ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 151

Nina Barnett

Nina Barnett ni msanii wa Afrika Kusini anayeishi na anayefanya kazi New York City kwa hivi sasa. Kazi yake inahusika na kuchunguza nafasi za mijini na masimulizi kwa njia ya michoro za mwendo wa kusimama, usakinishaji wa video, mitambo ya sauti ...

Angela de Jesus

De Jesus anatumia urithi wake wa Kireno na uzoefu wa kufanya kazi katika duka kutafiti mabadilishano na muingiliano wa kitamaduni na mitazamo yakinifu. Alitumia kamera zilizofichwa kama vifaa katika kutengeneza video.

Esmé Frances Hennessy

Esmé Frances Hennessy, née Franklin ni mtaalamu wa mimea, mchoraji wa mimea na mwandishi wa Afrika Kusini. Aliandika kuhusu maua ya Afrika ya Kusini yajulikanayo kama Erythrinas South African Erythrinas mwaka 1972, Orchids of Africa 1961 akishiri ...

Netsai Mukomberanwa

Netsai Mukomberanwa ni mchongaji sanamu kutokea Zimbabwe. Ni mchongaji sanamu wa kizazi cha pili cha sanaa za Kishona wanaotumia mawe katika uchongaji. Hutumia mchana wake kuzalisha kazi zake katika shamba la familia huko Zuwa. Kazi yake ya msing ...

Sarah Britten

Britten alisoma Shule ya Msingi ya Bryanston na Shule ya upili ya Redhill Johannesburg na akasomea tamthiliya katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand, ambapo alimaliza Shahada ya Maigizo mnamo mwaka 1996, Na Mafunzo ya Mawasiliano mnamo mwaka 1997, N ...

Etiyé Dimma Poulsen

Etiye alipokuwa na umri wa miaka sita, aliishi nchini Ethiopia, akahamia Tanzania na kisha Kenya na wazazi wake waliomlea. Walikuwa wa Denmark, na walihamisha familia kwenda Denmark wakati alikuwa na miaka kumi na nne. Huko alisoma historia ya sa ...

Locardia Ndandarika

Mnamo 1964 Locardia aliolewa na Joseph Ndandarika, mmoja wa wachongaji wa mawe wa kwanza nchini Zimbabwe. Ndoa yao ilidumu kwa miaka 14 kabla ya kupeana talaka mnamo 1978. Wakati wa ndoa yao alijifunza zaidi juu ya sanamu, na baadaye akaigeukia w ...

Lupisino wa Condat

Lupisino wa Condat alikuwa Mkristo ambaye, baada ya kufiwa mke wake, alikwenda kuishi na kaka yake mkaapweke Romano wa Condat. Pamoja naye alianzisha monasteri mbili huko Condat na Lauconne katika eneo la milima ya Jura, leo nchini Ufaransa, akaw ...

Ethel May Dixie

Ethel May Dixie alikuwa msanii wa mimea wa Afrika Kusini. Dixie kwa kiasi kikubwa alikuwa akijifundisha tofauti na dada yake mkubwa ambaye alifurahiya faida za masomo na Thomas William Bowler. Walakini, alikuwa msanii mkuu wa Rudolf Marloth Flora ...

Grace Mukomberanwa

Grace Mukomberanwa ni mchonga sanamu kutoka Zimbabwe. Mukomberanwa ni kizazi cha kwanza cha wachonga sanamu wa mawe wa Sanaa ya Kishona. Alikuwa mke wa mchonga sanamu maarufu wa kizazi cha kwanza Nicholas Mukomberanwa. Wote walifunzwa katika Sana ...

Montani na Masima

Montani na Masima walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Montani alikuwa padri na Masima mke wake. Wapagani waliwatosa pamoja baharini. Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama ...

Kaliniko na Basilisa

Kaliniko na Basilisa walikuwa Wakristo ambao walikatwa kichwa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma. Kabla ya kukamatwa walikuwa wakishirikiana kusaidia waumini waliokwishakamatwa na serikali. Pengine Kaliniko anatajwa kama mwan ...

Lea wa Roma

Lea wa Roma alikuwa mwanamke Mkristo wa mmojawapo kati ya koo maarufu zaidi za mji huo. Baada ya kufiwa mumewe alijitosa katika mambo ya dini na kuishi kitawa pamoja na Marsela wa Roma na wanawake wengine kadhaa kwa kuzingatia sala, malipizi na m ...

Bertina Lopes

Bertina Lopes alikuwa mchoraji na mchongaji wa sanamu mwenye asili ya Ureno aliyezaliwa Msumbiji. Kazi ya Lopes ilionyesha kutilia msisitizo wa kina wa Kiafrika katika kutumia rangi na kutengeneza kazi zenye muundo wa barakoa na jiometri. Lopes a ...

Basili wa Ankara

Basili wa Ankara alikuwa padri wa Dola la Roma aliyefia imani yake wakati wa kaisari Juliani Mwasi. Kabla ya hapo alikuwa amepinga kwa nguvu Uario ulioungwa mkono na kaisari Constans I. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yak ...

Tanga Heritage Centre

The Tanga Heritage Centre, inajulikana zaidi kama Urithi ni asasi isiyo ya kiserikali na kifaida yenye makazi katika mkoa wa Tanga nchini Tanzania, asasi hii ilianzishwa mwaka 1999 kwa malengo ya kutunza na kutangaza urithi wa Mkoa wa Tanga

Redshift

MAKALA HAIKUKAMILISWA BADO Msogeo mwekundu ing. redshift ni istilahi ya lugha ya fizikia kutaja maongezeko katika urefu wa mawimbi sambamba na kupungua kwa marudio, nishati ya fotoni na mnururisho sumakumeme kama mwanga. Mabadiliko ya kinyume yaa ...

Bongiwe Dhlomo-Mautloa

Bongiwe au Bongi Dhlomo-Mautloa ni raia wa Afrika ya Kusini mwenye asili ya Kizulu na hujishughulisha katika uchapishaji na usimamizi wa kazi za sanaa. Pia ni mwanaharakati. Amesoma shule ya mtakatifu Chad iliyopo Ladysmith, KwaZulu-Natal, na shu ...

Liza Essers

Baada ya kupata shahada ya biashara na uchumi, Essers alifanya kazi kama mshauri mipango na mikakati katika kampuni ya global professional services company ambapo aliweza kuinua sekta ya biashara na mapato nchini Afrika kusini. Mapema mwaka 2008 ...

Valerie Adler

Valerie Adler alizaliwa nchini Afrika Kusini na baadaye kuhamia Uingereza akiwa na umri wa miaka kumi na saba na kisha kujiunga na shule ya sanaa na ubunifu ya Inchbald School of Design. Mwaka 1970, baada ya miaka kumi na saba nchini Uingereza al ...

Ronika Tandi

Ronika Tandi ni msanii na mchongaji wa sanamu wa Zimbabwe. Awali alijulikana kwa uchongaji mawe, mara nyingi zenye kufurahisha, sura isiyo naksishiwa ambayo huwa kama jiwe halisia. Tandi alizaliwa pembezoni mwa Ziwa Kariba, mnamo mwaka 1975. Ndug ...

Yakobo muungamadini

Yakobo muungamadini tangu ujanani alikuwa mmonaki mwanafunzi wa Theodoro wa Studion. Alidhulumiwa muda mrefu na serikali ya Dola la Roma Mashariki na hatimaye aliuawa kwa sababu ya kutetea heshima kwa picha takatifu. Tangu kale anaheshimiwa na Wa ...

Berry Bickle

Berry Bickle ni msanii wa Zimbabwe anayeishi Maputo. Bickle alisoma Chisipite Senior School iliyopo Harare. Baadaye, alisoma kwenye chuo Durban Institute of Technology, ambapo alipata stashahada katika sanaa ya uchoraji. and South Africas Rhodes ...

Cygose ntcox

Ntcoxo alikuwa mshiriki wa kabila la Ncoakhoe la watu wa San, na alizalwa katika mkowa wa Ghanzi uko Botswana. Alikuwa mshiriki wa Mradi wa Sanaa wa Kuru. Mwanzoni mwa miaka ya 1990 kazi yake ilionyeshwa kwenye ukumbi wa sanaa huko London na kuon ...

Dula

Dula alikuwa Mkristo wa Dola la Roma aliyeuawa kwa ajili ya imani yake. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Machi.

Timolai na wenzake

Timolai na wenzake Dionisi, Pauside, Romulo, Aleksanda, Aleksanda mwingine, Agape na Dionisi mwingine walikuwa Wakristo ambao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano waliteswa kwa sababu ya imani yao na hatimaye walikatwa kichwa. Tangu kale wanahes ...

Emanueli, Sabino na wenzao

Emanuele, Sabino na wenzao Kodrati na Theodosi walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa ta ...

Berrell Jensen

Berrell Elizabeth Jensen alikuwa msanii wa sanaa ya uchongaji, mfanyakazi ya mambo ya kijamii na mwalimu kutoka Afrika Kusini. Mwaka 1960 aliandaa maonyesho yake ya kwanza ya sanaa za uchongaji na mwaka 1968 alihamia barani Ulaya na kufungua kitu ...

Svea Josephy

Svea Josephy ni mhadhiri wa sanaa za picha katika shule ya sanaa ya Michaelis School of Fine Art katika Chuo kikuu cha Cape Town. Anajulikana zaidi kwa sanaa yake iliyopewa jina la "Twin towns".

Gulshan Khan

Gulshan Khan ni msanii wa sanaa za picha wa Afrika Kusini anayeishi katika mji wa Johannesburg. Kazi zake nyingi za picha huzingatia sana kutoa ujumbe kuhusu haki za kijamii na haki za binadamu

Sekundulo

Sekundulo ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa huko Mauretania. Tangu kale aanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Machi, pengine pamoja na ndugu yake Romulo.

Gladys Mgudlandlu

Gladys Nomfanekiso Mgudlandlu alikuwa msanii na mwalimu wa Afrika Kusini. Alijulikana kama mmoja wa wanawake wa kwanza wa Kiafrika Afrika Kusini kufanya maonyesho ya peke yake, alikuwa painia katika sanaa ya kuona nchini mwake, ambayo alipewa na ...

Mary Sibande

Mary Sibande ni msanii wa Afrika Kusini anayeishi Johannesburg. Sibande anafanya sanaa inayojumuisha uchongaji, picha pamoja na ubunifu. Anatumia sanaa yake kuelezea ukoloni, na zaidi sanaa yake katika Afrika na zaidi hutumia sanaa yake kuelezea ...

Robyn Nesbitt

Robyn Nesbitt ni msanii wa Afrika Kusini anaeishi na kufanya kazi katika jiji la Johannesburg. Kazi za Nesbitt zinatokana na uchunguzi wake wa ki unaotokana na mzunguko wa maisha ya kila siku unaotuzunguka ya Robyn hufanya kazi za sanaa akishirik ...

Elsie Garrett Rice

Elsie Garrett Rice (Cape Town, 25 Novemba 1869 - 27 Aprili 1959 alikuwa Mwingereza msanii wa sanaa za uchoraji wa mimea aliyezaliwa nchini Afrika Kusini.

Senzeni Marasela

Senzeni Marasela ni msanii wa sanaa za picha, video, sanaa za urembo na uchapishaji wa Afrika Kusini anayefanya kazi kupitia vyombo tofauti vya habari. Senzeni ana shahada ya sanaa za urembo aloipata kutoka chuo kikuu cha sanaa cha University of ...

Doreen Southwood

Doreen Southwood ni msanii, mbunifu wa mitindo wa Afrika Kusini na pia mmiliki wa maduka ndani ya Cape Town. Anafanya kazi na aina nyingi ya vyombo vya habari katika kazi zake za kisanaa akichonga sanamu, vipengee, chapa, filamu na vinginevyo amb ...

Baronsi na Desideri

Baronsi na Desideri walikuwa wakaapweke karibu na Pistoia. Desideri alikuwa mfuasi bora kati ya watano walijiunga na Baronsi kufanya toba. Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu. Sikukuu yao inaadhimishwa kila ...

Berkari

Berkari alikuwa mmonaki wa Kanisa Katoliki, aliyeunganisha desturi za Kolumbani na za Benedikto kwa monasteri ambazo alizianzisha na kuziongoza. Aliuawa na mtawa mbaya aliyekuwa ameafukuzwa naye. Mwenyewe alimsamehe. Tangu kale anaheshimiwa na Wa ...

Liudgeri

Liudgeri wa Munster alikuwa mmonaki, halafu askofu mmisionari huko Saksonia, Udani na Uholanzi, akianzisha pia monasteri mbalimbali zilizoendelea kueneza Ukristo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Walutheri kama mtakatifu. Si ...

Rupert wa Salzburg

Rupert wa Salzburg alikuwa mmonaki wa Kikolumbani, halafu askofu mmisionari huko Rhineland, Bavaria na Austria, akianzisha pia monasteri kuendelea kueneza Ukristo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake ...

Wikipedia:Msimamo wa kutopendelea upande

Msimamo wa kutopendelea upande wowote ni sheria ya msingi kwa watu wote wanaochangia humo kuandika au kusahihisha makala. Maana yake ni kwamba wakati wa kutunga makala waandishi hawatakiwi kuonyesha ya kwamba wanapenda au kutopenda habari ndani y ...

Wikipedia:Msaada wa kuanzisha makala

Karibu kuchangia kwenye Wikipedia ya Kiswahili! Tayari ni Wikipedia kubwa ya Kiafrika - pamoja na lugha ya Afrikaans. Pamoja na maelezo kwenye ukurasa huu unaweza kuangalia Mwongozo wa kuandika makala!

Wikipedia:Istilahi mpya

Hii ni orodha ya maneno mapya ya Kiswahili, ambayo bado hayajaonekana katika kamusi. Mengine yametungwa moja kwa moja hapa katika Wikipedia ya Kiswahili, mengine yameshatungwa nje ya Wikipedia, lakini bado hazijaandikwa katika kamusi. Imeandikwa ...

Wikipedia:Mwanzo/Nyaraka1: 2005-2009

It would be great if the old png files in Wikipedia kwa lugha nyingine were replaced with the new svg files. --Crocuta 19:20, 11 Septemba 2008 All that files should be relplaced from commons! Theres no even single file on that you saw are uploade ...

Wikipedia:Makala ya wiki/Kimondo

Vimondo ni magimba madogo ya angani yanayozunguka jua. Yanaweza kuangukia duniani yakionekana kama moto angani. Ukubwa wa kimondo ni kuanzia punje ya mchanga hadi kufikia kipenyo cha mita kadhaa. Hivyo kimondo ni kidogo kuliko asteoridi na kikubw ...

Wikipedia:Makala ya wiki/Kuni

Kuni ni ubao unaotumiwa kama fueli ikichomwa motoni ya kupikia au pia ya kupashia nyumba moto. Kwa kawaida kuni inakusanywa penye miti kwa kutafuta sehemu ziliokauka au kwa kukata miti inayopasuliwa kuwa vipande vya ukubwa unaofaa. Kwa kutumia te ...

Wikipedia:Kanusho kwa jumla

tango Tango ni mimea iliyopandwa sana katika familia ya chumvi, Cucurbitaceae. Ni mzabibu unaozaa ambayo huzaa matunda mazuri ambayo hutumiwa kama mboga. Kuna aina tatu kuu za tango: kupunja, pickling, na mbegu. Ndani ya aina hizi, mbegu kadhaa z ...

Wikipedia:Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanuliwa

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi. Hii ni orodha ya makala za msingi kama 1000 ambazo kila kamusi elezo inahitaji ...

Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000

Zifuatazo ni makala zote 1.000 zilizokuwemo tarehe 24 Agosti 2015 katika meta:List_of_articles_every_Wikipedia_should_have. Majina ni sehemu ya Kiingereza, au ya Kiswahili. Orodha hii inaendelea kushughulikwa na umbo la Kiswahili kuingizwa. Kama ...