ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 147

Oliver Queen (Smallville)

Oliver Jonas Queen ni jina la mmiliki bilionea na ni CEO wa Queen Industries, ambaye pia anajulikana kwa jina la Green Arrow. Huyu pia ni mume wa Chloe Sullivan. Akiwa kama Green Arrow, Oliver anavaa vazi la kijani na nyeusi na kuamuru aina mbali ...

City Hunter

Mnamo 1983, rais wa Korea Kusini na wajumbe wake wanatembelea Burma wakati bomu lililotegwa na maajenti wa Korea Kaskazini linalipuka, na kuwauwa maafisa wengine wa ngazi za juu. Tukio hili la kihistoria linaitwa mabomu ya Rangoon. Ili kujirudish ...

Screen Actors Guild Awards

Screen Actors Guild Awards ni jina la kutaja tuzo zinazotolewa kila mwaka na Screen Actors Guild kutambulisha au kupambanua kazi zilizofanywa na wanachama wake. Kijisanamu kinachotolewa, kinamwonesha mwanaume aliye-mtupu kashikilia visanamu viwil ...

Fainali ya Kombe la FA

Finali ya Kombe la FA kawaida katika Uingereza hujulikana kama {kombe la FA ndio mechi ya mwisho katika mchuano wa kombe la Shirika la Kandanda Pamoja na mahudhurio ya 89.826 katika faiali ya mwaka wa 2007.Ni mchuano wa pili uliohudguriwa zaidi n ...

James Bond

Kunako 2002, uhusika wa James Bond ulitumika katika filamu ya ishirini ya Die Another Day, maadhimisho ya 40 ya mfululizo wa filamu hizi na maadhimisho ya 50 tangu Fleming ametunga riwaya yake ya kwanza ya Bond. Mnamo 2006, filamu ya 21, Casino R ...

Morgunbladid

Morgunbladid ni gazeti linalochapishwa katika nchi ya Iceland,lilianzishwa na Vilhjálmur Finsen & Olaf Björnsson. Toleo la kwanza lilikuwa na kurasa nane tu lilichapishwa tarehe 2 Novemba 1913. Miaka sita baadaye, katika mwaka wa 1919,shirika la ...

Marajó

Marajó ni kisiwa kikubwa katika Delta ya mto Amazonas nchini Brazil. Kipo kwenye msatri wa ikweta. Eneo lake ni kati ya 40.000 hadi 49.000 km² kutegeana na kiasi cha maji mtoni na kiasi cha mafuriko. Eneo hili ni kubwa kushinda eneo la Rwanda au ...

Urejelezaji

Urejelezaji ni mbinu ya kutibu takataka ambayo wa kawaida haiwezi kutumiwa kwa shabaha ya kuokoa malighafi zilizopo ndani ya takataka na kuirejeleza kwa matumizi ya kiuchumi. Urejelezaji unahifadhi mazingira kwa kupunguza kiasi cha sumu zinazosam ...

Kanieneo angahewa

Kanieneo angahewa ni nguvu inayosukuma dhidi ya uso wa dunia na kila kitu au kiumbe kutokana uzito wa hewa iliyoko katika angahewa ya dunia juu yake.

Pasipoti

Pasipoti ni hati rasmi ambayo kwa kawaida inatolewa na serikali ya nchi na kumtambulisha mtu kama raia anayeruhusiwa kutoka na kurudi nchini. Ni hati muhimu kwa watu wanaovuka mipaka ya nchi. Pasipoti ni mali ya nchi inayoitoa. Huwa na picha, jin ...

Kupenyeza kwa ubongo

upenyezi ya ubongo, pia inajulikana kama obliteration sisteni, ni jeraha la upande athari za juu shinikizo ndani ya ubongo ambapo ubongo unahama kutoka katika sehemu yake ya kawaida hususani ubongo katika fuvu la kichwa. Ubongo huweza kuhama na m ...

Mpango wa uzazi kwa kutumia kiraka

Kiraka mimba ni kiraka cha kupitisha dawa kwenye ngozi na hupakwa kwenye ngozi kutoa homoni ya kusanisi,estrogini,{na{/2} projestini homoni ili kuzuia mimba.Kiraka ya kuzuia mimba imeonyeshwa kama enye kuthirika kama kuunganisha dawa ya kuzuia mi ...

Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta

Kigezo:Infobox jumba Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta au Kenyatta International Conference Centre ni jengo la ghorofa 30 iliko mjini Nairobi, Kenya. Iko katikta eneo la kati la biashara la Nairobi. Ni ukumbi kwa mikutano, maonyesho na ...

QRpedia

QRpedia ni mfumo wenye msingi kwenye Mtandao ambao unatumia kodi za QR kutoa makala ya Wikipedia kwa watumiaji, katika lugha ambazo wanapendelea.Kodi ya QR inazalishwa kwa urahisi kutoka kwa KISARA lakini mfumo wa utendaji wa QRpedia anaongeza za ...

Sekta Binafsi

Katika uchumi, sekta binafsi ni ile sehemu ya uchumi ambayo huendeshwa kwa faida binafsi na haidhibitiwi na serikali. Kwa kulinganisha, makampuni ambayo ni sehemu ya jimbo ni sehemu ya sekta ya umma; binafsi, mashirika yasiyo ya faida yanaonekana ...

Wiki ya Usomaji Ramani

Wiki ya Usomaji Ramani nchini Uingereza ni wiki iliyobuniwa na "Ordinance Survey", ambayo ni ofisi ya upimaji na ramani katika Ufalme wa Muungano, kwa shabaha ya kuhamasisha watu kujifunza namna ya kusoma ramani. Wiki hiyo huadhimishwa wiki ya ta ...

Kiwix

Kiwix ni programu huria inayomwezesha mtumiaji kuangalia Wikipedia kwenye kompyuta yake bila kuingia katika intaneti. Watumiaji wanaweza kupakua programu ya Kiwix yenyewe halafu faili za wikipedia kwa lugha mbalimbali pamoja na Kiingereza na Kisw ...

Maendeleo Vijijini

Angalia: Makala inatoa ufafanuzi wa Vijijini maendeleo. Tazama USDA Maendeleo Vijijini kwa Shirika la Maendeleo Vijijini la Idara ya Kilimo Marekani USDA RD. Vijijini maendeleo kwa jumla hutumika kuashiria matendo na juhudi zilizochukuliwa ili ku ...

Business Line

Business Line au The Hindu Business Line ni gazeti la kibiashara la Kihindi linalochapishwa na Kasturi & Sons ambao huchapisha,pia, gazeti la The Hindu. Hili ndilo gazeti jeupe tu katika biashara.

The Tech (gazeti)

The Tech, lililochapishwa kwa mara ya kwanza 16 Novemba 1881, ni gazeti kongwe kabisa na kubwa kabisa la kampasi katika Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts. Linapatikana katika eneo la Cambridge, Massachusetts. Matoleo huchapishwa Jumanne na I ...

Polandball

Polandball, pia inajulikana kama countryball, ni user-generated internet Meme ambayo asili ya int / / bodi ya Krautchan.net Kijerumani imageboard katika nusu ya mwisho ya 2009. Meme imedhihirika katika idadi kubwa ya online Jumuia, ambapo nchi ni ...

Okwawu United

Okwawu Stores United Nkawkaw ni klabu ya kandanda ya Ghana liliokuwa na makao yao Nkawkaw. Klabu hiyo inashiriki katika Ligi Kuu ya Telecom ya Ghana. Uwanja wao wa kinyumbani ni Nkawkaw Park.

GNU Free Documentation License

The GNU Free Documentation License is a copyleft license for free documentation, designed by the Free Software Foundation for the GNU project. It is the counterpart to the GNU GPL that gives readers the same rights to copy, redistribute and modif ...

Bendera ya Kenya

Bendera ya Kenya ina msingi katika bendera ya muungano wa kitaifa wa Kenya African. Rangi zinaashiria weusi wengi wenyeji, nyekundu ni damu iliyomwagwa wakati wa mapambano ya uhuru, na kijani kibichi ni mali asili; mikanda meupe yaliongezwa baada ...

What About Your Friends

What About Your Friends ni jina la kutaja albamu ya pili ya rapa wa TLC. Hii ipo sawa tu na ile ya kwanza, albamu ina nyimbo kibao za TLC zinazosisitiza mitazamo ya kijamii na siasa kwa ujumla. Albamu ilitakiwa iitwe "Troublesome 21", hiyo 21 ina ...

Hat 2 Da Back

Hat 2 Da Back ni jina la kutaja albamu ya pili ya rapa wa TLC. Hii ipo sawa tu na ile ya kwanza, albamu ina nyimbo kibao za TLC zinazosisitiza mitazamo ya kijamii na siasa kwa ujumla. Albamu ilitakiwa iitwe "Troublesome 21", hiyo 21 inataja umri ...

Muziki kwenye miaka ya 1990

Muziki uliotamba sana katika miaka ya 1990 tuliona mwendelezo wa teen pop na dance-pop mitindo ambayo ilianzishwa katika miaka ya 1970 na 1980. Isitoshe, hip hop inakua na kuendelea kuwa na mafanikio makubwa sana katika muongo huu, ikiwa na mwend ...

Iydu

Chama cha International Young Democrat Union) ni kundi la kweli la kisiasa na chama cha vijana.Kilianzishwa mwaka wa 1981 kisha baadaye kikawekwa msingi dhabiti mwaka wa 1991.IYDU ina wanachama 127 kutoka mataifa 80 na ni mwanga wa vijana wa Inte ...

Orodha ya benki nchini Kenya

Hii ni orodha ya mashuhuri benki za biashara nchini Kenya Banki zilizo na leseni za biashara Equity Bank Barclays Bank Kenya Diamond Trust Bank Giro Commercial Bank Family Bank Kenya Commercial Bank Citibank ABC Bank Kenya Habib Bank Bank of Indi ...

Ekinokokasi

Ekinokokasi ni maradhi yenye kusababishwa na kimelea parasiti. Hiadatidi ni sisti za kiluwiluwi cha tegu" Taaenia echinococcus” masalia ya tishu za kiinitete Watu wanaumia aina mbili kuu ekinokokasi ya sisti na ekinokokasi alveolasi. Zaidi kuna a ...

Aramex

Aramex au kwa kiarabu ni kampuni ya kimataifa ya maswala ya usafirishaji na uwekaji katika ghala wa bidhaa, usafirishaji kwa njia ya ndege na usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi mbalimbali. Kampuni hii ilianzishwa mwaka 1982 na makao yake makuu ...

Williams Holdings

Williams Holdings lilikuwa kundi kubwa la biashara la Uingereza. Lilikuwa limeorodheshwa katika Soko la Hisa la London na pia katika orodha ya FTSE 100.

Tricoteuse

Tricoteuse ni Kifaransa. Miongoni mwa vitu walivyofunga ni kofia maarufu ya uhuru au kofia ya Frigia. Mrefu mara nyingi hutumika katika maana yake ya kihistoria kama jina la utani kwa wanawake ambao ameketi pembeni guillotine wakati wa unyongaji ...

Maduka ya Gee Bee

Kampuni ya maduka ya Gee Bee ilianza Johnstown, Pennsylvania, Marekani,katika mwaka wa 1906. Ilianzishwa na ndugu wa familia ya Glosser walipofungua duka la chumba kimoja katika jengo la Franklin Building. Kampuni iliunda matawi yake katika miaka ...

Wimpy (Mikahawa)

Wimpy ni jina la mikahawa ya kupika vyakula vya haraka mijini,mikahawa hiyo ina makao yao nchini Uingereza. Inajulikana sana kwa baga yao inayojulikana kama the Bender,ambayo hasa ni soseji ya frankfurter bali si baga. Hapo awali mikahawa hii ili ...

Bomba la mafuta ghafi la Uganda –Tanzania

Bomba la Mafuta Ghafi la Uganda–Tanzania, linalojulikana pia kama Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki linakusudia kusafirisha mafuta yasiyosafishwa kutoka Uganda kwenda Bandari ya Tanga, Tanzania, kwenye Bahari ya Hindi. Baada ya kukamilika ...

Fufu (Chakula)

Fufu, ni chakula kikuu cha Afrika ya Magharibi na Afrika ya Kati. Ni ugali mnene ambao kwa kawaida huandaliwa kwa kuchemsha unga/Wanga katika maji na kupondwapondwa mpaka hali inayotakiwa ifikiwe. Katika mataifa ya Afrika ya Magharibi yanayozungu ...

SHIWATA

SHIWATA ni Mtandao wa Wasasnii Tanzania. SHIWATA awali ilijulikana kama SHIRIKISHO LA WASANII TANZANIA, bali kutokana na mgongano wa usajili na Msajili ambae ni Baraza la Sanaa la Taifa baadae ilikubalika kwamba iitwe Mtandao wa Wasanii kutokana ...

Rayah Kitule

Rayah Kitule ni mtanzania ambaye ni mwandishi ya mhariri wa magazeti mengi yanayotoka kila mwezi ikiwemo gazeti la Fab Sugar na East African Women and Business Entrepreneurs. Amefanya kazi nyingi uandishi za ndani ya Tanzania na nje ya nchi.

The Pittsburg Steelers

Pittsburgh Steelers wamekuwa na msimu wa kuweka rekodi hadi sasa. Wamefikia mafanikio kumi na moja katika misimu mitatu tu kati ya kumi iliyopita. Msimu huu hawajashindwa kupitia michezo kumi na moja ya kwanza. Ni mara ya kwanza katika historia y ...

Heroes

Heroes ni kipindi cha Marekani kilichobuniwa na Tim Kring, kwenye stesheni ya NBC mnamo 25 Septemba 2006. Kipindi hiki kinaeleza jinsi wahusika wanajitambua kama wana vipawa mbalimbali na jinsi vipawa hivi vinavyoathiri maisha yao. Misimu tatu im ...

Koreshi

Koreshi ni jina la kiume lenye asili ya Kiajemi linakopatikana kwa umbo la کوروش ". Umbo "Koreshi" lililo kawaida katika Kiswahili latokana na כורש umbo la Kiebrania la jina hili katika taarifa za Biblia. Kuna maelezo tofauti kuhusu maana asilia ...

Mali (Kipindi cha Runinga)

Mali ni kipindi cha runinga kinachopeperushwa na stesheni ya NTV. Wito wake kwa Kiingereza ni "United by Blood: Divided by Greed". MALI kwa hivi sasa hupeperushwa nchini Kenya lakini itaanza kuonyeshwa nchini Uganda hivi karibuni. Kipindi cha kwa ...

Rainbow Prelude

Manga The Curtain is Still Blue Tonight Demographic Shōjo Manga Peacock Shell Demographic Shōjo Manga The Merchant of Venice Demographic Shōjo Magazine Chugaku Ichinen Course PublishedAprili 1959 Manga Song of the White Peacock Demographic Shōjo ...

Magic Bus

Magic Bus Ni brandi ya basi ambayo Shirika la Stagecoach hutumia kwa mabasi yake nchini Ufalme wa Muungano, ambayo kwa kawaida huhudumu chini ya ushindani mkali kutoka kwa wahudumu wengine. Jina hili lilitumika kwa mara ya kwanza mjini Glasgow, S ...

Kampuni ya Green Bus Lines

Green Bus Lines ilikuwa kampuni ya mabasi katika jiji la New York,Marekani.Ilisimamiwa na hivi majuzi kabisa na Bw.Jerome Cooper na ikaendesha biashara zake katika mitaa ya Queens na pia kuwa na mabasi ya kuenda hadi Manhattan bila kusimama.Ilifa ...

Shujaa Mamadou Ndala

Shujaa Mamadou Ndala ni jina la albamu ya Dekula Kahanga ya mwaka wa 2016. Albamu ina nyimbo zipatazo nane. Albamu hii ni ya nne tangu zile za awali ambazo ni: 1996 Safari East Africa, 2001 Sultan Qaboos, 2008 Rumaliza na hii 2016 Shujaa Mamadou ...

Jordan Aviation

Jordan Aviation ni ndege iliyo na makao yake mjini Amman, katika nchi ya Jordan. Ndege zake zinasafiri nchini na hata ngambo. Vilevile, inakodisha huduma zake kwa ndege zitakazo nafasi ya ziada. makao yake makuu ni kwenye uwanja wa ndege wa Marka ...

Inpop Records

Inpop Records ni kampuni ya kurekodi muziki ya kisasa ya Kikristo iliyokuwa na makao yake Franklin,Tennessee,Marekani.Ilianzishwa mnamo mwaka wa 1999 na Waaustralia Peter Furler na Wes Campbell. Jina laolilitokana na wazo la kutaka kuonyesha tala ...

Ana Lucia Cortez

Ana Lucia Cortez ni jina la mhusika wa kipindi maarufu cha televisheni cha Kimarekani cha Lost ambacho hurushwa hewani na ABC. Uhusika umechezwa na Michelle Rodriguez. Ana Lucia alianza kuonekana katika kipindi cha mwisho wa msimu wa kwanza wa mf ...