ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 152

Selso wa Armagh

Selso wa Armagh alikuwa askofu mkuu wa Armagh na Ireland yote, wakati Ukristo katika kisiwa hicho ulikuwa umepoa. Alipochaguliwa kuwa askofu ingawa bado mlei, kama ilivyomtokea babu yake, alichangia sana urekebisho wa Kanisa la huko katika karne ...

Marko wa Aretusa

Marko wa Aretusa alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 341 au kabla ya hapo. Aliteswa sana katika dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi. Gregori wa Nazianzo alimsifu kama "mtu wa pekee na mzee mtakatifu sana". Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na ...

Benyamini wa Argol

Benyamini wa Argol alikuwa shemasi aliyeteswa na kuuawa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya mfalme Vararane V. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimis ...

Guntram

Guntram alikuwa mfalme wa Orleans na Burgundy tangu mwaka 561. Alikuwa na tabia mbaya na kutenda dhambi nyingi, lakini imani ilimuongoza kuheshimu Kanisa na viongozi wake, kujenga monasteri na kuhamasisha uinjilishaji, kupatanisha ndugu zake, kus ...

Sabah Naim

Naim alipokea shahada yake ya kwanza na ya Uzamili katika Sanaa kutoka Chuo cha Elimu ya Sanaa huko Cairo. Baadaye alikamilisha shahada ya uzamivu yake kutoka Chuo cha Elimu ya Sanaa. Naim amekuwa mwanafunzi wa msanii wa Misri Mohammed Abla. Naim ...

Isoken Ogiemwonyi

Isoken Ogiemwonyi ni mwanamitindo wa Nigeria, mwanzilishi na mratibu wa lebo ya kimitindo iitwayo "Obsidian", na duka liitwalo "ZAZAII". Pia anajulika kama muanzilishi msaidizi wa Winterfell Ltd,ambayo huratibu na kuhodhi Le Petit Marche ya nchin ...

Pascale Quao-Gaudens

Alizaliwa Abidjan akasoma katika nchi yake aliyozaliwa kabla ya kusafiri kwenda Ufaransa kwa ajili ya elimu ya juu. Aliamua kusoma sanaa ya plastiki, na kwenda katika jiji la Paris Ufaransa mnamo mwaka 1986, huko kufanya kazi kama mchoraji kwa id ...

Yetunde Ayeni-Babaeko

Yetunde Ayeni-Babaeko alizaliwa Enugu, Nigeria, mwaka 1978. Baba yake ni Mnigeria na mama yake ni Mjerumani. Alihamia ujerumani akiwa bado mtoto, akasomea huko na kupata elimu ya upigaji picha kutoka studio za Be huko Greven. Mnamo mwaka 2005 ali ...

Lola Akinmade Åkerström

Lola Akinmade Åkerström ni mpiga picha na mwandishi wa safari kutokea Nigeria aliyeko Stockholm, Sweden. Yeye ndiye mhariri mkuu wa Slow Travel Stockholm. Kazi zake zimeangaziwa katika National Geographic Traveller BBC, na CNN, miongoni mwa macha ...

Modupeola Fadugba

Modupeola Fadugba alisoma uhandisi, uchumi, na ualimu. Amepokea shahada ya uzamili katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Delaware, na anashikilia shahada ya uzamili ya elimu kutoka Chuo Kikuu cha Harvard. Wazazi wake walikuwa Wanadiplomasia wa Nige ...

Nnenna Okore

Nnenna Okore ni msanii anayefanya kazi zake nchini Nigeria na Marekani. Kazi zake nyingi zinahamasishwa na muundo, rangi na fomu zinazomzunguka. Kazi nyingi za Okore hutumia Flotsam, jetsam, lagan, na derelict au maombo yaliyozuiliwa ili kutengen ...

Adejoke Lasisi

Adejoke Lasisi ni msanii, mwanamitindo, na mwanamazingira wa Nigeria. Anajulikana kwa maendeleo ya ubunifu wa mitindo na bidhaa zilizotengenezwa kwa mabaki ya nguo. Ni mwanzilishi na mkurugenzi wa Planet 3R and Jokelinks shule ya ususi.

Ebele Okoye

Ebele Okoye ni mchoraji na muhuishaji Mmarekani mwenye asili ya Nigeria akiwa Cologne, Ujerumani toka mwaka 2000.

Reni Folawiyo

Reni Folawiyo ni mwanasheria, mwanamitindo na mfanyabiashara wa Nigeria, mwanzilishi wa Alara, duka la kwanza la mavazi na mitindo ghali Afrika Magharibi lililobuniwa na masanifu majengo mwenye asili ya Uingereza na Ghana, David Adjaye Anamiliki ...

Doa Aly

Kazi ya Aly inahusisha vielelezo, upakaji rangi, media-anuai na vinyago. Kazi zake zilionekana katika nyumba za maonyesho huko Afrika, nchi za mashariki ya kati na ulaya. Onyesho lake la kwanza la upakaji rangi lilitambulika kama Pixel Series ili ...

Panya-nyasi

Panya-nyasi ni wanyama wagugunaji wa jenasi Arvicanthis katika nusufamilia Murinae ya familia Muridae ambao wanatokea Afrika kusini kwa Sahara katika nyika na savana mpaka nyanda za juu.

Panya-maji

Panya-maji ni wanyama wagugunaji wa jenasi Colomys katika nusufamilia Murinae ya familia Muridae ambao wanatokea Afrika kusini kwa Sahara katika misitu na savana karibu na vijito, mabwawa na vinamasi.

Chinwe Chukwuogo-Roy

Chinwe Ifeoma Chukwuogo-Roy alikuwa msanii wa sanaa ya uchoraji aliyezaliwa nchini Nigeria katika jimbo la Anambra lakini altumia muda wake mwingi wa maisha ya ujana katika mpaka wa nchi ya Kamerun kabla ya kurejea katika makazi ya familia yake h ...

Claudie Titty Dimbeng

Claudie Titty Dimbeng née Claudie Adonit Manouan, anayejulikana kama Dimbeng ; amezaliwa mwaka 1968 ni mwanamke msanii mzaliwa wa Ivory Coast, ameishi Paris tangu mwaka 1987. Mtetezi wa njia ya kufikirika, ya mfano ya Usaidizi wa Sanaa Mchanganyi ...

Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli

Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli ni chuo cha maafisa wa kijeshi kilichopo katika wilaya ya Monduli, mkoa wa Arusha nchini Tanzania. TMA ni moja kati ya taasisi muhimu inayotoa mafunzo ya jeshi. Chuo hicho kimekuwa kikitoa mafunzo ya kijeshi kw ...

Takataka ya angani

Mifano ni satelaiti ambazo hazifanyi kazi tena, zilizovunjika, sehemu za roketi, vipande vya metali vilivyokuja kama sehemu za roketi, na mengine mengi. Vitu hivi vyote hutazamwa kama takataka hasa katika obiti yaani njia za satelaiti za kuzunguk ...

Hafidh Ameir

Hafidh Ameir ni mume wa rais wa sita wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na asili ya visiwani Zanzibar. Hafidhi ni mtaalamu mstaafu wa masuala ya kilimo na walifunga ndoa na Mama Samia mwaka 1978 na wamejaaliwa kupata watoto wanne ; mtoto ...

Effat Nagy

Effat Nagy alikuwa msanii wa Misri ambaye ana jumba la makumbusho huko Cairo aliyejitolea yeye na kazi za mumewe. Jumba hilo linaitwa jumba la kumbukumbu la Saad El-Khadem na Effat Nagy.

Agape na Kionia

Agape na Kionia walikuwa akina dada mabikira Wakristo ambao waliteswa wakauawa kwa kuchomwa moto kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Pengine anatajwa pamoja nao Irene. Labda walitokea Aquileia Italia. Tangu kale wanahe ...

Ejiro Amos Tafiri

Ejiro Amos Tafiri ni mbunifu wa mitindo kutokea Nigeria, ni mjasiriamali na mwanzilishi wa chapa ya Ejiro Amos Tafiri ambayo ilianzishwa ili kukidhi mahitaji ya mitindo ya mwanamke wa kisasa.

Angèle Etoundi Essamba

Angèle Etoundi Essamba ni mpiga picha wa Kamerun anayeishi na kufanya kazi mjini Amsterdam. Binti maarufu zaidi kwa kazi yake ya upigaji picha nyeusi na nyeupe za binadamu, ambayo mara nyingi alilenga mada kwa wanawake wa kiafrika. Essamba ni mmo ...

Valeriko

Valeriko alikuwa mmonaki, halafu mkaapweke, lakini pia padri mmisionari katika maeneo mbalimbali na hatimaye abati wa monasteri aliyoianzisha. Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 1 Aprili.

Stefano Harding

Stefano Harding alikuwa mmonaki, padri, mwanzilishi mmojawapo na abati wa urekebisho wa Citeaux wa shirika la Benedikto wa Nursia. Katika uongozi wake wa miaka 25 aliongeza monasteri 12 na kupokea shirikani Bernardo wa Clairvaux na wenzake 30. Ta ...

TY Bello

Toyin Sokefun-Bello ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mpiga picha na mfadhili wa Nigeria. Kabla ya kufuata kazi ya solo, alikuwa mwanachama wa bendi ya sasa ya Injili ya Kush. TY Bello pia ni mwanachama wa msafara wa upigaji picha wa Nigeria, Depth ...

Dina Danish

Dina Danish kazaliwa Paris, kakulia Kairo and received BA from the American University in Cairo and a Master of Fine Arts|MFA from the California College of the Arts. alikuwa ni mwanasanaa katika utawala wa Rijksakademie van beeldende kunsten. Ka ...

Nontsikelelo Veleko

Nontsikelelo "Lolo" Veleko ni mpiga picha wa Afrika Kusini aliyetambulika zaidi kwa kuonyesha utambulisho wa weusi wake, mijini na mtindo baada ya ubaguzi wa rangi wa kikatili Afrika Kusini.

Amarachi Nwosu

Amarachi Nwosu ni mpiga picha, msanii wa picha, mtengeneza filamu, mwandishi na mzungumzaji Mnaigeria mwenye asili ya Marekani aliyefanya kazi zake katika jiji la New York. Alikua muanzilishi wa Melanin Unscripted, jukwaa la ubunifu na shirika li ...

Kastori wa Tarso

Kastori wa Tarso ni kati ya Wakristo wa Kilikia, leo nchini Uturuki, waliofia dini ya Ukristo huko Tarso. Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Machi.

Wafiadini wa imani sahihi wa Konstantinopoli

Wafiadini wa imani sahihi wa Konstantinopoli walikuwa Wakristo wengi waliofukuzwa au kuteswa kikatili kwa kutetea imani sahihi dhidi ya Patriarki Macedonius, mfuasi wa Ario, aliyeungwa mkono na kaisari Konstans I. Tangu kale wanaheshimiwa na Waka ...

Donino wa Thesalonike

Donino wa Thesalonike alikuwa Mkristo ambaye aliuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya dola la Roma. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 30 Machi.

Prisko, Malko na Aleksanda

Prisko, Malko na Aleksanda walikuwa Wakristo ambao kwa sababu ya imani yao walitupwa kama chakula kwa wanyamapori wakati wa dhuluma ya Kaisari Valerian. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao ...

Sirili wa Eliopoli

Sirili wa Eliopoli alikuwa shemasi ambaye kwa juhudi zake dhidi ya Upagani aliuawa katika dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi. Kwanza aliteswa sana na wahusika walifikia hatua ya kula ini lake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi k ...

Hilarioni Mpya

Hilarioni Mpya alikuwa mmonaki maarufu kwa kutetea heshima kwa picha takatifu dhidi ya kaisari wa Bizanti. Aliongoza monasteri ya Pelecete baada ya jenerali Lakanodraken kuibomoa kwa sababu hiyo. Mwenyewe alifungwa, aliteswa na kupelekwa uhamisho ...

Kareyce Fotso

Fotso alizaliwa Bandjoun akakua katika mji wa Yaoundé. Huko Yaoundé alijifunza kuzungumza Ewondo na mara nyingi hutumbuiza katika lugha hiyo. Fotso alisoma biokemia na filamu shuleni, lakini hatimaye aliendelea kuwa mwimbaji. Fotso aliimba kwenye ...

Klinio

Klinio alikuwa mmonaki kutoka Ugiriki aliyefikia kuwa abati wa monasteri wa Kibasili alipokuja kufariki. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Machi.

Aya Tarek

Aya Tarek ni msanii kutoka jiji la Alexandria nchini Misri. Sanaa zake zimehusiana na sanaa za mitaani au graffiti na upakaji rangi. Japokuwa sanaa za mitaani nchini Misri zilipata umaarufu mkubwa wa kimataifa baada ya mapinduzi ya Misri ya mwaka ...

Sekundo wa Asti

Sekundo wa Asti anakumbukwa kama Mkristo aliyefia imani yake kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Hadrian. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Machi.

Santiago de Compostela

Santiago de Compostela ni mji wa Hispania, makao makuu ya jumuia ya kujitegemea ya Galicia, maarufu kama lengo la Njia ya Santiago kutokana na kanisa kuu la Mtume Yakobo. Kwa ajili hiyo mji umo katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO. Tarehe 1 ...

Bilbao

Bilbao ni mji wa Hispania kaskazini, makao makuu ya jumuia ya kujitegemea ya Nchi ya Kieuskara. Tarehe 1 Januari 2015 wakazi wake walikuwa 345.141, lakini rundiko la mji lina watu 1.037.847.

Muziki wa Wanawake

Muziki wa wanawake ni muziki unaoimbwa na wanawake, kwa ajili ya wanawake, na kuhusu wanawake. Aina hiyo iliibuka kama onyesho la muziki la harakati ya wimbi la wanawake la pili na vilevile kazi, haki za raia, na harakati za amani. Harakati zilia ...

Murcia

Murcia ni mji wa Hispania, makao makuu ya jumuia ya kujitegemea ya Murcia. Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 447.182, ukiwa wa saba nchini kwa wingi wa watu.

Maxine Feldman

Maxine Adele Feldman alikuwa mwimbaji-mwandishi wa nyimbo na mchekeshaji wa Marekani na mwanzilishi wa muziki wa wanawake. Wimbo wa Feldman "Angry Atthis," ulianza kutumbuizwa mnamo Mei 1969 na wa kwanza kurekodiwa mnamo 1972, unachukuliwa kuwa w ...

Cristina Sánchez

Cristina Sánchez de Pablos ni Mhispania mpiganaji wa ngombe ambaye alipata umaarufu miaka ya 1990 kwa kuwa mmoja wa wapiganaji wa ng’ombe wa kwanza mwanamke. Alikuwa mwanamke wa kwanza kumaliza alternativa yake ndani ya Ulaya.

Orodha ya wanawake wapiganaji wa ngombe

Orodha ya wanawake wapiganaji wa ngombe, ni orodha inayotaja wapiganaji wa kike wa ngombe ambao wanashiriki sana, au hapo awali walishiriki, katika kupigana na ngombe. Wanawake katika mapigano ya ngombe wametokana na matoleo ya mapema ya mchezo h ...

Yohane Payne

Yohane Payne alikuwa padri wa Uingereza aliyeuawa kwa ajili ya imani Katoliki wakati wa dhuluma za serikali ya nchi hiyo yenye Ushirika wa Anglikana kama dini rasmi. Mwaka 1574 alijiunga na seminari huko Douai, Ufaransa, na miaka miwili baadaye a ...