ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 154

Jeradi wa Corbie

Jeradi wa Corbie, O.S.B. alikuwa mmonaki padri aliyeanzisha monasteri mbalimbali chini ya kanuni ya Mt. Benedikto. Papa Selestini III alimtangaza mtakatifu tarehe 27 Aprili 1197. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Joyce J. Scott

Joyce J. Scott ni msanii, mchongaji wa sanamu, mfumaji, msanii wa utendaji, mtengenezaji wa magazeti, mhadhiri na mwalimu mwenye asili ya Kiafrika-Mmarekani. Alipewa majina kama McArthur Fellow mnamo 2016, na Smithsonian Visionary Artist mnamo 20 ...

Gaetano Catanoso

Gaetano Catanoso alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha shirika la Masista Maveronika wa Uso Mtakatifu. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 4 Mei 1997 halafu Papa Benedikto XVI alimtangazamtakatifu tarehe 23 Oktoba 2005. Si ...

Katerina Tomas

Katerina Tomas alikuwa mmonaki wa Wakanoni wa Mt. Augustino, maarufu kwa sala na karama zake. Papa Pius VI alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Agosti 1792, halafu Papa Pius XI alimtangaza mtakatifu tarehe 22 Juni 1930. Sikukuu yake huadhimishwa tar ...

Luigi Scrosoppi

Luigi Scrosoppi, C.O. alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa shirika la Masista wa Maongozi wa Mt. Gaetano. Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 4 Oktoba 1981, halafu mtakatifu tarehe 10 Juni 2001. Sikukuu yake ...

Abondi wa Como

Abondi wa Como anakumbukwa kama askofu wa 4 wa Como kuanzia mwaka 448. Askofu Amansi wa Como alimpa upadirisho akamfanya mwandamizi wake. Papa Leo I alimtuma Konstantinopoli kutetea imani sahihi kuhusu Yesu Kristo dhidi ya Nestori na Eutike, hivy ...

Wiliamu wa Eskill

Wiliamu wa Eskill, C.R.S.A. alikuwa padri wa Ufaransa ambaye alijunga na urekebisho wa Wakanoni akatumwa kuueneza huko Denmark, jambo alilofanikisha ingawa kati ya matatizo mengi. Papa Honori III alimtangaza mtakatifu mwaka 1224. Sikukuu yake hua ...

Petro wa Verona

Petro wa Verona, O.P. alikuwa padri wa Italia Kaskazini na mmojawapo kati ya Wadominiko waliofia dini nchini mwake. Wazazi wake walikuwa wafuasi wa Mani, lakini mwenyewe utotoni alijiunga na Kanisa Katoliki halafu ujanani Dominiko Guzman alimpoke ...

Christian Carlassare

Christian Carlassare M.C.C.I. ni askofu Mkatoliki kutoka Italia, kijana kuliko wote wa nchi hiyo. Alipata upadrisho tarehe 4 Septemba 2004. Tarehe 8 Machi 2021 ametangazwa kuwa askofu wa Jimbo la Rumbek.

Yohane wa Napoli

Yohane wa Napoli alikuwa askofu wa 14 wa mji huo, Italia Kusini, rafiki wa Paulino wa Nola. Alifariki wakati wa kesha la Pasaka. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Aprili.

Niseti wa Lyon

Niseti wa Lyon alikuwa askofu mkuu wa mji huo wa Gaul kwa miaka 20 baada ya ndugu ya mzazi wake Sacherdo wa Lyon aliyefariki mwaka 552. Alijulikana kwa upendo wake kwa maskini na kwa uzinguaji wa pepo. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki n ...

Irenei wa Srijem

Irenei wa Srijem alikuwa askofu kijana aliyekatwa kichwa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Maximian. Hakujali mateso yaliyotangulia wala mabembelezo ya wazazi, mke na watoto wake. Ndiyo maana anaheshimiwa tangu zamani na Wakatoli ...

Ferbuta

Ferbuta alikuwa mwanamke Mkristo aliyeuawa pamoja na mjakazi wake kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya mfalme Sabor II kama ilivyomtokea mwaka mmoja kabla kaka yake askofu mkuu Simeoni Bar-Sabbàeé. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Wa ...

Vikta wa Capua

Vikta wa Capua alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 541 akimfuata Jermano wa Capua. Mwenye elimu kubwa, aliandika vitabu mbalimbali kuhusu Biblia na liturujia, lakini zimetufikia sehemu tu. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waortho ...

Wafiadini 120 wa Uajemi

Wafiadini 120 wa Uajemi walikuwa Wakristo, wakiwemo wanaume 111 na wanawake 9, waliouawa kwa kuchomwa hai kwa sababu ya kukataa kumkana Yesu Kristo na kuabudu moto katika dhuluma ya mfalme Sabor II. Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi, Waort ...

Ulpiani wa Turo

Ulpiani wa Turo alikuwa mvulana Mkristo ambaye katika dhuluma ya kaisari Maximian alifungwa ndani ya gunia pamoja na mbwa na nyoka akatoswa baharini. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huad ...

Nada Topčagić

Kazi yake ilianza mwaka 1975, kwa kutoa wimbo wake wa kwanza, "Na Drini ćuprija" Daraja juu ya" Drina”, uliyoandikwa na Obren Pjevović. Alikuwa maarufu sana kipindi cha miaka ya 1980 ingawa bado anasikika mpaka leo. Mwezi mmoja baada ya kuanguka ...

Marie Sara

Marie Sara anajulikana kama mwanamke mpiganaji wa ngombe. Mnamo 1991 alikuwa mwanamke mpiganaji wa ngombe pekee huko Ulaya. Jean-Luc Godard ndiye msimamizi wake. Ni mtoto wa mkurugenzi Antoine Bourseiller na mwigizaji Chantal Darget aliyezaliwa M ...

Irene wa Thesalonike

Irene wa Thesalonike alikuwa bikira Mkristo ambaye aliteswa akauawa kwa kuchomwa moto kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Pengine anatajwa pamoja nao ndugu zake Agape na Kionia waliouawa siku chache kabla yake. Labda ...

Plato wa Konstantinopoli

Plato wa Konstantinopoli alikuwa abati mwanzilishi wa monasteri ya Mlima Olimpo huko Bitinia baada ya kuacha kazi yake katika ikulu na kukataa uaskofu. Alitetea sana heshima ya picha takatifu pamoja na mtoto wa ndugu yake, Theodoro wa Studion wak ...

Agatopodo na Theodulo

Agatopodo na Theodulo walikuwa Mkristo ambao kutokana na imani yao waliuawa kwa kutoswa baharini wamefungiwa jiwe kubwa shingoni wakati wa dhuluma ya dola la Roma. Agatopodo alikuwa shemasi mzee na Theodulo msomaji kijana. Tangu kale wanaheshimiw ...

Theodora wa Turo

Theodora wa Turo alikuwa msichana Mkristo ambaye katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano alijitokea hadharani kupongeza waliokuwa hukumuni kwa sababu ya imani yao. Hivyo yeye pia aliteswa akakatwa kichwa. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Wa ...

Niseta wa Medikion

Niseta wa Medikion alikuwa abati wa monasteri ya Medikion aliyedhulumiwa sana na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tare ...

Apiani wa Kaisarea

Apiani wa Kaisarea alikuwa kijana msomi ambaye aliongokea Ukristo. Katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano alijaribu kuzuia ibada ya Kipagani kwa sababu ya imani yake akachomwa moto na kutoswa baharini. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waor ...

Kresto na Papo

Kresto na Papo walikuwa Wakristo wa Dola la Roma waliouawa kwa ajili ya imani yao. Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Aprili.

Eutikyo wa Konstantinopoli

Eutikyo wa Konstantinopoli alikuwa Patriarki wa mji huo kuanzia mwaka 552 hadi 565 halafu tena kutoka mwaka 577 hadi kifo chake. Katikati alipelekwa uhamisho kwa kutetea imani sahihi. Alisimamia Mtaguso wa pili wa Konstantinopoli 553. Maandishi y ...

Yosefu Mtungatenzi

Yosefu mtungatenzi alikuwa mmonaki padri katika monasteri ya Thesalonike, Ugiriki. Ni maarufu hasa kwa tenzi zake zinazotumika hadi leo hata katika Ukristo wa Magharibi ambazo zimemfanya mmojawapo kati ya watunzi wakuu wa muziki wa Kikristo. Alid ...

Suraiya Khanum

Suraiya Khanum (ikitamkwa pia Surraiya Khanum ; ni mwimbaji mkongwe toka Punjab. Pia anajulikana kwa maonyesho yake yenye kusuza roho na akiimba muziki wa Sufi kwenye Televisheni ya Pakistan na vituo vingine.

Egesipo

Egesipo alikuwa Myahudi aliyeongokea Ukristo akawa mwandishi wa vitabu juu ya historia ya Kanisa na dhidi ya wazushi. Sehemu chache tu zimetufikia. Mwenyeji wa Mashariki ya Kati, aliishi miaka ishirini huko Roma. Tangu kale anaheshimiwa na Wakato ...

Askari wafiadini wa Sinope

Askari wafiadini wa Sinope ni kundi la askari 200 ambao waliongokea Ukristo na kha hiyo waliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Maximinus. Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao inaadhimis ...

Kaliopi

Kaliopi alikuwa kijana Mkristo wa Perge ambaye aliuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma. Inasemekana alisulubiwa kichwa chini miguu juu. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mta ...

Joji wa Mitilene

Joji wa Mitilene alikuwa mmonaki halafu mkaapweke ambaye kwa sifa zake alichaguliwa bado kijana kuwa askofu mkuu wa Mitilene miaka 804-815. Alidhulumiwa na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu. Alipopelekwa uhamishoni a ...

Amansi wa Como

Amansi wa Como anakumbukwa kama askofu wa 3 wa Como alieneza sana Ukristo. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Aprili.

Henri Walpole

Henri Walpole, S.J. alikuwa padri Mjesuiti kutoka Uingereza. Baada ya kushuhudia kifodini cha Edmundi Campion 1581 alishika imani hadi kupewa upadrisho huko Paris, Ufaransa 1588, alijiunga pia na Wajesuiti. Alipokuwa tena Uingereza kufanya utume ...

Erodioni, Asinkrito na Flego

Erodioni, Asinkrito na Flego walikuwa wanaume Wakristo wa karne ya 1 waliotajwa na Mtume Paulo katika Waraka kwa Warumi 16:11, 14. Erodioni alikuwa ndugu wa mtume huyo na inasemekana baadaye alipata kuwa askofu wa Patraso Ugiriki au Tarso Kilikia ...

Vatrude

Vatrude, alikuwa mwanamke aliyeanzisha monasteri na kuiongoza kama abesi. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili.

Libori

Libori alikuwa askofu wa 4 wa mji huo kwa miaka 49 kuanzia mwaka 348. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili.

Akasi wa Amida

Akasi wa Amida alikuwa askofu wa mji huo aliyepata umaarufu kwa kuuza vyombo vya ibada ili kukomboa Waajemi 7.000 waliotekwa na Warumi na kuachwa bila chakula Baadaye hao waliongokea Ukristo naye aliwarudisha kwao. Tendo hilo lilimgusa mtawala wa ...

Eupsiki

Eupsiki alipata kuwa mfiadini wa Kikristo katika dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili.

Denis wa Korintho

Denis wa Korintho alikuwa askofu wa Korintho katika karne ya 2. Mwaka 171 alimuandikia Papa Soter, lakini zimetufikia pia sehemu za barua zake nyingine zinazoonyesha juhudi zake katika utume. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi ...

Filipo wa Gortina

Filipo wa Gortina alikuwa Askofu wa Gortina, katika kisiwa cha Krete ambaye alieneza na kutetea Ukristo hata kwa maandishi. Habari zake tunazipata kutoka kwa mwanahistoria Eusebi wa Kaisarea, kwa Denis wa Korintho na kwa Jeromu. Tangu kale anahes ...

Ugo wa Rouen

Ugo wa Rouen alikuwa askofu wa Rouen, Ufaransa kuanzia mwaka 722. Mtoto wa ukoo wa kifalme, alijiunga na monasteri mwaka 718, na mwishoni mwa maisha yake alirudi huko. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sik ...

Timotheo, Diogeni na wenzao

Timotheo, Diogeni na wenzao Makari na Masimo walikuwa Wakristo waliouawa katika dhuluma ya serikali ya Dola la Roma. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Aprili.

Isaka wa Monteluco

Isaka wa Monteluco anakumbukwa kama mmonaki kutoka Syria aliyeanzisha monasteri karibu na Spoleto. Papa Gregori I alimsifu katika kitabu chake Majadiliano. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhim ...

Makari wa Gent

Makari wa Gent alikuwa Mkristo wa Armenia ya Kale ambaye alidhulumiwa kwa ajili ya imani yake akahamia Ulaya. Inasemekana alikuwa askofu. Aliishi katika monasteri ya Gent mwaka mmoja hadi akafa kwa tauni. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. S ...

Mikaeli wa Watakatifu

Mikaeli wa Watakatifu alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa shirika la Watrinitari, yaani watawa wa Utatu mtakatifu, waliojitoa kabisa kwa ajili ya kukomboa Wakristo waliotekwa utumwani. Alijiunga na urekebisho wa shirika hilo lililofanywa ...

Domnio

Domnio alikuwa askofu wa Salona aliyeuawa kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya Dola la Roma kwa sababu ya imani yake. Inasemekana aliuawa pamoja na Wakristo wengine 7 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki ...

Liberata Mulamula

Liberata Mulamula ni mwanadiplomasia wa Tanzania na tangu Machi 2021 waziri wa mambo ya nje. Tangu mwaka 2015 alihudumia kama katibu mkuu wa wizara hiyo. Aliwahi kuwa balozi wa Tanzania katika Marekani pamoja na Meksiko, aliwakilisha Tanzania pia ...

Katibu Mkuu Kiongozi

Katibu Mkuu Kiongozi ni katibu mkuu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mtendaji mkuu katika utumishi wa umma na katibu wa baraza la mawaziri. Ndiye mshauri mkuu wa rais katika mambo yanayohusiana na nidhamu katika utumishi wa umma.

Historia ya Kuba

Kuba ilikuwa koloni la Hispania kuanzia kufika kwa Kristoforo Kolumbus mwaka 1492 hadi mwaka 1898. Wenyeji asilia walikuwa Waindio lakini wengi wao walikufa haraka kutokana na magonjwa kutoka Ulaya na ukali wa ukoloni wa Wahispania. Baadaye uchum ...