ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 146

Nyati-maji wa mwitu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Nyati-maji wa mwitu ni wanyama wakubwa wa pori wa spishi Bubalus arnee katika familia Bovidae, ambao pia huitwa nyati-maji wa Uhindi au arni. Nyati-maji wa mwitu anafanana sana na nyati-maji Bubalus bubalis ali ...

Saola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Saola ni mnyama wa pori wa spishi Pseudoryx nghetinhensis katika familia Bovidae, aliye mmoja wa mamalia adimu zaidi kuliko wote duniani. Huyo ndiye mnyama pekee katika jenasi Pseudoryx. Saola huishi misitu ya ...

Nguva

Nguva ni wanyama wakubwa wanaoishi baharini. Hata hivyo ni mamalia wanaozaa watoto walio hai na kuwalisha kwa maziwa. Nguva huwa na mikono ya mbele na mkia wenye umbo la pembetatu. Wanaishi kwenye pwani za Bahari ya Hindi, Bahari ya Karibi, Afrik ...

Chui (Pantherinae)

Chui ni wanyama mbuai wakubwa wa nusufamilia Pantherinae katika familia Felidae. Isipokuwa spishi moja, wanyama hawa wana madoa au milia. Spishi nyingi zinatokea misitu au maeneo mengine yenye miti katika Afrika, Asia na Amerika, nyingine zinatok ...

Fungo (familia)

Fungo, paka-zabadi au paka wa zabadi ni wanyama mbua wa ukubwa mdogo hadi wastani katika familia Viverridae. Spishi nyingine huitwa kanu, oyani na binturongi, lakini fungo-miti wa Afrika hana mnasaba sana na fungo na yumo katika familia yake bina ...

Fosa

Fungo-bukini ni wanyama wadogo hadi wakubwa kiasi wa Madagaska wanaoainishwa katika nusufamilia Euplerinae wa familia Eupleridae na ambao wanafanana na fungo wa bara la Afrika. Pamoja na nguchiro-bukini wana mhenga mmoja aliyekuwa aina ya nguchir ...

Nguchiro-bukini

Nguchiro-bukini ni wanyama wadogo wa Madagaska wanaoainishwa katika nusufamilia Galidiinae wa familia Eupleridae na ambao wanafanana na nguchiro wa bara la Afrika. Pamoja na fungo-bukini wana mhenga mmoja aliyekuwa aina ya nguchiro na aliyevuka M ...

Paka

Paka ni wanyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Spishi nyingine zinaitwa duma, simbamangu na mondo. Nyingi ni ndogo kama paka-kaya lakini spishi kama duma, linksi na puma ni kubwa zaidi sana. Isipokuwa simbamangu, Asian golde ...

Paka-kaya

Paka-kaya ni mnyama mdogo alaye nyama na ambaye amefugwa na binadamu tangu miaka maelfu. Paka ni mwana wa familia ya Felidae wanaojumlisha paka pamoja na gwagu na spishi kubwa kama simba, chui na duma. Asili ya paka ni paka za porini kwa hakika p ...

Buku Mkia-mrefu

Mabuku mkia-mrefu ni wanyama wa jenasi Beamys katika nusufamilia Cricetomyinae ya familia Nesomyidae ambao wanafanana na panya, lakini panya ni wanafamilia wa Muridae. Urefu wa mwili ni sm 13-19 na mkia una sm 10-16; uzito ni g 55-150. Wana pochi ...

Buku-nyika

Mabuku-nyika wote wana miguu mirefu ya nyuma na masikio na macho makubwa kiasi, lakini kuna tofauti kati ya sifa nyingine. Umbo la mwili hutofautiana kutoka dhabiti na gumu hadi jembamba. Mmoja wa wakubwa kabisa ni buku-nyika mkubwa Rhombomys opi ...

Jerboa

Jerboa ni wanyama wagugunaji wa nusufamilia Allactaginae, Cardiocraniinae, Dipodinae na Euchoreutinae katika familia Dipodidae wanaofanana na kanguruu wadogo kwa sababu wana miguu mirefu ya nyuma na miguu mifupi ya mbele. Wanatokea maeneo makavu ...

Kipanya manyoya-magumu

Vipanya manyoya-magumu ni wanyama wagugunaji wa jenasi Lophuromys katika nusufamilia Deomyinae ya familia Muridae. Manyoya yao ni magumu lakini siyo kama yale ya vipanya-miiba. Wanatokea katika Afrika kusini kwa Sahara tu, mara nyingi milimani.

Kipanya Mnono

Vipanya wanono ni wanyama wadogo wa jenasi Steatomys katika nusufamilia Denromurinae wa familia Nesomyidae ambao wanafanana na vipanya, lakini vipanya wa kweli ni wanafamilia wa Muridae. Spishi zote zinatokea mahali pengi pa Afrika kusini kwa Sah ...

Kipanya wa Rudd

Kipanya wa Rudd ni mnyama mgugunaji mdogo na spishi pekee ya jenasi Uranomys wa nusufamilia Deomyinae katika familia Muridae aliye na nasaba karibu na vipanya manyoya-magumu.

Kipanya-kinamasi

Kipanya-kinamasi ni mnyama mgugunaji mdogo na spishi pekee ya nusufamilia Delanymyinae katika familia Nesomyidae. Anatokea vinamasi na maeneo manyevu mengine ya mwinuko mkubwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda na Uganda.

Kipanya-mawe

Vipanya-mawe ni wanyama wagugunaji wadogo wa jenasi Petromyscus, jenasi pekee ya nusufamilia Petromyscinae katika familia Nesomyidae. Wanafanana na vipanya, lakini hao ni wanafamilia wa Muridae. Wanatokea Afrika ya Kusini katika maeneo yenye mawe ...

Kipanya-miiba

Vipanya-miiba ni wanyama wagugunaji wa jenasi Acomys katika nusufamilia Deomyinae ya familia Muridae walio na manyoya magumu kama miiba. Wanatokea katika Afrika na Mashariki ya Kati kwenye majangwa na maeneo mengine makavu, pengine misitu mikavu ...

Panya (Rattus)

Panya wa jenasi Rattus ni wanyama wagugunaji wadogo kiasi wa nusufamilia Murinae katika familia Muridae ambao wana mkia mrefu. Jenasi hii ina spishi 64 lakini mbili tu hupatikana katika Afrika: panya kahawia na panya mweusi wanaotoka Asia kiasili ...

Panya manyoya-marefu

Mwili wa panya manyoya-marefu unaweza kukua hadi urefu wa sm 36 au sm 53 pamoja na mkia. Kuna manyoya marefu yenye ncha nyeusi au za fedha juu ya koti ya malaika kama sufu iliyo zito, kijivu na nyeupe. Uso na miguu ina manyoya mafupi meusi. Arufu ...

Panya-mawe

Panya-mawe wanatokea Afrika ya Mashariki na ya Kusini na spishi moja huko Kameruni na Nijeria. Spishi tatu tu hupatikana katika Afrika ya Mashariki: panya-mawe mwekundu, panya-mawe wa Hinde na Panya-mawe wa Kaiser.

Popo-matunda

Popo-matunda ni aina za popo wanaokula matunda hasa. Kibiolojia ni mamalia wa familia Pteropodidae, familia pekee ya nusuoda Megachiroptera katika oda Chiroptera, wanaofanana na panya au mbwa mdogo mwenye mabawa. Kwa kawaida spishi hizi ni kubwa ...

Popo-wadudu

Popo-wadudu ni aina za popo wanaowinda wadudu hasa. Kibiolojia ni mamalia wa nusuoda Microchiroptera katika oda Chiroptera wanaofanana na panya mwenye mabawa. Kwa kawaida spishi hizi ni ndogo kuliko zile za nusuoda Megachiroptera lakini kuna spis ...

Pinnipedia

FAMILIA PINNIPEDIA Familia Odobenidae Walarasi, Odobenus rosmarus Walrus Jenasi Arctocephalus Sili-manyoya wa Juan Fernandez, A. philippii Juan Fernández Fur Seal Sili-manyoya wa Antaktiki, A. gazella Antarctic Fur Seal Sili-manyoya wa Galapagos, ...

Sili

Sili-sufii wa Hawaii, Monachus schauinslandi Hawaiian Monk Seal Kabila Monachini Sili-sufii wa Mediteranea, monachus Mediterranean Monk Seal Nusufamilia Monachinae Familia Phocidae Sili-sufii wa Karibi, Monachus tropicalis † ~1950 Caribbean Monk ...

Sungura wa Kizungu

Sungura wa Kizungu ni mamalia wadogo waliomo katika familia ya Leporidae ya oda ya Lagomorpha na wanaopatikana sehemu mbalimbali za dunia. Katika familia ya sungura kuna jenasi kumi na moja. Pia kuna spishi nyingine za sungura na hizo pamoja na p ...

Mnyamapochi

Wanyamapochi ni wanyama wa ngeli ya chini Marsupialia ambao wanazaa wadogo wao katika hali changa sana yaani baada ya muda mfupi wa mimba. Baada ya kuzaa wanaendelea kubeba wadogo ndani ya pochi au mbeleko ya ngozi iliyopo nje ya mwili juu ya tum ...

Ngwena

Mamba au ngwena ni spishi kubwa za reptilia za oda Crocodilia. Mamba wanaishi majini na hupatikana maeneo mengi ya kitropiki katika Afrika, Asia, Australia na Amerika. Mamba hupenda kuishi katika maji baridi kama vile maziwa, mito, ardhi tepe-tep ...

Mjusi-nyungunyungu

Mijusi-nyungunyungu ni wanyama watambaachi katika oda Squamata ya ngeli Reptilia. Wanyama hawa hawafikiriwi kuwa mijusi wa kweli, lakini wataalamu wengine wanafikiri kwamba wana nasaba na familia ya mijusi Lacertidae. Kama jina lao linadokeza, mi ...

Koboko (nyoka)

Hongo, futa au koboko ni nyoka wenye sumu wa jenasi Dendroaspis katika nusufamilia Elapinae. Spishi zote zinatokea Afrika tu. Nyoka hawa huishi mitini, lakini futa hukaa chini. Huwinda wakati wa mchana na kukamata mamalia wadogo, ndege na mijusi. ...

Kima (mnyama)

Kima ni mamalia yeyote wa hali ya juu katika familia ya juu Cercopithecoidea na oda ndogo Platyrrhini, kwa hivyo kima wa juu wasio Prosimii au masokwe na nyani. Kuna takriban spishi 264 wanaofahamika wa kima wanaowakilisha kundi kubwa la mamalia ...

Masokwe

Masokwe ni wanyama wa familia ya juu Hominoidea. Kuna familia mbili za masokwe: Hylobatidae masokwe wadogo au giboni na Hominidae masokwe wakubwa wakiwemo binadamu. Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili ...

Lemuri-mwanzi

Lemuri-mwanzi ni spishi za lemuri wa jenasi Hapalemur na Prolemur katika familia Lemuridae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Wana manyoya kijivu hadi kahawia. Urefu wa mwili ni sm 26-46 na mkia una urefu sawa au mrefu zaidi. Lemuri-mwanzi ...

Usalama wa Kijamii / Ruzuku

Usalama wa kijamii ama ruzuku kimsingi ni mpango wa bima ya kijamii inayotoa ulinzi wa kijamii, au ulinzi dhidi ya hali zinazotambuliwa kijamii, ikiwa ni pamoja na umaskini, uzee, ulemavu, ukosefu wa ajira na mengine. Usalama wa kijamii unaweza k ...

El Intransigente

Gazeti la El Intransigente lilichapishwa katika mkoa wa Salta, nchini Argentina kati ya miaka ya 1920 na 1981. Shughuli zake zilianza tarehe 17 Aprili 1920 zikiendeshwa na David Michel Torino, mwanzilishi mshiriki na mmiliki wa gazeti hili. Katik ...

Meno kunyoosha

Kila mtu anataka tabasamu nyeupe. Hapa ndio unayohitaji kujua kabla ya kupungua. Unahitaji checkup kwanza Kabla ya kupata tabasamu hiyo nzuri, ni muhimu kuwa na wakati mzuri. "Mark Jones, DDS, ana daktari wa meno huko Norwalk, Connecticut. Hapa n ...

Makala za msingi - orodha ya meta Feb 2008

Hii ni tafsiri ya orodha ya Kiingereza ya makala 1.000 za msingi kutoka meta:wikipedia ya Februari 2008. Hadi Novemba 2019 idadi kubwa imetafsiriwa, pia orodha imebadilishwa mara kadhaa. Mapengo ya sasa ni 10 tu, ni haya yafuatayo: physical chemi ...

Moyo kushindwa kusambaza damu kwa ghafla

usugu wa kushindwa kwa uthabiti wa moyo unaweza kiulahisi kusababisha kushindwa kwa usambazaji wa damu. Hii kwa kawaida sana ni matokeo ya ugonjwa ulotokea karibuni kama vile {kichomi,{/0} uinifarakti wa maiokaridiali mshtuko wa moyo, pumu, shini ...

Nghwana malunde

Maisha ya awali Ngwanamalundi alizaliwa katika kijiji cha Mwakubunga Nera katika Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza mnamo 1846Mwanamalundi alikuwa maarufu sana karne ya 18 na 19 maeneo ya kanda ya ziwa; hususani Mwanza na Shinyanga. Habari za huyu mt ...

Barraba

Barraba ni kijiji katika mkoa wa New England huko New South Wales, Australia. Kijiji kilikuwa kijiji kikuu cha manispaa ya Barraba Shire lakini kijiji na manispaa yake ziliungamanishwa katika manispaa ya Tamworth Regional Council mnamo 2004. Barr ...

Ruby band

RUBY BENDI ni bendi ya muziki wa kizazi kipya tanzania inayopatikana katika jiji la dar es salaam.band hii ya vijana wadogo wenye vipaji ni muungano wa wasanii wanne ISMAIL YAHYA ISMAIL YAHYA, KHALID WAZIRI, LAWRENCE CLEMENT NA SUNDAY MTOLE. Jina ...

ISO 3166-2:KE

ISO 3166-2:KE ni mchakato wa uingiaji wa nchi ya Kenya katika ISO 3166-1, sehemu ya kiwango cha ISO 3166 kilichochapishwa na Shirika la Kimataifa la Usanifishaji, ambacho kinafafanua kanuni kwa majina ya wilaya ya nchi zote zilizojumuishwa kwenye ...

Suleiman I

Suleiman I alikuwa sultani wa 10 wa Milki ya Osmani. Alitawala miaka 46 kuanzia 1520 hadi 1566. Hakuna sultani mwingine aliyekaa muda mrefu kama yeye. Watu wa magharibi walimwita "Suleimani Mwadhimu"; katika dunia ya Kiislamu alijulikana kama "Su ...

NAACP Image Awards

NAACP Image Awards ni tuzo zinatolewa kila mwaka na American National Association for the Advancement of Colored People kutukuza au kutuza kazi zilizofanywa vyema na watu wa rangi tofauti katika filamu, televisheni, muziki, na fasihi. Sawa tu na ...

Visiwa vya Jumeirah

Visiwa vya Jumeirah ni makazi ya kifahari mjini Dubai, United Arab Emirates, iliyojengwa na Nakheel moja ya makampuni kubwa zaidi za ujenzi Dubai. Visiwa vya Jumeirah vina visiwa vidogo, kila kilicho na manyumba 16 ya kifahari. Visiwa hivi vyote ...

Word Up!

Word Up! lilikuwa jarida linajihusisha hasa na masuala ya vijana katika burudani na muziki kutoka nchini Marekani. Jarida hili lilikuwa sehemu ya kampuni ya Enoble Media Group. Jarida lililenga sana maisha na harakati za Wamarekani Weusi katika n ...

Sun City, Kaskazini Magharibi

Sun City ni hoteli na kasino ya kifahari nchini Afrika Kusini, iliyoko katika Mkoa wa Kaskazini Magharibi wa Afrika Kusini. Mwendo wake ni karibu masaa mawili kwa gari kutoka Johannesburg, karibu na mji wa Rustenburg. Inapakana na Mbuga ya Kitaif ...

Campora San Giovanni

Campora San Giovanni ni kitongoji cha Amantea, Wilaya ya Cosenza, karibu na Wilaya ya Catanzaro, Italia ya kusini. Takriban wakazi 7.200 wanaishi katika kijiji hicho.

Baltasar and Blimunda

Baltasar and Blimunda ni Riwaya iliyoandikwa na mwandishi wa kireno José Saramago. mwaka 1987 Ni hadithi ya mapenzi iliyofanyika katika karne ya 18th, katika utengenezwaji wa Convert of Mafra sasa ikiwa ni moja kati ya vivutio vikubwa vya utalii ...

Mto Kali (Karnataka)

Mto Kali au Kalinadi Kikannada: ಕಾಳಿ ನದಿ, Devanagari: काळी नदी ni mto unaopitia Karwar, Wilaya ya Kikannada Uttara, jimbo la Karnataka nchini India. Mto huu ni msingi wa maisha kwa baadhi ya jamii 4 katika wilaya ya Uttara Kikannada na unasaiadia ...