ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 141

Manja

Vinengenenge au manja ni ndege wadogo wa familia Zosteropidae. Wana rangi ya zeituni mgongoni na ya kijivu chini na mara nyingi rangi ya manjano na nyeupe pia, pengine nyekundu. Takriban spishi zote zina doa la mviringo kuzunguka macho. Domo lao ...

Kolojojo

Kolojojo ni ndege wadogo wa jenasi Macrosphenus ambao zamani waliainishwa katika Sylviidae, familia ya kucha. Sasa wataalamu wanakubaliana kwamba labda ndege hawa ni kundi lao lenyewe pamoja na vikucha na spishi nyingine za kucha wa Afrika. Kwa s ...

Kolokolo

Kolokolo ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Cisticolidae. Wanafana na videnenda lakini mkia wao ni mrefu zaidi na wana rangi kali zaidi: kahawia, kijivu au kijani mgongoni na nyeupe, njano na/au nyekundu chini na pengine kichwani ...

Korogoto

Korogoto ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Pycnonotidae. Wanafanana na shore waliomo katika takriban kila bustani, lakini wana rangi ya zaituni juu na nyeupe, kijivu au njano chini. Nyembelele ni ndege wengine katika familia hii ...

Kucha (Sylviidae)

Kucha ni ndege wadogo wa familia Sylviidae. Wanafanana na shoro, kuchanyika na kuchamsitu, na zamani wote waliainishwa pamoja katika Sylviidae. Zamani kucha wa Afrika kusini kwa Sahara waliainishwa katika jenasi Parisoma lakini sasa wamewekwa kat ...

Kucha wa Afrika

Kucha wa Afrika ni ndege wadogo ambao zamani waliainishwa katika Sylviidae, familia ya kucha wengine. Sasa wataalamu wanakubaliana kwamba ndege hawa ni kundi lao lenyewe pamoja na vikucha na kolojojo. Kwa hivyo wamepata familia yao Macrosphenidae ...

Kucha-bukini

Kucha-bukini ni ndege wadogo wa familia Bernieridae. Wanafanana na kucha na zamani waliainishwa katika familia kadhaa kama Pycnonotidae, Sylviidae na Timaliidae. Wana rangi ya majani au ya zaituni juu na nyeupe, njano na/au rangi ya machungwa chi ...

Kapi

Kuchamsitu ni ndege wadogo wa familia Phylloscopidae. Wanafanana na shoro, kucha na kuchanyika, na zamani wote waliainishwa pamoja katika familia Sylviidae. Spishi za Phylloscopus zina rangi ya kahawia au kijani mgongoni na nyeupe au njano chini. ...

Kuchanyika

Kuchanyika ni ndege wadogo wa familia Cettiidae. Ndege hawa wanafanana na shoro, kucha na kuchamsitu, na zamani wote waliainishwa pamoja katika familia Sylviidae. Spishi nyingine za kuchanyika zina mkia mrefu, nyingine zina mkia mfupi sana. Zina ...

Kuchanyika Michirizi

Kuchanyika michirizi ni ndege mdogo na spishi pekee ya familia Scotocercidae. Hupatikana Afrika na kusini-magharibi mwa Asia. Ni ndege wa pindo za majangwa, ambapo hutembelea maeneo ya vichaka, mabonde na makorongo, na anakaa mahali pamoja kwa ka ...

Kuwekuwe

Kuwekuwe ni ndege wadogo wa jenasi Nicator ambao wanatokea Afrika kusini kwa Sahara tu. Sikuhizi wataalamu wanaainisha ndege hawa katika familia yao Nicatoridae, lakini zamani walifikiri kuwekuwe ni aina za mbwigu na baadaye wana wa familia Pycno ...

Magamaga

Magamaga ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Cisticolidae. Wanafanana na videnenda lakini mkia wao ni mrefu zaidi na hawana michirizi mizito. Spishi za Micromacronus na karibu na nusu ya spishi za Prinia zinatokea Asia lakini spis ...

Mshonaji (ndege)

Washonaji ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Cisticolidae. Wamepewa jina hili kwa sababu ndege hawa huunganisha majani kwa kushona na kutengeneza tago lao ndani yao. Wana mkia mrefu uwekwao juu mara nyingi. Rangi yao ni kahawia, ...

Dwidwi

Ndwindwi au dwidwi ni ndege wadogo wa jenasi Erythrocercus, jenasi pekee ya familia Erythrocercidae. Ndwindwi wanafanana na chechele, lakini bila mkia mrefu sana, na kwa hivyo zamani waliainishwa katika familia Monarchidae. Jina la jenasi linatok ...

Nyembelele

Nyembelele ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Pycnonotidae. Wanafanana na shore waliomo katika takriban kila bustani, lakini wana rangi ya zaituni juu na nyeupe, kijivu au njano chini. Korogoto ni ndege wengine katika familia hii ...

Shore (Pycnonotidae)

Shore, shorwe au sholwe ni ndege wadogo wa familia Pycnonotidae ambayo ina korogoto na nyembelele vilevile. Spishi za nusufamilia Muscicapinae zinaitwa shore pia. Wale wa Pycnonotidae wana rangi ya kahawia au kijivu, pengine nyeusi, na kwa kawaid ...

Shoro (Acrocephalidae)

Shoro ni ndege wadogo wa familia Acrocephalidae. Spishi za familia Locustellidae zinaitwa shoro pia. Ndege hawa wana rangi ya kahawa au kijivu mgongoni na nyeupe au njano chini. Spishi nyingi huhamia Afrika wakati wa majira baridi huko Ulaya. Spi ...

Shoro (Locustellidae)

Shoro ni ndege wadogo wa familia Locustellidae. Spishi za familia Acrocephalidae zinaitwa shoro pia. Shoro wa Locustellidae wana mkia mrefu kuliko wale wa Acrocephalidae. Rangi zao ni sawa lakini spishi nyingi zina michirizi myeusi mizito. Takrib ...

Shoronjano

Shoronjano ni ndege wadogo wa jenasi Arundinax, Calamonastides na Iduna katika familia Acrocephalidae. Spishi nyingine za familia hii zinaitwa shoro kwa ufupi. Ndege hawa wana rangi ya kahawa mgongoni na njano chini. Wanatokea misitu au mabwawa y ...

Kororo

Kanga ni ndege wa familia Numididae. Jina hili ni jina la kawaida la ndege hawa, lakini spishi za Afrika ya Mashariki wana majina mengine kama chelele, chepeo, kololo, kororo na kicheleko. Kanga ni wakubwa kuliko kwale na wana rangi nyeusi na mad ...

Kerengende (ndege)

Kerengende ni ndege wa jenasi Pternistis katika familia Phasianidae. Huitwa kwale pia pamoja na spishi nyingine za nusufamilia Perdicinae. Kwa sababu jenasi hiyo inatambuliwa kuwa na nasaba mbali kidogo na jenasi zile nyingine, sasa jina kerengen ...

Tomboro

Tombo ni ndege wadogo wa jenasi kadhaa katika familia ya Phasianidae. Rangi yao ni kahawia na wana michirizi. Spishi nyingine zina rangi nyekundu na buluu. Kabla ya kuruka angani hungoja mpaka mtu ni karibu kuwakanyaga na huenda umbali fupi tu. H ...

Bwiru

Bwiru ni ndege wadogo wa jenasi Platysteira katika familia Platysteiridae wanaotokea Afrika chini ya Sahara. Zamani waliainishwa katika familia Muscicapidae. Ndege hawa wana ngozi tupu nyekundu au buluu juu ya au pande zote za macho. Kwa kawaida ...

Chechele (Monarchidae)

Chechele ni ndege wa familia Monarchidae. Kuna chechele wengine katika familia Stenostiridae. Zamani walikuwamo katika Monarchidae, lakini uchunguzi wa ADN umeonyesha kwamba hawana mnasaba na ndege hawa na wamepewa familia yao. Chechele wa Monarc ...

Gudegude

Gude au gudegude ni ndege wa familia Campephagidae. Spishi nyingi zina rangi ya kijivu na nyeupe tu na pengine nyeusi, spishi nyingine zina rangi kali pia kama nyekundu na njano. Hawa ni ndege wa misitu isipokuwa gude-ardhi wa Australia ambaye at ...

Kicheba (ndege)

Kicheba ni ndege katika familia Malaconotidae na spishi pekee ya jenasi Nilaus. Anatokea maeneo makavu kiasi, savana yenye miti hasa. Dume ana utosi mweusi na paji jeupe, mchirizi mweupe juu ya macho na mchirizi mweusi kupitia macho. Mgongo ni mw ...

Gongo la Funo

Vikuche ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Bocagia na Tchagra katika familia Malaconotidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara tu. Ndege hawa wana rangi ya kijivu mgongoni, rangi ya kahawiachekundu mbawani na rangi ya kijivu au nyeupe chini; mlia m ...

Kinubi

Vinubi ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi mbalimbali katika familia Corvidae. Kinubi mkia-kahawia huitwa kinubi kwa ufupi pia. Ndege hawa hawana wote mhenga mmoja. Mkia wao ni mrefu kuliko ule wa kunguru. Spishi nyingi ni nyeusi au nyeusi na nyeupe ...

Gongo Futa

Vipwe au gongo futa ni ndege wa jenasi Dryoscopus katika familia Malaconotidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara tu. Ndege hawa ni weusi kwa utosi, mgongo na mabawa na weupe chini na kwa kiuno. Domo lao ni jembamba kwa kulinganishwa na spishi n ...

Naiwa

Kubwilu, kubwiro au naiwa ni ndege wa familia Oriolidae. Wanatokea Afrika, Asia, Australia na Ulaya. Spishi nyingi zina rangi za manjano na nyeusi, lakini nyingine zina rangi za majani, nyekundu au kahawa pamoja na nyeusi. Ndege hawa wana sauti t ...

Kuchamwamba

Kuchamwamba ni ndege wa jenasi Chaetops, jenasi pekee ya familia Chaetopidae, lakini spishi nyingine, kuchamwamba wa Damara, ni jamaa ya kucha wa Afrika. Spishi za Chaetops hazina mnasaba na kucha wengine lakini na jamii ya kunguru. Ndege hawa ni ...

Kuku-mwamba

Kuku-mwamba ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Picathartes, jenasi pekee ya familia Picathartidae. Wanatokea misitu ya Afrika kusini kwa Sahara. Kuku-mwamba wana domo kubwa kama lile la kunguru na kichwa bila manyoya chenye rangi kali. Pia wana ran ...

Mbweta

Mbweta ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Chlorophoneus, Malaconotus na Telophorus katika familia Malaconotidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara tu. Ndege hawa wana rangi kali kwenye kidari na tumbo, k.m. nyekundu, machungwa, njano au kijani. Mg ...

Mbwigu

Mbwigu ni ndege wakubwa kiasi wa familia Laniidae. Wanatokea Afrika, Asia na Ulaya kwa muhimu, spishi mbili tu huzaa huko Amerika ya Kaskazini. Ndege hawa ni mweusi na mweupe kwa kawaida, mara nyingi wana rangi ya kijivu, kahawa na nyekundu pia. ...

Sekini

Mlali au sekini ni ndege wa jenasi Prionops, jenasi pekee ya familia Prionopidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara tu. Spishi za Asia ambazo ziliainishwa katika familia hii, zimehamishwa ndani ya familia Tephrodornithidae. Mlali ni weusi na weu ...

Mlamba

Miramba, mibaramba au milamba ni ndege wa familia Dicruridae. Wanatokea Afrika, Asia na Australia katika maeneo yenye miti mingi. Miramba ni ndege weusi wenye domo kubwa na pana, miguu mifupi na mkia mrefu mwenye ncha iliyogawanyika sehemu mbili. ...

Kapurapunda

Tatata au kapurapunda ni ndege wadogo wa jenasi Batis katika familia Platysteiridae wanaotokea Afrika chini ya Sahara. Zamani waliainishwa katika familia Muscicapidae. Takriban spishi zote zina kinyago cheusi, utosi kijivu, mgongo kijivu au mweus ...

Tiva

Tiva ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Laniarius katika familia Malaconotidae. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara tu. Spishi nyingine ni nyeusi na nyeupe lakini nyingine zina rangi kali chini na pengine kwa utosi, kama nyekundu, machungwa na njano ...

Pasa

Kuzumburu au pasa ni ndege wa familia Coliidae. Spishi zote zinatokea Afrika chini ya Sahara. Ndege hawa ni wadogo kadiri na wana mkia mrefu na kishungi kichwani. Rangi yao ni kijivu au kahawia. Huenda kwa makundi matawini kwa miti wakitafuta maj ...

Bata bukini

Mabata bukini ni ndege wakubwa wa maji wa familia ya Anatidae. Wanaainishwa katika nusufamilia Anserinae pamoja na mabata-maji. Mabata bukini ni ndege wakubwa sana lakini wadogo kuliko mabata-maji. Wana domo pana pia lakini shingo yao ni fupi zai ...

Bata mkia-ngumu

Mabata mkia-ngumu ni ndege wa maji wa nusufamilia Oxyurinae katika familia Anatidae. Manyoya ya mkia wao ni makavu na yametandawaa mara nyingi. Rangi ya dume ni kahawia au kahawiachekundu na domo lake lililovimba msingini ni buluu; jike ni mweusi ...

Bata mzamaji

Mabata wazamaji ni ndege wa maji wa nusufamilia Aythyinae katika familia Anatidae. Spishi hizi huzamia kabisa ili kukamata samaki, wanyamakombe au mimea ya maji. Miguu yao iko nyuma zaidi ya mwili kuliko miguu ya mabata wachovya ili kujisogeza mb ...

Bata-bahari

Mabata-bahari ni ndege wa maji wa nusufamilia ya Merginae katika familia ya Anatidae. Mabata hawa wanaishi baharini hasa nje ya majira ya kuzaa. Wengi wana tezi za chumvi maalum ambazo zinawawezesha kuvumilia maji ya bahari. Mabata-domomeno hupen ...

Bata-maji

Mabata-maji ni ndege wakubwa wa maji wa jenasi Cygnus katika familia ya Anatidae. Wanaainishwa katika nusufamilia Anserinae pamoja na mabata bukini. Mabata-maji ni ndege wakubwa kabisa wa familia yao wenye shingo ndefu na domo pana. Spishi za nus ...

Bata-miti

Mabata-miti au Dendrocygninae ni nusufamilia ya familia ya Anatidae yenye jenasi moja tu, Dendrocygna. Waainishaji wengine wanawaweka ndani ya familia yao wenyewe Dendrocygnidae au ndani ya kabila Dendrocygnini ya familia ndogo Anserinae. Leo kun ...

Bata-shimo

Mabata-shimo ni ndege wa maji wa nusufamilia ya Tadorninae katika familia ya Anatidae. Mabata hawa ni katikati ya mabata wachovya na mabata bukini kwa ukubwa na kwa umbo. Wanaitwa mabata-shimo kwa sababu spishi nyingi hutaga mayai ndani ya shimo ...

Bata Kotwe

Kotwe au bata kotwe ni ndege wa maji na spishi pekee katika nusufamilia Thalassorninae ya familia Anatidae. Anatokea kwa asili katika Afrika tu, lakini amewasilishwa katika mbuga na hifadhi katika nchi nyingine. Kotwe huonekana wafupi na wanene. ...

Mchemba

Mbizi au michemba ni ndege wa maji wa jenasi Anhinga, jenasi pekee ya familia Anhingidae. Wana shingo refu na domo refu lenye ncha kali na makali ya menomeno. Huzamia chini ya maji ili kuwakamata samaki wakiuliza domo lao kama mkuki. Huzaa kwa ma ...

Mnandi-pwani

Minandi-pwani ni ndege wa bahari wa jenasi Fregata, jenasi pekee ya familia Fregatidae. Wana domo refu lenye ncha kwa kulabu, mabawa marefu na mkia wenye panda. Rangi yao ni nyeusi; jike ana tumbo jeupe na dume ana mfuko wa koo mwekundu ambao ana ...

Ndegejinga

Ndegejinga ni ndege wakubwa wa bahari wa familia Sulidae. Wana domo refu na mabawa marefu yaliyochongoka. Takriban spishi zote wana mwili mweupe na viasi mbalimbali vya nyeusi kwa mabawa na mkia. Spishi kadhaa zina namna kahawia na ndegejinga tum ...