ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 133

Mercy Myra

Mwaka wa 1996 alijiunga na kundi la Calabash Band lakini aliiacha kundi hilo mwaka uliyofuata kujiunga na kundi la R & B la Destinee na mwaka wa 1997 alijiunga na bendi iitwayo Black Ice. Kisha akaamua kuacha mambo ya vikundi na bendi ya muziki n ...

Onyi Papa Jey

Onyi Papa Jey ni muimbaji wa muziki wa mtindo wa ohangla nchini Kenya Onyi Papa Jey alianza kucheza orutu akiwa katika shule ya msingi. Alilazamika kukatiza masomo yake katika shule ya sekondari ya Tonga kwa kukosa karo. Alijunga na bendi ya Tony ...

Poxi Presha

Poxi Presha, jina halisi Prechard Pouka Olang, alikuwa mwanzilishi wa muziki wa aina ya rap nchini Kenya. Alijitokeza katikati ya miaka za tisaini na miziki wa hip hop ya ulioimbwa katika lugha ya Dholuo. Albamu yake ya kwanza Total Balaa ilitole ...

Robert Wangila

Robert Napunyi Wangila alikuwa bondia wa Kenya wa uzito wa "welterweight" ambaye alishinda medali ya dhahabu katika Michezo ya Olimpiki ya mwaka wa 1988. Yeye bado ndiye mwanaspoti wa Kenya aliyeshinda medali ya dhahabu ya Olimpiki ambayo si ya r ...

Ali Farka Toure

Ali Farka Touré ni mmoja wa wanamuziki mahiri barani Afrika. Alizaliwa jijini Bamako nchini Mali mwaka 1939. Jina lake hasa ni Ali Ibrahim Touré. Muziki wa Ali Farka Touré ni mchanganyiko wa muziki wa asili wa Mali na muziki wa Amerika ya Kaskazi ...

Hala Gorani

Hala Basha-Gorani ni Mwamerika wa kutoka nchini Syria ambaye ni mwanahabari wa CNN International katika makao yake makuu mjini Atlanta, Georgia. Hapo awali alikuwa akitangaza kutoka afisi ya CNN jijini London, lakini sasa yuko kwa CNN Internation ...

Muna Lee (mwandishi)

Muna Lee 29 Januari 1895 - 3 Aprili 1965 alikuwa mwandishi na mshairi wa Marekani ambaye alikuwa anajulikana sana kwa maandishi yake yaliyokuza sera za Pan-Amerika na sera za kuwapa majukumu makubwa wanawake. Alizaliwa Raymond, katika eneo la Mis ...

Mark Twain

Alizaliwa katika mji wa Florida kwenye jimbo la Missouri akaendelea kuwa mwandishi wa magazeti na baadaye nahodha wa meli ya mto Missisippi. Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Marekani ilizuia usafiri wa mtoni akaenda magharibi alipojaribu kuchimba d ...

Bing Crosby

Harry Lillis Crosby alikuwa mwimbaji na mwigizaji wa Marekani. Bing Crosby ndiye aliyeuza zaidi na kufanikiwa zaidi katika muziki wa karne ya 20. Crosby alikuwa kiongozi katika uuzaji wa rekodi, makadirio ya redio, na mapato makubwa ya sinema moj ...

Brangelina

Brangelina ni jina linalojumuisha muigizaji Brad Pitt wa kutoka Marekani aliyeigiza katika filamu zaidi ya 40 na Angelina Jolie ambaye ni balozi wa shirika la Umoja wa Mataifa na vilevile muigizaji wa filamu kama Lara Croft: Tomb Raider na Change ...

Yul Brynner

Yul Brynner alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Broadway na Hollywood. Brynner alizaliwa Urusi lakini baadaye alikuja kuwa raiya wa Marekani. Ameonekana katika filamu nyingi za Marekani. Vilevile katika filamu za Italia alicheza Seven Magnificent ...

Sarah Wayne Callies

Sarah Wayne Callies ni mwigizaji filamu na tamthiliya wa Kimarekani, anayejulikana vizuri baada ya kuigiza kama Dr. Sara Tancredi katika misimu miwili ya kwanza ya tamthilia ya Kimarekani Prison Break.

Don Gordon (Mwigizaji)

Filamu zake maarufu ni zile alizoigiza akiwa na mwenzake Steve McQueen hasa Bullitt, Papillon na The Towering Inferno. Aliigiza kama mwigizaji mgeni katika kipindi cha McQueen katika stesheni ya CBS kilichoitwa Wanted: Dead or Alive. Katika mwaka ...

Sherman Hemsley

Sherman Alexander Hemsley alikuwa mwigizaji Mmarekani aliyejulikana zaidi kama George Jefferson katika mifululizo ya CBS All in the Family na The Jeffersons, na kama mhudumu Ernest Frye katika mfululizo wa NBS Amen. Yeye aliigiza pia bosi wa kuog ...

Dennis Hopper

Dennis Lee Hopper alikuwa mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, na msanii kutoka nchini Marekani. Akiwa bwana mdogo, Hopper akawa na shauku ya uigizaji na hatimaye akawa mwanafunzi wa Actors Studio. Amefanya onekano lake la kwanza katika televishein ...

Ashley Scott

Ashley McCall Scott ni mwigizaji filamu na tamthilia-mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Marekani. Anajulikana zaidi kwa vipindi vya televisheni na filamu. Moja kati ya tamthilia alizoigiza Ashley ni kama ifutavyo: Dark Angel, Birds of Prey, na ...

Joan Baez

From Every Stage, A&M 02/1976 Gracias la vida, A&M 07/1974 Carry It On Soundtrack Album, Vanguard 1971 Any Day Now Songs of Bob Dylan, Vanguard 12/1968 Joan, Vanguard 08/1967 Joan Baez in Concert, Part 2, Vanguard 11/1963 Honest Lullaby, ...

Saint Jhn

Carlos St. John, ni rapa, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki mwenye asili ya Kiguyana na Kimarekani. Aliachia albamu yake ya kwanza chini ya jina la kisanii Saint Jhn, Collection One, mnamo Machi 2018. Kabla ya hapo, Jhn aliandi ...

Tommy Tedesco

Nyimbo zilizoimbwa na Tommy, tukitaja chache tu, ni myimbo za vipindi vya runinga kama Bonanza, Twilight Zone, Green Acres, M*A*S*H, Batman na kipindi cha Elvis Presley 68 Comeback Special. Alionyeshwa katika vipindi kadhaa vya kuchekesha na,pia, ...

Mamie Eisenhower

Mamie Geneva Doud Eisenhower alikuwa mke wa Rais-Jenerali wa zamani wa Marekani Bw. Dwight D. Eisenhower. Alianza kuwa Mwanamke wa Kwanza wa Marekani kuanzia mwaka 1953 hadi 1961. Mamie na Eisenhower walioana mnamo mwezi Julai ya mwaka wa 1916. M ...

Howard W. Koch

Howard Winchel Koch alikuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kutayarisha filamu ya Ghost. Alizaliwa mjini New York City, alihitimua katika shule ya Peddie School mjini ...

Nefertiti

Neferneferuaten Nefertiti alikuwa malkia wa Misri ya Kale na mke mkuu wa Farao Akhenaten. Nefertiti na mumewe wanajulikana kwa mapinduzi ya kidini ambapo waliaanzisha ibada ya mmoja tu wakimwabudu Aten au Jua badala ya miungu mingi ya dini ya nch ...

Seti I

Seti I alikuwa farao wa nasaba ya 19. Kipindi chake huhesabiwa katIka Ufalme Mpya. Alikuwa mtoto wa Ramses I na Malkia Sitre, na baba wa Ramses II. Kama ilivyo na tarehe zote katika Misri ya Kale, tarehe halisi za utawala wake hazijulikani. Wanah ...

Afro Candy

Afro Candy, ni mwigizaji wa filamu wa Nigeria, mkurugenzi, mtayarishaji, mwandishi wa nyimbo, mwanamitindo na mwigizaji mikanda ya ngono. Yeye ndiye mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Invisible Twins Productions LLC.

Charles Awurum

Charles Awurum alikulia jimbo la Lagos na alikuwa na matamamio ya kuwa muigizaji wa kitaalam wakati akiwa mdogo. Aliwaandikia watayarishaji wa The Village Headmaster kwamba alitamani kuwa sehemu ya waigizaji wa sabuni. Hatimaye alipata mwaliko ku ...

Cossy Orjiakor

Cossy Orjiakor ni mwigizaji wa Nigeria, mwimbaji na mtayarishaji wa muziki. Alikuja kufahamika baada ya kushirikiana katika video ya muziki na Obesere. Mwaka 2015, alitengeneza filamu yake ya kwanza, Power girls, chini ya kampuni yake ya uzalisha ...

Dolly Unachukwu

Dolly Unachukwu ni muigizaji kutoka nchini Nigeria. Dolly Unachukwu ni mmoja wa waanzilishi wa Nollywood, muigizaji mwenye talanta, mwandishi, muaandaji na hivi karibuni amekuwa muongozji wa filamu, Akiwa amezaliwa mwaka 1969 katika familia ya wa ...

Ejike Asiegbu

Ejike Asiegbu ni wa Nigeria na muongoza filamu, Aliwahi kuhudumu kama Raisi wa Actors Guild of Nigeria. Aliwahi pia kuchaguliwa kuwa msaidizi binafsi wa kiongozi wa Biafran Odumegwu Ojukwu Katika kipindi cha mkutano wa taifa wa kikatiba mnamo mwa ...

Emma Nyra

Emma Chukwugoziam Obi, kitaalam anajulikana kwa jina la jukwaani Emma Nyra, ni mwandishi,mwimbaji,mwigizaji na mwanamitindo.

Franca Brown

Franca Obianuju Brown ni mwigizaji na mwandaaji wa filamu nchini Nigeria, ambapo mnamo mwaka 2016 alipokea tuzo iitwayo City People Movie Special Recognition Award katika City People Entertainment Awards.

Francis Agu

Francis Agu alikua muigizaji na mtangazaji wa Teleisheni kutoka Nigeria. Alikua maarufu katika muendelezo wa filamu za televisheni kwa jina la Checkmate.

Genny Uzoma

Uzoma anatoka katika Jimbo la Imo, ambayo ni eneo la kijiografia ambalo lina watu wengi,lugha ya Igbo wanazungumza taifa la Afrika Magharibi Nigeria. Yeye ni mhitimu wa Enugu State University of Science and Technology ESUT, ambapo alipata digrii ...

Lota Chukwu

Ugwu Lotachukwu Jacinta Obianuju Amelia ni mwigizaji ambaye alipata umaarufu baada ya kuwa nyota kwenye tamthilia ya Jenifas Diary akiwa na Funke Akindele, Juliana Olayode, Falz ambapo alicheza kama "Kiki", Jenifa. Pia ni mpenzi wa michezo ya Yoga.

Mary Lazarus

Mary Lazarus Alizaliwa tarehe 5 Mei, 1989) ni mwigizaji wa kike wa Nigeria na mtayarishaji wa filamu ambaye alishinda tuzo ya City People Movie Award for Most Promising Actress of the Year kwenye City People Entertainment Awards mwaka 2018 na ali ...

Monalisa Chinda

Monalisa Chinda alizaliwa Port Harcourt, Jimbo la Rivers kwa wazazi wa Ikwerre. Ndiye mzaliwa wa kwanza katika familia yake ya wana wawili wa kiume na wa kike wanne. Alihudhuria shule ya Armys Children GRA kwa elimu yake ya msingi na kisha Archde ...

Nkiru Sylvanus

Nkiru Sylvanus ni mwigizaji na mwanasiasa kutokea Nigeria. Wakati akifanya kazi kama mwigizaji, alishiriki katika filamu zaidi ya sabini pamoja na kushinda tuzo ya mwigizaji bora wa kike wa mwaka iliyotolewa na Africa Magic Viewers Choice Awards ...

Okey Bakassi

Okechukwu Anthony Onyegbule, maarufu kama Okey Bakassi ni mchekeshaji na mwigizaji wa Nigeria. Mnamo mwaka 2014, alishinda kitengo cha "Mwigizaji Bora katika Jukumu La Kuongoza katika toleo la mwaka2014 Best of Nollywood Awards kwa jukumu lake ka ...

Pascal Atuma

Pascal Atuma ni muigizaji wa Canada mwenye asili ya Nigeria,Ni mtayarishaji wa Filamu, Mkurugenzi na Mkurugenzi Mtendaji / Mwenyekiti wa TABIC Record Label. Pascal alizaliwa katika Jimbo la Abia, Nigeria. Alihudhuria Chuo cha Serikali, Umuahia, a ...

Patience Ozokwor

Patience Ozokwor aliyezaliwa 14 Septemba 1958, ni mwanamuziki raia wa Nigeria, mbunifu wa mitindo, mwimbaji wa injili na mwigizaji. Alishinda Africa Movie Academy Award kama mwigizaji bora wa kike katika 10th Africa Movie Academy Awards. Ozokwor ...

Patti Boulaye

Patricia Ngozi Komlosy, anayejulikana kitaaluma kama Patti Boulaye, ni mwigizaji mwenye asili ya Uingereza na Naigeria, mwigizaji aliyeinuka kuwa maarufu baada ya kushinda New Faces mnamo 1978 na alikuwa miongoni mwa waburudishaji weusi wa Uinger ...

Sandra Achums

Sandra Achums alizaliwa katika Jimbo la Imo. ambalo liko katika sehemu ya kusini-mashariki mwa taifa la Afrika Magharibi; Nigeria.Alipata elimu yake ya msingi, sekondari na vyuo vikuu vyote katika jimbo la Lagos, alihudhuria chuo kikuu cha jimbo ...

Tana Adelina

Christiana Nkemdilim Adelana maarufu kama Tana Adelana ni mwigizaji wa Nollywood, mtayarishaji, mwanamitindo, mtangazaji wa runinga na mjasiriamali. Alishinda kitengo cha mwigizaji Bora na Kusaidia wa tuzo za CITY People’s Movie Awards 2017, na a ...

Uzo Aduba

Uzoamaka Nwanneka Uzo Aduba ni mwigizaji wa Nigeria na Amerika. Anajulikana kwa jukumu lake kama Crazy Eyes |Suzanne "Crazy Eyes" Warren kwenye filamu za Netflix katika safu za Orange Is the New Black, ambayo alishinda Tuzo ya Primetime Emmy Awar ...

Ahmadu Bello

Al-Haji Sir Ahmadu Bello 12 Juni 1910 - 15 Januari 1966 alikuwa mwanasiasa nchini Nigeria, na alikuwa Waziri wa kwanza kutoka mkoa wa Kaskazini mwa Nigeria miaka 1954-1966. Alikuwa mmoja wa viongozi maarufu Kaskazini mwa Nigeria sambamba na Abuba ...

Umaru YarAdua

Umaru Musa YarAdua alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Nigeria na rais wa 13 wa nchi hiyo tangu 2007 hadi kifo chake hapo 2010. Ni rais wa kwanza mwenye shahada katika historia ya Nigeria.

Orchestra Baobab

Orchestra Baobab ni bendi maarufu ya muziki wa dansi toka nchini Senegal. Bendi hii imekuwepo katika ramani ya muziki wa Afrika toka ilipoanzishwa mwaka 1970. Orchestra Baobab inapiga muziki ambao ni mchanganyiko wa vionjo vya muziki toka Cuba, V ...

Radoje Domanovic

Radoje Domanović alikuwa mwandishi, mwandishi wa habari na mwalimu wa Serbia, maarufu sana kwa hadithi fupi za kejeli.

Elvis Musiba

Aristablus Elvis Musiba alikuwa mtunzi mashuhuri wa hadithi za kusisimua katika miaka ya 1980 kutoka nchini Tanzania. Alivuma sana kwa tungo zake kama vile Kufa na Kupona, Kikomo, Kikosi cha Kisasi, Njama na Hujuma. Musiba ni moja kati ya waandis ...

Mwajuma Abdul

Mwajuma Abdul au Maimuna alizaliwa mwaka 1977 jijini Dar es Salaam, alipata elimu ya awali shule ya msingi Mjimwema. Mwajuma alipata elimu ya msingi katika shule ya Mjimwema na kujiunga shule ya sekondari ya bweni ya Iringa Girls iliyopo Iringa; ...

Magret Hamisi

Magret Hamisi Nzomiya Magret Hamisi Nzomiya alizaliwa mnamo 1987 akapata elimu ya msingi kwenye shule ya Nyakato mkoani Mara. Alizaliwa katika familia ya Wazanaki ambao ni Wakristo. Kazi yake ni kushona, uigizaji wa filamu nchini Tanzania. Sanaa ...