ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 131

Mlango wa Hudson

Mlango wa Hudson unaunganisha Bahari ya Atlantiki na Ghuba ya Hudson huko Kanada. Uko kati ya Kisiwa cha Baffin na pwani ya kaskazini ya Quebec. Urefu wake ni km 720 450 miles, upana wake huwa kati ya km 240 hadi km 54. Njia hii ya bahari iligund ...

Dardaneli

Dardaneli ni mlango wa bahari katika Uturuki. Zamani za Ugiriki ya Kale na Roma ya Kale ulijulikana kwa jina la Hellespont. Dardaneli iko kati ya rasi ya Gallipoli upande wa Ulaya na Asia bara. Mlango unaunganisha Bahari ya Mediteranea na bahari ...

Belt Kubwa

Belt Kubwa ni mlangobahari kati ya visiwa vya Zealand na Funen nchini Denmark. Pamoja na milangobahari ya Belt Ndogo na Oeresund ni sehemu ya njia ya maji inayounganisha Bahari Baltiki na Bahari ya Kaskazini.

Gdansk

Gdańsk ni mji wa bandari kaskazini mwa Poland kule ambako mto Vistula unaishia katika Bahari Baltiki. Mji una wakazi wapatao 500.000 na bandari muhimu zaidi ya Poland.

Bahari ya Shamu

Bahari ya Shamu ni ghuba kubwa ya Bahari ya Hindi. Jina la kihistoria katika lugha ya Kigiriki ilikuwa Bahari ya Eritrea. Kaskazini ni rasi ya Sinai pamoja ghuba ndogo za Aqaba na Suez halafu imeunganika na Mediteranea kwa njia ya Mfereji wa Suez ...

Ghuba ya Akaba

Ghuba ya Akaba ni mkono wa kaskazini-mashariki ya Bahari ya Shamu. Imetenganisha Bara Arabu na Rasi ya Sinai. Kijiolojia ghuba ni sehem ya Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki. Nchi zinazopakana na ghuba hii ni hasa Misri na Uarabuni wa Saudia. Yo ...

Ghuba ya Bengali

Ghuba ya Bengali ni hori kubwa ya Bahari Hindi kati ya Bara Hindi, Rasi ya Malay na Sri Lanka yenye umbo la pembetatu. Jina la Bengal limetokana na jimbo la Bengali ya Magharibi katika Uhindi na nchi ya Bangladesh. Bahari ya Andamani inahesabiwa ...

Ghuba ya Omani

Ghuba ya Omani ni mkono wa kaskazini-magharibi wa Bahari Hindi unaofikia hadi mlango wa Hormuz unapoendelea katika Ghuba ya Uajemi. Urefu wake ni 560 km. Upande wa magharibi maji yana kina cha m 50 na upande wa mashariki kina cha mita 200. Ghuba ...

Mlango wa Hormuz

Mlango wa Hormuz ni mlango wa bahari mwembamba kati ya Uajemi na Falme za Kiarabu unaounganisha Ghuba ya Uajemi na Ghuba ya Omani ambayo ni mkono wa Bahari Hindi. Upana wake ni kilomita 60 tu. Katikati kuna visiwa vya Abu Musa na Tunbi ambavyo vi ...

Mlango wa Malakka

Mlango wa Malakka ni mlango wa bahari kati ya Malaysia na kisiwa cha Sumatra mwenye urefu wa 800 km. Sehemu yake nyembamba ni 2.8 km pekee. Unaunganisha Bahari Hindi na Bahari ya Uchina ambayo ni bahari ya kando la Pasifiki. Bandari muhimu zaidi ...

Mto Humber

Mto Humber pronounced /ˈhʌmbər/ ni mto mkubwa ulio na mawimbi katika mashariki ya Uingereza Kaskazini. Asili yake ni Trento Falls, Faxfleet katika mkutano wa Mto Ouse na Mto Trent. Kutoka hapa hadi Bahari ya Kaskazini huwa mpaka kati ya Yorkshire ...

Mto Tweed

. Mto Tweed Abhainn Thuaidh ni 97 miles 156 km mrefu na unapitia katika eneo la mpakani kati ya Uingereza na Scotland. Huanzia katika Tweedsmuir katika kisima cha Tweed karibu na Clyde. Humwaga maji yake katika eneo hili la mpaka. Upande wake wa ...

Bab el Mandeb

Bab el Mandeb ni mlango wa bahari uliopo kati ya nchi ya Jibuti upande wa Afrika na Yemeni upande wa Asia. Mlango wa bahari una upana wa 27 km ukiunganisha Bahari ya Shamu na Bahari Arabu kupitia Ghuba ya Aden. Bab el Mandeb iko kati ya njia za b ...

Mlango wa Tiran

Mlango wa Tiran ni mlangobahari baina ya Rasi ya Sinai na Rasi ya Uarabuni. Inaunganisha Bahari ya Shamu na Ghuba ya Aqaba. Jina latokana na kisiwa kidogo cha Tiran kilichopo katikati ya mlangobahari. Sehemu hii ni muhimu kwa sababu ni njia ya pe ...

Mto Aligide

Mto Aligide unapatikana Eritrea na kuishia katika Bahari ya Shamu baada ya kuungana na mto Comaile na mto Haddas. Kabla ya hapo unapokea maji ya mto Barosio na mto Guwa.

Mto Anseba

Mto Anseba unapatikana Eritrea na ni tawimto la mto Barka ambao huishia katika Bahari ya Shamu. Kabla ya hapo unatiririka kilometa 346 na kupokea maji ya mto Zara, mto Koka na mto Fah.

Rasi ya Sinai

Rasi ya Sinai ni rasi yenye umbo la pembetatu nchini Misri upande wa kaskazini wa Bahari ya Shamu inayounganisha mabara ya Afrika na Asia. Inahesabiwa kuwa sehemu ya mwisho wa Asia ya Magharibi. Eneo la Sinai ni takriban km² 60.000, hasa jangwa. ...

Mlango wa Gibraltar

Mlango wa Gibraltar ni mlango wa bahari kati ya Moroko na Hispania. Unaunganisha bahari za Atlantiki na Mediteranea. Ni mahali ambako bara za Afrika na Ulaya ziko karibu. Mlango wa Gibraltar una upana kati ya 44 km hadi 14 km. Urefu wa sehemu nye ...

Mto Alero

Mto Alero unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Baro ambao unaungana na mto Pibor kuunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.

Mto Bahr al-Arab

Bahr al-Arab unapatikana nchini Sudan na kuunda sehemu ya mpaka wake na Sudan Kusini. Una urefu wa kilometa 800. Unaishia katika Mto Bahr al-Ghazal, tawimto kuu la Nile.

Mto Bahr al-Ghazal

Mto Bahr el Ghazal unapatikana Sudan Kusini. Ndio tawimto muhimu zaidi la Nile. Una urefu wa 716 kilometres 445 mi, ukipitia kinamasi cha Sudd hadi Ziwa No, unapoingia Nile Nyeupe.

Mto Bahr el Zeraf

Mto Bahr el Zeraf unapatikana Sudan Kusini. Ni tawimto la Nile Nyeupe. Kwanza unapitia kinamasi cha Sudd.

Mto Dipa

Mto Dipa unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Birbir, unaochangia mto Baro ambao kwa kuungana na mto Pibor unaunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.

Mto Gebba

Mto Gebba unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Baro ambao unaungana na mto Pibor kuunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.

Mto Gilo

Mto Gilo unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Pibor ambao unaungana na mto Baro kuunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.

Mto Kobara

Mto Kobara unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Dipa, ambalo ni tawimto la mto Birbir, unaochangia mto Baro ambao kwa kuungana na mto Pibor unaunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.

Mto Qarsa

Mto Qarsa unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Kobara, unaochangia mto Dipa, ambalo ni tawimto la mto Birbir, unaochangia mto Baro ambao kwa kuungana na mto Pibor unaunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.

Mto Sor

Mto Sor unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia. Ni tawimto la mto Gebba, ambalo ni tawimto la mto Baro ambao kwa kuungana na mto Pibor unaunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.

Mgongo wa bahari wa Chile

Mgongo wa bahari wa Chile ni mgongo wa baharini yaani safu ya milima kwenye sakafu ya bahari. Unafuata mpaka baina ya mabamba mawili ya gandunia: bamba la Nazca na bamba la Antaktiki. Mgongo wa bahari wa Chile unazama chini ya bara la Amerika Kus ...

Mgongo wa bahari ya Pasifiki Mashariki

Mgongo wa bahari ya Pasifiki Mashariki ni mgongo bahari kwenye mashariki ya Bahari Pasifiki takriban kilomita 3000 kutoka pwani ya Amerika Kusini. Ni kama safu ya milima ya volkeno kwenye sakafu ya bahari. Urefu wake ni mnamo km 10.000 ikielekea ...

Bahari ya Ufilipino

Bahari ya Ufilipino ni bahari ya pembeni ya Bahari Pasifiki iliyopo upande wa mashariki wa Ufilipino na Taiwan. Bahari ya Ufilipino imepakana na Japani upande wa kaskazini, Visiwa vya Mariana upande wa mashariki na Kisiwa cha Palau upande wa kusi ...

Ghuba ya Alaska

Ghuba ya Alaska ni mkono wa Bahari Pasifiki. Inapakana na pwani ya kusini ya Alaska. Inaenea baina ya kisiwa cha Kodiak upande wa magharibi hadi funguvisiwa la Aleksander upande wa mashariki. Pwani yake inapindapinda sana kutokana na hori nyingi ...

Mlango wa La Pérouse

Mlango wa La Pérouse ni jina la mlangobahari unaotenganisha visiwa vya Japani na Urusi. Upande wa kusini kipo kisiwa cha Hokkaido na upande wa kaskazini kisiwa cha Sakhalin. Unaunganisha bahari ya Japani na bahari ya Okhotsk. Sehemu nyembamba ya ...

Mapito ya Drake

Mapito ya Drake ni sehemu ya maji inayounganisha Bahari Atlantiki na Bahari Pasifiki. Upande wa kaskazini iko Rasi ya Hoorn na Amerika Kusini, upande wa kusini viko Visiwa vya South Shetland ambavyo viko mbele ya pwani ya Antaktiki. Sehemu za kus ...

Australasia

Australasia ni neno la kutaja sehemu ya kusini magharibi ya Pasifiki inapopakana na Asia ya Kusini na Bahari Hindi. Inatazamiwa kama kanda la Australia na Pasifiki. Si kawaida sana kimataifa lakini hueleweka hasa Australia na nchi za jirani penye ...

Pambizo

Pambizo ni makazi ya watu yaliyo pembezoni mwa mji au jiji na kitovu chake. Hukaliwa na watu wanaofanya kazi kwenye kitovu cha mji au kwenye mitaa ya viwanda. Si mjini kabisa wala si mashambani. Zamani miji ya Dunia haikuwa mikubwa sana, isipokuw ...

Tetemeko la ardhi la Kagera 2016

Tetemeko la ardhi kwenye Mkoa wa Kagera lilianza kutokea tarehe 10 Septemba mwaka 2016 karibu na mji wa Bukoba nchini Tanzania. Zilizala hii ilipimwa kuwa na nguvu ya 5.9 kwenye skeli ya MMS likatokea takriban kilomita 40 chini ya uso wa ardhi ka ...

Havana

Havana ni mji mkuu na mji mubwa wa Kuba kwenye 23°8′N 82°23′W. Kuna wakazi milioni 2.2. Tangu 1982 mji wa kale umepokelewa katika orodha ya urithi wa dunia.

Basra

Basra ni mji kwenye kusini ya Irak mwenye wakazi zaidi ya milioni mbili. Iko kando la Shatt-al-Arab inayopeleka maji ya Hidekeli na Frati hadi Ghuba ya Uajemi. Ni bandari kuu ya Irak. Basra ni mji mkubwa wa tatu wa Irak baada ya Baghdad na Mosul. ...

Shatt al Arab

Shat al Arab au kwa jina la Kiajemi Arvand Rud ni mto unaounganisha mito ya Hidekeli na Frati kabla ya kuishia katika Ghuba ya Uajemi. Unaanza mahali nchini Irak ambako mito ya Hidekeli na Frati inaungana ukiendelea kwa kilomita 200 hadi baharini ...

Jasi

Jasi ni madini yanayoptikana mahali pengi ambayo kikemia ni sulfati ya kalsi. Fomula yake ni CaSO 4 2H 2 O. Ni madini laini sana yakiwa na ugumu wa 2 kwenye skeli ya Mohs. Inaweza kukwaruzwa kwa kucha. Kiasili inapatikana mara nyingi kama fuwele; ...

Ziwa Elementaita

Ziwa Elmenteita ni ziwa la magadi, katika eneo la mashariki la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kilomita 120 kaskazini magharibi mwa jiji la Nairobi, Kenya. Linachangiwa maji na mito mitatu: Kariandus, Mbaruk na Meroronyi.

Kolosai

Kolosai kwa Kigiriki Κολοσσαί, Kolosai, ulikuwa mji wa mkoa wa Frigia katika Uturuki wa leo juu ya mto Lukus, kilometa 22 kusini kwa Laodikea, karibu na barabara kutoka Efeso hadi mto Eufrate. Umaarufu wake unatokana na barua ambayo Mtume Paulo a ...

Nazareti

Nazareti ni mji wenye watu 65.000 upande wa kaskazini wa nchi ya Israeli, ambao kihistoria unajulikana kama Galilaya. Wakazi wengi ni raia wa Israeli wanaoongea Kiarabu na kufuata dini za Uislamu 68.7% na Ukristo 31.3%. Nazareti unajulikana kama ...

Basseterre

Basseterre ni mji mkuu wa shirikisho la Saint Kitts na Nevis ambalo ni nchi ya visiwani ya Antili Ndogo kwenye Bahari Karibi. Idadi ya wakazi ni takriban 15.500. Mjini kuna kitovu cha kiuchumu wa visiwa, uwanja wa ndege na viwanda vya sukari. Mwi ...

Bridgetown

Bridgetown ni mji mkuu wa Barbados ambayo ni nchi ya visiwani ya Karibi kati ya visiwa vya Antili Ndogo. Bridgetown ni mji mdogo tu mwenye wakazi 7.000 lakini pamoja na watu wa eneo la karibu ni mnamo 90.000. Uko kwenye pwani la kusini-magharibi ...

Kingstown

Kingstown ni mji mkuu wa nchi ya visiwani ya Saint Vincent na Grenadini mwenye wakazi wapatao 16.000. Iko kwenye kisiwa kuu cha Saint Vincent kilicho sehemu za Antili Ndogo. Ni pia bandari kuu ya nchi. Kingstown ilikuwa nyumbani ya Hugh Mulzac 18 ...

Panama City

Panama City ni mji mkuu na pia mji mkubwa wa nchi ya Panama. Ina wakazi 700.000. Mji ulianzishwa mwaka 1519 na Wahispania kwenye mahali 8 km kutoka mji wa leo. Mji wa Panama ulikua kama kituo cha usafiri kwa sababu shingo la nchi la Panama ni nji ...

Ankara

Ankara ni mji mkuu wa Uturuki. Iko katika kitovu cha Anatolia kwenye kimo cha 938 m juu ya UB. Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Ankara. Ankara ni mji mkubwa wa pili nchini baada ya Istanbul. Kuna wakazi 4.319.167 2005.

Alofi

Alofi ni mji mkuu wa nchi ya kisiwani cha Niue katika bahari ya Pasifiki. Alofi ina wakazi 614 2001. Kuna vijiji viwili vya Alofi North wakazi 256 na Alofi South penye majengo ya serikali wakazi 358. Alofi iko kwenye pwani ya magharibi ya kisiwa, ...