ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 144

Kwarara

Kwarara ni ndege wa nusufamilia Threskiornithinae katika familia Threskiornithidae ambao wana miguu mirefu. Domo refu lao limepindika na hutumika kwa kutafuta chakula ndani ya matope. Spishi nyingi za kwarara huweka matago yao juu ya miti, kwa ka ...

Msingwe

Msingwe au mnguri ni ndege mkubwa kiasi na spishi pekee ya jenasi Scopus na familia Scopidae. Umbo wa kichwa chake chenye domo refu na ushungi nyuma yake unakupa ono la nyundo, asili ya jina la ndege huyu kwa Kiingereza. Anatokea Afrika kusini kw ...

Mwendambize

Wari au wemdambize ni ndege wakubwa wa maji wa jenasi Pelecanus, jenasi pekee ya familia Pelecanidae, wenye domo kubwa na rangi nyeupe au kijivu. Ndege hawa huvua samaki kwa makundi. Domo lao la chini ni ngozi inayoweza kunyoka na kuumba mfuko il ...

Vumatiti

Vumatiti ni ndege wakubwa wa nusufamilia Botaurinae na Tigrisomatinae katika familia ya Ardeidae ambao wana domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi ...

Kulasitara

Yangeyange ni ndege wakubwa wa jenasi mbalimbali ya nusufamilia Ardeinae katika familia Ardeidae wenye miguu mirefu, shingo ndefu na domo refu na jembamba. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa ni weupe au weusi au rangi hizi mbili. Spis ...

Bungo-lengelenge

Bungo-lengelenge ni mbawakawa wa familia Meloidae katika familia ya juu Tenebrionoidea ya oda Coleoptera ambao wanaweza kusababisha malengelenge ngozini wakishikwa. Bungo-lengelenge ni wororo kulika mbawakawa wengine. Miguu ni mirefu na kichwa ki ...

Bungo-mavi

Bungo-mavi ni mbawakawa wa familia mbili za familia ya juu Scarabaeoidea katika oda Coleoptera: Scarabaeidae na Geotrupidae, ambao hula mavi ya wanyama. Familia hii ya juu ina familia nyingine pia, lakini familia hizi hazina bungo-mavi. Hata Scar ...

Chonga

Chonga ni mbawakawa wa nusufamilia Dynastinae ya familia Scarabaeidae katika oda Coleoptera ambao madume yao wana pembe kubwa kichwani na mara nyingi pia kwenye mbele ya pronoto. Kwa sababu ya hii huitwa" bungo-kifaru” kwa Kiingereza. Zaidi ya je ...

Sururu

Fukusi, vidungadunga au vipukusa ni wadudu wa familia ya juu Curculionoidea katika oda Coleoptera. Kuna familia 7 na moja, Curculionidae, ni baina ya familia kubwa kabisa yenye jenasi 6800 na spishi 83.000. Familia ya juu ina spishi 97.000. Pengi ...

Mdudu-kibibi

Wadudu-kibibi ni mbawakawa wa familia Coccinellidae katika oda Coleoptera walio na madoa kwa kawaida. Mara nyingi madoa ni meusi juu ya mandharinyuma ya rangi kali kama nyekundu, machungwa au njano. Jina la mbawakawa hawa linatokana na Maria, mam ...

Kombamwiko

Mende au kombamwiko ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa oda ya Blattodea. Tangu mwanzo wa karne hii wataalamu wengi wamesadiki kwamba mchwa ni aina za mende wa kijamii. Kwa hivyo oda yao, Isoptera, huwekwa ndani ya Blattodea kama oda ya chini ...

Kipepeo

Vipepeo ni wadumili wa wadudu wa oda ya Lepidoptera. Jinsi ilivyo kwa wadudu wengi maisha ya kipepeo huanza kama yai. Anatoka kwenye yai kwa umbo la kiwavi. Baada ya miambuo minne kiwavi huwa bundo. Ndani ya bundo hugeuka kuwa kipepeo anayetoka n ...

Kiwavijeshi bandia

Viwavijeshi bandia ni viwavi wa nondo Leucania loreyi katika familia Noctuidae. Viwavi hao hawatembei chanjari kama viwavijeshi wa Afrika na wadumili hawahami mbali kubwa katika makundi makubwa. Hata hivyo viwavi hao wanaweza kulipuka na kufunika ...

Viwavi jeshi

Viwavijeshi wa Afrika ni viwavi wa nondo Spodoptera exempta katika familia Noctuidae. Wakiwa wengi sana viwavi hawa hutembea chanjari na kwa hivyo wanafanana na sufa ya jeshi. Baada ya kuwa wapevu hujikusanya katika makundi makubwa na kuhama mbal ...

Kiwavijeshi wa Amerika

Viwavijeshi wa Amerika ni viwavi wa nondo Spodoptera frugiperda katika familia Noctuidae. Kwa kawaida viwavi hao hawatembei chanjari kama viwavijeshi wa Afrika lakini wadumili huhama mbali kubwa katika makundi makubwa. Wakitoka mayai viwavi hao n ...

Neopalpa donaldtrumpi

Neopalpa donaldtrumpi ni spishi ya nondo iliyogunduliwa mwaka 2017 na mtaalamu wa Kanada Vazrick Nazari. Akiwa mgunduzi wa spishi mpya Nazari aliweza kuchagua jina akaamua kutumia jina la mwanabiashara na wakati ule mgombea wa uraisi Donald Trump ...

Nondo (mdudu)

Kwa maana nyingine za jina hili tazama nondo Nondo ni wadudu wa oda ya Lepidoptera lepidos = gamba, ptera = mabawa ambao wanabeba vigamba juu ya mabawa yao. Nondo wanafanana na vipepeo lakini wanatofautiana kwa umbo la vipapasio. Vile vya vipepeo ...

Mdudu Mabawa-manyofu

Wadudu mabawa-manyofu ni wadudu wadogo hadi wakubwa wa oda Orthoptera katika nusungeli Pterygota. Jina ni tafsiri ya jina la kisayansi. Wadudu hawa wanajulikana sana kama panzi, nzige, nyenje, chenene na senene k.m. Mabawa ya mbele ya wadudu hawa ...

Mdudu Mabawa-mawili

Wadudu mabawa-mawili ni wadudu wadogo wa oda Diptera ambao wana mabawa mawili tu. Wadudu wengine wana mabawa manne au hawana mabawa, isipokuwa wadudu mabawa-potwa walio na mabawa mawili pia. Spishi zenye vipapasio virefu kwa umbo wa uzi huitwa mb ...

Kunguni

Kunguni ni wadudu wadogo wa familia Cimicidae katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota. Mara nyingi huishi katika mazingira ya kificho na yenye mlundikano wa uchafu utokanao na taka mwili, hasa vitanda ambamo hufyonza damu ya watu au wanyama k ...

Kunguni (familia)

Kunguni ni wadudu wadogo wa familia Cimicidae katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota. Wadudu hawa hufyonza damu ya wanyama wenye damu moto. Spishi tatu huishi mara nyingi katika vitanda vya watu, lakini spishi nyingi sana huishi katika viota ...

Kunguni-bahari

Kunguni-bahari ni wadudu wa jenasi mbalimbali za familia Gerridae, Hermatobatidae na Veliidae katika oda ya chini Gerromorpha ya oda Hemiptera na nusungeli Pterygota ambao hutembea juu ya maji ya bahari na kujilisha kwa wadudu walioanguka majini ...

Kunguni-maji

Kunguni-maji ni wadudu wadogo hadi wakubwa wa oda za chini Gerromorpha na Nepomorpha katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota ambao huishi majini. Mabawa yao ya mbele ni nusu magumu na nusu kama viwambo. Kunguni hao hula wadudu wengine ama hai ...

Kunguni-mgunda

Kunguni-mgunda ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa oda ya chini Pentatomomorpha katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota ambao wana mabawa ya mbele yaliyo nusu magumu na nusu kama kiwambo. Takriban wadudu hao wote hufyonza utomvu wa mimea, ...

Mdudu Mabawa-nusu

Wadudu mabawa-nusu ni wadudu wadogo sana hadi wakubwa kiasi wa oda Hemiptera katika nusungeli Pterygota. Jina ni tafsiri ya jina la kisayansi. Wadudu hawa wanajulikana sana kama kunguni, kunguni-mgunda, vidukari, vidungata, nzi weupe, wadudu-gamb ...

Mdudu-sindano

Nge-maji ni wadudu wa familia Nepidae katika oda ya chini Nepomorpha ya oda Hemiptera na nusungeli Pterygota. Wanafanana na nge kwa sababu ya miguu yao ya mbele yenye nguvu na mkia mrefu ambayo kwa kweli ni mrija wa kupumua. Wadudu hao huishi nda ...

Nyenje-miti

Nyenje-miti ni wadudu wa familia ya juu Cicadoidea katika oda Hemiptera. Wadudu wengine wanaoitwa nyenje wamo katika familia ya juu Grylloidea. Nyenje-miti ni wadudu wakubwa kiasi wenye macho yaliyobaidika sana, vipapasio vifupi, mabawa manne kam ...

Nzi-vunjajungu

Nzi-vunjajungu ni wadudu wadogo kiasi wa familia Mantispidae katika oda Neuroptera ambao wana miguu ya mbele inayofanana na ile ya vivunjajungu.

Emirates Palace

Ilifunguliwa mwezi Novemba 2005 lakini baadhi ya mikahawa na maduka hayakuwa wazi hadi 2006. Hoteli ilijengwa na inamilikiwa na serikali ya Abu Dhabi, na kwa sasa inasimamiwa na Kempinski Group. Gharama ya kujenga hoteli hii ilikuwa dola bilioni ...

Burj Al Arab

Burj Al Arab inayomaanisha "Mnara wa Waarabu" ni hoteli ya anasa iliyo jijini Dubai. Ni jengo linalotumika kama hoteli pekee lililo na urefu wa mita 321, na ni nambari ya pili katika orodha ya majengo marefu kote duniani. Hoteli hii imejengwa kwe ...

Dubai Fountain

Dubai Fountain ni kivutio kikuu mtaani Burj Downtown Khalifa, iliyo mbele ya Burj Khalifa, mjini Dubai. Emaar, kampuni iliyosimamia ujenzi wa Burj Khalifa, na Downtown Burj Khalifa, ilitangaza mpango wake wa kujenga chemchemi za Dubai mnamo Juni ...

Jumeirah Lake Towers

Jumeirah Lake Towers Jumeirah Ziwa Towers Kiarabu:|ابراج بحيرة الجميرا ni eneo kubwa la maendeleo Dubai, United Arab Emirates ambalo lina majumba 79 yanayojengwa kando maziwa manne ya binadamu vile vile, kuna jumba la JLT la 8 linalokabili visiwa ...

Barabara ya B8, Kenya

Barabara ya B8 ni barabara kuu nchini Kenya katika Mkoa wa Pwani iunganishayo miji ya Mombasa na Garissa. Sehemu kati ya Mombasa na Malindi inajulikana kama Barabara ya Mombasa-Malindi huku ile kati ya Malindi na Garissa ikiitwa Barabara ya Malin ...

Kanisa la WinnersChapel

Winners Chapel ni kanisa kubwa sana na lililanzishwa na Askofu David Oyedepo 2 Mei 1981 mjini Kaduna, katika jimbo la Kaduna, Nigeria. Ina matawi katika nchi zaidi ya 50 duniani kote; nchini Nigeria peke yake, ina zaidi ya matawi 400. Kanisa inaf ...

Nyumba ya sanaa Kwenye Makavazi ya Derby

Nyumba ya Sanaa Kwenye Makavazi ya Derby inayojulikana kwa kiingereza kama Derby Museum and Art Gallery ilianzishwa mwaka 1879, pamoja na Derby Central Library, katika ujenzi mpya iliyoundwa na Richard Knill Freeman na kutolewa kwa Derby na Micha ...

Mto Aire

. Mto Aire ni mto mkubwa katika Yorkshire, Uingereza 71 miles 114 km Sehemu ya mto huu una mtaro unaojulikana kama njia ya maji ya Aire na Calder. Aire ni moja ya mito kuu Uingereza na hupitia katika maeneo yenye idadi kubwa ya wakazi nchini Uing ...

Mto Avon (Hampshire)

Majiranukta kwenye ramani: 51.349°N 1.948°W  / 51.349; -1.948. Mto Avon ni mto katika kata za Wiltshire, Hampshire na Dorset kusini mwa Uingereza.

Mto Leam

Mto Leam au Mto Leame ni mto mdogo nchini Uingereza unaopita mashariki na kusini mwa Warwickshire unaoishia katika mto Avon. Ni mto ambao una urefu usiozidi kilomita 50. Mji wa Leamington Spa huwa juu yake na ulipokea jina lake kutoka mto huu.

Mto Longford

Mto Longford ni njia ya maji bandia ambayo inageuza maji kilomita 19 kutoka Mto Colne katika Longford hadi Mbuga ya Bushy na Mahakama ya ikulu ya Hampton ambapo inafika katika Thames juu ya fika iliyo katika Mlango wa Teddington. Katika mkondo wa ...

Mto Moselle (London)

Mto Moselle, pia unajulikana kama kijito cha Moselle, uko katika Kaskazini London na hutiririka kupitia Tottenham kuelekea bonde la Lee. Mto huu awali ulikuwa tawimto wa Mto Lee, lakini sasa unaelekea ndani ya kijito cha Pymmes, tawimto mwingine ...

Mto Quaggy

. Mto Quaggy ni mto wa mijini, ulio na urefu wa kilomita 17, unapitia kusini-mashariki mwa London Borough ya Bromley, Greenwich na Lewisham, unajulikana kama Kyd Brook, katika maeneo yake ya juu. Mto huu huanzia kutoka vyanzo viwili karibu na hos ...

Mto Welland

Mto Welland ni mto katika mashariki ya Uingereza, ambao una urefu wa 56 km kwa, na nu njia kuu ya sehemu ya The Fens inayoitwa Holland mashariki" kwa maelfu ya miaka. Huanzia katika Hothorpe Hills, katika northamptonshire, kisha unaelekea mashari ...

Mto Kelvin

Mto Kelvin ni mto wa pili muhimu zaidi katika Glasgow kijamii na iviwanda, baada ya Mto Clyde. Chanzo chake kiko Dullatur bog karibu na kijiji cha Kelvinhead, mashariki ya Kilsyth. Kwa karibu urefu wa maili 22 kwa muda mrefu, huwa na mkondo unaoj ...

Mto Quoich

Mto Quoich au Majiya Quoich ni tawimto wa Mto Dee katika Aberdeenshire, Scotland. Katika mkond wa mto huu ni Hamlet Allanaquoich. Mto huu pia una Linn ya Quoich, mporomoko wa maji kupitia mkondo mwembamba ambapo kuna daraja juu ya sehemu iliyo ko ...

Barabara ya Julius K. Nyerere

Barabara ya Julius K. Nyerere ni kati ya barabara kuu kwenye jiji la Dar es Salaam. Zamani ilijulikana zaidi kwa jina la Pugu Road maana inaelekea kutoka kitovu cha jiji kwenda Pugu upande wa kusini-magharibi. Barabara hii inaanza kwenye njiapand ...

Boma la Kale, Dar es Salaam

Boma la Kale ni jengo la kihistoria mjini Dar es Salaam. Pamoja na Atiman House iko kati ya majengo mawili yaliyobaki na vyanzo wa mji huu tangu nayakati zilizotangulia ukoloni wa Kijerumani.

Jeshi la Wanamaji la Kenya

Jeshi la Wanamaji la Kenya lilianzishwa tarehe 12 Disemba 1964, mwaka mmoja baada ya Kenya kupata uhuru. Lilitanguliwa na Nevi ya Kifalme ya Afrika ya Mashariki REAN. Baada ya REAN kuvunjwa mwaka 1962, Shirika la Reli na Bandari la Afrika ya Mash ...

Kings African Rifles

Kings African Rifles ilikuwa jeshi la kikoloni la Uingereza katika Afrika ya Mashariki kati ya mwaka 1902 hadi uhuru wa mataifa ya Kiafrika. Vikosi vyake vilianzishwa Kenya na kupanuka baadaye hadi koloni kwenye maeneo ya Uganda, Tanzania, na Mal ...

Kaunti ya Kilifi

Kaunti ya Kilifi ni kaunti nchini Kenya katika eneo la Mkoa wa Pwani wa awali. Ilianzishwa mwaka 2010 kwa kuunganisha wilaya za Kilifi na Malindi. Mji mkuu uko Kilifi lakini mji mkubwa zaidi ni Malindi. Eneo la kaunti lilikuwa na wakazi 1.109.735 ...

Kalamashaka

Kalamashaka ni kundi la hip hop lenye makao yake katika mtaa wa Dandora, kitongoji katika mji wa Nairobi, Kenya. Kinajumuisha wasanii watatu: Oteraw, Kama na Johny. Kikundi hiki kiliundwa katika miaka ya katikati ya 1990. Walikuwa maarufu kwa wim ...