ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 138

Embu

Embu ni mji wa Kenya upande wa kusini-mashariki wa Mlima Kenya. Umbali na Nairobi ni km 120. Embu ni makao makuu ya Kaunti ya Embu. Mji uko kwenye kimo cha mita 1.350 juu ya UB. Uliundwa na walowezi Waingereza mnamo mwaka 1906. Wakazi walikuwa 60 ...

Lilongwe

Lilongwe, umma kadiriwa 597.619, ni mji mkuu wa Malawi. Yenyewe iko kusini magharibi mwa nchi, magharibi mwa Mto Malawi karibu na mpaka wa Malawi na Msumbiji na Zambia. Lilongwe mahali pake ni 13°59′S 33°47′E. Archived Machi 25, 2011 at the Wayba ...

New York

New York ni jiji kubwa kabisa Marekani na kati ya miji mikubwa duniani. Iko kwenye pwani la kaskazini-mashariki ya Marekani katika jimbo la New York.

Juba, Sudan

Idadi ya watu wake ilikuwa 525.953 mwaka wa 2017. Sensa ya Aprili / Mei 2008 matokeo yake yalikataliwa na serikali ya Kusini mwa Sudan. Juba ni mmojawapo wa miji inayokua haraka sana duniani na unaendelea kutokana na fedha za mafuta na kuja kwa W ...

Ismaïlia

Ismaïlia ni mji mkuu wa nchi ya Misri. Una idadi ya watu wapatao 750.000 hii ikijumuisha na maeneo ya jirani. Ipo katika upande wa kiasi cha nusu ukitoka katika bandari ya Said au Port Said kwa upande wa kaskazini na Suez Kwa upande wa Kusini. Mr ...

Suez

Suez ni mji na bandari nchini Misri. Iko kwenye mwambao wa kaskazini wa ghuba ya Suez au kwa lugha nyingine kwenye upande wa kusini wa Mfereji wa Suez. Mwaka 2012 mji ulikuwa na wakazi 565.716. Suez iko takriban kilomita 135 upande wa mashariki y ...

Casablanca

Casablanca ni mji mkubwa zaidi nchini Moroko. Ni mji wa bandari uliopo kwenye magharibi ya nchi mwambaoni wa Bahari Atlantiki. Pia ni mju mkubwa kabisa wa nchi za Maghrib na kati ya miji muhimu zaidi kwenye bara la Afrika. Casablanca ina bandari ...

Sale (mji)

Salé ni mji wa Moroko. Uko ufukoni wa Atlantiki kwenye mdomo wa mto Bou Regreg ngambo ya Rabat mji mkuu. Salé ilianzishwa katika karne ya 11 BK. Mwaka 1162 Jamhuri ya Kiitalia ya Genua ilijenga hapa bandari na kituo cha kijeshi. Mji ulivamiwa na ...

Sofala

Sofala ni bandari na mji mdogo katika Msumbiji karibu na mji mkubwa wa Beira. Uko kando la mdomo wa mto Sofala unapoishia katika Bahari Hindi. Tangu kuundwa kwa Beira Sofala haina umuhimu tena lakini ilikuwa bandari kuu ya Msumbiji wote kwa karne ...

Tete (mji)

Tete ni mji mwenye wakazi 104.832 na makao makuu ya Mkoa wa Tete nchini Msumbiji. Iko kando la mto Zambezi takriban 420 km kutoka mdomo wake na mahali pa daraja mojawapo kati ya madaraja matano yanayovuka mto huu. Tete ni mji wa kale uliojulikana ...

Enugu

Enugu ni mji mkuu wa jimbo la Enugu, Nigeria. Ina wakazi 2.388.862. Kwa kiasi kikubwa Watu wa Enugu wametoka katika kabila la Waigbo, moja ya makabila matatu makubwa nchini Nigeria. Jina Enugu linatokana na maneno mawili ENU Igbo Ugwu, au "juu ya ...

Jimeta

Jimeta ni mji mkubwa katika jimbo la Adamawa nchini Nigeria. Mji umekadiriwa kuwa na wakazi lakhi mbili na nusu mwaka 2005. Uko kando la mto Benue ukitazama. Kwa miaka kadhaa wakati wa ukoloni iliunganishwa na mji wa karibu wa Yola lakini tangu 1 ...

Kano

Kano ni mji mkubwa wa tatu nchini Nigeria na makao makuu ya jimbo la kujitawala la Kano. Kuna wakazi 3.626.204. Kano ni kitovu cha kiuchumi na kiutamaduni ya kaskazini ya Nigeria. Viwanda mbalimbali vinashughulika mazao ya karanga. Kuna uwanja wa ...

Maiduguri

Maiduguri ni mji mkuu wa jimbo la Borno nchini Nigeria. Mji ulianzishwa mwaka 1907 na Waingereza kama kituo cha kijeshi. Leo hii kuna wakazi 2.000.000. Kuna Chuo Kikuu, mahospitali, masoko, uwanja wa kimataifa wa ndege. Tangu 1974 reli ya Nigeria ...

Guovdageaidnu

Guovdageaidnu ni manispaa wa Finnmark, jimbo la Norwei. Manispaa una wakazi 2 927. Kwa eneo lake, Guovdageaidnu ni manispaa kubwa ya Norwei. Tu lugha ya kisami chuo kikuu chuo katika dunia, Chuo Kikuu wa Sami kisami Sámi allaskuvla iko katika Guo ...

Karachi

Karachi ni mji mkubwa wa Pakistan na mji mkuu wa jimbo la Sindh. Hadi 1959 ilikuwa mji mkuu wa kitaifa. Mji ni kitovu cha kibiashara cha Pakistan. Karachi iko kando la delta ya mto Indus mwambaoni wa Bahari Arabu. Kuna mabandari mawili na viwanda ...

Prishtina

Priština ni mji mkuu wa Kosovo ambayo kwa wenyeji wengi na kwa nchi mbalimbali kwa sasa ni jamhuri huru. Serbia na nchi nyingine kadhaa zinaouona mji huo kuwa makao makuu ya jimbo la kujitegemea la Kosovo ndani ya Serbia. Idadi ya wakazi wake ni ...

Makeni

Makeni ni mji nchini Sierra Leone na makao makuu ya Mkoa wa Kaskazini pia penye utawala wa wilaya ya Bombali. Idadi ya wakazi ni takriban watu 94.000 kadirio 2007. Mji ulijulikana nchini kwa sababu ya soko lake na msikiti mkubwa. Katika vita ya w ...

Chake Chake

Chake ni mji mkubwa kwenye kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni makao makuu ya wilaya ya Chake katika mkoa wa Pemba Kusini. Katika kata tatu za Chachani, Tibirinzi na Wara ...

Ujiji

Ujiji ni mji wa kihistoria upande wa Magharibi wa Tanzania mwambaoni mwa Ziwa Tanganyika. Ni mahali pa kihistoria na mji wa kale katika magharibi ya Tanzania. Iko kilometa 5 tu kutoka kitovu cha Kigoma upande wa kusini wa uwanja wa ndege. Pamoja ...

Vlamertinge

Vlamertinge ni kijiji katika jimbo la Ubelgiji la West Flanders na makao makuu ya mji wa Ypres. Kijiji cha Vlamertinge kiko kando ya barabara N38 kuelekea mji wa karibu wa Wapigaji. Kwenye magharibi ya Vlamertinge, kando ya barabara kwenda Poperi ...

Entebbe

Entebbe ni mji nchini Uganda. Wakati mmoja,mji huu ulikuwangome ya serikali kwa eneo la Uganda, kabla ya Uhuru mwaka wa 1962. Entebbe ndiko eneo la Entebbe International Airport, uwanja wa ndege mkubwa wa Uganda wa kibiashara na kijeshi.Uwanja hu ...

Port Bell

Port Bell ni mji mdogo karibu na Kampala/ Uganda ufukoni wa ziwa la Viktoria Nyanza. Jina la mji limetokana na Sir Hesketh Bell aliyekuwa kamishna Mwingereza huko Uganda kuanzia mw. 1905-1909. Port Bell ni bandari kwa ajili ya Kampala. Feri zinat ...

Hoorn

Hoorn ni mji wa mkoa Noord-Holland nchini Uholanzi. Mwaka 2014 kulikuwa na wakazi 71.699 walioishi kwenye eneo la km² 52. Zaidi ya nusu ya eneo ni maji. Hoorn iliundwa wakati wa karne ya 12 BK. Jina la mji humaanisha "pembe" linatokana na umbo la ...

York

York ni mji wa Ufalme wa Maungano ulioko kaskazini mwa Uingereza, kando ya mto Ouse. Hutazamwa kama makao makuu ya Yorkshire ingawa kiutawala si sehemu ya Yorkshire tena, bali eneo la pekee. Kuna wakazi wapatao 130.000.

Mariupol

Majiranukta kwenye ramani: 47°33′N 37°45′E Mariupol Kiukreni - Маріуполь, Kiingereza - Mariupol - ni mji katika kusini mashariki mwa sehemu Ukraine, bandari katika bahari ya Azov. Mariupol iko katika oblast Donetsk. kihistoria ya katikati ya mji ...

Chelyabinsk

Chelyabinsk ni mji wa Urusi upande wa mashariki wa milima ya Ural na makao makuu ya mkoa wa Chelyabinsk Oblast. Mji huwa na wakazi zaidi ya 1.100.000 kuna viwanda vingi. Jina la mji lilitajwa mara ya kwanza mwaka 1736 wakati ule kulikuwa na boma ...

Sankt Peterburg

Sankt-Peterburg ni mji mkubwa katika Urusi ya magharibi kwenye mwambao wa Bahari ya Baltiki. Kuna wakazi milioni 4.7 ikiwa ni mji mkubwa wa pili wa Urusi. Iliwahi kuwa mji mkuu wa nchi. Sankt Peterburg ilianzishwa mwaka 1703 na Kaisari Peter I wa ...

Bartın Merkez

Bartın Merkez ni jiji kubwa kuliko yote nchini Bartın, Uturuki. Ni pia jina la Bahari Nyeusi. Mji una wakazi wapatao 121.860.

Batman

Batman ni jina la mji mkuu wa Mkoa wa Batman, katika Uturuki. Mji huo pia unajulikana kwa jina la Kikurdi Êlih au Iluh. Ni mji ulioko katika Mto Batman ambao unajulikana sana kwa jina la Kikurdi kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki.

Bayburt

Bayburt ni mji mkuu wa Mkoa wa Bayburt katika nchi ya Uturuki. Bayburt ulikuwa mji muhimu kabisa wakati wa zama za Barabara ya Hariri na pia mji ulipatwa kutembelewa na mpelelezi Marco Polo na msafiri wa Kituruki Bw. Evliya Celebi. Huko pia kuna ...

Bukhara

Bukhara ni kati ya miji ya kihistoria iliyostawi tangu miaka elfu mbili mia tano kwenye barabara ya hariri kati ya China na nchi za magharibi. Bukhara ilikuwa hasa sehemu ya milki za Uajemi na kwa muda wa karne mbili mji mkuu wa milki ya Samaniya ...

Ba Ria

Ba Ria mji mkuu, Jimbo la Ba Ria-Vung Tau, Vietnam, na km 1690 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi. Kiwanja cha Ndege cha Long Thanh km 50 kutoka kaskazini mwa mji wa Bà Ria. Ho Chi Minh City, kutoka kaskazini mwa mji wa Ba Ria.

Ben Tre

Ben Tre mji mkuu, Dong Bang Song Cuu Long, Vietnam, na km 2000 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi. Uwanja wa Ndege wa Tan Son Nhat km 85 kutoka kaskazini mwa mji wa Ben Tre.

Da Nang

Da Nang mji mkuu, Nam Trung Bo, Vietnam, na km 750 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi. Uwanja wa Ndege wa Da Nang km 2 kutoka kaskazini mwa mji wa Dà Nẵng. Hoi An, My Son, kutoka kaskazini mwa mji wa Dà Nẵng.

Dong Hoi

Dồng Hới mji mkuu, Jimbo la Quang Binh, Vietnam, na km 500 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi. Kiwanja cha Ndege cha Dong Hoi km 6 kutoka kaskazini mwa mji wa Dồng Hới. Hifadhi ya Taifa ya Phong Nha-Ke Bang, kutoka kaskazini mwa mji wa Dồng Hới.

Mji wa Ho Chi Minh

Mji wa Ho Chi Minh ni mji mkubwa nchini Vietnam mwenye wakazi zaidi ya milioni 7.1. Iko katika kusini ya taifa hili. Hadi 1975 ilijulikana kwa jina la Saigon ikiwa ni mji mkuu wa nchi ya Vietnam Kusini. Baada ya kutwaliwa na jeshi ka Vietnam Kask ...

Nha Trang

Da Nang mji mkuu, Nam Trung Bo, Vietnam, na km 1300 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi. Uwanja wa Ndege wa Cam Ranh km 36 kutoka kaskazini mwa mji wa Nha Trang. Cam Ranh, Tuy Hoa, kutoka kaskazini mwa mji wa Nha Trang. Nha Trang travel guide kutoka W ...

Thanh Hoa

Thanh Hóa mji mkuu, Jimbo la Thanh Hoa, Vietnam, na km 137 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi. Kiwanja cha Ndege cha Sao Vang km 45 kutoka kaskazini mwa mji wa Thanh Hoa. Vinh, kutoka kaskazini mwa mji wa Thanh Hoa.

Vinh Long

Vĩnh Long ni mji katika kusini ya Vietnam na makao makuu ya wilaya yenye jina hili. Idadi ya wakazi ni 147.039 ambao ni mchanganyiko wa Wavietnam, Wachina na Wakhmer. Mji uko ndani ya delta ya mto Mekong na usafiri mwingi ndani ya mji unafanywa k ...

Vung Tau

Vũng Tàu mji mkuu, Jimbo la Ba Ria-Vung Tau, Vietnam, na km 1700 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi. Kiwanja cha Ndege cha Vung Tau km 2 kutoka kaskazini mwa mji wa Vũng Tàu. Ho Chi Minh City, kutoka kaskazini mwa mji wa Vũng Tàu.

Bulawayo

Bulawayo ni mji mkubwa wa pili wa Zimbabwe wenye wakazi 676.787. Iko kusini-magharibi ya nchi hiyo, katikati ya Matabeleland. Jina la mji linatokana na neno la Kindebele "Kwabulawayo" yaani "machinjoni". Mji wa leo ulijengwa juu ya mabaki ya boma ...

Chitungwiza

Chitungwiza ni mji mchanga katika Zimbabwe. Iko kilometa 9 upande wa kusini wa mji mkuu Harare. Mwaka 2006 ilikuwa na wakazi 425.000. Walio wengi wanafanya kazi Harare kwa sababu kuna nafasi chache tu za ajira. Chitungwiza ilipata cheo cha manisp ...

Victoria Falls (mji)

Victoria Falls ni mji mdogo wa mkoa wa Matabeleland North nchini Zimbabwe mwenye wakazi 16.800. Uko kando la mto Zambezi mahali unapotelemka kwenye maporomoko ya Victoria Falls. "Vic Falls" jinsi inavyoitwa kwa kifupi ina mawasiliano kwa barabara ...

Hindu Kush

Hindu Kush ni safu ya milima ya kunjamano katika Asia ya Kati. Inaenea kuanzia Afghanistan upande wa magharibi hadi Pakistan na kuishia katika China na Tajikistan. Mlima wa juu ni Tirich Mir wenye kimo cha mita 7.708. Njia za kuvuka milima hiyo z ...

Nevado Mismi

Nevado Mismi ni mlima katika Andes za Peru. Ina kimo cha 5.597 m juu ya UB kipo 20 km upande wa kaskazini kutoka mji wa Chivay katika mkoa wa Arequipa takriban 160 km upande wa magharibi wa ziwa Titicaca na 700 km upande wa kaskazini kutoka Lima ...

Mto Brahmaputra

Brahmaputra ni jina la mto unaoanza nchini Tibet na kupita Uhindi. Nchini Bangla Desh unaungana na mto Ganges kilomita 150 kabla ya mdomo wa pamoja inapoishia katika Ghuba ya Bengali. Ni kati ya mito mikubwa ya Asia ukiwa na urefu wa kilomita 2.9 ...

Mto Mwekundu

Mto Mwekundu ni mto mkubwa wa Vietnam ya Kaskazini. Inaanzia katika jimbo la Yunnan la China na kupita sehemu ya kaskazini ya Vietnam hadi kuishia katika Bahari ya Kusini ya China. Urefu wake ni km 1149. Tawimto kubwa ni Mto Mweusi. Hanoi mji mku ...

Missouri (mto)

Mto Missouri ni mto mkubwa wa Marekani na tawimto muhimu zaidi la Mississippi. Ni mto mrefu kushinda ule wa Missisippi na ni mto mrefu katika Amerika ya Kaskazini. Chanzo cha mto kipo kwenye milima ya Rocky Mountains katika jimbo la Montana. Miss ...

Orodha ya mito ya Marekani

Baadhi ya mito ya Marekani ni: Mto Arkansas Mto Colorado Mto Columbia Mto Connecticut Mto Charles Mto Delaware Mto Grande Mto Hudson Mto Saint Lawrence Missouri mto Mto Mississippi Mto Sabine Mto Monongahela Mto Niagara Ohio mto Mto Platte Mto Po ...