ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 15

Sri Lanka

Sri Lanka ni nchi ya kisiwani katika Asia ya Kusini. Iko karibu na ncha ya kusini ya rasi ya Uhindi katika Bahari Hindi. Mji mkuu ni Sri Jayawardenapura.

Trinidad na Tobago

Jamhuri ya Trinidad na Tobago ni nchi ya visiwani katika Karibi ya kusini, karibu na pwani ya Venezuela, kusini kwa kisiwa cha Grenada cha Antili Ndogo. Nchi jirani nyingine kuvukia bahari ni Barbados na Guyana. Nchi ina eneo la km² 5.128 ambalo ...

Uhindi

Uhindi pia: India ni nchi kubwa ya bara la Asia, upande wa kusini, ikienea hasa katika rasi kubwa ya Bahari ya Hindi. Kwa eneo ina nafasi ya saba duniani, lakini kwa idadi ya wakazi 1.352.642.280 mwaka 2018 ni nchi ya pili baada ya China. Kati ya ...

Zambia

Jamhuri ya Zambia ni nchi ya Kusini mwa Afrika isiyo na mwambao baharini. Imepakana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania upande wa kaskazini, Malawi upande wa mashariki, Msumbiji, Zimbabwe na Botswana upande wa kusini, Namibia na Angol ...

Joseph Ki-Zerbo

1972: Histoire de l’Afrique noire Paris, Hatier 2005: Afrique Noire, co-authored with Didier Ruef Infolio éditions 1964: Le Monde africain noir Paris, Hatier 1991: Histoire générale de l’Afrique 2003: A quand lAfrique, co-authored with René Holen ...

Yosef Ben-Jochannan

Yosef Alfredo Antonio Ben-Jochannan, alikuwa mwandishi na mwanahistoria nchini Marekani. Alikuwa mwanasayansi wa Uafrocentriki na uzalendo weusi.

Argentina

Argentina ni nchi kubwa ya pili ya Amerika Kusini. Ina eneo la km² 2.780.400 kati ya milima ya Andes upande wa magharibi na Bahari ya Atlantiki upande wa mashariki. Imepakana na Paraguay, Bolivia, Brazil, Uruguay na Chile. Kuna madai dhidi ya Uin ...

Brazil

Brazil ni nchi kubwa ya Amerika ya Kusini na pia ni nchi yenye wakazi wengi kushinda nchi zote za bara hilo. Eneo lake ni karibu nusu ya bara lote. Imepakana na Uruguay, Argentina, Paraguay, Bolivia, Peru, Kolombia, Venezuela, Guyana, Surinam na ...

Mitazamo ya Agano Jipya juu ya Yesu

Mitazamo ya Agano Jipya juu ya Yesu inatofautiana kadiri ya waandishi, lakini bila kuvunja umoja wa imani yuu yake kama Kristo na Mwana wa Mungu. Mitazamo muhimu zaidi ni ile ya Mtume Paulo na Mtume Yohane, ambao ndio wanateolojia hasa, lakini ip ...

Hija ya kiroho

Hija kwa maana ya kawaida ni safari au matembezi ya kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo maalum. Yaweza kuwa safari ya mtu binafsi au ya kikundi cha watu. Inaweza kuwa safari ya siku moja au siku kadhaa. Hii inategemea umbali wa sa ...

Utoto wa kiroho

Utoto wa kiroho ni njia ya maisha ya kiroho inayofundisha kufuata Injili ya Yesu kwa kujifanya wadogo. Mwalimu bora wa njia hiyo ni Teresa wa Mtoto Yesu, aliyeiita njia ndogo. Njia ya utoto wa Kiroho iliyofundishwa naye inadhihirisha utume wake w ...

Apolinari wa Laodikea

Apolinari wa Laodikea alikuwa mwanateolojia aliyefundisha kwamba Yesu hakuwa na akili ya kibinadamu; badala yake alisema Yesu Kristo alikuwa na mwili na upande wa chini tu wa roho lakini akili yake ilikuwa ya Kimungu. Inaonekana alifundisha hivyo ...

Maksimo Muungamadini

Maksimo Muungamadini alikuwa mmonaki padri maarufu kwa teolojia yake. Miaka 615-645 aliishi Karthago, leo nchini Tunisia. Jina la pili aliongezewa kutokana na mateso yaliyompata kwa ajili ya imani sahihi: alikatwa mkono wa kulia na ulimi asiweze ...

Marko wa Efeso

Marko wa Efeso alikuwa mmonaki, mshairi na mwanateolojia wa Kiorthodoksi kutoka Dola la Bizanti na askofu mkuu wa Efeso. Alipata umaarufu kwa kushiriki katika Mtaguso wa Ferrara-Florence 1438–1439 na kushika msimamo mkali zaidi dhidi ya madai ya ...

Teofane muungamadini

Teofane Muungamadini alikuwa mmonaki mwandishi maarufu kwa kutetea heshima kwa picha takatifu dhidi ya kaisari Leo V wa Bizanti. Jina la pili aliongezewa kutokana na mateso yaliyompata gerezani kwa ajili ya imani sahihi: alipopelekwa uhamishoni a ...

John Verity

Sir John Verity alikuwa Jaji wa uhamiaji wa Uingereza ambaye alikuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar kutoka 1939 hadi kuteuliwa kwake kama Jaji Mkuu wa Uingereza mnamo 1941. Aliteuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Nigeria mnamo mwaka 1945. Verity alizaliwa London mna ...

Llewelyn Dalton

Sir Llewelyn Chisholm Dalton alikuwa mwamuzi wa makoloni ya Uingereza na mwandishi. Alikuwa mtoto pekee wa kiume wa William Edward Dalton na mkewe Mathilda. Llewelyn Chisholm Dalton alisoma Marlborough College na baada ya hapo akaenda kusoma tena ...

Mkoa

Mkoa ni jina kwa ajili ya eneo fulani ndani ya nchi ambalo ni ngazi ya utawala wa nchi ile. Matumizi ya jina hili linaweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi. Kwa kutafsiri vitengo vya utawala vya nchi mbalimbali wakati mwingine kuna mchaganyiko w ...

Utawala wa Kijiji - Tanzania

Utawala wa Kijiji ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na utawala wa Kitongoji. Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ...

Wilaya

Wilaya ni mgawanyo wa kiutawala au eneo lililotengwa kwa ajili ya utawala. Mikoa ya Tanzania na Kenya imegawiwa kwa wilaya. Asili ya neno ni Kiarabu "ولاية" wilaayatun - Kituruki: vilayet. Katika Dola la Osmani "vilayet" ilikuwa ngazi ya kwanza y ...

Kata za Angola

Ambriz, Kakalo-Kahango, Ícolo e Bengo, Cassoneca, Bela Vista, Tabi, Zala, Kikabo, Barra do Dande, Muxiluando, Kixico, Kanacassala, Gombe, Kicunzo, Kage, Mabubas, Caxito, Ucua, Piri, Kibaxe, São José das Matas, Kiaje, Paredes, Bula-Atumba, Pango-l ...

Mikoa ya Cote dIvoire

Mikoa ya Cote d’Ivoire ni ngazi ya pili ya ugatuzi nchini Cote dIvoire. Nchi imegawanywa katika wilaya 14 ambazo ni ngazi ya kwanza ya ugatuzi. Wilaya mbili ni miji iliyoandaliwa kama wilaya huru na wilaya 12 za kawaida zinagawanyika katika mikoa ...

Departments za Gabon

Mikoa ya Gabon imegawanyika katika wilaya thelathini na saba. Wilaya au departments zimeorodheshwa hapo chini, kwa mkoa:

Mikoa ya Kenya

Mikoa ya Kenya ilikuwa mgawanyo wa kiutawala kwenye ngazi ya juu nchini Kenya. Taifa liligawanywa katika mikoa minane. Mikoa hii iligawanywa katika wilaya 46 ambazo ziligawanywa zaidi katika tarafa 262. Tarafa ziligawanywa katika lokesheni 2427, ...

Wilaya za Uganda

Uganda imegawanywa katika wilaya 135 na mji mkuu wa Kampala. Kila wilaya ni sehemu ya mmoja wa mikoa minne. Wilaya mpya 7 zimeanza kazi rasmi tarehe 1 Julai 2019 zikifisha idadi kuwa 135. Wilaya nyingi zimepewa majina kulingana na miji mikubwa ya ...

Majimbo ya Ujerumani

Majimbo ya Ujerumani ni sehemu zinazounda Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani. Tangu mwaka 1990 ambapo maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani 1949 hadi 1990, ilijulikana pia kama Ujerumani wa Mashariki yalijiunga na shirikisho kuna majimb ...

Bunge la Taifa la Kenya

Bunge la Taifa ni chumba cha chini cha Bunge la Kenya. Kabla ya Bunge la 11, hilo lilikuwa bunge la chumba kimoja, na mpaka mwaka 1966 la vyumba viwili. Lina jumla ya viti 349: kati yake, 290 ni vya kuchaguliwa kutoka kwenye majimbo ya uchaguzi, ...

Kura juu ya katiba mpya ya Kenya (2005)

Kura ya maoni juu ya katiba mpya ya Kenya ilipigwa tarehe 21 Novemba 2005. Asilimia 58 ya Wakenya waliopiga kura waliikataa. Rais wa Kenya na baadhi ya mawaziri walipiga kampeni kutaka Wakenya waiunge mkono katiba hiyo. Kundi lililokuwa likiiunga ...

Daniel Arap Moi

Moi alizaliwa Sacho, wilaya ya Baringo, Mkoa wa Bonde la Ufa, na alilelewa na mama yake Kimoi Chebii, kufuatia kuaga dunia mapema kwa baba yake. Baada ya kumaliza masomo ya chuo cha upili cha Tambach, aliweza kujiunga na chuo cha ualimu mjini Kap ...

Uchaguzi wa Bunge la Kenya 2007

Wabunge 207 kati ya 210 walichaguliwa. Kura zitarudiwa katika majimbo 3. Wabunge 12 wa ziada watateuliwa na rais. Akifuata kawaida atawateua kufuatana na nguvu ya vyama bungeni. ODM-Kenya ina viti 16. PNU na vyama vinavyoshirikishwa nayo vina vit ...

Uchaguzi wa bunge nchini Kenya, 2007

Uchaguzi wa bunge nchini Kenya ulifanyika kama sehemu ya uchaguzi mkuu wa Kenya mnamo tarehe 27 Desemba 2007; uchaguzi wa rais ulifanyika tarehe hiyo pia. Uchaguzi huu wa ubunge ulifanyika ukiwa huru na wa haki kwa ujumla kinyume na uchaguzi wa r ...

Wakoloni wakuu wa Kenya

Orodha ya wakoloni wakuu wa Kenya de facto Kwa mfululizo baada ya uhuru, angalia: Wakuu wa Nchi ya Kenya

Wakuu wa Serikali ya Kenya

Orodha ya wakuu wa serikali ya Kenya Kufuatia makubaliano ya kugawana madaraka mwezi Februari 2008 afisi ya Waziri Mkuu, iliundwa tena mwezi wa Aprili 2008.

Malawi Congress Party

Chama kitangulizi kilikuwa Nyasaland African Congress NAC kilichoundwa mwaka 1944 kwa shabaha ya kupanua haki za Waafrika wazalendo katika koloni la Nyasaland, jinsi Malawi ilivyoitwa kabla ya mwaka 1964. Mwaka 1958 Hastings Banda alirudi nchini ...

New Black Panther Party for Self Defence

New Black Panther Party for Self-Defense ni kundi la wanaharakati weusi wenye siasa kali na mwamko wa kimapinduzi nchini Marekani. Kundi hili lilianzishwa mwaka 1989 na mtangazaji wa redio, Aaron Michaels, huko Dallas, Texas. Mwanzoni kundi hili ...

Emeka Ojukwu

Chukwuemeka Odumegwu Ojukwu ni mwanasiasa wa Nigeria aliyekuwa mwanajeshi na rais wa jamhuri ya Biafra iliyojitenga na Nigeria 1967 - 1970.

Rais wa Nigeria

Rais wa Nigeria ni mkuu wa dola wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria na kiongozi wa serikali. Vyeo vyake ni "Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria" na Amiri Jeshi Mkuu wa jeshi la Nigeria. Rais wa sasa ni Muhammadu Buhari.

Tume ya Maendeleo katika Niger Delta

Tume ya Maendeleo katika Niger Delta ni shirika la Serikali ya Shirikisho lililoanzishwa na rais wa Nigeria, Olusegun Obasanjo mwaka wa 2000 pamoja na mamlaka ya kuendeleza kanda la Niger Delta lenye wingi wa mafuta kusini mwa Nigeria. Mnamo Sept ...

Arbeiderpartiet

Arbeiderpartiet, jina kamili Det norske Arbeiderparti, ni chama kikubwa cha kisiasa nchini Norwei. Kimeanzishwa huko mjini Arendal mwaka 1887 ili kuandaa wafanyakazi na kupigania jamii sawa ya ujamaa. Tangu Vita Kuu ya Pili ya Dunia Arbeiderparti ...

Orodha ya Marais wa Sudan

Ismail al-Azhari: 8 Julai 1965 - 25 Mei 1969 Omar al-Bashir: 30 Juni 1989 - 16 Oktoba 1993 Gaafar Nimeiry: 25 Mei 1969 - 6 Aprili 1985 Abdel Rahman Swar al-Dahab: 6 Aprili 1985 - 6 Mei 1986 Ahmad al-Mirghani: 6 Mei 1986 - 30 Juni 1989

Alliance for Change and Transparency

Alliance for Change and Transparency ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. Kimepata usajili wake kamili mnamo Mei 2014.

Baraza la mawaziri Tanzania

Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka. Baraza hili linaundwa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote ...

Baraza la mawaziri Tanzania 2015

Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka. Baraza hili linaundwa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote ...

Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar

Baraza ilianzishwa mwaka 1980. Kabla ya mwaka huu, Baraza la Mapinduzi lilikuwa na shughuli za serikali na pia bunge kwa muda wa miaka 16 baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964.

Mshume Kiyate

Mshume Kiyate alikuwa mwanaharakati na mzalendo aliyeshiriki katika kupigania uhuru wa Tanganyika katika miaka ya 1950. Vilevile alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa karibu sana na Hayati Mwalimu Nyerere hata kupelekea kumzungumzia mara kwa mara k ...

NCCR-Mageuzi

NCCR-Mageuzi ni chama cha upinzani nchini Tanzania ambacho kilisajiliwa rasmi tarehe 29 Julai 1992 kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Chama hicho kilianzishwa kama matokeo ya juhudi za wananchi wa Tanzania kujikomboa kutokana ...

Sheikh Hassan Bin Amir

Sheikh Hassan Bin Ameir alikuwa mwanaharakati na mwanazuoni aliyeshiriki katika kupigania uhuru wa Tanganyika katika miaka 1950 vilvile alikuwa mufti wa Tanzania. Sheikh Hassan Bin Ameir amezaliwa Mkoa wa Kusini Unguja katika kijiji cha Mtegani, ...

Sheikh Suleiman Takadir

Sheikh Suleiman Takadir alikuwa mwanaharakati mzalendo na mwanazuoni wa Kiislamu kutoka nchini Tanzania. Vilevile alikuwa mmoja kati ya watu wa awali walioshirikiana na Julius Nyerere katika harakati za kudai Uhuru wa Tanganyika. Pamoja na yote h ...

Tanganyika African National Union

Tanganyika African National Union kilikuwa chama kilichotawala Tanganyika na Tanzania hadi muungano wa chama hiki na Chama cha Afro-Shirazi cha Zanzibar ulipounda Chama cha Mapinduzi mwaka 1977. TANU ilianzishwa 7 Julai 1954 kutokana na Tanganyik ...

Wabunge wa Tanzania 2005

Wabunge wa Tanzania ni wawakilishi wa taifa katika Bunge la Tanzania wakichaguliwa mara moja kila baada ya miaka mitano kuingia katika Bunge la Tanzania. Wananchi wanapiga kura katika majimbo yao. Pia, kuna viti maalum kwa wanawake na wabunge had ...