ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 21

Inter Mirifica

Hati hiyo ilitolewa na Mtaguso wa pili wa Vatikano mapema ili kukabili jambo ambalo siku hizi ni zito sana kwa jinsi linavyochangia maisha na utamaduni wa watu duniani kote, yaani vyombo vya upashanaji habari vilivyoendelea hasa katika karne ya 2 ...

Jumuia ndogondogo za Kikristo

Jumuiya ndogondogo za Kikristo ni jumuia maalumu za Wakristo wa Kanisa Katoliki zilizoanzishwa na Mabaraza ya Maaskofu ya Tanzania na nchi nyingine, hasa za Afrika Mashariki, ili kutekeleza upendo katika maisha ya kila siku mitaani. Katika jumuia ...

Kanisa Katoliki la Kibizanti la Ugiriki

Kanisa Katoliki la Kibizanti la Ugiriki ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki.

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Albania

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Albania ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki. Idadi ya waumini ni asili ...

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Belarus

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Belarus ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki.

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Bulgaria

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Bulgaria ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki.

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Hungaria

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Hungaria ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki. Kuanzia mwaka 2015 lina ...

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Kiruteni

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Kiruteni ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki.

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Korasya

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Korasya ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki.

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Masedonia

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Masedonia ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki.

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Romania

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Romania ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki likiongozwa na Askofu mkuu ...

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Russia

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Russia ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki.

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Serbia

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Serbia ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki. Kuanzia mwaka 2013 linaene ...

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Slovakia

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Slovakia ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki. Jimbo kuu liko Prešov, S ...

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina

Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina, Ukrainska Hreko-Katolytska Tserkva) ndiyo madhehebu kubwa zaidi kati ya Makanisa Katoliki ya Mashariki. Mwaka 2014 lilikadiriwa kuwa na waamini 4.468.630 katika parokia 3.993 za Ukraina na za nchi nyingine ...

Kanisa Katoliki la Waalbania wa Italia

Kanisa Katoliki la Waalbania wa Italia ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki. Tangu mwanzo wa Kanisa ka ...

Kanisa Katoliki la Waeritrea

Kanisa Katoliki la Waeritrea tangu tarehe 19 Januari 2015 ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Aleksandria na kutumia liturujia ya Misri. Limeenea hasa n ...

Kanisa Katoliki la Waethiopia

Kanisa Katoliki la Waethiopia ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Aleksandria na kutumia liturujia ya Misri. Limeenea hasa nchini Ethiopia. Mkuu wake ni ...

Kanisa Katoliki la Wakopti

Kanisa Katoliki la Wakopti ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Aleksandria na kutumia liturujia ya Misri. Patriarki wake ni askofu mkuu pekee, akiwa na ...

Kanisa la Kilatini

Kanisa la Kilatini ni moja ya madhehebu yanayounda Kanisa Katoliki. Ndiyo kubwa kuliko yote, likiwa na Wakristo zaidi ya bilioni 1 duniani kote. Mengine ni Makanisa Katoliki ya Mashariki 3% yanayofuata mapokeo na hasa liturujia kama ya Waorthodok ...

Kanisa la Roma

Kanisa la Roma ni hasa jimbo la Kanisa Katoliki lilipo katika mji wa Roma na kandokando yake. Ukristo ulifikia huko mwaka uleule wa kifo na ufufuko wa Yesu kadiri ya imani ya wafuasi wake unaodhaniwa kuwa 30 BK. Kadiri ya Matendo ya Mitume sura y ...

Kanisa la Wakaldayo

Kanisa Katoliki la Wakaldayo ni mojawapo kati ya Makanisa Katoliki ya Mashariki, likifuata mapokeo ya Mesopotamia na kutumia liturujia ya Mesopotamia. Idadi ya waamini leo ni kati ya 500.000 na 1.000.000, wengi wao wakiwa wenyeji wa Mesopotamia.

Kardinali

Mkutano wa makardinali ndio humchagua Papa mpya ambaye ni mkuu wa Kanisa hilo ambalo ni madhehebu ya Ukristo makubwa kuliko jumla ya mengine yote duniani. Uchaguzi hutokea baada ya Papa aliyetangulia kufa au kungatuka. Lakini kardinali aliyefikia ...

Katekisimu ya Kanisa Katoliki

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni kitabu rasmi cha kufundishia dini ya Ukristo kadiri ya imani na maadili ya Kanisa Katoliki kutokana na Mtaguso wa pili wa Vatikano. Ilikubaliwa na Papa Yohane Paulo II kwanza tarehe 11 Oktoba 1992, halafu moja kwa ...

Liturujia ya Canterbury

Liturujia ya Canterbury ni madhehebu yanayoendeleza mambo bora ya Anglikana ndani ya Kanisa la Kilatini. Mwaka 2011 na 2012 Papa Benedikto XVI alianzisha majimbo matatu kwa Waanglikana walioamua kujiunga na Kanisa Katoliki kama makundi. La kwanza ...

Liturujia ya Kilatini

Liturujia ya Kilatini ni aina ya liturujia ya Ukristo iliyoenea upande wa magharibi wa Dola la Roma ambapo ilitumika lugha ya Kilatini. Liturujia hiyo ilistawi Ulaya magharibi na Afrika kaskazini. Polepole liturujia ya Roma, mji mkuu wa Walatini ...

Liturujia ya Roma

Liturujia ya Roma ni liturujia iliyoenea katika sehemu kubwa ya Kanisa Katoliki, kutoka makao yake makuu, Roma. Kwa asili yake ni liturujia ya Kilatini, ingawa kwa sasa inaadhimishwa katika lugha nyingi duniani kote. Kilichochangia uenezi huo ni ...

Lumen Gentium

Lumen Gentium ni jina fupi la hati ya kidogma ya Mtaguso wa pili wa Vatikano inayohusu fumbo la Kanisa katika imani ya Kikatoliki. "Lumen Gentium" ni maneno mawili ya kwanza ya hati hiyo iliyotolewa kwa lugha ya Kilatini. Maaskofu na mapadri 2151 ...

Makamu wa askofu

Makamu wa askofu ni cheo cha Kanisa Katoliki anachopewa askofu au padri ili kutimiza baadhi ya majukumu ya askofu wa jimbo na kwa niaba yake. Katika Mkusanyo wa sheria za Kanisa la Kilatini kanuni 475 inaagiza: Katika kila jimbo askofu wa jimbo a ...

Makanisa Katoliki ya Mashariki

Makanisa Katoliki ya Mashariki ni madhehebu 23 ya Ukristo ambayo yanafuata mapokeo mbalimbali ya Mashariki katika ushirika kamili na Askofu wa Roma, hivyo pia na Kanisa Katoliki lote duniani. Mapokeo hayo ni hasa yale ya Aleksandria Misri, Antiok ...

Nostra Aetate

Kutokana na mchanganyiko wa watu ambao siku hizi unaongezeka mahali pengi, Mtaguso wa pili wa Vatikano uliona haja ya kutoa tamko juu ya uhusiano wa Kanisa Katoliki na dini mbalimbali ili kujenga umoja kadiri ya mpango wa Mungu. Hati hiyo ilitole ...

Optatam Totius

Siku ileile ambayo Mtaguso wa pili wa Vatikano uliyotoa hati kuhusu uchungaji wa maaskofu na kuhusu urekebisho wa watawa, ilitolewa nyingine tena inayohusu malezi ya kipadri: toka mwanzo hayo yanatiwa maanani sana kwa kusema urekebisho unaotumain ...

Opus Dei

Opus Dei au kwa jina kamili Praelatura Sanctae Crucis et Opus Dei ni jimbo pekee la kimataifa ndani ya Kanisa Katoliki. Shabaha yake ni kujenga maisha ya kidini kwenye ngazi ya familia na kuwasaidia waumini kuishi kitakatifu kwa kulingana na mash ...

Orientalium Ecclesiarum

Mtaguso wa pili wa Vatikano ulizingatia hali duni ya Makanisa Katoliki ya Mashariki ukaamua kuiboresha. Ndiyo sababu tarehe 21 Novemba 1964 ulitoa hati maalumu kwa kura 2110 dhidi ya 39. Jina lake kwa Kilatini ni "Orientalium Ecclesiarum" maana y ...

Perfectae Caritatis

Siku ileile ambayo Mtaguso wa pili wa Vatikano ulitoa hati kuhusu uchungaji wa maaskofu ilitolewa hii nyingine kuhusu kurekebisha upya maisha ya kitawa, nayo pia msingi wake ni hati Lumen Gentium juu ya Kanisa ambamo watawa wana nafasi yao. Hati ...

Presbyterorum Ordinis

Hati hiyo ilitolewa na Mtaguso wa pili wa Vatikano tarehe 7-12-1965, siku ya mwisho kabla ya kufunga, kwa kura 2390 dhidi ya 4 tu. Jina lake kwa Kilatini ni "Presbyterorum Ordinis", maana yake "Daraja ya Mapadri". Lengo lake ni kufafanua tena mam ...

Sacrosanctum Concilium

Sacrosanctum Concilium mtakatifu) ni jina fupi la hati ya Mtaguso wa pili wa Vatikano inayohusu liturujia au utaratibu wa ibada katika kanisa katoliki. "Sacrosanctum Concilium" ni maneno mawili ya kwanza ya hati hiyo iliyotolewa kwa lugha ya Kila ...

Siku ya kimataifa ya vijana

Siku ya kimataifa ya vijana ni tukio linaloandaliwa na Kanisa Katoliki kwa ajili ya rika hilo. Kila mwaka siku ya vijana inaadhimishwa ama katika majimbo tu kwenye Jumapili ya matawi, ama kimataifa katika mji fulani. Mpango huo ulianzishwa na Pap ...

Sikukuu ya amri

Sikukuu ya amri ni msamiati unaotumika katika Kanisa Katoliki kutaja sikukuu ambayo waumini wake "wanapaswa kushiriki Misa; pia waepe kufanya kazi na shughuli zinazozuia ibada kwa Mungu na kuvuruga furaha maalumu ya siku ya Bwana au pumziko la ak ...

Unitatis Redintegratio

Kurudisha umoja kati ya Wakristo wote ni lengo kuu mojawapo la Mtaguso wa pili wa Vatikano. Matengano yaliyokata vipandevipande mwili wa Kristo ni kinyume cha matakwa yake na yanakwaza ulimwengu usiweze kuamini. Mtaguso uliona siku hizi Mungu ame ...

VIWAWA

VIWAWA ni chama cha kitume cha Kanisa Katoliki. Makao makuu yako Brussels. Vijana wa chama hicho wanapatikana kwenye parokia nyingi ulimwenguni na wana umri wa kuanzia miaka 18 hadi 35. Chama kilianzishwa na padri Joseph Cardijn huko Ubelgiji kik ...

Wadominiko

Wadominiko ni jina fupi linalotumka kuhusu wafuasi wote wa Dominiko wa Guzmán, hasa wa Shirika la Ndugu Wahubiri alilolianzisha, mojawapo kati ya mashirika ya kitawa ya Kanisa Katoliki, aina ya Ombaomba. Ufupisho wa jina la shirika ni O.P.

Alhamisi kuu

Alhamisi kuu ni sikukuu ya Ukristo inayoadhimisha saa za jioni ile karamu ya mwisho ya Yesu Kristo na mitume wake kabla hajakamatwa na kuhani mkuu wa Israeli, Yosefu Kayafa na hatimaye kukabidhiwa kwa liwali Ponsio Pilato ili asulubiwe. Katika ka ...

Benedictus

Benedictus ni neno la Kilatini lenye maana ya "Asifiwe". Ni maarufu kama jina la wimbo wa Kiinjili unaotumika kila siku katika Masifu ya asubuhi ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo. Jina hilo linatokana na kwamba ndilo neno la kwanza katika tafsir ...

Breviari

Breviari ni kitabu cha kiliturujia cha Kanisa la Kilatini kinachokusanya pamoja Zaburi, masomo, sala, tenzi, nyimbo nyingine na taratibu za kila siku kwa ajili ya Sala ya Kanisa inayowapasa kwanza maaskofu, mapadri, mashemasi na watawa. Pengine j ...

Doksolojia

Doksolojia ni shangilio fupi la kumsifu Mungu katika Ukristo, ambalo mara nyingi liko mwishoni mwa utenzi au zaburi.

Epifania

Epifania ni neno linatokana na Kigiriki ἐπιφάνεια, epifaneia, yaani udhihirishaji, tokeo, ujio, uwepo wa Mungu. Kwa kifupi zaidi Eπιφάνια Yohane Krisostomo linamaanisha "Kuzaliwa kwa Yesu Kristo", kwa kuwa ndivyo Bwana alivyotutokea sisi binadamu ...

Gloria

Gloria ni mwanzo wa wimbo maarufu wa Misa ambao unatokana na kunyambua ule wa malaika ambao, kadiri ya Injili ya Luka, waliwapasha wachungaji habari njema ya kuzaliwa Yesu katika zizi la Bethlehemu. Inasemekana kwamba wimbo huo ulitafsiriwa na Hi ...

Ijumaa Kuu

Ijumaa Kuu ni siku ya Ijumaa kabla ya Pasaka ambapo Wakristo wengi duniani wanaadhimisha kifo cha Yesu Kristo msalabani. Kufuatana na taarifa za Injili nne katika Biblia ya Kikristo, Yesu alisulubiwa siku kabla ya Sabato au Jumamosi, yaani Ijumaa ...

Jumapili ya Utatu

Jumapili ya Utatu Mtakatifu ni sikukuu ya Ukristo inayoadhimishwa na madhehebu kadhaa, kama vile Kanisa Katoliki, ili kutukuza fumbo la Mungu aliye mmoja tu katika nafsi tatu kadiri ya imani iliyofafanuliwa na mitaguso ya kiekumene. Kwa kawaida W ...