ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 139

Ider

Ider ni mto uliopo Mongolia; unapita kati ya Khövsgöl na Zavkhan aimags kaskazini magharibi mwa Mongolia. Pamoja na mto Delgermörön ni vyanzo vya mto Selenge. Una urefu wa kilomita 452, una beseni la kilomita za mraba 24.600. Chanzo kiko katika s ...

Baluchistan

Baluchistan, Balochistan au Baluchestan ni eneo linalokaliwa na Wabaluchi. Imegawiwa kati ya Pakistan, Iran na Afghanistan. Hapa kuna vitengo vifuatavyo: Mkoa wa Sistan na Baluchistan katika Iran Jimbo la Balochistan katika Pakistan Katika Afghan ...

Kyushu

Kyūshū ni kisiwa kikubwa cha tatu nchini Japani na kisiwa cha kusini kati ya visiwa vikubwa vinne vya nchi. Neno kyushu lamaanisha "mikoa tisa" iliyohesabiwa zamani kisiwani. Idadi ya wakzi ilikuwa 14.779.000 mnamo mwaka 2003. Kuna milima mingi p ...

Shikoku

Shikoku ni kisiwa kikubwa cha tatu nchini Japani na kisiwa cha kusini kati ya visiwa vikubwa vinne vya nchi. Neno shikoku lamaanisha "mikoa nne" iliyohesabiwa zamani kisiwani. Idadi ya wakzi ilikuwa 4.128.476 mnamo mwaka 2006. Miji muhimu ni Mats ...

Wakazakhi

Wakazakhi ni taifa lenye kutumia Kikazakhi, mojawapo ya lugha za Kiturki linalopatikana hasa nchini Kazakhstan, lakini pia katika Mongolia, China, Urusi, Uzbekistan na Afghanistan. Vikundi vidogo zaidi vinapatikana Iran na Uturuki. Idadi ya Wakaz ...

Sabah

Sabah ni jimbo mojawapo kati ya 13 yanayounda shirikisho la Malaysia; liko kaskazini mwa kisiwa cha Borneo pamoja na jimbo la Sarawak, wakati majimbo mengine yote yako Asia bara. Mji mkuu ni Kota Kinabalu. Hakuna kabila kubwa lenye watu zaidi ya ...

Sarawak

Sarawak ni jimbo mojawapo kati ya 13 yanayounda shirikisho la Malaysia; liko kaskazini mwa kisiwa cha Borneo pamoja na jimbo la Sabah, wakati majimbo mengine yote yako Asia bara. Mji mkuu ni Kuching wenye wakazi 579.900. Miji mingine mikubwa zaid ...

Dola la Rakhaing

Dola la Rakhaing ni dola ndani ya taifa ya Myanmar lililopo kwenye pwani la magahribi la nchi hii. Inapakana na Bangladesh. Lina eneo la kilomita za mraba 36.762 na wakazi 3.118.963. Makao makuu yapo mjini Akjab unaoitwa pia Sittwe. Milima ya Ara ...

Nasaba ya Han

Nasaba ya Han ilifuata utawala wa nasaba ya Qin, na ilitangulia Dola Tatu katika Uchina. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama Ukoo wa Liu. Watu wa China huhesabu nasaba ya Han iliyodumu kwa karne nne kuwa moja ya vipindi ...

Dadra na Nagar Haveli

Dadra na Nagar Haveli ni eneo la muungano la jamhuri ya India. Dadra iko ndani ya jimbo la Gujarat, wakati Nagar Haveli iko kati ya jimbo hilo na lile la Maharashtra. Eneo lote ni la kilometa mraba 487. Ilikuwa koloni la Ureno hadi mwaka 1954, ha ...

Daman na Diu

Daman na Diu ni eneo la muungano la jamhuri ya India. Katikati ya miji hiyo miwili ya pwani kuna kilometa 650. Eneo lote ni la kilometa mraba 102. Kwa zaidi ya miaka 450 ilikuwa koloni la Ureno pamoja na Goa, hadi ilipovamiwa na kumezwa na India ...

Jiografia ya Urusi

Majiranukta kwenye ramani: 60°N 100°E Jiografia ya Urusi inaeleza tabia za nchi ya Urusi inayotanda juu ya maeneo mapana ya Eurasia ya kaskazini na ambayo ni nchi yenye eneo kubwa zaidi duniani, ikiwa na kilomita za mraba milioni 17. Ina asilimia ...

Msanii ya Watu wa Urusi

Msanii ya Watu wa Urusi ni cheo juu wa heshima wa Shirikisho la Urusi, ni tuzo kwa ajili ya mafanikio bora katika uwanja wa michezo ya kuigiza, muziki, sarakasi, vaudeville na sinema. Pamoja na katika hali mfumo premium ya Shirikisho la Urusi. ji ...

Eskisehir

Eskisehir ni jiji lililopo kaskazini-magharibi mwa ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Jimbo la Eskisehir. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2008, idadi ya watu wanaoishi katika mji imekadiriwa kufikia kiasi cha 614.247 ambao 599.796 wanaishi ...

Türk Telekom Arena

Türk Telekom Arena ni uwanja wa mpira wa miguu kutoka Sisli mwa mji wa Istanbul, Uturuki. Kwakuwa uwanja huo huwa na kawaida ya Uturuki Ligi kuu za mabingwa, ukapelekea kuitwa jina la Aslantepe. Katika uwanja wa Türk Telekom kuna timu mbili za mk ...

Umoja wa Kizalendo kwa Ukombozi wa Vietnam Kusini

Umoja wa Kizalendo kwa Ukombozi wa Vietnam Kusini ilikuwa harakati ya kijeshi chini ya uongozi wa wakomunisti katika Vietnam Kusini iliyopinga serikali ya Vietnam Kusini pamoja na wasaidizi wake Wamarekani kuanzia 1960 hadi 1975. Ilijulikana kima ...

Mlangobahari wa Vitiaz

Mlangobahari wa Vitiaz ni sehemu nyembamba ya bahari iliyopo kati ya Niu Briten na Papua Guinea Mpya. Jina linakumbusha jahazi la Kirusi "Vitiaz" lililopita huko mnamo mwaka 1870/1871.

Maporomoko ya Boyoma

Maporomoko ya Boyoma ni ufuatano wa maporomoko saba ya mto Kongo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kwenye maporomoko haya yanayoenea kwa kilomita 100 hivi mto unashuka mita 61.

Polotsk

Polatsk ni mji katika kaskazini ya Belarusi. 2004 ilikuwa na wakazi 86.000. Mji uko kando la mto Dunava ni makao makuu ya wilaya ya Polotsk. Kihistoria ilikuwa kitovu cha utemi uliofuata milki ya Kiev wakati wa Enzi ya Kati. Kwa muda mrefu eno la ...

Jutland

Jutland ni rasi katika Ulaya ya kaskazini. Sehemu ya kusini ni Ujerumani na sehemu kubwa ya kaskazini ni Denmark. Mara nyingi ni sehemu ya Denmark pekee inayohesabiwa kuwa Jutland. Kwa maana hiyo Jutland ni sawa na Denmark Bara maana sehemu nyinh ...

Watu wa Kupro

Watu wa kisiwa cha Kupro ni 970.000. Walio wengi wanaongea Kigiriki na ni Wakristo Waorthodoksi, lakini upande wa Kaskazini ni Waislamu wanaoongea Kituruki.

Benetice (Světlá nad Sázavou)

Benetice ni kijiji kidogo karibu na mji wa Světlá nad Sázavou katika Mkoa Vysočina, Ucheki. Kulikuwa kiwanda katika Benetice glasi. Haiendelei inakuwepo anymore lakini baadhi lokala ndio ya majina ya sehemu inayotokana sehemu ya kiwanda kama kioo ...

Eneo la ngambo la Ufaransa

Maeneo haya hutofautiana katika hali ya kisheria lakini wakazi wao wote ni raia wa Ufaransa na kila eneo linachagua wabunge wake kwa bunge la Paris. Isipokuwa maeneo yasiyokaliwa na watu hawana mbunge. kuna bado eneo moja la ngambo linalotawaliwa ...

Eneo chini ya taji la Uingereza

Maeneo chini ya taji la Uingereza ni visiwa vidogo kadhaa karibu na Uingereza ambavyo vimekuwa chini ya wafalme wa Uingereza tangu karne nyingi lakini hazikuunganishwa na ufalme wa Uingereza. Hivi ni Visiwa vya Mfereji wa Kiingereza kama Jersey, ...

Reichstag

Kiasili "Reichstag" ilikuwa mkutano wa watemi wote wa Dola Takatifu la Kiroma yaani Ujerumani ulioitishwa na mfalme au kaisari. Mikutano ya aina ilijulikana tangu zamani za Kaisari Karolo Mkuu mnamo mwaka 800. Baadaye Reichtag hadi mwaka 1806 ili ...

Aftonbladet

Aftonbladet ni gazeti la siku nyingi nchini Uswidi. Lilianzishwa mwaka 1830. Kwa sasa linamilikiwa na Schibsted, kampuni ya Norway.

Njia ya Pwani ya Welisi

Njia ya Pwani ya Welisi ni njia ya matembezi marefu kwa miguu inayozunguka pwani yote ya Welisi. Njia inaanzia Queensferry, kaskazini mwa nchi ikiendelea hadi Chepstow kusini mwa nchi. Urefu wake ni kilometa 1.400. Njia ilifunguliwa rasmi tarehe ...

Kalimantan

Kalimantan ni sehemu kubwa ya kisiwa cha Borneo iliyopo Indonesia. Sehemu hii ni asilimia 73 za eneo lote la kisiwa hicho. Sehemu nyingine zisizo za Indonesia ni Brunei na Malaysia ya Mashariki.

Fly (mto)

Fly ni mto mrefu wa Papua Guinea Mpya pia kwenye kisiwa cha Guinea Mpya pamoja na mto Sepik. Ina urefu wa km 1.200 na beseni lenye eneo la km² 76.000. Matawimto muhimu ya Fly ni Strickland na OK Tedi. Mto Fly ina chanzo chake kwenye safu ya milim ...

Wikipedia ya Kiafrikaans

Wikipedia ya Kiafrikaans ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kiafrikaans. Mradi huu ulianzishwa mnamo tar. 16 Novemba 2001, na ilikuwa Wikipedia ya 11 kuanzishwa. Na kwa tar. 13 Mei 2009, toleo hili limepita makala zaidi ya 12 ...

Wikipedia ya Kijerumani

Wikipedia ya Kijerumani ni toleo la Wikipedia kwa lugha ya Kijerumani. Wikipedia kwa Kijerumani ni toleo la pili la kamusi elezo ya Wikipedia, na ndilo la pili pia kwa ukubwa baada ya Wikipedia ya Kiingereza. Wikipedia kwa Kijerumani, ndilo toleo ...

Ngome Kongwe, Zanzibar

Ngome Kongwe ni boma lililoko katika Mji Mkongwe, mji mkuu wa Zanzibar. Ni jengo la zamani zaidi na kivutio kikuu cha wageni wa Mji Mkongwe. Iko mbele ya bahari kuu, karibu na jengo lingine la kihistoria la jiji, Jumba la Maajabu, na inatazamana ...

Hermann Gmeiner

Alizaliwa kwa familia kubwa ya wakulima mjini Vorarlberg Austria, Gmeiner alikuwa mtoto mwenye vipaji na alishinda sarufi ya udhamini kuhudhuria shule. Mama yake aliaga dunia wakati alipokuwaa bado kijana, na dada yake mkubwa Elsa alichukua wajib ...

Irene Kiwia

Irene Kiwia ni mwanaharakati na mjasiriamali nchini Tanzania,alizaliwa tarehe 14 Januari 1980 jijini Arusha. Pia ni mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji katika kampuni "Frontline Porter Novelli tangu mwaka 2006.

Kidole cha kati

Kidole cha kati ni kidole cha tatu mkononi. Kiko kati ya kidole cha shahada na kidole cha kati cha kando. Kwa watu walio wengi sana ni kidole kirefu mkononi. Katika utamaduni mbalimbali ni mwiko kabisa kuonyesha kidole hiki kunatumiwa kwa kusudi ...

Kidole cha kati cha kando

Kidole cha kati cha kando ni kidole cha nne mkononi. Iko kati ya kidole kikubwa na kidole cha mwisho. Kidole hiki hakina nguvu sana ni hafifu kati ya vidole vingine kwa sababu ya mishipa yake ni michache. Katika tamaduni za magharibi kinatumiwa k ...

Kidole cha mwisho

Kidole cha mwisho ni kidole cha tano kwenye mkono wa binadamu. Kiko kando ya kidole cha kati cha kando. Kwa kawaida ni kidole kidogo mkonononi hivyo kwa lugha nyingi huitwa kwa jina "kidole kidogo".

Kidole cha shahada

Kidole cha shahada ni kidole cha pili mkononi. Iko kati ya kidole gumba na kidole kikubwa. Kidole hiki kinatumiwa sana kwa mawasiliano kati ya watu. Kwanza hutumiwa kwa kukilenga kwa kitu kwa mtu kwa kusudi la kumaanisha: Ndiye huyu, ndicho hiki! ...

Kidole gumba

Kidole gumba ni kidole cha kwanza mkononi. Kidole hiki ni tofauti na vidole vingine kwa sababu mwelekeo wake ni wa pekee. Kina viungo vichache pia ni kifupi. Kinatuwezesha kushika vitu. Katika tamaduni mbalimbali kuonyesha kidole gumba kuna maana ...

Orodha ya wachezaji wa klabu ya Soka ya Manchester United

Orodha hii inahusu Manchester United F.C., klabu ya mpira wa miguu ya Uingereza yenye makao makuu mjini Trafford, Greater Manchester. Klabu ilianzishwa mwaka 1878 kama Newton Heath L & YR FC, na kucheza mechi ya kwanza ya ushindani mnamo Oktoba 1 ...

Laterani

Laterano ni mtaa wa Roma maarufu hasa kwa sababu kulikuwa na ikulu mojawapo la Kaisari Konstantino Mkuu. Baada ya yeye kuruhusu Ukristo katika Dola la Roma Hati ya Milano, 313 ikulu liligeuzwa kuwa kanisa ambalo liliwekwa wakfu na Papa Melkiades ...

Royal York

Hoteli ya Fairmont Royal York, ilijulikana hapo zamani kama Hoteli ya Royal York, ni hoteli kubwa na yenye historia katika eneo la Toronto,Ontario nchini Kanada katika barabara ya 100 Front Street West. Ilifunguliwa tarehe 11 Juni 1929, mipango y ...

Golden Gate Bridge

Golden Gate Bridge ni daraja ambalo limepita juu ya Pwani ya San Francisco. Linatoka San Francisco linakwenda Marin County, katika jimbo la Marekani la California. Lilianza kutumiwa mnamo mwaka wa 1937. Lina urefu wa ft 9.266. Wakati ujenzi wa da ...

River Rouge, Michigan

River Rouge ni mji katika Kata ya Wayne katika jimbo la Michigan, Marekani. Idadi ya wakaziilikuwa 9.917 katika sensa ya mwaka wa 2000. Jina lake linatokana na Mto Rouge kutoka Kifaransa ambapo "Rouge" inamaanisha nyekundu, ambayo inapita sehemu ...

South Orange, New Jersey

South Orange Village ni mjini mwa Essex County, New Jersey, Marekani. Na kwa mujibu wa sensa ya Mareakani iliyofanywa katika mwaka wa 2000, mji ulikuwa na idadi ya wakazi wapatao 16.964. Chuo Kikuu cha Seton kinapatikana huko mjini South Orange.

Curtis Frye

Curtis Frye ni kocha mkuu wa timu za riadha za Chuo Kikuu cha South Carolina. Alihudumu kama kocha msaidizi kwa timu ya wanawake ya riadha ya Marekani katika michezo ya Olimpiki ya 2004 jijini Athens,Ugiriki. Mbio alizofahamu kabisa ni zile za ur ...

Buhanda Businde

Buhanda Businde ilikuwa kata ya Wilaya ya Kigoma Mjini katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania hadi mwaka 2012 ilipogawiwa katika kata mbili za Businde Buhanda

Maporomoko ya Maji Materuni

Maporomoko ya Maji Materuni ni moja ya maporomoko ya maji katika Mto Mware. Yanapatikana katika kijiji cha Materuni pembezoni mwa hifadhi ya mlima Kilimanjaro.

Borenga

Borenga ni kijiji cha kata ya Kisaka, wilaya ya Serengeti, mkoa wa Mara, nchini Tanzania. Kijiji hicho kipo mashariki mwa kata, kwa upande wa kusini na magharibi kimepakana na kijiji cha Kisaka, kaskazini kimepakana na kijiji cha Nyamongo na mash ...

Chanjale

Chanjale ni jina la kata ya Wilaya ya Gairo katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67705. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10.108 waishio humo.