ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 155

Historia ya Nikaragua

Historia ya Nikaragua inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Nikaragua. Nchi ilikuwa koloni la Wahispania tangu mwaka 1524. Mwaka 1821 ilijiunga na ghasia ya maeneo mengine ya Amerika ya Kati dhidi ya utawala wa Hispania. Mwanzoni nchi hizo ...

Historia ya Kosta Rika

Historia ya Kosta Rika inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Kosta Rika. Kabla ya kufika kwa Wahispania katika karne ya 16, nchi ilikaliwa na Waindio wachache. Mwaka 1821 koloni hilo lilijiunga na ghasia ya maeneo mengine ya Amerika ya Kati ...

Historia ya Honduras

Historia ya Honduras inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Honduras. Honduras ilikuwa sehemu ya maeneo ya Wamaya, lakini miji yao ilikwisha tayari, kabla ya kufika kwa Wahispania. Kristoforo Kolombo alifika mwaka 1502 karibu na Trujillo kat ...

Historia ya Panama

Historia ya Panama inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Panama. Baada ya ukoloni wa Hispania Panama ilikuwa sehemu ya kaskazini ya Kolombia. Majaribio mbalimbali ya uasi dhidi ya Kolombia kwa shabaha ya kuwa nchi ya pekee katika karne ya 1 ...

Irini Merkouri

Mnamo Julai 7, 2005, Merkouri aliachia albamu yake ya studio, iliyoitwa "Aneta" Kwa raha. Ilikuwa na nyimbo kutoka kwenye albamu zake zilizopita na pia nyimbo mpya.http: Mwaka 2006 ulileta albamu ya studio ya nne ya Merkouri, iliyoitwa Argises Ul ...

Mwanadiplomasia

Mwanadiplomasia ni mtu aliyeteuliwa rasmi na serikali kuiwakilisha katika nchi nyingine. Taasisi za kimataifa zinazotambuliwa kama vile Umoja wa Mataifa huwa pia na wanadiplomasia.

Mkataba wa Vienna juu ya Mahusiano ya Kidiplomasia

Mkataba wa Vienna juu ya Mahusiano ya Kidiplomasia wa mwaka 1961 ni mkataba wa kimataifa ambao unafafanua mfumo wa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi huru. Inabainisha haki za wanadiplomasia zinazowawezesha kufanya kazi zao bila hofu ya kulazi ...

Ombeni Sefue

Ombeni Yohana Sefue ni mwanadiplomasia wa Tanzania aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tarehe 31 Desemba 2011. Pia aliwahi kuwa mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Mataifa. Kuanzia mwaka 2007 hadi mwaka 2010 alikuwa Balozi wa Tanzania nchin ...

Wikipedia:Uharabu

Uharabu ni kuharibu makala za wikipedia kwa makusudi kwa kuongeza habari za uwongo au kuondoa habari sahihi. Msimamo na uadilifu wa Wikipedia unahatarishwa na matendo ya aina hii. Uharabu ni tofauti na mabadiliko yanayoingiza makosa lakini hayaon ...

Wikipedia:Community Portal

Ukarasa huu ni kwa ajili ya kuwasaidia watu wanaotaka kuboresha kamusi hii. Ukitaka msaada wa kusanifisha makala, angalia hapo. Bado kuna makala kuu ambazo zimeunganishwa na ukarasa wa mwanzo, lakini hazijaandikwa. Ni muhimu tuziandike kwanza kar ...

Wikipedia:Disambiguation Templates

This list is used by various bots to determine the current list of disambiguation templates for this site. This page may have any format, with any explanation text, or translated to the language of the site. Administrators, it is suggested that t ...

Wikipedia:About

Wikipedia ya Kiswahili ni kamusi elezo huru. Tovuti yenyewe ni wiki. Inaandikwa na watu wengi kwa pamoja. Inamaanisha kila mmoja anaweza kubadili yaliyomo katika ukurasa. Hebu bonyeza kitufe cha hariri. Unaweza kufanya hivyo katika kila ukurasa a ...

Allina ndebele

maelezo mafupi | msanii wa Afrika Kusini | Jina = Allina Ndebele | Picha = | alt = | Kichwa = | Jina halisi = Allina Khumalo | Tarehe ya kuzaliwa = 10 Desemba 1939 | Alipozaliwa = Swart Mfolozi | Tarehe ya kifo chake = | Utaifa = South African pe ...

Sabri Brothers

Sabri Brothers ni bendi ya muziki kutoka nchini Pakistan ambayo hutumbuiza Sufi qawwali na wana mahusiano ya karibu na Chishti Order. Wanajulikana kama mabalozi wanaohamia Pakistan. Bendi hiyo ilianzishwa kwa mara ya kwanza na Maqbool Ahmed Sabri ...

Frutuoso wa Braga

Frutuoso wa Braga alikuwa mkaapweke wa Hispania, halafu abati, askofu wa Dumio na hatimaye askofu mkuu wa Braga aliyeanzisha na kuongoza monasteri sehemu mbalimbali na kuzipa kanuni zake. Alizoea kuvaa kifukara kiasi kwamba alidhaniwa ni mtumwa, ...

Ole Romer

Ole Christensen Romer alikuwa mtaalamu wa astronomia kutoka nchini Denmark ambaye mnamo 1676 alifanya vipimo vya kwanza vya Kasi ya nuru. Romer pia alibuni kipimajoto cha kisasa kinachoonyesha halijoto kati ya nukta mbili ambazo ni sehemu ambapo ...

Kanisa la Ungamo

Kanisa la Ungamo lilikuwa harakati ndani ya Uprotestanti wa Ujerumani wakati wa utawala wa Adolf Hitler. Ilipinga juhudi zilizofadhiliwa na serikali ya Wanazi za kuunganisha makanisa yote ya Kiprotestanti kuwa kanisa moja la kushikamana na serika ...

Imamu

Imamu ni istilahi ya Kiarabu yenye maana mbalimbali. Mara nyingi inamtaja kiongozi wa Kiislam, kama kiongozi wa msikiti au wa jamii. Maana ya msingi ni yule anayetoa mwongozo akistahili kufuatwa; kwa maana isiyo ya kidini neno hili linaweza kutaj ...

Berrel Jensen

Berrell Elizabeth Jensen alizaliwa tarehe 22 Machi mwaka 1933. 252015).Anafahamika Sana kwa kazi yake ya shaba ya kuchomea na vyuma vingine, akifanya maonyesho yake ya kwanza mnamo mwaka 1960. Alihama Afrika kusini kwenda ulaya mnamo mwaka 1968, ...

Bakteriolojia

Bakteria waligunduliwa mara ya kwanza na Antonie van Leeuwenhoek mwaka 1676, kwa kutumia hadubini ya lensi moja ya muundo wake mwenyewe. Aliwaita "animalcules" na alichapisha habari za utafiti wake kwenye msururu wa barua kwa Shirika la Muungano ...

Waarya

Arya ni neno ambalo awali lilikuwa linatumika kama jina la kujitaja kwa wasemaji wa lugha za Kihindi-Kiajemi. Ufafanuzi wa kuwa mmoja wa Waarya ulikuwa wa kidini, kitamaduni na kilugha, sio kimbari au kirangi.

Micheline Beauchemin

Beauchemin alizaliwa huko Longueuil, Quebec. Alisoma Montréal’s École des Beaux-Arts na École des Beaux-Arts na Académie de la Grande Chaumière huko Paris, Ufaransa. Mnamo 1953, alishikilia maonyesho ya kwanza ya kazi yake ya glasi huko Chartres, ...

Nontsikelelo Mutiti

Kigezo:Infobox artist Nontsikelelo Mutiti ni mbunifu wa picha na mkufunzi wa Zimbabwe. Kazi yake imejikita kwenye kutengeneza tovuti, video, kuchapisha picha na kuandika vitabu. Mara nyingi hujihusisha na Matangazo ya Nywele katika Ubunifu wake, ...

Wanawake katika uchakataji pombe

Wanawake wamekuwa wakifanya kazi ya utengenezaji wa pombe tangu zamani. Ingawa jamii za Magharibi zimeona utengenezaji wa pombe kama uwanja unaotawaliwa na wanaume kwa miaka 150 iliyopita, kwa kawaida, ilikuwa inashughulikiwa na wanawake. Uchungu ...

Sethembile Msezane

Sethembile Msezane ni msanii, mshereheshaji na muongeaji wa Afrika ya Kusini anayetambulika zaidi kutokana na kazi za sanaa. Msezane anatumia ujuzi wake katika fani mbalimbali inayojumuisha upigaji picha, filamu, uchongaji sanamu na uchoraji kuwe ...

Dietrich Bonhoeffer

Dietrich Bonhoeffer alikuwa mchungaji wa Kilutheri, mwanatheolojia na mpinzani wa ufashisti, na mwanzilishi mmojawapo wa "Kanisa la Ungamo" nchini Ujerumani. Maandiko yake juu ya jukumu la Ukristo katika ulimwengu wa kisasa yamekuwa na ushawishi ...

Nusrat Fateh Ali Khan

Nusrat Fateh Ali Khan alizaliwa Pervez Fateh Ali Khan ; 13 Oktoba 1948 - 16 Agosti 1997 alikuwa mtunzi wa sauti, mwanamuziki, mtunzi na mwongozaji wa muziki wa nchini Pakistan, haswa mwimbaji wa qawwali, aina ya muziki wa ibada ya Sufi. Anachukul ...

Harriet Powers

Harriet Powers alikuwa msanii wa kitamaduni na mfumaji wa Marekani. Alitumia mbinu za matumizi ya jadi kurekodi hadithi za kienyeji, hadithi za Bibilia, na hafla za angani kwenye safu zake. Ni mifumo yake miwili tu ndo inajulikana survived: Bible ...

Tanzania Safari Channel

Tanzania Safari Channel ni chaneli ya runinga nchini Tanzania iliyo chini ya Televisheni ya Taifa ya Tanzania iliyoanzishwa kwa malengo ya kutangaza utalii nchini Tanzania. Tanzania Safari ilizinduliwa tarehe 15 Disemba 2018 na waziri mkuu wa Tan ...

Bette Ford

Bette Ford ni mwigizaji na mwanamitindo wa Marekani aliyegeuka kuwa mpiganaji wa ngombe. Alikuwa mwanamke wa kwanza wa Marekani kupigana kwa miguu katika Plaza México, uwanja mkubwa zaidi wa mapigano ya ngombe.

La Llorona

La Llorona katika ngano za Amerika Kusini, ni mzuka ambaye huzurura maeneo ya pembezoni mwa maji akiomboleza watoto wake waliozama. Hadithi hiyo ina maelezo na matoleo anuwai. Katika toleo la kawaida la hadithi hiyo, mwanamke mzuri anayeitwa Mari ...

Frog coffin

Frog Coffin ni mazishi ya vyura katika majeneza madogo nchini Ufini kwa madhumuni ya uchawi wa watu. Jeneza hizi zinajulikana kutokana na vitu vilivyopatikana kwenye makanisa, na pia kutoka kwa marejeleo ya matumizi yao katika uchawi wa watu kati ...

Frances Goodman

Frances Goodman ni mwanamke msanii wa Afrika Kusini ambaye kwa sasa anaishi Johannesburg. Kazi zake zinatumia sana misumari ya akriliki na vifaa visivyofunuliwa na "anavutiwa sana na uhusiano kati ya uke, gharama na maigizo"

Kebedech Tekleab

Kebedech Tekleab ni mchoraji, mchongaji wa sanamu na mshairi kutoka Ethiopia. Tekleab alihudhuria shule ya sanaa iliyopo Addis Ababa alishiriki kwenye mapinduzi ya mwishoni mwa miaka ya 1970. Alikimbia Ethiopia, alishiriki kwenye vita ya nchi na ...

Myfanwy Bekker

Myfanwy Bekker-Balajadia ni msanii na mwalimu wa sanaa wa Afrika Kusini. Kazi yake inaonyeshwa kwenye nyumba za sanaa na nyumba za maonyesho ulimwenguni. Yeye hukusanywa na vyombo vya kibinafsi na vya ushirika, na anaendelea katika tume za kibina ...

Yosefu Moscati

Yosefu Moscati alikuwa daktari na mwanabiolojia wa Italia Kusini. Pamoja na kutibu wagonjwa kwa huruma na hata bure, pengine aliwaponya kimuujiza; pia alikuwa mtafiti wa biokemia na kufundisha chuo kikuu. Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI ...

Abondi wa Roma

Abondi wa Roma alikuwa akifanya kazi kwa unyenyekevu na uaminifu katika Basilika la Mt. Petro. Papa Gregori I alisimulia habari na sifa zake katika kitabu Majadiliano. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu ...

Robati wa Chaise-Dieu

Robati wa Chaise-Dieu alikuwa mmonaki padri, maarufu kama mwanzilishi wa monasteri ya La Chaise Dieu wa shirika la Benedikto wa Nursia na kwa juhudi zake kwa ajili ya fukara. Alitangazwa na Papa Klementi VI kuwa mtakatifu tarehe 19 Septemba 1531. ...

Saba Reyes

Saba Reyes alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake ...

Robati wa Molesme

Robati wa Molesme alikuwa mmonaki, padri, abati na hatimaye mwanzilishi wa urekebisho wa Citeaux wa shirika la Benedikto wa Nursia. Alitangazwa na Papa Honori III kuwa mtakatifu mwaka 1222. Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 17 Aprili.

Daudi Uribe

Daudi Uribe alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero huku akisamehe wote. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 20 ...

Teresa wa Yesu wa Los Andes

Teresa wa Yesu, O.C.D. ni jina la kitawa la Juana Fernandez Solar, bikira wa Wakarmeli Peku. Akifuata njia ya udogo iliyoelekezwa na somo wake, Teresa wa Mtoto Yesu, alipiga hatua kubwa kwa muda mfupi. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri ...

Inosenti wa Tortona

Inosenti wa Tortona anakumbukwa kama askofu wa mji huo. Ujanani alidhulumiwa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano 303. Mwaka 313 alihamia Roma alipofanywa na Papa Silvesta I kuwa shemasi na hatimaye askofu wa mji w ...

Turibi wa Astorga

Turibi wa Astorga alikuwa kwanza mkaapweke, halafu askofu wa mji huo ambaye alipambana na uzushi wa Waprisiliani, Wamani, Waario, Wapelaji pia kwa agizo la Papa Leo I ambaye barua aliyomuandikia imetufikia. Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki ...

Jimbo Kuu la Milano

Jimbo Kuu la Milano ni mojawapo kati ya majimbo ya Kanisa Katoliki nchini Italia. Ndani ya Kanisa la Kilatini kwa sehemu kubwa linafuata mapokeo maalumu yaliyopata nguvu kwa Ambrosi. Kikanisa lina majimbo ya Bergamo, Brescia, Como, Crema, Cremona ...

Jimbo Katoliki la Crema

Jimbo Katoliki la Crema ni mojawapo kati ya majimbo 223 ya Kanisa Katoliki nchini Italia na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Crema iko katika wilaya ya Cremona kwenye mkoa wa Lombardia. Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Milano. Asko ...

Damiano wa Pavia

Damiano wa Pavia anakumbukwa kama askofu wa 18 wa mji huo wa Italia Kaskazini kuanzia mwaka 680 hivi hadi kifo chake. Mwaka 679, akiwa bado padri wa Jimbo Kuu la Milano aliandika kwa niaba ya askofu Mansueti wa Milano barua kwa kaisari Konstantin ...

Pantagati

Pantagati wa Vienne alikuwa askofu wa mji huo wa Burgundy. Aliacha majukumu ikulu asomee upadri. Baada ya mwaka 536 alifanywa askofu akashiriki mtaguso wa Orleans wa mwaka 538. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tar ...

Orso wa Ravenna

Orso wa Ravenna alikuwa askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini kwa miaka 26. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Aprili.

Lamberti wa Lyon

Lamberti wa Lyon alikuwa askofu mkuu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, tangu mwaka 678. Kabla ya hapo alikuwa mmonaki na hatimaye abati wa Fontenelle. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa ...