ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 134

Kambisi II

Kambisi II alikuwa mfalme wa wafalme wa milki ya Uajemi. Alikuwa mwana wa Koreshi Mkuu aliyeanzisha nasaba ya Akhameni. Kambisi alipanusha milki aliyorithi kutoka babake Koreshi kwa kuvamia Misri na kuiunganisha na dola yake. Kambisi alikuwa mwan ...

Simone de Beauvoir

Simona de Beauvoir alikuwa mwandishi na mwanafalsafa wa kike nchini Ufaransa. Alijulikana kwa sababu aliandika juu ya hali ya wanawake katika jamii akachunguza jinsi walivyokandamizwa na juu ya njia ya kuondoka katika hali hii. Kwa miaka mingi al ...

Octave Mirbeau

Octave Mirbeau alikuwa mwandishi, mwanahabari, mkosoaji wa sanaa, mtawala huria, mhamasishaji na mtunga hadithi wa Ufaransa, ambaye alitetea kukuzwa kwa wasanii wenye ubunifu mkubwa. Katika riwaya, alitoa mwongozo mpya: LAbbé Jules Padre Jules, 1 ...

Charles Andler

Charles Philippe Théodore Andler alikuwa ni mwanafalsafa mwenye mchanganyiko wa Kijerumani na Kifaransa.

Étienne Balibar

Étienne Balibar ni mwanafilosofia kutoka nchini Ufaransa. Baada ya kifo cha mwalimu wake aliyefahamika kwa jina la Louis Althusser, Balibar alikuwa mhamasishaji mkubwa wa mtazamo wa filosofia ya Marxist. Reading Capital, kilichoandikwa kwa msaada ...

Voltaire

François-Marie Arouet anayejulikana zaidi kwa jina la Voltaire alikuwa mwandishi na mtaalamu wa falsafa kutoka Ufaransa. Anahesabiwa kati ya waanzilishaji wa Zama za Mwangaza nchini Ufaransa. Alitetea uhuru wa mawazo na uhuru wa dini ingawa enzi ...

Le Corbusier

Charles-Édouard Jeanneret-Gris aliyejulikana kwa jina la Le Corbusier alikuwa msanifu majengo mashuhuri wa karne ya 20. Alisifiwa kwa vitabu vyake juu ya usanifu majengo na mpangilio wa miji. Alilenga hasa kuboresha makazi ya watu katika miji mik ...

Jean-Auguste-Dominique Ingres

Jean-Auguste-Dominique Ingres alikuwa mchoraji kutoka Ufaransa. Pia alikuwa profesa wa sanaa katika Chuo cha Sanaa Nzuri mjini Paris. Yeye ilipatiwa tuzo la Medali ya Heshima na alikuwa ni mwanachama wa Taasisi ya Ufaransa.

Cleopatra Koheirwe

Cleopatra Koheirwe ni mwigizaji, mwandishi na mwimbaji kutoka Uganda. Mwaka 2006, aliigiza filamu yake ya kwanza iliyofahamika kwa jina la ’The Last King of Scotland. Kuanzia hapo, ametokea katika filamu nyingi tofauti pamoja na kazi za kimataifa ...

Hellen Lukoma

Hellen Lukoma ni mwigizaji, mwanamitindo, mbunifu wa mitindo na mwimbaji raia wa Uganda. Anajulikana sana kwa uigizaji wake kama Patra kwenye filamu ya The Hostel,Hellen Mutungi katika filamu ya Beneath The Lies. Alipata umaarufu kama mshiriki wa ...

Laura Kahunde

Laura Kahunde ni muigizaji kutoka nchini Uganda. Kwa sasa anaigiza kama Angela katika NTVs Second Chance Anafahamika pia kuigiza katika filamu za Mariam Ndagires Hearts in Pieces akiwa na Abby Mukiibi, Where We Belong, na Dear Mum akiwa na Mariam ...

Nana Kagga

Nana Hill Kagga Macpherson ni mwigizaji, mtengeneza filamu, muumbaji wa maudhui, mtumiaji hati, mhandisi wa mafuta na mhamasishaji wa kike kutoka Uganda. Pia anajulikana kwa kazi zake kama The Life, Beneath The Lies – The Series kama mwandishi na ...

Susan Basemera

Basemera alianza kuimba kwenye kwaya za shule akiwa na miaka nane. Akifahamika kama Lady C nchini mwake, alipata mafanikio makubwa mwaka 1995, alipojiunga na bendi ya waka na kuachia nyimbo iliyojulikana "Yimilila awo". alikuwa maarufu kwa wimbo ...

Nana Mouskouri

Le temps des cerises 1974 Agapi ini zoi 1994 An Evening with Belafonte/Mouskouri 1966 Star für Millionen 1977 Hommages 1997 Tu moublies 1986 Only Love 1986 Singt Ihre Grossen Erfolge 1967 Concierto en Aranjuez 1989 Mouskouri International 1969 Si ...

Kālidāsa

Kālidās alikuwa mwandishi nchini Uhindi. Aliishi mnamo mwaka 400 katika milki ya Gupta akatumia lugha ya Kisanskrit akitazamiwa kama mshairi mkuu wa lugha hiyo. Katika mashairi na tamthiliya alitumia mapokeo ya kidini ya Kihindu.

Munshi Premchand

Munshi Premchand alikuwa kati ya waandishi muhimu wa fasihi ya Kihindi ya kisasa. Alizaliwa kama mtoto wa mtumishi wa Posta ya Uhindi ya Kiingereza katika kijiji kidogo karibu na mji wa Varanasi. Mamake alikufa wakati bado alikuwa mdogo naye baba ...

Satyajit Ray

Satyajit Ray alikuwa muongozaji muigizaji filamu kutoka jimbo la Bengal Magharibi nchini Uhindi. Watu wengi humhesabu kati ya waongozaji muhimu sana wa sinema katika karne ya 20. Alizaliwa mjini Kolkata mnamo 1921 katika familia ya wasanii na waa ...

Pieter Brueghel Mzee

Pieter Brueghel alikuwa mchoraji Mholanzi wa karne ya 16. Anaitwa "Brueghel Mzee" ili kumtofautisha na mwanawe Pieter Brueghel Kijana aliyekuwa mchoraji mashuhuri pia. Anahesabiwa kati ya wachoraji muhimu zaidi wa Zama za Mwangaza ya Ulaya. Brueg ...

Rembrandt

Alizaliwa mjini Leyden kama mtoto wa tisa wa msagi Harmen Gerritszoon van Rijn na mke wake Cornelia Neeltgen Willemsdochter van Zuytbrouck. Alianza kuchora akiwa bado mtoto na mwanafunzi. Baada ya kumaliza shule alianza masomo kwenye chuo kikuu c ...

Peter Paul Rubens

Pieter Pauwel Rubens alikuwa mchoraji mashuhuri Mholanzi wa Flandria wakati wa karne ya 17. Alikuwa kati wachoraji wa Ulaya waliojulikana sana akaongoza karahana kubwa mjini Antwerpen alipochora picha zake kwa msaada wa wasaidizi wake. Alikuwa pi ...

Vincent van Gogh

Vincent Willem van Gogh alikuwa mchoraji kutoka Uholanzi. Huhesabiwa kati ya waanzilishaji wa uchoraji wa kisasa. Aliacha picha 864 na vichoro zaidi ya elfu moja na zote alichora katika miaka 10 ya mwisho wa maisha yake. Van Gogh alizaliwa mjini ...

Agatha Christie

Agatha Mary Clarissa Christie alikuwa mwandishi wa riwaya za jinai kutoka nchini Uingereza. Vitabu vyake ni maarufu sana ulimwenguni kote, na zaidi ya nakala bilioni 4 ziliuzwa ulimwenguni. Vitabu vyake vimetafsiriwa kwa lugha 103 tofauti. Riwaya ...

Peter Burton

Peter Burton alikuwa mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka mjini Bromley, Uingereza. Madai yake makubwa ya kuwa maarufu ni kwamba yeye ndiye mwigizaji wa kwanza kucheza uhusika wa Major Boothroyd, almaarufu kama Q, katika filamu ya kwanza ya ...

Charles A. Barber

Charles A. Barber alikuwa mtaalamu wa mimea na miwa kutoka Uingereza, aliyefanya kazi kusini mwa India maisha yake yote. Saccharum barberi, aina ya miwa inayokua mwituni kaskazini mwa India imeitwa jina lake kwa sababu alikuwa mwaanzilishi katika ...

Paul W. S. Anderson

Paul William Scott Anderson, pia anajulikana kama Paul W. S. Anderson au Paul Anderson, ni mwongozaji wa filamu ambaye kikawaida hufanya kazi hasa filamu za uzushi wa kisayansi na kuchukua michezo ya video na kuibadili kuileta kwenye filamu.

Friedrich Nietzsche

Alikuwa mtoto wa mchungaji wa Kiluteri akaendelea kusoma lugha za kale za Kilatini na Kigiriki akawa profesa wa lugha za kale kenye chuo kikuu cha Basel. 1879 alipaswa kujiuzulu kutokana na matataizo ya kiafya na tangu 1889 alionyesha dalili za u ...

Georg Wilhelm Friedrich Hegel

Georg Wilhelm Friedrich Hegel alikuwa mwanafalsafa wa Ujerumani aliyeathiri watu wengi katika karne ya 19 na karne ya 20. Kati ya wanafunzi wake walikuwa Bauer, Stirner na Marx pia Sartre na Küng walichukua mengi kutoka kwake. Wengine waliompinga ...

Immanuel Kant

Kant alizaliwa mjini Königsberg sasa: Kaliningrad kama mtoto wa fundi. Mamake alimsomesha kweye shule ya sekondari akaendelea kusoma tholojia, falsafa, sayansi, fizikia na hisabati. Tasnifu thesis yake ya kwanza haikupokelewa na profesa wake mwak ...

Horst Buchholz

Horst Werner Buchholz alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Ujerumani. Ana kumbukwa zaidi kwa kucheza kama Chiko kutoka katika filamu ya The Magnificent Seven. Buchholz amepata kuonekana katika filamu zaidi ya sitini wakati wa shughuli zake k ...

Anton Chekhov

Anton Chekhov alizaliwa mjini Taganrog. Babake alikuwa mwenye duka. Baada ya baba kufilisika familia ilikuwa maskini sana. Anton alilipa masomo yake kwa kufundisha wanafunzi wadogo. Shuleni alisoma mengi pamoja na vitabu vya Miguel de Cervantes n ...

Aleksander Pushkin

Aleksander Sergeyevich Pushkin alikuwa mwandishi na mshairi nchini Urusi. Amesifiwa kama mwandishi mkuu wa fasihi ya Kirusi. Alikuwa mwandishi wa kwanza aliyefaulu kuandika kwa Kirusi kilichoeleweka na wananchi badala ya kutumia lugha ya kale jin ...

Vasili Vereshchagin

Vasili Vasilyevich Vereshchagin alikuwa mchoraji kutoka Urusi aliyefahamika sana kutokana picha zake za vita na mapigano. Alikuwa mtoto wa mkulima aliyepata elimu kwenye shule ya kijeshi akandelea kuwa afisa wa jeshi la Urusi. Aliondoka jeshini a ...

Vladimir Vysotsky

Vladimir Semyonovich Vysotsky alikuwa mwimbaji, mwanashairi na mwigizaji katika Umoja wa Kisovyeti. Hakukubaliwa na serikali ya siku zake lakini malipendwa sana na watu na hadi leo ana athiri kubwa juu ya wanasanii nchini Urusi. Babake alikuwa mw ...

Oliver Mtukudzi

Oliver "Tuku" Mtukudzi alikuwa mwanamuziki wa Kizimbabwe. Oliver ni miongoni mwa wanamuziki walio maarufu kwa muda mrefu sana katika nchi hiyo. Alianza shughuli za muziki kunako pale alipojiunga na bendi ya Wagon Wheels, ambayo pia alikuwemo na m ...

Dominic Kanaventi

Dominic Kanaventi ni mwigizaji wa filamu na mtumbuizaji jukwaani kutoka Zimbabwe. Filamu kadhaa alizowahi kuigiza ni pamoja na Shamwari mnamo mwaka 1982, Mandela mnamo mwaka 1987, Cry Freedom mnamo mwaka 1987 na The Midday Sun mnamo mwaka 1989. P ...

Shana Dowdeswell

Dowdeswell alizaliwa mnamo 1 Aprili 1989 hukoHarare, Zimbabwe. Baba yake Roger Dowdeswell ni mchezaji wa zamani wa tenisi. Mama yake Laurie Smith ni mtayarishaji wa filamu ambaye alitengeneza filamu "The New Twenty". Shana alihamia New York City, ...

Adhuri

Athuri ni jina la ujumla la kuwaita wanaume wa kabila la Wagikuyu. Mwanaume mmoja huitwa muthuri. Kundi hili maalum huwa na majukumu kadha, baadhi ya haya zikiwemo, kulinda jamaa yake, kuzalisha hasa kwa lengo la kuendeleza jamii, kujiunga na wan ...

Kibosho

Kibosho ni jina la eneo kwenye mitelemko ya mlima Kilimanjaro katika Tanzania. Wakazi wake ni Wachagga. Mwaka 2012 ni sehemu ya kata za Kibosho Kati, Kibosho Magharibi na Kibosho Mashariki katika wilaya ya Moshi Vijijini. Katika siku za kwanza za ...

Mweta

Mweta ni jina la Kitanzania. Asili yake ni kabila la Wapare. Mweta maana yake ni kijito kinachotiririsha maji. Jina hili limeenea hadi kwa makabila ya Wasambaa na Wanguu. Jina linginge linalofanana na hilo ni Shemweta ambalo hutumiwa zaidi na Was ...

Ovid

Publius Ovidius Naso anayejulikana kwa jina fupi la Ovid alikuwa mshairi wa Roma ya Kale. Alizaliwa Italia alipoishi hadi Kaisari Augusto aliamua kumwondoa katika Italia akapewa amri kuishi katika jimbo la Dacia. Pamoja na Virgili na Horatius ata ...

Galenos

Galenos wa Pergamon alikuwa tabibu na mwanafalsafa Mgiriki mashuhuri katika Dola la Roma. Anakumbukwa kwa uchunguzi wa mambo ya tiba aliofanya na nadharia zake kuhusu afya na magonjwa. Nadharia zake ziliathiri tiba ya nchi za Ulaya na za Waislamu ...

Uqba ibn Nafi

Uqba ibn Nafi alikuwa jenerali wa jeshi aliyekuwa anatumikia Nasaba ya Wamuawiya, katika vipindi vya Muawiya ibn Abu Sufyan na Yazid ibn Abu Sufyan, ambaye alianza harakati za uenezi wa Uislamu huko Maghrib, ikiwa pamoja na Algeria, Tunisia, Liby ...

Li Bai

Li Bai alikuwa mshairi nchini China wakati wa nasaba ya Tang. Mara nyingi hutajwa kama mmoja wa washairi wakubwa wa China. Zaidi ya mashairi yake 1.000 yamehifadhiwa.

Albrecht Dürer

Albrecht Dürer alikuwa mchoraji na mkata nakhshi" Mjerumani. Alifahamika pia kama mtaalamu wa hisabati, hasa jiometria. Ahesabiwa kama msanii muhimu zaidi wa zama ya mwamko katika Ulaya ya kaskazini.

Luís de Camões

Luís Vaz de Camões alikuwa mshairi Mreno anayesifiwa kama mshairi mkubwa katika historia ya Ureno. Alilinganishwa na Homer, Virgil na Dante. Aliandika mashairi kwa Kireno na Kihispania na utenzi mkubwa wa Os Lusíadas yaani safari za mabaharia War ...

Arthur Rimbaud

Jean Nicolas Arthur Rimbaud alikuwa mshairi kutoka nchini Ufaransa. Alizaliwa kama mtoto wa mwanjeshi huko Charleville katika kaskazini-mashariki ya Ufaransa. Wakati wa vita ya Ujerumani dhidi ya Ufaransa ya 1870/71 alijitolea kuwa mwanajeshi aki ...

José Rizal

José Protacio Rizal Mercado y Alonso Realonda alikuwa mwandishi mzalendo Mfilipino. Riwaya zake mbili, Noli me Tangere na El Filibusterismo, zilikosoa ukiukwaji wa Kihispania. Rizal alinyongwa mwaka wa 1896.

James Alexander Stevenson

James Alexander Stevenson alikuwa mchongaji Mwingereza aliyeumba sanamu mbalimbali pamoja na Sanamu ya Askari iliyoko jijini Dar es Salaam.

Otti Berger

Berger alizaliwa Zmajevac katika Dola ya Austro-Hungarian Croatia ya leo. Alimaliza masomo katika Shule ya Wasomi ya Wasichana huko Vienna kabla ya kujiunga katika Chuo Kikuu cha Sanaa na Ufundi huko Zagreb, sasa Chuo cha Sanaa Nzuri, Chuo Kikuu ...

Ada Dietz

Kigezo:Infobox artist Ada K. Dietz alikuwa mfumaji wa Amerika anayejulikana sana kwa Maneno yake ya Algebraic ya 1949 katika Vitambaa vya Handwoven, ambayo inafafanua njia mpya ya kutengeneza mifumo ya kufuma kulingana na mifumo ya Aljebra. Njia ...