ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 130

Mohamed Abdelaziz

Mohammed Abdelaziz ni katibu mkuu wa Polisario na rais wa Jamhuri ya Sahara ya Kidemokrasia ya Kiarabu inayodai kuwa dola la Sahara ya Magharibi. Alikuwa kati ya viongozi wa kwanza wa Polisario iliyopigania uhuru wa Sahara ya Magharibi. Alichagul ...

Alcelaphinae

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Alcelaphinae ni nusufamilia ndogo katika familia Bovidae. Spishi zake zinafanana na kongoni. Nusufamilia hii ina jenasi nne ndani yake: Alcelaphus Kongoni Damaliscus Nyamera na Sasabi Connochaetes Nyumbu Beatra ...

Bonobo

Bonobo au Sokwe Mtu Mdogo ni jina la nyani wakubwa wa familia Hominidae wanaofanana sana na binadamu. Anatazamiwa kama spishi ya karibu zaidi na binadamu. Spishi hii inaishi pekee katika eneo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa kusini k ...

Buku

Mabuku ni wanyama wa nusufamilia Cricetomyinae katika familia Nesomyidae ambao wanafanana na panya, lakini panya ni wanafamilia wa Muridae. Mabuku ni wakubwa kiasi, pengine kushinda panya: wale wa Cricetomys wana mwili wa sm 25-45, mkia wa sm 36- ...

Duma

Duma ni mnyama mbuai aliyemo katika jamii ya paka. Chakula chake ni wanyama jamii ya swala hupatikana Afrika na kidogo sehemu za Asia. Kichwa chake ni kidogo zaidi ukilinganisha na wanyama wengine wa jamii yake kama chui. Duma anatofautiana na ch ...

Fisi-maji

Fisi-maji ni wanyama wa maji baridi au wa bahari wa nusufamilia Lutrinae katika familia Mustelidae. Wanyawa hawa wana mwili mrefu na mwembamba wenye mkia mrefu na manyoyo laini. Fisi-maji hushinda takriban maisha yao yote majini au baharini. Huog ...

Fuko (Bathyergidae)

Mafuko hawa ni wanyama wa familia Bathyergidae ambao wanachimba katika ardhi na kushinda takriban maisha yao yote chini ya uso wake. Wanyama wengine waitwao fuko ni wanafamilia wa Chrysochloridae, Spalacidae, Talpidae na Notoryctidae. Spishi zote ...

Fuko (Spalacidae)

Mafuko ni wanyama wa familia Spalacidae ambao wanachimba katika ardhi na kushinda takriban maisha yao yote chini ya uso wake. Wanyama wengine waitwao fuko ni wanafamilia wa Chrysochloridae, Bathyergidae, Talpidae na Notoryctidae. Spalacidae za Af ...

Fuko-dhahabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Mafuko-dhahabu au mafuko butu ni wanyama wa familia Chrysochloridae ambao wanachimba katika ardhi na kushinda takriban maisha yao yote chini ya uso wake. Wanyama wengine waitwao fuko ni wanafamilia wa Bathyergi ...

Fungo

Fungo, fungo wa Afrika, ngawa au paka-zabadi wa Afrika ni mnyama mbua na spishi pekee ya jenasi yake. Pia ni mwanafamilia mkubwa kabisa wa Viverridae. Binturongi ni mfupi lakini mzito kuliko fungo. Spishi hii inatokea mahali pengi pa Afrika kusin ...

Hippotraginae

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Hippotraginae ni nusufamilia ndogo katika familia Bovidae. Spishi zake zinafanana na korongo. Nusufamilia hii ina jenasi tatu ndani yake: Hippotragus Korongo na Palahala Addax Choroa Oryx Choroa

Kaku

Cercocebus chrysogaster, Kaku Tumbo-dhahabu Golden-bellied Mangabey Rungwecebus kipunji, Kaku Kipunji au Kipunji au Highland Mangabey Lophocebus opdenboschi, Kaku wa Opdenbosch Opdenboschs Mangabey Lophocebus ugandae, Kaku wa Uganda Mangabey Loph ...

Kalunguyeye

Kalunguyeye ni wanyama wenye miiba wa nusufamilia Erinaceinae katika familia Erinaceidae. Wanyama wengine ambao wana miiba ni nungunungu na ekidna, lakini hawa hawana mnasaba mmoja na kalunguyeye. Nungunungu wamo katika oda ya wagugunaji Rodentia ...

Kamendegere

Kamendegere ni wanyama wakubwa kiasi wa jenasi Pedetes, jenasi pekee wa familia Pedetidae, ambao wanafanana na sungura wenye miguu ya nyuma mirefu au hata na kanguru mdogo, lakini hawana mnasaba na wanyama hawa. Rangi yao ni hudhurungi juu na nye ...

Kanu (mnyama)

Kanu, kala au karasa ni wanyama mbua wadogo wa jenasi Genetta katika familia Viverridae. Kanu mlasamaki aliainishwa katika jenasi Osbornictis lakini wataalamu wameonyesha kama spishi hii ina mnasaba wa karibu na kanu wa jenasi Genetta. Wanyama ha ...

Kicheche

Vicheche au cheche ni wanyama wa jenasi mbalimbali katika familia Mustelidae. Wanyama hawa ni miongoni mwa wale wanaotoa vundo mbaya kabisa. Wataalamu wengine wanadai kwamba kicheche wa kawaida ananuka vibaya kuliko wanyama wote. Vundo hii inatok ...

Kima (kabila)

Kima ni wanyama wa kabila Cercopithecini katika familia Cercopithecidae. Spishi za jenasi Chlorocebus huitwa ngedere au tumbili kwa kawaida. Wanatokea Afrika chini ya Sahara, lakini spishi kadhaa zimewasilishwa katika sehemu nyingine za dunia.

Kindi Mrukaji

Kindi warukaji ni wanyama wadogo hadi wakubwa kiasi wa familia Anomaluridae. Wanatokea misitu ya Afrika kusini kwa Sahara. Kuna kindi warukaji huko Asia pia, lakini jamii hizi hazina mnasaba. Wale wa Afrika wana ngozi kati ya miguu ya mbele na ya ...

Kipanya

Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru Kipanya hupatikana katika oda ya wagugunaji Rodentia. Spishi inayofahamika sana ni kipanya-nyumbani Mus musculus. Pia ni mfugo maalum. Kwenye maeneo mengine, vipanya huwa maarufu. Wagugunaji hawa huliwa na nde ...

Kipanya-miti

Vipanya-miti ni wanyama wadogo wa nusufamilia Dendromurinae katika familia Nesomyidae ambao wanafanana na vipanya, lakini vipanya ni wanafamilia wa Muridae. Spishi zote zinatokea Afrika kusini kwa Sahara. Jenasi Dendromus na Steatomys zina usamba ...

Komba

Komba ni wanyama wadogo wa familia Galagidae. Wamo miongoni mwa wanyama wa asili wa jamaa ya binadamu. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara. Hukiakia usiku na hulala mchana katika matundu ya miti. Kwa ajili hiyo wana macho makubwa ili kuona vizuri ...

Kulungu Mwekundu wa Atlas

Kulungu mwekundu wa Atlas ni mnyama mkubwa wa jenasi Cervus katika familia Cervidae anayetokea Afrika ya kaskazini magharibi na visiwa vya Korsika na Sardinia. Zamani alifikiriwa kuwa nususpishi ya kulungu mwekundu wa Ulaya, lakini wanyama wa Afr ...

Lemuri

Lemuri ni aina za kima awali wa familia ya juu Lemuroidea katika nusuoda Strepsirrhini. Wanatokea Madagaska tu. Kama kima wana mkia mrefu, kucha fupi na pana na kidole kwa kila mkono na mguu kilicho na uwezo wa kupinga vidole vingine. Lakini tofa ...

Lemuri Kibete

Lemuri kibete ni spishi za lemuri wa jenasi Cheirogaleus katika familia Cheirogaleidae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Lemuri hawa ni wakubwa kuliko lemuri-panya lakini wadogo kuliko lemuri wote wengine. Urefu jumla, pamoja na mkia, ni ...

Lemuri-panya

Lemuri-panya ni spishi za lemuri wa jenasi Microcebus katika familia Cheirogaleidae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Urefu wa jumla wa kichwa, mwili na mkia ya lemuri-panya ni chini ya sm 27, kwa hivyo wao ni wadogo kuliko primates wote. ...

Lemuri-spoti

Lemuri-spoti ni spishi za lemuri wa jenasi Lepilemur, jenasi pekee ya familia Lepilemuridae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Lemuri hawa ni wakubwa kiasi na wana manyoya kahawiakijivu kuelekea mekundu mgongoni na meupenjano chini. Urefu ...

Ndezi

Ndezi ni wagugunaji wakubwa wa familia Thryonomyidae ambao wana mnasaba karibu kiasi na nungunungu. Wanatokea mahali panyevu pa Afrika kusini kwa Sahara. Wamo miongoni mwa wagugunaji kubwa kabisa duniani. Mwili wao una urefu wa sm 35-60 na uzito ...

Ngagi

Gorilla beringei, Ngagi Mashariki au Gorila Mashariki Eastern Gorilla Gorilla b. graueri, Ngagi wa Uwanda wa Chini Mashariki Eastern Lowland Gorilla: Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo Gorilla b. beringei, Ngagi-milima Mountain Gorilla: Jamhuri ya Ki ...

Ngedere

Ngedere au tumbili ni aina za kima wa jenasi Chlorocebus katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara, lakini spishi kadhaa zimewasilishwa katika sehemu nyingine za dunia.

Ngedere wa Bale

Ngedere wa Bale ni spishi ya kima inayopatikana katika misitu ya mianzi ya Milima ya Bale iliyopo nchini Ethiopia. Hapo awali ilitengenezwa njia ndogo ya kwenda katika misitu hiyo kwa ajili ya ziara pia. Kila spishi kama Chlorocebus hapo awali zi ...

Nguchiro

Nguchiro ni wanyama wadogo kiasi wa familia Herpestidae. Kuna spishi nne huko Madagaska ziitwazo nguchiro pia na ambazo ziliainishwa katika Herpestidae, lakini malinganisho ya ADN yameonyesha kwamba spishi hizi zina mnasaba zaidi na spishi za Eup ...

Nungunungu

Nungunungu au nungu ni wanyama wagugunaji wenye ngozi yenye miiba iliyochongoka wanayotumia kujilinda na maadui. Walienea katika ulimwengu wa sasa na ulimwengu wa zamani. Katika wanyama wagugunaji ni watatu kwa ukubwa, wakitanguliwa na capybara n ...

Panya-miti

Panya-miti ni wanyama wadogo wa familia Gliridae. Spishi nyingi hupanda miti na huishi katika matundu ya mti au matago ya ndege. Wanyama hawa wanafanana na kindi wadogo. Urefu wa mwili wao ni kutoka mnamo sm 8 hadi sm 20 na wana mkia wenye urefu ...

Pimbi

Pimbi, kwanga, perere au wibari ni wanyama wadogo wa familia Procaviidae. Jina la kwanga litumika kwa jenasi Heterohyrax na perere na wibari yatumika kwa jenasi Dendrohyrax. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara na Mashariki ya Kati, mara nyingi kat ...

Poto

Poto au koni ni wanyama wadogo wa nusufamilia Perodicticinae katika familia Lorisidae. Wamo miongoni mwa wanyama wa asili wa jamaa ya binadamu. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara. Wanaishi mitini kwa misitu ya mvua ya Afrika ya Magharibi na ya Ka ...

Punda milia

Punda milia au pundamilia ni wanyama wa familia Equidae wa Afrika wanaofahamika sana kwa rangi yao ya pekee ya michirizi myeupe na myeusi. Michirizi yao huwa na mpangilio tofauti kwa kila punda milia mmoja. Ni wanyama wenye kuchangamana sana na h ...

Reduncinae

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Reduncinae ni nusufamilia ndogo katika familia Bovidae. Spishi zake zinafanana na tohe. Nusufamilia hii ina jenasi mbili ndani yake: Redunca Tohe Kobus Kuro

Sengi

Sengi, njule au isanje ni wanyama wadogo wa familia Macroscelididae. Jina la njule litumika kwa jenasi Rhynchocyon na isanje litumika kwa Petrodromus tetradactylus. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara katika maeneo mbalimbali. Sifa bainifu mno ya ...

Sifaka

Sifaka ni spishi za lemuri wa jenasi Propithecus katika familia Indriidae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Jina lao linafanana na sauti yao:" shi-fak”. Manyoya yao ni marefu na laini kama hariri. Rangi yao ni nyeupe, kahawia au nyeusi au ...

Sokwe Mtu

Pan t. verus, Sokwe Mtu Magharibi Pan t. schweinfurthii, Sokwe Mtu Mashariki Pan t. troglodytes, Sokwe Mtu wa Kati Pan troglodytes, Sokwe Mtu wa Kawaida Common Chimpanzee Pan t. vellerosus, Sokwe Mtu wa Nijeria Nigerian Chimpanzee: Nijeria na Kam ...

Sokwe Mtu wa Kawaida

Sokwe Mtu wa Kawaida ni jina la nyani wakubwa wa familia Hominidae wanaofanana sana na binadamu. Sokwe Mtu wa Kawaida wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika.

Swala pala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Swala pala au swalapala ni swala ambaye si mkubwa sana kutoka Afrika. Jina Impala ambalo ni jina la swala pala kwa Kiingereza linatoka kutoka lugha ya Kizulu na linamaanisha "Swara". Wao hupatikana katika savan ...

Taya (mnyama)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Taya, kasia au vihea Ourebia ourebi ni swala wadogo wenye miguu myembamba na shingo ndefu ambao wanatokea savana za Afrika kusini kwa Sahara.

Twiga

Twiga ni jenasi ya wanyama ya Afrika katika familia Giraffidae. Spishi hizi ni mamalia wenye kwato shufwa na shingo ndefu kuliko ile ya wanyama wote wa nchi kavu. Mwili wao umepambwa kwa madoa yasiyo na umbo maalumu, yenye rangi ya njano mabaka m ...

Bahari ya Greenland

Bahari ya Greenland ni jina la sehemu ya Bahari Aktiki iliyopo upande wa mashariki wa Greenland. Inapakana na kisiwa cha Greenland upande wa magharibi, funguvisiwa la Svalbard upande wa mashariki, na Bahari ya Norwei pamoja na Iceland upande wa k ...

Bendera ya Brazil

Bendera ya Brazil ni ya rangi kijani yenye msambamba sawa njano ndani yake. Ndani ya msambamba sawa kuna duara ya buluu yenye nyota nyeupe ndani yake. Mlia mweupe unakata duara ya buluu mwenye maandishi ya maneno ya wito la taifa Ordem e Progress ...

Bendera ya Honduras

Bendera ya Honduras ina milia mitatu ya kulala yenye rangi za buluu-nyeupe-buluu. Katikati kwenye mlia mwekundu kuna nyota tano za buluu. Bendera jinsi ilivyo imepatikana tangu mwaka 1866. Asili yake ni bendera ya "Shirikisho la majimbo ya Amerik ...

Bendera ya Kolombia

Bendera ya Kolombia imepatikana tangu 26 Novemba 1861. Ina milia mitatu ya kulala ya njano, buluu na nyekundu. Mlia wa njano una nusu ya upana wa bendera, milia miwili mingine inachukua robo ya upana kila mmoja. Rangi hizi tatu zilikuwa bendera y ...

Bendera ya Mexiko

Bendera ya Mexiko ina milia mitatu ya wima ya rangi kijani kibichi, nyeupe na nyekundu. Rangi hizi zimetumiwa tangu mapamabano kwa ajili ya uhuru wa Mexiko kutoka Hispania mw. 1821. Katikati iko nembo la taifa linaloonyesha tai anayekalia mpungat ...

Bendera ya Panama

Bendera ya Panama imetungwa wakati nchi ilipotangaza uhuru wake kutoka Kolombia mwaka 1903 na kukubaliwa rasmi kwa maazimio mbalimbali ya bunge la nchi katika miaka 1904, 1925 na 1941. Rangi za bendera ni nyeupe, nyekundu na buluu. Maana ya rangi ...