ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 16

John Quincy Adams

John Quincy Adams alikuwa Rais wa sita wa Marekani kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1829. Alikuwa mwana wa John Adams, Rais wa pili. Kaimu Rais wake alikuwa John C. Calhoun.

Adnan Menderes

Adnan Menderes alikuwa mwanasiasa wa Uturuki. Alikuwa Waziri Mkuu wa Uturuki kati ya miaka 1950 na 1960. Alikuwa mmoja wa waanzilishi wa Chama cha Democrat DP mnamo 1946, chama cha nne kisheria cha upinzani cha Uturuki. Alihukumiwa na kunyongwa c ...

Spiro Agnew

Spiro Theodore Agnew alikuwa mwanasiasa wa Marekani. Kuanzia mwaka wa 1967 hadi 1969 alikuwa gavana wa jimbo la Maryland. Halafu alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Richard Nixon kuanzia mwaka wa 1969 hadi 1973. Alishtakiwa na kugunduliw ...

Agostinho Neto

António Agostinho Neto alikuwa mwanasiasa na mshairi wa Angola. Alihudumu kama Rais wa kwanza wa Angola 1975-1979, akiwa aliongoza harakati maarufu ya Ukombozi wa Angola MPLA kwenye vita vya uhuru 1961-1974. Hadi kifo chake, aliongoza MPLA kwenye ...

Louis Althusser

Louis Pierre Althusser alikuwa mwanafalsafa wa itikadi za Kisoshalisti za Karl Marx kutoka nchi ya Ufaransa. Alizaliwa nchini Algeria na kusoma katika chuo cha École Normale Supérieure kilichopo katika jiji la Paris lililopo nchini Ufaransa, amba ...

Idi Amin

Idi Amin Dada alikuwa mwanasiasa na afisa wa jeshi ambaye alipata kuwa Rais wa Uganda kuanzia mwaka 1971 hadi 1979. Alitawala kidikteta ilhali uchumi wa nchi uliporomoka na makosa mengi ya jinai dhidi ya haki za kibinadamu yalitendwa. Idadi ya wa ...

Andrianampoinimerina

Andrianampoinimerina alikuwa muasisi wa ufalme wa Merina ambaye alipata madaraka yake na kuimarisha nafasi yake katika uwanda wa juu wa kati wa kisiwa cha Madagaska katika karne ya 19. Mwaka 1875, Andrianampoinimerina alijipa madaraka ya kuwa mfa ...

António de Oliveira Salazar

António de Oliveira Salazar alikuwa kiongozi wa Ureno aliyetumikia kama Waziri Mkuu tangu mwaka 1932 hadi 1968. Alikuwa na jukumu la serikali ya mamlaka ya serikali ya Estado Novo. hadi 1974. Mchumi, Salazar aliingia maisha ya umma kwa msaada wa ...

George Moseti Anyona

George Moseti Anyona alikuwa mwanasiasa wa Kenya. Alikuwa mbunge akiwakilisha Eneo Bunge la Kitutu Masaba. Anajulikana kwa ujasiri wake wa kutetea mfumo wa vyama vingi nchini wakati kulikuwa na chama kimoja tu, KANU

Corazon Aquino

María Corazón Sumulong Cojuangco-Aquino anafahamika zaidi kwa jina la Cory Aquino, alikuwa Rais wa 11 kwa nchi ya Ufilipino, ambaye alitumikia taifa hilo tangu mwaka wa 1986 hadi 1992. Aquino, ndiyo mwanamke wa kwanza kuwa Rais kwa nchi ya Ufilip ...

Zilda Arns

Zilda Arns Neumann alikuwa daktari wa watoto na mfanyakazi wa misaada kutoka nchi ya Brazil. Pia alikuwa mwanzilishi wa shirika la Pastoral da Criança. Yeye alikufa baada ya tetemeko la ardhi nchini Haiti.

Chester Arthur

Chester Alan Arthur alikuwa Rais wa 21 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1881 hadi 1885. Alianza kama Kaimu Rais wa James Garfield na kumfuata alipofariki.

Augusto Pinochet

Augusto José Ramón Pinochet Ugarte alikuwa mkuu wa Chile, mwanasiasa na dikteta ambaye alitawala Chile kutoka mwaka 1973 hadi 1990, kwanza kama Rais wa Jeshi la Kijeshi la Chile kutoka 1973 hadi 1981, kabla ya kutangazwa moja kwa moja kama Rais w ...

Nnamdi Azikiwe

Benjamin Nnamdi Azikiwe alikuwa mwanzilishi wa nadharia ya siasa ya utaifa wa Nigeria na pia rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia wa Nigeria ya leo. Alishirikilia nafasi kama mwanajamhuri wa kwanza wa Nigeria. Azikiwe alifafanua siasa ya "Uzik ...

Alben Barkley

Alben William Barkley alikuwa mwanasiasa wa Marekani. Kuanzia mwaka wa 1927 hadi 1949 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Kentucky. Halafu alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Harry S. Truman kuanzia mwaka wa 1949 h ...

Edmund Barton

Sir Edmund Barton alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia. Yeye ndiye alichukua sehemu kubwa ya kuijenga na kuuiboresha Australia ya leo. Wakati wa uongozi wake katika serikali hiyo, ilipitisha sheria ya mtu asiye mweupe kuingia nchini humo na ...

Albert Beveridge

Albert Jeremiah Beveridge alikuwa mwanasiasa na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1920, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa wasifu yake ya John Marshall.

Benazir Bhutto

Benazir Bhutto alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Pakistan. Alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa na kuongoza nchi ya Kiislamu. Pia alishawahi kuchaguliwa kuwa kama Waziri Mkuu wa Pakistani mara mbili kuanzia 1988 hadi 1990 na 1993 hadi 1996. Alik ...

Bibi Titi Mohammed

Bibi Titi Mohammed alikuwa mmoja wa wanawake wa kwanza mzalendo kushika nafasi za ubunge na uwaziri nchini Tanzania. Pia alikuwa kati ya wanawake wa kwanza kujiunga na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Mwaka 1969 Bibi Titi Mohammed alika ...

Steve Biko

Steve Bantu Biko alikuwa akifahamika kama mwanaharakati anayepiga vita dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, mnamo miaka ya 1960 na 1970. Biko alikuwa kiongozi wa wanafunzi, baadae akaanzisha vuguvugu la Black Consciouness Movement Hara ...

Bingu wa Mutharika

Bingu wa Mutharika alikuwa mwanasiasa wa uchumi na mchumi wa Malawi ambaye alikuwa Rais wa Malawi kuanzia Mei 2004 hadi kifo chake mnamo Aprili 2012. Alikuwa pia Rais wa Chama cha Demokrasia ya Watu, ambacho alikianzisha mnamo Februari 2005; kili ...

Simon Bolivar

Simon Bolivar alikuwa mwanasiasa na mwanajeshi katika Amerika ya Kusini aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania. Nchi mbalimbali humkumbuka kama baba wa taifa lao. Kama jemadari alishinda jeshi la Hispania kati ya miaka 1810 na 1820. B ...

Per Borten

Per Borten alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei kuanzia 12 Oktoba 1965 hadi 16 Machi 1971.

Mohamed Boudiaf

Mohamed Boudiaf alikuwa Rais wa nchi ya Algeria kuanzia 11 Januari 1992, hadi siku ya kifo chake alipouawa. Alifuatwa na Ali Kafi.

Janet Bragg

Janet Harmon Waterford Bragg alikuwa rubani anayeruka ndege. Alikuwa pia Mmarekani mweusi wa kike wa kwanza ambaye alikuwa na leseni ya rubani.

Willy Brandt

Willy Brandt alizaliwa na jina la Herbert Ernst Karl Frahm mjini Lübeck, Ujerumani. Alikuwa Chansela wa Ujerumani kuanzia 1969 hadi 1974. Alikuwa kiongozi wa chama cha Chama cha Kijamii-Demokrasia cha Ujerumani miaka 1964 – 1987. Mwaka wa 1971 al ...

Trygve Bratteli

Trygve Bratteli alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei mara mbili, yaani 17 Machi 1971 hadi 17 Oktoba 1972, na 12 Oktoba 1973 hadi 15 Januari 1976.

John Breckinridge

John Cabell Breckinridge alikuwa mwanasheria, mwanajeshi na mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia. Alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais James Buchanan kuanzia mwaka wa 1857 hadi 1861. Baada ya ushindi wa Abraha ...

James Buchanan

James Buchanan alikuwa Rais wa 15 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1857 hadi 1861. Kaimu Rais wake alikuwa John Breckinridge.

George H. Bush

George Herbert Walker Bush alikuwa Rais wa 41 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1989 hadi 1993. Kaimu Rais wake alikuwa Dan Quayle. Akijulikana kama George Bush aliwahi kuwa mbunge, balozi wa Marekani, mkuu wa mamlaka ya upelelezi CIA na makamu wa rai ...

John C. Calhoun

John Caldwell Calhoun alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais John Quincy Adams, halafu chini ya Rais Andrew Jackson kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1832 alipojiuzulu. Mwaka wa 1844 aligombea urais yeye mwenyewe lakini akashindwa na James Polk.

Canaan Banana

Canada Sodindo Banana alikuwa mchungaji wa Wamethodisti wa Zimbabwe, mwanatheolojia na mwanasiasa. Alikuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe kutoka 1980 hadi 1987. Mnamo 10 Novemba 2003, Banana alikufa kwa saratani, huko London akiwa na umri wa miaka 67.

Celâl Bayar

Mahmut Celâl Bayar alikuwa mwanasiasa wa Uturuki, ambaye alikuwa Rais wa tatu wa Uturuki kutoka mwaka 1950 hadi 1960; hapo awali alikuwa Waziri Mkuu wa Uturuki kutoka mwaka 1937 hadi 1939. Bayar, kama Rais wa Uturuki, alipambwa na Jeshi la Heshim ...

Chang Myon

Chang Myon alikuwa zamani mwanadiplomasia, Waziri mkuu, Makamu wa rais wa nchi ya Korea Kusini. Chang Myon alikuwa Waziri mkuu 1950 hadi 1952, 1960 hadi 1961 na Makamu wa rais na aliyekuja kupokelewa na Ham Tae-young kuanzia mwaka wa 1956 hadi 19 ...

Charles I wa Uingereza

Charles I alikuwa mfalme wa Uingereza, Uskoti na Ireland kuanzia tarehe 27 Machi 1625 hadi alipouawa. Alishindana na bunge lililotaka kupunguza mamlaka yake, ambayo mwenyewe alifikiri alipewa na Mungu na anaweza kuitumia kadiri ya dhamiri yake. A ...

Chiang Kai-shek

Chiang Kai-shek alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa nchini China. Aliongoza nchi kati ya 1927 na 1949 aliposhindwa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ya China. Alizaliwa 31 Oktoba 1887 karibu na Shanghai akajiunga na chama cha Kuomintang. Baada ya k ...

Amina Chifupa

. Amina Chifupa Mpakanjia alizaliwa tarehe 20 Mei, mwaka 1981 na amefariki tarehe 26 Juni 2007. Mh. Chifupa alisoma shule ya msingi Ushindi na kujiunga na masomo ya sekondari Kisutu kabla ya kuingia shule nyingine ya sekondari ya Makongo alikomal ...

Chingis Khan

Chingis Khan alikuwa kiongozi wa Wamongolia aliyeunda Milki ya Wamongolia iliyoendelea kutawala eneo kubwa kuanzia China pamoja na Asia ya Kati hadi Urusi na Mashariki ya Kati.

Christopher Hatton

Sir Christopher Hatton alikuwa mtoto wa pili wa William Hatton alikufa 29 Agosti 1546 wa Holdenby, Northamptonshire, na mke wake wa pili, Alice Saunders, binti Lawrence Saunders alikufa 1544 wa Harrington, Northamptonshire. Bibi yake alikuwa Alic ...

Grover Cleveland

Stephen Grover Cleveland alikuwa Rais wa Marekani mara mbili, kuanzia mwaka wa 1885 hadi 1889, tena kuanzia 1893 hadi 1897. Kwanza Kaimu Rais wake alikuwa Thomas Hendricks, mara ya pili Kaimu Rais alikuwa Adlai Stevenson.

George Clinton

George Clinton alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Thomas Jefferson, halafu chini ya Rais James Madison kuanzia mwaka wa 1805 hadi kifo chake 1812.

Calvin Coolidge

Calvin Coolidge alikuwa Rais wa 30 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1923 hadi 1929. Alianza kama Kaimu Rais wa Warren Harding aliyemfuata baada ya kifo chake. Kaimu Rais wake Coolidge kuanzia mwaka wa 1925 alikuwa Charles Dawes.

Cyprien Ntaryamira

Cyprien Ntaryamira alikuwa Mhutu Rais wa Burundi kutoka tarehe 5 Februari 1994 hadi kifo chake miezi miwili baadaye, wakati ndege aliyokuwa akisafiri, pamoja na rais wa Rwanda Juvénal Habyarimana, ilipigwa risasi karibu na Kigali, Rwanda.

Georges Danton

Georges Jacques Danton alikuwa mwanasiasa kipindi cha Mapinduzi ya Ufaransa. Alikuwa Rais wa kwanza katika Kamati ya usalama wa umma. Ni mwanzilishi wa kikundi kijulikanacho kama Uongozi wa Ugaidi. Uongozi wa Ugaidi ulianza mwaka 1793 na kukoma m ...

David Ben Gurion

David Ben Gurion alikuwa waziri mkuu wa kwanza wa dola la Israeli. Alizaliwa kwa jina la David Grün kwenye sehemu ya Poland iliyokuwa chini ya Milki ya Urusi katika familia ya Wayahudi waliojiunga na harakati ya Usioni. Mwenyewe alikuwa mfuasi wa ...

Dawda Jawara

Sir Dawda Kairaba Jawara alizaliwa 16 Mei 1924 katika Barajally, Central River Division, ni mwanasiasa Gambia. Yeye alikuwa wa kwanza waziri mkuu 1962 1970 katika Gambia. Yeye alikuwa rais 1970-1994.

Hilarión Daza

Hilarión Daza Groselle alikuwa Rais wa Bolivia kuanzia tarehe 4 Mei 1876 hadi 28 Desemba 1879 alipofukuzwa kutoka utawala na kufuatwa na Narciso Campero. Daza mwenyewe alihamia Ufaransa, na alipojaribu kurudi Bolivia mwaka wa 1894 akauawa kwenye ...

Alfred Deakin

Alfred William Deakin alikuwa Waziri Mkuu wa pili wa Australia. Alizaliwa mjini Fitzroy, Melbourne, Australia. Kunako miaka ya 1890 aliisaidia Australia kuifanya kuwa nchi. Hapo awali alikuwa Jaji Mkuu, wakati huo Bw. Edmund Barton ndiyo alikuwa ...

Edward Seymour

Edward Seymour alikuwa Mlinzi wa Uingereza kipindi cha 1547 mpaka 1549 wakati wa udogo wa mpwa wake, Edward VI. Licha ya umaarufu wake na watu wa kawaida, sera zake mara nyingi ziliputa hasira na akaangamizwa. Alikuwa ndugu mkubwa wa Malkia Jane ...

Emmanuel Makaidi

Emmanuel Makaidi alikuwa mwanasiasa wa chama cha upinzani nchini Tanzania na mwenyekiti wa chama cha National League for Democracy. Tarehe 14 Desemba 2005 aligombea urais kwa tiketi ya NLD na kuambulia asilimia 0.19 ya kura. Alifariki dunia mkoan ...