ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 23

Kesha

Kesha au Mkesha ni kipindi cha kutolala kwa makusudi, hasa kwa lengo la kidini, kama vile kusali kirefu. Mara nyingi kesha linafanyika kabla ya adhimisho maalumu, kama vile sikukuu fulani, lakini kuna waumini, hasa watawa, wanaokesha kila usiku w ...

Kipaimara

Kadiri ya Kanisa Katoliki na Waorthodoksi ubatizo hautoshi, bali unahitaji kukamilishwa na kipaimara na ekaristi, kama vile baada ya kuzaliwa tunahitaji kukomaa na kudumisha uhai wetu kwa chakula. Sakramenti hizo tatu kwa pamoja ni msingi wa mais ...

Kipindi cha kawaida

Kipindi cha kawaida ni kipindi cha liturujia katika mwaka wa Kanisa. Maelezo yafuatayo yanatokana na utaratibu wa Kanisa Katoliki, lakini kwa kiasi kikubwa yanahusu pia madhehebu mengine, kama vile Anglikana. Baada ya kila mfululizo wa vipindi vi ...

Kipindi cha Noeli

Kipindi cha Noeli au Krismasi ni majira ya mwaka wa Kanisa ambapo kadiri ya kalenda ya liturujia ya madhehebu mengi ya Ukristo linaendelea kuadhimishwa fumbo la Krismasi, yaani mwana wa Mungu kuzaliwa kama mtu duniani.

Kipindi cha Pasaka

Kipindi cha Pasaka ni kipindi maalumu cha mwaka wa Kanisa katika madhehebu mbalimbali ya Ukristo. Ni kwamba Wayahudi wanaadhimisha Pasaka ya kale, ukumbusho wa kuvuka pakavu kati ya bahari, kutoka utumwani kuelekea uhuru. Kumbe Wakristo wanaadhim ...

Kitubio

Kitubio au Upatanisho ni sakramenti ya Kikristo katika Kanisa Katoliki, Makanisa ya Kiorthodoksi na madhehebu mengine machache. Kwa njia yake Mkristo aliyetubu anapokea kwa huduma ya Kanisa msamaha wa Mungu kwa dhambi alizotenda baada ya Ubatizo. ...

Krisma

Krisma ni mafuta ya kunukia yanayotumiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali katika ibada kadhaa, hasa sakramenti za ubatizo, kipaimara na daraja takatifu. Krisma ndiyo asili ya majina Kristo, Wakristo yanayomtambulisha Yesu na wafuasi wake.

Kwaresima

Kwaresima ni kipindi cha mwaka wa Kanisa kinachoandaa Pasaka kadiri ya kalenda ya liturujia ya madhehebu mengi ya Ukristo. Kwa kawaida inaanza kwenye Jumatano ya Majivu na kwisha kwenye sikukuu hiyo.

Liturujia ya Armenia

Liturujia ya Armenia ni liturujia maalumu ya Ukristo ambayo leo inatumiwa na Kanisa la Mitume la Armenia na vilevile na Kanisa Katoliki la Armenia kokote duniani. Liturujia hiyo inafuata mapokeo ya Gregori Mletamwanga, mwanzilishi na msimamizi wa ...

Liturujia ya Kimungu

Liturujia ya Kimungu ni adhimisho la ekaristi kwa jina linalotumiwa hasa na Waorthodoksi na Wakatoliki wa Mashariki wanaofuata madhehebu ya Kigiriki. Ina sehemu kuu mbili: moja ambayo inaruhusu wakatekumeni kuhudhuria, ya pili ni kwa ajili ya waa ...

Liturujia ya Lyon

Liturujia ya Lyon ni liturujia mojawapo ya Kanisa la Kilatini ambayo imeendelea kutumika katika jimbo kuu la Lyon tangu karne ya 9 hadi leo, ingawa kwa kuzidi kufifia, hasa baada ya Mtaguso wa pili wa Vatikano.

Liturujia ya Mesopotamia

Liturujia ya Mesopotamia ni liturujia maalumu yenye asili katika Mesopotamia ya kale, ambayo kimapokeo inatajwa kama imetokana na Mtume Thoma, na inatumiwa hasa na Wakristo Waashuru na Wakaldayo wa Iraq na nchi za kandokando, pamoja na Wamalabari ...

Liturujia ya Misri

Liturujia ya Misri ni liturujia asili ya Wakristo wa Misri ambayo kutoka jiji la Aleksandria ilienea hasa Ethiopia na Eritrea. Inatumiwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Misri, na vilevile na Kanisa Katoliki la Kimisri, pamoja na makanisa dada ya Eth ...

Liturujia ya Roma isiyo ya kawaida

Liturujia ya Roma isiyo ya kawaida ni taratibu za ibada zinavyotumika katika Kanisa Katoliki kufuatana na mapokeo ya Roma jinsi yalivyokuwa mwaka 1962. Mabadiliko ya liturujia yaliyofanywa baada ya Mtaguso wa pili wa Vatikano 1962-1965, baadhi ya ...

Majilio

Majilio ni kipindi cha liturujia ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo kinatangulia sherehe ya Noeli na kuanza mwaka wa liturujia. Kinaweza kudumu kati ya siku 22 na 40. Jina lake kwa Kilatini ni adventus maana yake ujio wa Yesu Kristo, lakini jina ...

Marehemu wote

Marehemu wote ni adhimisho la baadhi ya madhehebu ya Ukristo kulingana na imani katika hali ya watu waliofariki dunia. Kwa baadhi yake ni suala la kuwakumbuka tu, kwa baadhi ni suala la kuwaombea pia. Ni muhimu hasa katika Kanisa la Kilatini amba ...

Mbiu ya Pasaka

Mbiu ya Pasaka ni utenzi maalumu unaoimbwa na shemasi katika kesha la usiku wa Pasaka akiwa kwenye mimbari, karibu na mshumaa wa Pasaka. Utenzi huo ni maarufu kwa jina la Exsultet yaani Ifurahi kutokana na neno la kwanza katika lugha asili, ambay ...

Mfungo wa Mitume

Mfungo wa Mitume ni mfungo unaofanywa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki wa Mashariki. Mfungo huo unaanza Jumatatu ya pili baada ya Pentekoste siku baada ya Jumapili ya Watakatifu Wote na kuendelea hadi sikukuu ya Mitume Pet ...

Misale

Misale, katika Kanisa Katoliki la Magharibi, ni kitabu cha liturujia kinachokusanya yale yanayohitajika kuadhimishia Misa. Missale plenum yaani Misale kamili ilitokea katika Kanisa la Kilatini kwenye karne XI ili kukusanya pamoja yaliyokuwemo kat ...

Misale ya waumini

Misale ya waumini ni kitabu kidogo ambacho kinawaletea Wakatoliki wanaotumia lugha ya Kiswahili matini ya sala na masomo kutoka Biblia ya Kikristo kadiri ya utaratibu wa Misa za Jumapili na sikukuu za kalenda ya liturujia ya mapokeo ya Kiroma. Mb ...

Moto wa Pasaka

Moto wa Pasaka au Moto mpya unawashwa hasa wakati wa kesha la Pasaka ukimaanisha mwanzo mpya wa uhai uliosababishwa na ufufuko wa Yesu. Katika moto huo, unaotakiwa kuondoa giza la ulimwengu, unawashwa mshumaa wa Pasaka ambao unamwakilisha Yesu mf ...

Mpako wa wagonjwa

Mpako wa wagonjwa ni ibada maalumu kwa ajili ya wagonjwa inayotumiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kufuatana na desturi ya Mitume wa Yesu na agizo la Barua ya Yakobo. Kwa Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na madhehebu mengine machache ni sakram ...

Mshumaa wa Pasaka

Mshumaa wa Pasaka au Mshumaa mkuu ni mshumaa maalumu unaotumika katika liturujia ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo wa magharibi kama kiwakilishi cha Yesu mfufuka. Mshumaa mpya wa namna hiyo unabarikiwa na kuwashwa kila mwaka katika kesha la usik ...

Ndoa (sakramenti)

Ndoa kati ya wabatizwa wawili inahesabiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mojawapo kati ya sakramenti saba zilizowekwa na Yesu Kristo. Pamoja na Daraja takatifu ni kati ya sakramenti mbili za kuhudumia ushirika.

Sakramenti za kuhudumia ushirika

Kadiri ya Kanisa Katoliki, kati ya sakramenti saba, mbili zinalenga kuhudumia ushirika katika Kanisa na katika jamii. Daraja takatifu na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu hazilengi hasa faida ya mtu anayezipokea, bali huduma zake ...

Sakramenti za uponyaji

Sakramenti za uponyaji, kadiri ya Kanisa Katoliki, ni sakramenti mbili zinazolenga kuponya roho na mwili wa mwamini aliyekwisha kupokea uzima mpya, wa Kimungu, katika sakramenti za kuingizwa katika Ukristo, yaani ubatizo, kipaimara na ekaristi. K ...

Sekwensya

Sekwensya ni aina ya wimbo maalumu kwa ajili ya liturujia ya Neno ya Misa ya siku fulani. Inaimbwa kabla ya Injili.

Sherehe

Sherehe ni sikukuu muhimu inayoendana na shangwe. Sherehe nyingi zina asili katika dini mbalimbali na zimeathiri sana utamaduni husika. Kati ya sherehe za namna hiyo kuna Diwali ya Mabanyani, Hanukkah ya Wayahudi, Krismasi ya Wakristo na Eid al-A ...

Sherehe kuu

Sherehe kuu 12 za Makanisa ya Kiorthodoksi, tukiacha Pasaka iliyo sikukuu ya sikukuu zote, zinawaadhimisha Yesu Kristo pamoja na Bikira Maria. Ni hizi zifuatazo: 21 Septemba.

Siku tatu kuu za Pasaka

Siku tatu kuu za Pasaka ndizo kiini cha mwaka wa Kanisa. Zimekusudiwa kumuadhimisha Yesu mteswa, mzikwa na mfufuka, yaani: siku ya tatu kuanzia Jumamosi kuu jioni hadi Jumapili ya Pasaka jioni inaadhimisha ufufuko wake mtukufu. siku ya pili Ijuma ...

Ubatizo

Ubatizo ni sakramenti ya kwanza ya Ukristo. Unaitwa "mlango wa sakramenti", kwa sababu ni lazima kuupokea kabla ya kupokea nyingine yoyote, hasa ekaristi.

Aleksanda I wa Aleksandria

Aleksanda I wa Aleksandria alikuwa Patriarki wa 19 wa Aleksandria, Misri. Wakati wa uongozi wake alikabili masuala mbalimbali, kama vile tarehe ya Pasaka, matendo ya Meletius wa Lycopolis, na hasa Uario. Ndiye aliyekuwa mpinzani mkuu wa padri Ari ...

Amoni Abati

Amoni Abati alikuwa mmonaki wa karne ya 4 aliyeanzisha Kellia, moja kati ya monasteri maarufu zaidi za Misri na labda ya kwanza kabisa. Alikuwa kati ya mababu wa jangwani walioheshimika zaidi na alitajwa na Atanasi katika kitabu chake juu ya mais ...

Aurelius wa Karthago

Aurelius wa Karthago alikuwa askofu wa Karthago kuanzia mwaka 391 hivi hadi kifo chake. Aliendesha mitaguso mingi ya kutetea imani sahihi. Augustino wa Hippo alimheshimu Aurelius, na barua kadhaa walizoandikiana zimetufikia. Ni kwamba Augustino a ...

Didimo Kipofu

Didimo Kipofu) alikuwa mwanateolojia maarufu wa Aleksandria ambapo aliongoza chuo cha katekesi kwa karibu miaka 50. Ingawa hakuweza kuona, alikuwa na kumbukumbu kali sana, hata akaweza kumudu fani zinazofaidika sana na matumizi ya macho. Aliandik ...

Dionisi wa Aleksandria

Dionisi wa Aleksandria, aliyeitwa Mkuu, alikuwa Patriarki wa 14 wa mji huo wa Misri tangu tarehe 28 Desemba 248 hadi kifo chake tarehe 22 Machi 264. Mwaka 252 tauni ilipozuka mjini, yeye na mapadri wake walijitosa kuwahudumia walioambukizwa. Baad ...

Dorotheo wa Turo

Dorotheo wa Turo alikuwa askofu wa mji huo wa Lebanoni. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Juni.

Eukeri wa Lyon

Eukeri wa Lyon alikuwa askofu mkuu wa mji huo wa Gaul. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Novemba.

Eusebius wa Vercelli

Eusebius wa Vercelli alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika karne ya 4 nchini Italia. Alikusanya mapadri wa jimbo lake kuishi kimonaki. Pamoja na Atanasi wa Aleksandria alitetea imani katika umungu wa Yesu dhidi ya Waario. Tangu kale anaheshimi ...

Gaudensi wa Brescia

Gaudensi wa Brescia anakumbukwa kama askofu wa Brescia kuanzia mwaka 387 hadi kifo chake. Mhubiri maarufu, rafiki wa Yohane Krisostomo, aliwekwa wakfu na Ambrosi wa Milano, ingawa kwanza alitaka kukataa cheo cha uaskofu akachangia juhudi za kukam ...

Papa Gregori I

Papa Gregori I alikuwa Papa kuanzia 3 Septemba 590 hadi kifo chake. Alimfuata Papa Pelagio II akafuatwa na Papa Sabinian. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Gregorius. Kutokana na umuhimu wake katika historia, hasa ya Kanisa na Italia, aliongezew ...

Hilari wa Poitiers

‎ Hilari wa Poitiers 315 hivi - 367, askofu wa mji huo kwa Kilatini Pictavium, Galia, leo Ufaransa), mwanateolojia, mwanafalsafa na mwandishi. Alichangia teolojia, k. mf. kuhusu Ufunuo, akiunganisha mitazamo ya Kikristo ya mashariki na ya maghari ...

Ildefonso wa Toledo

Ildefonso wa Toledo alikuwa mwanateolojia aliyehudumia kama askofu mkuu wa Toledo miaka 10 ya mwisho ya maisha yake. Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu na babu wa Kanisa. Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 23 Januari.

Jeromu

Jeromu au Yeronimo alikuwa mmonaki, padri na mtaalamu wa Biblia, aliyemudu vizuri lugha zote za kitabu hicho pamoja na Kilatini hata akawa mwandishi bora wa lugha hiyo kati ya mababu wa Kanisa. Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu na babu wa ...

Juliani wa Toledo

Juliani wa Toledo alikuwa mmonaki mwanateolojia aliyehudumia kama askofu mkuu wa Toledo. Aliunganisha Kanisa la rasi ya Iberia na kuendesha sinodi na mitaguso mbalimbali pamoja na kurekebisha liturujia ya Toledo. Pia aliandika sana juu ya mambo m ...

Yohane Kasiano

Yohane Kasiano alikuwa mmonaki na mwanateolojia aliyeathiri sana Ukristo hasa kwa njia ya kitabu chake "Maongezi", anapoeleza alayofundishwa na wamonaki wa nchi mbalimbali kuhusu maisha ya kiroho. Anaheshimiwa kama mtakatifu na Kanisa Katoliki, W ...

Leandri wa Sevilia

Leandri wa Sevilia alikuwa askofu mkuu wa Sevilia ambaye alifaulu kuingiza katika Kanisa Katoliki kutoka Uario Wavisigoti waliotawala Hispania na Ureno wa leo, kuanzia Hermengildi na Rekaredo, watoto wa mfalme. Tangu zamani anaheshimiwa na Wakato ...

Lusiano wa Antiokia

Lusiano wa Antiokia alikuwa padri mwanateolojia ambaye alijulikana pia kwa uadilifu wake mkubwa na hatimaye alifia dini ya Ukristo kwa kukatwa kichwa au kwa kuachwa afe njaa. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mf ...

Maruta

Maruta alikuwa mmonaki wa Kanisa la Mashariki maarufu kama askofu wa Mayferkat kwa zaidi ya miaka 10 ambapo alifaulu kuzuia dhuluma ya Dola la Persia dhidi ya Wakristo. Hivyo aliweza kujenga upya makanisa, kukusanya humo masalia ya wafiadini, kue ...

Masimo wa Torino

Masimo wa Torino alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki na mwanateolojia kutoka Italia Kaskazini. Mwanafunzi wa watakatifu Eusebi wa Vercelli na Ambrosi wa Milano, alipata kuwa askofu wa Torino, Italia, kwa miaka 30 hivi, tena ndiye wa kwanza kujulika ...