ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 19

Emma Goldman

Emma Goldman alikuwa akifahamika kama mfuasi wa utawala huria, kuanzia mwishoni wa karne ya 19 hadi katikati ya karne ya 20.

Helen Keller

Helen Keller alikuwa mwandishi na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka nchini Marekani. Wakati alivyofikisha umri wa miezi kumi na tisa akawa anaumwa na kukapelekea kuwa na matatizo ya kutosikia na kutoona. Aliendelea kuwa mtu wa kwanza kiziw ...

Mary Harris Jones

Mary Harris Mama Jones alikuwa mzaliwa wa Ireland na baadae akawa Mmarekani mwalimu wa shule na mtengeneza mavazi, akawa maarufu na kupangwa mwakilishi wa taasisi za kazi na mipango jamii. Yeye alisaidia kuratibu migomo mikubwa na mwanzilishi wa ...

Elijah Muhammad

Elijah Muhammad alikuwa kiongozi wa kidini ambaye aliongoza shirika la Nation of Islam kuanzia 1934 hadi kifo chake mnamo mwaka wa 1975. Huyu ndiye mnasihi mkubwa wa Malcolm X, Louis Farrakhan, Muhammad Ali, na mtoto wake Warith Deen Mohammed.

Ally Sykes

Ally Kleist Sykes alikuwa mzalendo muasisi wa TANU na moja kati ya wapigania uhuru wakubwa wa Tanganyika katika miaka ya 1950. Ally Sykes ndiye aliyemwandikia na Kumkabidhi Mwalimu Julius Nyerere kadi ya TANU Na. 1. Historia ina kawaida ya kujiru ...

Sheikh Ilunga Hassan

Sheikh Ilunga Hassan Kapungu alikuwa mwanaharakati wa Kiislamu kutoka nchini Tanzania. Enzi ya uhai wake, alipigania haki na mustakabali wa Waislamu nchini humo. Shughuli zake hasa zilikuwa kueneza habari za dini na vita dhidi ya nadharia ya "Mfu ...

Mohandas Karamchand Gandhi

Mohandas Karamchand Gandhi, maarufu zaidi kwa jina la Mahatma Gandhi, alikuwa mwanasheria, mwanafalsafa, mwanaharakati wa haki za binadamu na kiongozi wa siasa nchini Uhindi. Anajulikana hasa kama kiongozi wa harakati za uhuru wa Uhindi aliyeping ...

Uvuvi nchini Angola

Uvuvi nchini Angola mara nyingi hufanya na wavuvi wa Kigeni. Baadhi ya wavuvi hawa wanaotumia maji ya Angola walitakiwa na serikali kuacha baadhi ya samaki nchini Angola ili kuongeza usambazaji wa samaki nchini humo. Mapatano kama haya ya uvuvi y ...

Ruwaza ya Kenya 2030

Ruwaza ya Kenya 2030 ni mpango wa maendeleo ya kiuchumi wa serikali ya Kenya kuendeleza maeneo mbalimbali ya kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi. Malengo ya mpango kuzalisha ukuaji wa uchumi wa mwaka wa 10%. Hivi sasa, Kenya ina ukuaji wa P ...

Mto Quay

Soko la mto huenea kaskazini hadi Mto Missouri, na limepakana na daraja la Broadway magharibi na daraja la Moyo wa Amerika mashariki. Eneo hili huwa katika eneo ambalo jiji la Kansas lilianzishwa mara ya kwanza. Jina la soko limetoka kwa soko la ...

Soko la Kariakoo

Soko la Kariakoo ni soko kuu jijini Dar es Salaam na Tanzania ambapo kunafanyika biashara za aina zote za mahitaji muhimu ya kila siku ya binadamu. Biashara zinafanyika kwa jumla na rejareja. Soko hili linajumuisha majengo mawili makuu pamoja na ...

Benki Kuu ya Mauritius

Benki ya Mauritius ni benki kuu ya Jamhuri ya Mauritius. Ilianzishwa mnamo Septemba 1967 kama benki kuu ya Mauritius. Iliundwa kwa mfano wa Benki Kuu ya Uingereza, na hivyo iliundwa kwa msaada wa maafisa wa Benki Kuu ya Uingereza. Miongoni mwa ma ...

EmiratesNBD

EmiratesNBD, kundi kubwa zaidi la benki katika Mashariki ya Kati katika suala la mali, iliundwa tarehe 16 Oktoba 2007 wakati hisa za Emirates NBD ziliorodheshwa rasmi katika soko la hisa la Dubai. Muungano huu ulileta pamoja mabenki ya UAE ya pil ...

Ibn Battuta Mall

Ibn Battuta Mall ni duka kubwa lililoko katika barabara ya Sheikh Zayed mjini Dubai karibu na Interchange 6 ya kijiji cha Jebel Ali. Jina lake linatokana na msafiri maarufu Ibn Battuta. Mradi huu ulimalizwa na kampuni ya Nakheel mapema 2005. Maji ...

Maduka ya Army & Navy

Maduka ya Army & Navy ni kundi la maduka ya nguo nchini Uingereza. Duka lao maarufu kabisa lilikuwa katika barabara ya Victoria Street jijini London, Uingereza. House of Fraser ilinunua kundi hilo katika mwaka wa 1976. Duka hilo la Victoria Stree ...

Maduka ya United Drapery Stores

Kundi hilo lilianzishwa katika mwaka wa 1927 na kutoka kuanzishwa kwake lilitaka kukua kwa kununua kampuni zingine. Kampuni ilianza na maduka 5 katika eneo laLondon,ilipofika mwaka wa 1931 maduka haya yalikuwa yameongezeka kuwa maduka 112 ya reja ...

Mall of the Emirates

Mall of the Emirates ni duka kubwa lililoko katika wilaya ya Al Barsha, mjini Dubai. Lilijengwa na kampuni ya Majid Al Futtaim Properties chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mtendaji wake, Peter Walichnowski, ambaye alikuwa pia mbunifu wa "Bluewater" ...

Mark (pesa)

Kwa mji wa Uswidi tazama makala ya Mark manispaa Mark ilikuwa jina la pesa ya Ujerumani pamoja na nchi kadhaa za Ulaya kwa kipindi kirefu hadi kuja kwa Euro mwaka 2002. Kiasili "mark" ilikuwa jina la kipimo cha dhabau na fedha katika Ulaya. Asili ...

Riali ya Zanzibar

Riali ya Zanzibar ilikuwa fedha halali iliyotolewa na Usultani wa Zanzibar kuanzia mwaka 1882. Amri ya kuanzisha pesa hii ilitolewa na Sultani Barghash ibn Said ibn Sultan. Ilipatikana kwa sarafu za riali 5, 2 1/2, 1, nusu na robo riali. Iligawiw ...

Central Depository and Settlement Corporation

Central Depository and Settlement Corporation ama CDSC ni kampuni iliyobuniwa mwaka wa 2000 ili kuweka rekodi ya wamiliki hisa, uununuzaji na uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi. Rekodi hii huwekwa kwa njia ya electroniki ili kurahisish ...

Jukumu la Soko la Hisa la Nairobi Katika Uchumi

Soko la hisa huwapa wawekezaji wa makampuni mbali njjia ya kuuza hisa zao.

Kusajili kampuni (Kenya)

Nchi ya Kenya inapatikana Mashariki mwa Bara la Afrika. Ikiwa Nchi zinazostawi, kuanzisha biashara Kenya huwa umekumbwa na matatizo kadha ukilinganisha na mataifa yaliyostaafu kiuchumi kama vili Uingereza.

Kuuza na kununua Hisa (Kenya)

Hisa zinazouzwa na kununuliwa nchini Kenya huwa ni za makampuni yaliyosajiliwa katika Soko la Hisa la Nairobi. Hivyo basi, wakati kampuni inaposajiliwa katika soko la hisa, asilimia yake fulani huuzwa kwa umma kama hisa. Mtu yeyote aliyenunua his ...

Makampuni Memba (Soko la Hisa la Nairobi)

Makampuni memba ya Soko la Hisa la Nairobi yanajumuisha Mabenki ya Uwekezaji na Makampuni za Ubroka. Kwa kuwa memba katika soko hili, makampuni haya yanaruhusiwa kuuza na kununua hisa katika soko kwa niaba ya wawekezaji.

Toleo Jipya la Hisa (Kenya)

Toleo Jipya la Hisa hutendeka wakati ambao kampuni inasajili hisa zake kwa mara ya kwanza katika Soko la Hisa la Nairobi. Kwa kusajili hisa zake katika soko, umma waweza kumiliki asilimia fulani ya kampuni hiyo kwa kununua hisa hizo.

Vifaa vya Deni (Soko la Hisa la Nairobi)

Kifaa cha deni ni mkopo. Mwombaji hupa ahadi ya kulipa riba fulani kila robo au nusu mwaka kuanzia tarehe fulani baada ya kupata mkopo huo na pia uahidi kulipa mkopo uliyopewa. Hivyo basi, faida kutoka kwa kifaa cha deni hutokana na riba. Kwa sas ...

Wachuuzi wa Data (Soko la Hisa la Nairobi)

Kutokana na kuongezeka kwa idadi ya makampuni yaliyosajiliwa katika Soko la Hisa la Nairobi, makampuni za uchuuzi wa data inayotumika kuuza na kununua hisa yameongezeka.

Boma

Boma ni sehemu au hasa jengo lililoviringishwa kwa vizuizi ili watu wasipite kirahisi kwa shabaha ya kujitetea dhidi ya maadui. Maana ya neno hili linaweza kuwa karibu na "ngome" lakini linaweza kutaja pia sehemu yoyote iliyoimarishwa kwa mfano " ...

Hekalu la Yerusalemu

Hekalu la Yerusalemu lilikuwa kitovu cha ibada za dini ya Uyahudi wakati wa Israeli ya Kale. Kwa jumla kulikuwa na majengo mawili yaliyofuatana kwenye mlima wa hekalu mjini Yerusalemu. Imani ya Kiyahudi inategemea kujengwa kwa hekalu la tatu pamo ...

Jengo la Empire State

Empire State Building ni nyumba ya maghorofa mashuhuri mjini New York yenye umbo la mnara. Ilikuwa jengo ndefu la dunia kwa muda wa miaka 40 tangu ukamilifu wake mwaka 1931 hadi 1972 ambako minara ya World Trade Center ilijengwa mjini New York pi ...

Kanisa kuu la Roma

Kanisa kuu la Roma ni jengo la ibada lililopo tangu karne ya 4 hadi leo katika mtaa wa Laterani mjini Roma. Ni kwamba, kama majimbo yote ya Kanisa Katoliki, jimbo la Roma, ambalo askofu wake ni mkuu wa maaskofu wote, lina jengo moja la ibada lina ...

Tabenakulo

Tabenakulo ni sanduku imara la kuhifadhia sakramenti ya ekaristi katika baadhi ya madhehebu ya Ukristo, hasa Kanisa Katoliki, la Kiorthodoksi na ushirika wa Anglikana na pengine hata kati ya Walutheri. Desturi hiyo inategemea imani kuhusu Yesu Kr ...

Ukuta wa China

Ukuta mkubwa wa China ni kati ya majengo makubwa kabisa yaliyowahi kujengwa duniani. Ni mfululizo wa kuta na ngome unaofuata mpaka kati ya China na mbuga baridi za Asia ya Kaskazini na Asia ya Kati. Ulijengwa kwa shabaha ya kulinda China dhidi ya ...

Bwawa la Nyumba ya Mungu

Bwawa la Nyumba ya Mungu limepatikana kwa lambo lililojengwa miaka ya 1960 katika wilaya ya Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro ili maji ya mto Kikuletwa na ya mto Ruvu yaweze kutumika kuzalisha umeme.

Lambo la Aswan

Lambo la Aswan liko katika Misri ya Kusini kwenye mto Nile. Ukuta wake uko kilomita 13 kusini kwa mji wa Aswan. Huko maji ya Nile yazuiliwa na kuunda ziwa la Nasser linaloelekea hadi ndani ya Sudani. Lambo lilijengwa kati ya miaka 1960 - 1970. Sh ...

Lambo la Bujagali

Majiranukta kwenye ramani: 0°29′56″N 33°08′24″E Lambo la Bujagali, lililoko karibu Jinja, Uganda, lilikamilika mnamo Novemba 2011. Hapo maji yake yalifunika maporomoko ya Bujagali au Budhagali, yaliyokuweko huko mto Nile ulikotoka ziwa Viktoria h ...

Lambo la Kihansi

Kigezo:Infobox dam Lambo la Kihansi linapatikana katika mkoa wa Iringa na linapelekea kuundwa kwa bwawa la maji litumikalo kuzalisha umeme nchini Tanzania. Bwawa la Kihansi lina uwezo wa kuzalisha umeme mpaka kufikia megawatts 180 241.384 hp amba ...

Ieoh Ming Pei

Ieoh Ming Pei ni msanifu majengo kutoka China anayeishi Marekani. Anapenda kutumia maumbo ya kijiometria akipendelea saruji, feleji, kioo na mwamba.

Hoteli Hilton

Hoteli Hilton ni kundi la hoteli za fahari na ya kimataifa lililoanzishwa na Conrad Hilton na sasa Hilton inamilikiwa na kampuni ya Hilton Worldwide. Kuna hoteli asili Hilton 533 duniani kote. Ni aidha hoteli za Hilton zinamilikiwa au kusimamiwa ...

Hoteli ya Queen Elizabeth

Ujenzi ulikamilika 1958 na ulikuwa umejengwa na Shirika la reli la Canadian National Railway lakini likauzwa hapo baadaye kwa kampuni ya Hoteli za Canadian Pacific,hivi sasa Hoteli za Fairmont. Hoteli hii ilikuwa na vyumba 1039 na magorofa 21 na ...

Isimila

Isimila ni eneo la kihistoria lililopo mkoani Iringa nchini Tanzania, katika kijiji cha Ugwachanya kwenye kata ya Mseke kilichopo kilomita 20 kutoka Iringa mjini karibu na barabara kuu ya A 104 kuelekea Mbeya. Njia ya kuingia si rahisi kuikuta: u ...

Katani

Katani ni mmea wenye asili ya Meksiko unaotumika kutengeneza kamba, mikeka, mazulia, vitambaa, gesi na mengineyo. Katani ililetwa na Dr. Richard Hindorf mwaka 1892 aliyesafirisha miche elfu moja akipitia Florida Marekani halafu Hamburg Ujerumani ...

Mwenge

Kwa maana tofauti ya jina hili angalia hapa Mwenge Mwenge pia: tochi ni kifaa cha kubebea moto kwa kusudi la kuangaza mazingira. Kwa kawaida ni fimbo lenye sehemu ya kuwaka upande mmoja; sehemu hii inapatikana kwa kupaka mafuta upande mmoja wa fi ...

Bangili ya Warangi

Bangili ya Warangi ni aina ya pambo la kuvaa mkononi. Kwa Kirangi huitwa "ikéénke". Pambo hilo lilivaliwa hasa na akina baba. Lilitengenezwa kutokana na madini ya shaba nkekundu iliyopatikana katika mojawapo ya milima ya Haubi.

Baragumu ya Warangi

Baragumu ya Warangi ni aina ya upembe wa mnyama uliokatwa pande zote, ndiyo baragumu au mbiu. Kwa Kirangi huitwa "irimʉ". Baragumu hutumika kwa kutoa habari fulani ya hatari, kifo au kusanyiko na hata tukio fulani maalumu.

Chombo cha kukamulia cha Warangi

Chombo cha kukamulia cha Warangi ni chombo kama kinu kidogo. Kwa Kirangi huitwa "kɨremo". Chombo hicho hutengenezwa kwa mti laini. Hutumika kwa kukamulia maziwa. Kina mkono kwa ajilii ya kushika wakati wa kukamua. Ukubwa wake labda ungefaa kwa li ...

Chombo cha tumbaku cha Warangi

Chombo cha kuwekea tumabku cha Warangi ni kwa ajili ya tumbaku iliyosagwa. Kwa Kirangi huitwa "súse". Chombo hicho kilikuwa hutengenezwa kutokana na pembe za ng’ombe. Kilitumiwa hasa na watu maarufu kama viongozi au wazee. Tumbaku hiyo hunuswa au ...

Chungu cha Warangi

Chungu cha Warangi ni chombo cha wastani. Kwa Kirangi huitwa "nyiingʉ". Chombo hicho hutumika kwa kupikia kama ugali, mboga, viazi na kadhalika. Hutengenezwa kwa udongo wa mfinyanzi uliosagwa.

Jembe la Warangi

Jembe la Warangi ni aina ya chombo kilichotengenezwa kwa chuma kwa kutumia ufundi wa jadi. Kwa Kirangi huitwa "isɨrɨ". Jembe lilitumika kwa kulimia. Jembe la Kirangi lilikuwa limechongoka.

Kibuyu kidogo cha Warangi

Kibuyu kidogo cha Warangi ni aina ya kibuyu chenye shingo. Kwa Kirangi huitwa "mʉʉmbʉ". Kibuyu hicho kilitumika kuwekea dawa, maziwa, pombe na kadhalika. Kilitumika vilevile kwa mambo ya jadi.