki za kiarabuUnited Arab Emirates na inahudumu takriban wasafiri 2200 kila wiki kutoka kwa kituo chak ...

Ethiopian Airlines

Ethiopian Airlines ni kampuni ya ndege iliyo na makao yake makuu kwenye uwanja wa ndege wa Bole mjini Addis Ababa. Ndiyo kuu nchini Ethiopia, ikisafirisha hadi zaidi ya miji 50 kote duniani.

Etihad Airways

Etihad Airways ni ndege kuu ya mji wa Abu Dhabi iliyoanzishwa mnamo 2003. Inasafiri nchini Mashariki ya Kati, Ulaya, India, Amerika Kaskazini, Afrika, Asia na Australia. Makao yake makuu ni katika uwanja wa ndege wa kimataifa ya Abu Dhabi. Mwaka ...

Fly540

Fly540 ni kampuni ya ndege inayosafirisha kwa gharama nafuu mjini Nairobi, Kenya. Husafirisha abiria na mizigo, nchini na pia kitaifa.

Precision Air

Precision Air ni kampuni ya ndege iliyo na makao yake mjini Dar Es Salaam nchini Tanzania. Inahudumia watalii na wafanyabiashara wanaosafiri kati ya viwanja vya ndege 10 nchini Tanzania, pamoja na ndege za kwenda nchi ya Kenya na Uganda. Makao ya ...

Qatar Airways

Qatar Airways Company Q.C.S.C. ni shirika la ndege la kimataifa linalotoa huduma za usafiri wa anga duniani. Ndiyo shirika kuu la nchi ya Qatar, Uarabuni, ikiwa na makao yake mjini Doha. Ni moja kati ya ndege sita zilizotuzwa nyota tano na Skytra ...

Sudan Airways

Sudan Airways ilianzishwa na kampuni ya Sudan Railways mnamo 1947 ili kuhudumu sehemu za nchi ambapo gari la moshi haikuweza kufika. Ilikuwa na ndege nne za aina ya de Havilland hapo awali.

Tunisair

Tunisair ni ndege kee ya nci ya Tunisia. Ilianzishwa mnamo 1948, na inasafiri hadi bara Uropa, Afrika na nchi za Arabuni. Makao ya ndege zake ni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Tunis-Carthage.

Kampuni ya Hoteli za Eppley

Kampuni ya Hoteli za Eppley inapatikana katika mji wa Omaha, Nebraska. Wakati wa kununuliwa kwake na Shirika laSheraton katika mwaka wa 1956, ilikuwa ndiyo biashara ya hoteli kubwa kabisa nchini Marekani.

Hoteli ya Hilton

Hoteli ya Hilton ni kundi la mahoteli ya kifahari na ya kimataifa lililoanzishwa na Conrad Hilton na sasa Hilton inamilikiwa na kampuni ya Hilton Worldwide. Ni aidha hoteli za hilton zinamilikiwa au kusimamiwa na wanabiashara binafsi kupitia kwa ...

Saruji ya Bamburi

Saruji ya Bamburi ni mojawapo ya makampuni kubwa zaidi ya kutengeneza saruji katika eneo la barani Afrika lililoko chini ya jangwa la Sahara. Kampuni hii imeorodheshwa katika Soko la Hisa la Nairobi na jina lake kwa ufupi ni BCC. Saruji ya Bambur ...

Kampuni ya Rockport

Kampuni ya Rockport ni kampuni ya kutengeneza viatu iliyo na makao yake katika eneo la Massachusetts. Ilianzishwa huko Marlborough, Massachusetts katika mwaka wa 1971 na Saul na Bruce Katz, kampuni hii inaendelea kutengeneza viatu na huendesha ma ...

Kampuni ya Viatu ya Goodwill

Kampuni ya Viatu ya Goodwill,pia, hujulikana kama Viatu vya Arthur A. Williams.Kampuni hii huunda viatu vya ngozi na vya kutiwa chuma ndani vya aina ya "Safety First".Kampuni hii ilikuwa miongoni mwa kampuni za kwanza kuunda viatu vya aina hii. H ...

Jumuiya ya Afrika Mashariki

Jumuiya ya Afrika Mashariki au Mtangamano wa Afrika Mashariki ni muundo wa kisiasa unaounganisha nchi sita za kanda ya Maziwa Makuu ya Afrika Mashariki: Burundi, Kenya, Rwanda, Sudan Kusini, Tanzania na Uganda. Eneo la Mtangamano ni km2 1.820.664 ...

Sudan Kusini

Sudan Kusini ni nchi huru iliyojitenga rasmi na Sudan tarehe 9 Julai 2011, ikiwa ni ya 54 katika bara la Afrika na ya 193 duniani. Hatua hiyo ilitokana na kwamba mwezi wa Januari 2011 wakazi wa Sudan Kusini walipiga kura juu ya swali la kujitenga ...

Antigua na Barbuda

Antigua na Barbuda ni nchi ya visiwani ya Amerika kwenye bahari ya Karibi. Ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Madola. Inaundwa na visiwa viwili vya Antigua na Barbuda vinavyokaliwa na watu pamoja na visiwa vingine vidogo kama cha Redonda visivyo na ...

Bahamas

Bahamas ni nchi ya visiwani katika bahari ya Atlantiki, kaskazini kwa Kuba na mashariki kwa Florida Marekani. Visiwa hivyo 700 na zaidi viko nje ya Bahari ya Karibi lakini mara nyingi huhesabiwa kati ya Visiwa vya Karibi. Visiwa vingine vya fungu ...

Belize

Belize ni nchi ya Amerika ya Kati upande wa pwani ya mashariki. Inapakana na nchi za Mexiko, Guatemala na Honduras. Makao makuu yako Belmopan, lakini mji mkubwa zaidi ni Belize.

Botswana

Botswana haina pwani kwenye bahari yoyote. Imepakana na Zambia, Zimbabwe, Afrika Kusini na Namibia. Mpaka baina ya taifa la Botswana na Zambia ni meta 700 tu na ndio mfupi kuliko mipaka yote ulimwenguni. Kuna pia feri ya moja kwa moja kati ya Bot ...

Dominica

Dominica pia Dominika ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi. Haitakiwi kuchanganywa na Jamhuri ya Dominika ambayo ni nchi nyingine katika Karibi. Nchi ni mwanachama wa Jumuiya ya Madola, lakini ni jamhuri.

Eswatini

Eswatini jina rasmi tangu mwaka 2018 ni Umbuso weSwatini ; kifupi cha Kiswati: eSwatini ; kwa Kiswahili pia: Uswazi ; kwa Kiingereza: Swaziland ni nchi ndogo ya Kusini mwa Afrika isiyo na pwani katika bahari yoyote. Imepakana na Afrika Kusini na ...

Guyana

--Kwa mkoa wa jirani wa Ufaransa angalia makala Guyana ya Kifaransa-- Guyana ni nchi huru katika Amerika Kusini. Imepakana na Suriname upande wa mashariki, na Brazil upande wa kusini na kusini-magharibi halafu na Venezuela upande wa magharibi. Ni ...

Kamerun

Jamhuri ya Kamerun ni jamhuri ya muungano katika Afrika ya Magharibi. Imepakana na Nigeria, Chadi, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kongo, Gabon, Guinea ya Ikweta na Ghuba ya Guinea. Lugha rasmi na lugha za taifa ni Kifaransa kinachoongoza k ...

Kupro

Kupro ni nchi ya kisiwani upande wa mashariki wa bahari ya Mediteranea. Kijiografia ni sehemu ya Asia, lakini kiutamaduni na kisiasa ni sehemu ya Ulaya. Mji mkuu ni Nikosia.

Lesotho

Ufalme wa Lesotho, au Lesotho, ni nchi ndogo inayozungukwa na Afrika Kusini pande zote. Haina pwani kwenye bahari yoyote. Jina Lesotho lamaanisha eneo la Basotho wakazi 99.7%, watu ambao wanaongea lugha ya Kisotho, ambayo ni lugha rasmi pamoja na ...

Malawi

Makala hii inahusu nchi ya Malawi. Kwa maana mbalimbali za neno taz. Malawi Malawi zamani Unyasa au Nyasaland ni nchi ya Afrika ya kusini-mashariki ikipakana na Tanzania, Msumbiji na Zambia. Jina la nchi limeteuliwa kutokana na ufalme wa Maravi. ...

Malaysia

Malaysia ni nchi ya Asia ya kusini-mashariki kando ya Bahari ya Kusini ya China. Ina sehemu mbili ambazo ni: Malaysia Bara au Malaysia Magharibi kwenye Rasi ya Malay Malaysia Mashariki kwenye kisiwa cha Borneo. Upande wa rasi Malaysia imepakana n ...

Maldivi

Maldivi ni nchi huru kwenye funguvisiwa la Maldivi katika Bahari Hindi kuanzia tarehe 26 Julai 1965. Kabla ya hapo ilikuwa chini ya ulinzi wa Uingereza tangu mwaka 1887. Iko km 700 kusini - magharibi kwa Sri Lanka. Kwa jumla kuna visiwa 1.192 na ...

Morisi

Morisi ni kisiwa karibu na Afrika, pia ni nchi inayoitwa rasmi Jamhuri ya Morisi kwa Kiingereza: Republic of Mauritius, kwa Kifaransa: République de Maurice. Ni nchi ya visiwa katika Bahari Hindi takriban Km 900 mashariki kwa Madagaska na km 4000 ...

Namibia

Namibia ni nchi ya Afrika ya Kusini kwenye pwani ya Atlantiki. Imepakana na Angola, Zambia, Zimbabwe Botswana na Afrika Kusini. Imepata uhuru wake kutoka Afrika Kusini mwaka 1990. Mji mkuu ni Windhoek wakazi 322.500.

Pakistan

Pakistani ni nchi ya Asia ya Kusini. Imepakana na Ghuba ya Uarabuni upande wa kusini, Afuganistani na Uajemi upande wa magharibi, Uhindi upande wa mashariki na Uchina kaskazini-mashariki. Mipaka yake na Uhindi na Uchina haitambuliki kimataifa. Pa ...

Saint Kitts na Nevis

Saint Kitts na Nevis ni nchi ya visiwani kwenye visiwa viwili vya Bahari ya Karibi na nchi ndogo kabisa ya Amerika yote. Mji mkuu wa Basseterre uko kwenye kisiwa cha Saint Kitts. Kisiwa kidogo cha Nevis kutoka jina la zamani la Kihispania: Nuestr ...

Saint Lucia

Saint Lucia ni nchi ya kisiwani katika bahari ya Karibi na sehemu ya visiwa vya Antili Ndogo. Iko katikati ya visiwa vya Saint Vincent na Grenadini, Barbados na Martinique. Kisiwa kina milima mingi.

Saint Vincent na Grenadini

Saint Vincent na Grenadini ni nchi ya visiwani ya Antili Ndogo katika bahari ya Karibi. Iko kaskazini kwa Grenada na Trinidad na Tobago na kusini kwa Saint Lucia. Saint Vincent ndiyo kisiwa kikubwa na Grenadini ni kundi la visiwa vidogo. Kwa juml ...

Shelisheli

Shelisheli ina visiwa 115; 32 kati ya hivyo ni visiwa vikubwa kidogo vyenye milima, vingine ni vidogo na huitwa "Visiwa vya nje". Kisiwa kikubwa zaidi ni Mahé na mji mkuu Victoria uko huko. Wakazi wengi huishi Mahe pamoja na visiwa vya karibu, ha ...