ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 157

Rose Zwi

Rose Zwi alikuwa mwandishi wa Australia aliyejulikana zaidi kwa kazi yake kuhusu wahamiaji nchini Afrika Kusini. Alizaliwa Oaxaca, Mexico, kwa wakimbizi wa Kiyahudi kutoka Lithuania, na familia yake ilihamia Afrika Kusini wakati alikuwa msichana ...

Saieen Zahoor

Saieen Zahoor Ahmed au Ali Saain Shafiu ni mwanamuziki wa Sufi anayeongoza nchini Pakistan. Ametumia sehemu kubwa ya maisha yake akiimba katika makaburi ya Sufi, na hakutoa rekodi hadi 2006, wakati alipoteuliwa kwa tuzo za muziki za BBC World Mus ...

Noor Bano (Mwimbaji)

Noor Bano alikuwa mwimbaji kutoka Singh, Pakistan. Kwa sababu ya sauti yake nzuri na tamu, alikuwa maarufu mahali pote Sindh, hasa Singh vijijini.

Wikipedia:Kuonyesha vyanzo

Mfano: Dokta Fredrick alikuwa akiogopa kufukuzwa kazi kwa kufuatia ukweli aliouficha juu ya kumcheka mwuguzi Sarah. Kiungo cha "onyesha chanzo" iliwekwa kwa sababu kuna mtu amejisikia kuweka maelezo haya ya kuonyesha vyanzo juu ya maelezo yaliyoa ...

Wikipedia:Ubalozi

Content translation has been successful in supporting the translation process on many Wikipedia communities, and we want to help additional wikis with potential to grow using translation as part of a new initiative. Content translation facilitate ...

Wikipedia:Asian Month

Asia Month is about writing Asia. If you are writing five or more pages about Asia, Special design letter will send to you. Why dont you join us? If you are interested, please sign this page. If you want to be local organizer, please sign below. ...

Wikipedia:Makala ya wiki

Maelezo Ukitaka kupeleka makala hapa katika makala hii kopi Kigezo:Makala ya wiki Andika jina la makala uliyotunga hapa badala ya jina la nyingine. Usiongeze idadi kwa jumla! B) tunga hitimisho fupi ya makala hii si zaidi ya alama 1100 na kuihifa ...

Wikipedia:Makala ya wiki/Virusi

Virusi ni chembe ndogo sana iliyoundwa na maada jenetiki, kama ADN au ARN, katika koti la proteini. Vinaweza kusababisha magonjwa.

Wikipedia:Anthony Cruz (AZ)

Anthony Cruz ni mwanamuziki wa Marekani anayetokea Brooklyn mjini New York. Anafahamika kwa kuwa amekuwa mtu wa karibu na mwanamuziki Nas kwa kipindi kirefu na pia kuwa miongoni wa wanamuziki katika kikundi cha The Firm akiwa pamoja na Nas Foxy B ...

Wikipedia:Hakimiliki

Hii ni makala en:Wikipedia:Copyrights kutoka Wikipedia ya Kiingereza kuhusu hatimiliki. Ingekuwa bora kutafsiri makala hii katika lugha ya Kiswahili. The license Wikipedia uses grants free access to our content in the same sense as free software ...

Community Volunteer Service

Community Volunteer Service Tanzania asasi isiyo ya Kiserikali lililoanzishwa mkoani Tanga mwaka 2009 kwa ajili ya kuwawezesha vijana na jamii katika masuala ya Afya na afya ya uzazi kwa vijana waliopo mashuleni na wale walio nje ya mfumo wa shule.

Mkunde Chachage

Mkunde Chachage ni mhadhiri na mtafiti wa kinga-mwili katika Chuo Shirikishi cha Afya na Sayansi za Afya cha Mbeya kilichopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Chachage pia ni mtafiti katika Taasisi ya Kitaifa ya Utafiti wa Tiba katika kituo ...

Marselino wa Embrun

Marselino wa Embrun alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo kuanzia mwaka 354. Mzaliwa wa Afrika Kaskazini, alikwenda Roma mwaka 313 kushiriki sinodi dhidi ya Wadonati akatumwa na Papa Miltiades huko Ufaransa alipoinjilisha sehemu mbalimbali hadi Ita ...

Vinsenti wa Digne

Vinsenti wa Digne alikuwa askofu wa pili wa mji huo baada ya mwenzake Domnini kuanzia mwaka 380. Mzaliwa wa Afrika Kaskazini, tena Mberberi, alikwenda Roma mwaka 313 kushiriki sinodi dhidi ya Wadonati akatumwa na Papa Miltiades huko Ufaransa alip ...

Domnini wa Digne

Domnini wa Digne alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo kuanzia mwaka 364 na wa mji wa Vienne. Mzaliwa wa Afrika Kaskazini, alikwenda Roma mwaka 313 kushiriki sinodi dhidi ya Wadonati akatumwa na Papa Miltiades huko Ufaransa alipoinjilisha sehemu mb ...

Tala (goddess)

Tala, kutokana na mungu wa Kihindu Tara, ni jina la mungu wa kike ambaye ni nyota ya asubuhi na jioni katika hadithi za Kitagalogi. Asili yake inategemea kulingana na mkoa. ambapo kuna Golden Tara, sanamu ya dhahabu ya Majapahit.Mnamo mwaka 1918 ...

Acaste

Cerceis ni mzuri kwa muonekano na mwenye macho laini, Eudora, Tyche, Amphirho, Ocyrrhoe, Styx ambaye ndiye mkuu wa wote. Hawa ndio binti wakubwa waliotokea Oceanus na Tethys; lakini inasemekana kuna mengi zaidi ya hayo.

Jo-Anne Richards

Jo-Anne Richards alikulia Port Elizabeth, Afrika Kusini, na alisomea katika shule ya upili ya Wasichana ya Collegiate. Vitabu vyake vya kwanza ambavyo alisoma vilikuwa "The Boy Next Door" na "The Island of Adventure". Alihitimu kutoka Chuo Kikuu ...

AK-47

Bunduki ya Kalashnikov au AK-47 ni aina ya bunduki inayofuata muundo uliobuniwa na mvumbuzi Mikhail Kalashnikov kutoka nchini Urusi. Kuna matoleo tofauti ya bunduki hizo. Hapo awali zilitengenezwa katika Umoja wa Kisovyeti, lakini bunduki hizo na ...

Siti Nurhaliza I

Siti Nurhaliza ni albamu ya kwanza ya mwimbaji Siti Nurhaliza kutoka Malaysia ambayo ilitolewa mnamo 1996. Albamu hiyo ni ya kwanza kwake baada ya kushinda shindano la kuimba la RTM, Bintang HMI 1995, ambapo alirekodi mnamo 1996. Albamu imepewa j ...

Harriet ward

Harriet Ward, alikuwa mwandishi wa Uingereza ambaye kazi yake wakati mwingine hufikiriwa kama fasihi za Afrika Kusini. Aliishi kwenye Koloni ya Rasi kwa miaka michache na vitabu vyake alivyoandika akiwa huko vilikuwa Five Years in Kaffirland na J ...

Rosa Hope

Rosa Somerville Hope alikuwa mchoraji Mwingereza ambaye alitembelea Afrika Kusini mwaka 1935 akaendelea kuishi huko.

Umoja wa Kilatini

Umoja wa Kilatini ni shirika la kimataifa linalounganisha nchi mbalimbali zinazotumia rasmi lugha za Kirumi. Umoja huo ulianzishwa mnamo mwaka 1954 kama mkataba wa kimataifa na tangu mwaka 1983 ulikuwa taasisi halisi yenye ofisi mjini Paris. Ofis ...

Mary Sadler

Mary Sadler alizaliwa mnamo 2 Mei 1941 nchini Uholanzi na kuhama pamoja na wazazi wake na kwenda Afrika Kusini akiwa bado mtoto. Alikulia Upington katika Mto Orange, mpangilio wa riwaya yake ya kihistoria, "Mchanga". Hivi sasa anafanya kazi kweny ...

Jenefer Shute

Jenefer Shute ni mwandishi wa riwaya nne ambazo ni: Life-Size |Life-Size, Sex Crimes, Free Fall na User I.D. Pia ameandika Harpers Magazine|Harpers, The Nation, salon.com, The Guardian, Tikkun |Tikkun, the Boston Review, and Modern Fiction Studies.

Sekondini wa Kordoba

Sekondini wa Kordoba alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa sababu ya imani yake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Aprili.

Tofu

Tofu ni chakula kilichotengenezwa kutoka kwa magandi ya maharagwe ya soya. Tofu hutengenezwa kwa kugandisha maziwa ya soya, na kisha kushinikiza magandi yanavyotokea kuwa imara zaidi. Utengenezaji wa tofu kutoka kwa maziwa ya soya unafanana na mb ...

Sulpisi na Servisyani

Sulpisi na Servisyani ni Wakristo waliouawa mjini Roma kutokana na dhuluma ya serikali ya Dola la Roma. Tang kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 20 Aprili.

Ageleia

Ageleia au Ageleis alikuwa ni kama "epithet" ambapo bila ufafanuzi kwa kiasi fulani huonekana penye giza, wengi wao wakiwa na mtindo wa kucheza wenye maana ya Kigiriki kama maneno ya liyopita yenye maana ya kitenzi cha "kuongoza" au "kufanya", ik ...

Aphrodite of the Gardens

Aphrodite wa Bustani Ni "epithet" ya Kigiriki yaani "Aphrodite". Hii inaelezea zaidi ufadhili wake juu ya mimea na bustani. Kutokana na "Pausanias" kulikuwa na hekalu la "Aphrodite" katika bustani ya Acropolis ya Athens.Inasemekana ibada ya sanam ...

Siti Nurhaliza

Siti Nurhaliza binti Tarudin ni mwanamke mwimbaji, mwandishi wa nyimbo, mwigizaji na mfanyabiashara kutoka Malaysia mwenye zaidi ya tuzo 300 za kitaifa na kimataifa. Alifanya wimbo wake wa kwanza baada ya kushinda onyesho la ndani la mashindano y ...

Musarrat Nazir

Musarrat Nazir Khawaja ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka nchini Pakistan na nchini Kanada, aliyeigiza filamu nyingi za Kiurdu na Kipanjabi. Miaka mingi baadaye, aliimba pia akiwa mwenyewe, haswa nyimbo za harusi na za kitamaduni.

Fatoumata Kébé

Fatoumata Kébé ni mtaalamu wa astrofizikia kutoka nchini Ufaransa. Yeye ni mtaalamu hasa wa takataka ya anga-nje. Jarida la Vanity Fair alimtaja kuwa mmoja wa Wafaransa wenye ushawishi mkubwa duniani kwenye mwaka 2018.

Tufail Niazi

Tufail Niazi alikuwa mwimbaji wa nchini Pakistani ambaye nyimbo zake ni pamoja na "Saada Chirryan Da Chamba Ae," "Akhiyaan Lagiyaan Jawaab Na Daindian," "Layee Beqadran Naal Yaari, Tay Tut Gai Tarak Karkey "na" Mein Nai Jana Kheriyan De Naal." Al ...

Apoloni wa Roma

Apoloni wa Roma alikuwa mwanafalsafa wa ukoo maarufu ambaye alitetea Ukristo hata kwa maandishi na kwa sababu hiyo aliuawa katika dhuluma ya kaisari Commodus. Habari zake tumezipata kutoka kwa mwanahistoria Eusebi wa Kaisarea, Jeromu na wengineo. ...

Anyesi wa Montepulciano

Anyesi wa Montepulciano alikuwa bikira mwenye vipaji na karama za pekee kiasi kwamba alichaguliwa kuwa abesi akiwa na umri wa miaka 20 tu katika monasteri mpya ya Kifransisko. Baadaye mwenyewe aliihamishia familia ya kiroho iliyoanzishwa na Domin ...

Anastasi II wa Antiokia

Anastasi II wa Antiokia alikuwa askofu mkuu wa Antiokia kuanzia mwaka 599 hadi kifodini chake kinachosemekana kilichotokea kwa mikono ya Wayahudi waliokataa kulazimishwa na kaisari Fokas kuingia Ukristo. Kabla ya hapo aliwasiliana mapema na Papa ...

Mariano wa Auxerre

Mariano wa Auxerre alikuwa mmonaki katika Gallia. Ingawa alikuwa na maendeleo mazuri katika maisha ya kiroho, abati wake, Mamertini wa Auxerre, alimpeleka kuishi shambani kuchunga mifugo, jambo ambalo Mariano alilifanya kwa moyo wote. Tangu kale ...

Theodoro Trikinas

Theodoro Trikinas alikuwa mmonaki kutoka Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, katika karne ya 5. Aliishi katika monasteri ya Kalsedonia akijulikana kwa kuvaa kanzu moja tu za singa ndefu ndiyo asili ya jina lake la pili na kwa miujiza yake. Tangu ...

Romano Adame

Romano Adame alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipoteswa na hatimaye kuuawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2 ...

Maryahb

Maryahb ni kati ya Wakristo elfu kadhaa, waliouawa kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya mfalme Sabor II. Maryahb alikuwa padri korepiskopo. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiad ...

Epipodi

Epipodi alikuwa kijana Mkristo aliyekatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Marcus Aurelius dhidi ya Ukristo iliyosababisha mauaji makubwa katika mji huo. Siku mbili baadaye rafiki yake mkuu, Aleksanda wa Lyon, alisulubiwa kwa ajili ya imani. Tang ...

Leo wa Sens

Leo wa Sens alikuwa askofu wa 16 wa Sens, Ufaransa kuanzia mwaka 530 hivi. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Aprili.

Wilna Adriaanse

Wilna Adriaanse ni mwandishi wa hadithi za kimapenzi. Kitabu chake cha kwanza kinaitwa, Die wingerd sal weer bot kilichapishwa mnamo mwaka 2000 chini ya jina Wilmine Burger. Kitabu chake, n Heildronk op liefde, kilishinda mwaka 2003 Lapa Publishe ...

Audrey Blignault

Binti wa mama kutokea Ireland na baba Mwafrikana ambaye alikuwa meya wa jiji, Audrey Bettie Swart alizaliwa huko Bredasdorp. Alisomea fasihi ya Kiafrikana katika chuo cha Stellenbosch na kupata shahada ya uzamili katika sanaa ya lugha za Afrikana ...

Ingrid Andersen

Andersen aliishi Johannesburg muda mwingi wa maisha yake, alifanya kazi huko Grahamstown, Eastern Cape kwa miaka mitano na kuhamia katikati ya KwaZulu-Natal mnamo mwaka 2007. Alifanya kazi kama mtangazaji wa michezo ya ukumbini miaka ya 1980, sik ...

Gabeba Baderoon

Gabeba Baderoon ni mshairi na msomi wa Afrika Kusini. Ndiye mpokeaji wa Tuzo ya Daimler Chrysler ya mwaka 2005 kwa Mashairi ya Afrika Kusini. Anaishi na kufanya kazi Cape Town, Afrika Kusini, na Pennsylvania, Marekani, na anahudumu kama Profesa M ...

Judy Croome

Judy Croome ni mwandishi wa riwaya, hadithi fupi, na mashairi wa Afrika Kusini, ambaye alizaliwa Zvishavane, Rhodesia Kusini. Alipokea Shahada ya Uzamili ya Sanaa kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Kusini. Hivi sasa anaishi Johannesburg. Croome alikuwa ...

Jani Allan

Jani Allan ni mwanahabari, mwandishi na mtangazaji wa Afrika Kusini. Alikuwa miongoni mwa watu mashuhuri wa kwanza kwenye vyombo vya habari kwenye miaka ya 1980 na miaka ya 1990. Mnamo 1980, Allan alikuwa mwandishi wa safu wa gazeti la Sunday Tim ...

Hazel Crane

Hazel Crane alikuwa mashuhuri katika itikadi ya Ujamaa, mfanyabiashara na mtunzaji kumbukumbu za watu waliofariki kutokea Afrika Kusini. Aliuawa karibu na jumba lake la kifahari kaskazini mwa jiji la Johannesburg mtaa wa Abbotsford, mtaa huohuo a ...