ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 142

Teleka-mkiasindano

Teleka-mkiasindano ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia Apodidae. Ndege hawa wanafanana na teleka lakini mkia yao haukugawanyika sehemu mbili; una miiba mifupi. Mwenendo wao ni kama teleka.

Kibisi

Vibisi ni ndege wa maji wa familia ya Podicipedidae. Domo lao jembamba kuliko mabata lina ncha kali. Vibisi huzamia majini ili kukamata samaki. Hujenga tago lao kwa matete linaloelea juu ya maji na hulifungia tete au mmea mwingine wa maji. Jike h ...

Kigogota

Vigogota ni ndege wa nusufamilia Picumninae katika familia Picidae. Wanafanana na vigongota wadogo lakini domo lao ni dugi na fupi zaidi. Kwa hivyo hutafuta wadudu na mabuu katika miti na matawi yanayooza. Spishi moja tu inatokea Afrika. Jike huy ...

Kingota

Vigongota, gongonola, gogota, vigotagota au vingota ni ndege wa nusufamilia Picinae katika familia Picidae. Ni bora kutengea spishi za nusufamilia Picumninae jina" kigogota”. Inawakilishwa katika Afrika na kigogota wa Afrika. Vigongota vinatokea ...

Ndege wa asali

Viongozi, vijumbe, walembe au ndege wa asali ni ndege wadogo wa familia Indicatoridae. Kwa kawaida jina" mlembe” hutumika kwa spishi za jenasi Prodotiscus na" kiongozi” kwa spishi nyingine. Ndege hawa wana rangi za kijivu, kahawa na nyeupe, pengi ...

Kiseleagofu

Viseleagofu ni ndege wa jenasi Jynx, jenasi pekee ya nusufamilia Jynginae katika familia Picidae. Wanafanana na vigongota wadogo lakini domo lao ni dugi na fupi zaidi. Kwa hivyo hutafuta wadudu na mabuu katika miti na matawi yanayooza au ardhini; ...

Kongogolo

Vitororo au kongogolo ni ndege wadogo wa jenasi Pogoniulus katika familia Lybiidae. Ndege hawa ni matoleo madogo ya zuwakulu na mwenendo wao ni takriban sawa na hawa. Vitororo ni ndege wadogo wenye 9-12 cm na 7-15 g. Wana rangi ya kijivu, nyeusi ...

Mlembe

Walembe ni ndege wadogo wa jenasi Prodotiscus katika familia Indicatoridae. Spishi zote zinatokea Afrika chini ya Sahara. Ndege hawa wana rangi za kijivu, kahawa na nyeupe. Wapo baina ndege wachache ambao hula nta ya wadudu-gamba. Hula wadudu na ...

Zuakulu

Zuwakulu ni ndege wa familia Lybiidae, lakini spishi za jenasi Pogoniulus zinaitwa vitororo. Spishi zote zinatokea Afrika chini ya Sahara. Ndege hawa ni wanono na wana kichwa kikubwa na domo zito lenye nywele ndefu kuzunguka msingi wake. Spishi n ...

Zuwakulu Kisigajiru

Zuwakulu kisigajiru au zuwakulu kichwa-chekundu ni kisigajiru wa Kiafrika. Zuwakulu au visigajiru ni ndege wanaopatikana kote duniani. Visigajiru hupata jina lao kutoka kwa jinsi walivyoumbwa mdomoni ambapo kuna sehemu yenye nywele za kugwaruza. ...

Brachypteraciidae

Kambu-ardhi ni ndege wa familia Brachypteraciidae wanaotokea Madagaska tu. Wanafanana na viogajivu wadogo lakini hawana rangi kali, isipokuwa kichwa cha kambu-ardhi kichwa-buluu na kile cha kambu-ardhi kichwa-chekundu. Hutafuta chakula chini na h ...

Meropidae

Keremkerem ni ndege wa familia ya Meropidae. Wana mwili mwembamba wa rangi maridadi. Mdomo wao ni mrefu na mwembamba na mkia wa aina nyingi za keremkerem una mileli mirefu katikati. Ndege hao wanaishi uwandani kwa kanda ya tropiki na nusu-tropiki ...

Kambu

Viogajivu au kambu ni ndege wa tropiki wa jenasi Coracias katika familia Coraciidae. Wanafanana na kunguru wadogo wenye rangi kali: kahawia, buluu na zambarau. Spishi nyingine zina mileli miwili nyingine zina mkia wa mraba. Hula wadudu ambao wana ...

Todiramphus

Kurea ni ndege wadogo wa nusufamilia Halcyoninae katika familia Alcedinidae. Spishi nyingine zinaitwa kichi au kijimbi-msitu. Wanafanana na midiria lakini ni wakubwa zaidi na spishi nyingi hutokea mbali na maji. Takriban spishi zote ni buluu mgon ...

Kizamiadagaa

Midiria ni ndege wadogo wa nusufamilia Alcedininae katika familia Alcedinidae. Spishi nyingine zinaitwa kizamiadagaa au kisharifu. Spishi zote zina rangi buluu mgongoni na kichwani, na tumbo ni jekundu kwa kawaida. Ndege hawa wana domo kubwa kwa ...

Tai Mlasamaki

Furukombe, fukombe, kwazi, yowe au tai mlasamaki ni ndege mbuai wa nusufamilia Haliaeetinae katika familia Accipitridae. Ndege hao ni baina ya tai wakubwa kabisa. Uzito wao unatofautiana kutoka kg 2 furukombe wa Sanford mpaka 9 furukombe wa Stell ...

Furukombe wa Afrika

Furukombe, fukombe, kwazi, yowe au tai mlasamaki ni spishi mkubwa wa tai. Yeye ndiye ndege wa kitaifa wa nchi za Zimbabwe na Zambia. Ndege anayefanana naye zaidi ni Furukombe wa Madagaska H. vociferoides ambaye yumo hatarini sana kuangamizwa. Kam ...

Kobeamiti

Hajivale au kobeamiti ni ndege mbua wa jenasi Polyboroides, jenasi pekee ya nususfamilia Polyboroidinae katika familia ya Accipitridae. Manyoya yana rangi ya majivu na chini yao ni nyeupe yenye milia myembamba kijivu; mkia ni mweusi mwenye baka j ...

Kengewa

Kengewa ni ndege mbua wa jenasi mbalimbali za nusufamilia Perninae katika familia Accipitridae. Wana mabawa marefu na mkia mrefu mwenye miraba myeusi. Spishi za jenasi Henicopernis na Pernis hula nyuki, nyigu na asali hasa lakini spishi nyingine ...

Kitaroharo

Kwa maana mengine ya jina hili angalia Kipanga Vipanga ni ndege mbua wa nusufamilia Accipitrinae katika familia Accipitridae. Ndege hawa ni wadogo kuliko tai na huruka upesi. Spishi nyingi zinatokea misituni na huwinda ndege na wanyama wadogo kwa ...

Kipanga-kekeo

Vipanga-kekeo ni ndege mbua wa jenasi Aviceda katika familia ya Accipitridae. Ndege hawa ni vipanga wanaofanana na kekeo. Spishi zote zina kishungi. Vipanga-kekeo wanatokea misituni kwa Afrika, Asia na Australia. Hula wadudu wakubwa, Orthoptera h ...

Kipondya

Vipondya ni ndege mbuai wa jenasi Circus, jenasi pekee ya nusufamilia Circinae katika familia Accipitridae, ambao hukamata wanyama na ndege wadogo. Wakitafuta mawindo vipondya huruka kwa mwinuko mfupi juu ya viwanja na vinamasi na huweka mabawa y ...

Kizu

Vizu ni ndege mbuai wa jenasi Melierax, jenasi pekee ya nusufamilia Melieraxinae katika familia Accipitridae. Mgongo na mabawa yao ina rangi ya kijivu na tumbo lao ni mweupe na milia kijivu. Spishi zote zinatokea Afrika kusini kwa jangwa la Sahar ...

Koho

Koho ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Pandion, jenasi pekee ya familia Pandionidae. Zamani spishi moja tu ilifahamiwa, lakini bingwa kadhaa wamekupa nususpishi ya Australasia cheo cha spishi sasa na IOC unaiafiki. Lakini wataalamu wengine hawakub ...

Shakivale

Shakivale ni ndege mbua wa nusufamilia Buteoninae katika familia Accipitridae. Wana mwili mnono na mabawa mapana. Shakivale wengi hula wanyama wadogo, lakini wengine hula wadudu na mizoga pia. Huwimba mbugani, lakini hujenga tago lao juu ya mti, ...

Pungu

Tai ni ndege mbua wakubwa wa familia Accipitridae. Wana makucha marefu ili kukamata uwimbo na domo kubwa lenye ncha kwa kulabu ili kupapura nyama. Uwezo wao wa kuona kwa macho ni mzuri kabisa na hutambua windo kwa mbali sana. Tai hujenga tago lao ...

Tai Mlanyoka

Tai walanyoka ni ndege mbua wakubwa kiasi wa nususfamilia Circaetinae katika familia Accipitridae. Tai wa Ufilipino ni labda mwana wa nusufamilia hii, kwa sababu chunguzi za ADN zimeonyesha mnasaba wake. Ndege hawa wana makucha marefu ili kukamat ...

Buabua

Buabua ni ndege wa familia Sternidae. Watu wengi huita ndege hawa shakwe kama spishi za familia Laridae. Wengine hutumia jina buabua kwa spishi za jenasi Anous na Chlidonias. Spishi za jenasi Gygis ni nyeupe kabisa, zile za Sterna ni nyeupe na zi ...

Bwabwaja

Bwabwaja ni ndege wa jenasi Glareola na Stiltia katika familia ya Glareolidae. Umbo na mwenendo yao inafanana na mbayuwayu. Wana mabawa marefu yaliyochongoka, miguu mifupi na mkia mwenye panda. Hukamata wadudu wakipuruka na hutaga mayai yao chini.

Kiulimazi

Chamchanga ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia ya Scolopacidae. Chamchanga tumbo-jeupe huitwa kiulimazi kwa kawaida. Ndege hawa ni weusi au kahawia na weupe, na wana domo refu na miguu mirefu na myembamba. Huonekana kandi ya bahari, vizi ...

Chekeamwezi

Chekehukwa ni ndege wa familia ya Burhinidae. Ndege hao wana rangi zinazowanyerereza wakisimama au kutembea chini. Wakiona hatari husimama tuli na hupatana na mahali pa nyuma. Kwa hvyo hawaonekani sana wakati wa mchana. Huenda zaidi usiku na huon ...

Cheruku

Cheruku ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia Glareolidae. Ndege hawa wanaweza kukimbia sana. Wanatokea mahali pakavu kama nyika au jangwa. Hula nzige na wadudu wengine na huyataga mayai mchangani. Cheruku-mamba huonekana karibu na mito na ...

Chokowe

Chokowe ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia ya Scolopacidae. Nje ya majiri ya kuzaa huonekana hasa karibu na maji lakini spishi chache huonekana mbali na maji. Takriban spishi zote hutaga mayai chini tundrani kwa kanda za akitiki ...

Geuzamawe

Vigeuzamawe ni ndege wa jenasi Arenaria katika familia Scolopacidae. Wanafanana na chamchanga lakini ni wanene zaidi. Rangi yao ni kahawia na nyeusi mgongoni, nyeupe chini na nyeusi kidarini. Kigeuzamawe mweusi ana nyeusi zaidi mgongoni kuliko ki ...

Chekehua

Kwa maana mengine tazama Kiluwiluwi Viluwiluwi ni ndege wa familia ndogo Vanellinae katika familia Charadriidae. Spishi hizi ni kubwa kuliko zile za familia ndoga ya Charadriinae. Huonekana mara kwa mara kandi ya maji, lakini spishi nyingi huonek ...

Ndege-msumeno

Viparara ni ndege wa bahari wa jenasi Rynchops, jenasi pekee ya familia Rynchopidae. Ndege hawa wanafanana na buabua lakini wana domo ambalo sehemu yake ya chini ni refu kuliko ile ya juu. Huruka kwa urefu mdogo juu ya maji wakiitia sehemu ya chi ...

Kiunzi (aina ya ndege)

-Kwa kiunzi cha binadamu tazama makala "Kiunzi cha mifupa"- Vipululu pia vipururu ni ndege wa familia Turnicidae. Spishi moja inaitwa kiunzi pia tazama orodha ya spishi. Ndege hawa wanafanana tombo lakini hawana mnasaba na hawa. Wana rangi ya mch ...

Kipwita

Vipwita ni ndege wa jenasi Phalaropus katika familia ya Scolopacidae. Ndege hawa wana rangi ya nyeupe na kijivu. Wakati wa majiri ya kuzaa hupata rangi ya nyekundu angalau kwa ukosi wao. Wanaweza kuogelea sana kwa sababu vidole vyao vina ndewe. J ...

Kitwitwi

Vitwitwi ni ndege wa nusufamilia ya Charadriinae katika familia Charadriidae. Spishi hizi ni ndogo kuliko zile za nusufamilia ya Vanellinae. Huonekana sana kandi ya maji, lakini spishi nyingine huonekana pia mbugani au mashambani. Huyataga mayai ...

Kizamiachaza

Vizamiachaza ni ndege wa jenasi Haematopus, jenasi pekee ya familia Haematopodidae. Ndege hawa ni weusi au weusi na weupe na wana domo na macho nyekundu na miguu pinki au myeupe. Huonekana pwani kwa kawaida ambapo hutafuta chakula wakiingiza domo ...

Kipila

Kwa matumizi mengine za jina hili angalia Membe Membe ni ndege wa jenasi Numenius katika familia ya Scolopacidae. Bartramia longicauda ana mnasaba sana na membe. Ndege hawa ni wakubwa kabisa katika familia hii. Wana miguu mirefu na mdomo mrefu un ...

Mlonjo

Wasese hawa ni ndege wa familia ya Recurvirostridae). Ndege hawa ni weusi na weupe na wana mdomo na miguu mirefu ilio membamba. Huonekana kando ya ziwa, bahari au mito, afadhali kwa maji ya chumvi, ambapo hutafuta chakula kwa kutumia kuiingiza mi ...

Msese (Scolopacidae)

Wasese hawa ni ndege wa jenasi Limosa katika familia ya Scolopacidae). Ndege hawa wana rangi ya kahawa au kijivu na wakati wa majira ya kuzaa rangi inakuwa nyekundu zaidi. Wana mdomo na miguu mirefu na mdomo ni mnyofu au umepindika juu kidogo. Ka ...

Ndoero

Ndoero ni ndege wa jenasi Dromas, jenasi pekee ya familia Dromadidae. Spishi hii inafanana na kiluwiluwi mwenye miguu mirefu lakini ina domo refu na nene. Rangi zake ni nyeupe na nyeusi. Hula kaa, kombe na makoa ya bahari. Ndege hawa hupenda kuza ...

Skua

Shakwe-waporaji ni ndege wa jenasi Stercorarius, jenasi pekee katika familia Stercorariidae. Pengine huitwa skua pia. Hawa ni ndege wakubwa kadiri ambao wana mnasaba na shakwe. Wana rangi ya kahawa au kijivu; spishi ndogo zina madoa meupe bawani ...

Sile-maua

Sile-maua ni ndege wa familia ya Jacanidae. Ndege hawa wana vidole virefu ili kutembea juu ya majani ya myungiyungi na majani mengine yanayoelea. Wana kigao kidogo juu ya domo, isipokuwa sile-maua mdogo. Manyoya ya jinsia ni sawa, lakini jike ana ...

Sululu

Sululu ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia ya Scolopacidae. Hata jenasi Numenius huitwa sululu, lakini jina membe linastahabiwa. Ndege hawa wana rangi zilizofifia na hawaonekani rahisi wotoni. Huruka tu wakati mtu anapowakaribia sana. Wa ...

Sururu-uzuri

Sululu-uzuri ni ndege wa jenasi Rostratula na Nycticryptes katika familia Rostratulidae. Wakifanana na sululu, kwa kweli wana mnasaba zaidi na sile-maua. Wana rangi kali kuliko sululu na jike, kama yule wa sile-maua, ni mkubwa ana rangi kali zaid ...

Albatrosi

Albatrosi ni ndege wakubwa wa bahari katika familia Diomedeidae. Baina ya spishi hizi yuko ndege wenye mabawa marefu kabisa kuliko ndege wote duniani. Albatrosi Mlizi ana mabawa ambayo mawili pamoja yana urefu wa sm 310 kwa wastani na urefu mkubw ...

Kwazi-bahari

Walinzi ni ndege wa bahari wa familia Procellariidae. Spishi za jenasi Macronectes huitwa Kwazi-bahari pia. Walinzi wanafanana na albatrosi. Kwa hivyo rangi zao zinatofautiana kutoka nyeupe kabisa kupitia nyeupe na kijivu au kahawia mpaka mwili w ...