ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 24

Melito wa Sardi

Melito wa Sardi alikuwa askofu wa mji huo karibu na Smirna katika rasi ya Anatolia. Pamoja na kwamba maisha yake hayajulikani vizuri, katika Ukristo wa zamani aliheshimiwa sana: Jeromu, akizungumzia Agano la Kale lilivyokubaliwa na Melito kuwa Ne ...

Mesrop

Mesrop Mashtots alikuwa mmonaki, mwanateolojia na mtaalamu wa lugha kutoka Armenia aliyebuni alfabeti ya Kiarmenia na kuanzisha shule nyingi akiweka hivyo misingi ya taifa hilo na ustaarabu wake uliolidumisha hata leo kati ya matatizo makubwa ya ...

Metodi wa Olimpo

Metodi wa Olimpo alikuwa askofu wa Olimpo na mfiadini kutoka Anatolia. Taarifa za kwanza juu yake ziliandikwa na mtakatifu Jeromu Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu na babu wa Kanisa. Sikukuu yake huadhimishwa ta ...

Optatus wa Milevi

Optatus wa Milevi alikuwa askofu wa Milevi, huko Numidia, katika karne ya 4; anakumbukwa hasa kwa maandishi yake bora dhidi ya Parmenianus na wafuasi wengine wa Donato Mkuu. Optatus alikuwa ameongokea Ukristo, alivyoandika Augustino wa Hippo, lab ...

Panfilo na wenzake

Panfilo na wenzake ni kundi la Wakristo 12 waliouawa huko Kaisarea ya Palestina kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Maximian. Wa kwanza kuuawa walikuwa Wakristo 5 wa Misri: Elia, Yeremia, Isaya, Samweli na Danieli ambao waliteswa na ...

Pasiano

Pasiano alikuwa askofu wa 2 wa mji huo kuanzia mwaka 365 hadi kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu na babu wa Kanisa. Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Machi.

Patrick wa Ireland

Patrick wa Ireland aliishi kuanzia mwaka 387 hivi hadi tarehe 17 Machi 461. Ni maarufu kama Mkristo kutoka Uingereza aliyepata kuwa mmisionari mkuu wa Ireland na anaheshimiwa kama mtakatifu msimamizi wa kisiwa hicho. Sikukuu yake inaadhimishwa ta ...

Patrologia Graeca

Patrologia Graeca ni mkusanyo wa maandishi ya Kigiriki, hasa ya Mababu wa Kanisa uliotolewa na J. P. Migne. Unafuata kwa jumla tarehe, kuanzia maandishi ya kwanza ya Ukristo hadi mwaka 1453. Una magombo 166: Kabla ya Mtaguso wa kwanza wa Nisea PG ...

Patrologia Latina

Patrologia Latina ni mkusanyo mkubwa wa maandishi ya Mababu wa Kanisa na waandishi wengine wa Kanisa Katoliki waliotumia lugha ya Kilatini. Ulitolewa na Jacques-Paul Migne kati ya mwaka 1844 na 1855, ukifuatwa na faharasa kati ya mwaka 1862 na 18 ...

Patrologia Orientalis

Patrologia Orientalis ni jaribio linaloendelea la kukusanya kwa mpango maandishi yote ya Mababu wa Kanisa waliotumia lugha za Kiaramu, Kiarmenia, Kiarabu, Kimisri, Geez, Kigeorgia na Kislavoni. Lengo lake ni kukamilisha kazi ya Migne katika mikus ...

Petro Krisologo

Petro Krisologo alikuwa askofu mkuu wa Ravenna aliyevutia umati wa watu kwenye imani kwa mafundisho yake yaliyo bora kwa hekima na ufasaha wa lugha. Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu na babu wa Kanisa. Mwaka 1729 Papa Benedikto XIII alimuo ...

Pierio

Pierio alikuwa padri ambaye inawezekana alikuwa mkuu wa Chuo cha Aleksandria kabla ya Achilas wa Aleksandria. Alistawi wakati Theonas alikuwa patriarki wa Alexandria. Alifariki Roma baada ya mwaka 309 Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, ingaw ...

Proklo wa Konstantinopoli

Proklo wa Konstantinopoli alikuwa askofu mkuu wa mji huo kuanzia mwaka 434 hadi kifo chake. Alitetea imani ya kuwa Bikira Maria anastahili kuitwa Mama wa Mungu dhidi ya askofu mkuu wa jimbo Nestori Anaheshimiwa tangu kale na Wakatoliki, Waorthodo ...

Prospa wa Akwitania

Prospa wa Aquitania, alikuwa mfuasi wa Augustino wa Hippo, mwandishi wa vitabu vya Kikristo, na mwendelezaji wa kwanza wa kitabu Chronicon cha Jeromu hadi mwaka 455. Ingawa alikuwa mlei, alijitosa katika mabishano kuhusu imani sahihi ya Kanisa Ka ...

Quodvultdeus

Quodvultdeus alikuwa Mberberi aliyehudumia kama askofu wa Karthago tangu mwaka 435 hadi 439 alipofukuzwa na mfalme Genseriki wa Wavandali Waario alipoteka mji huo. Hapo alihamia Napoli hadi kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Wao ...

Remigius wa Reims

Remigius au Remi wa Reims, alikuwa askofu wa Reims kwa miaka zaidi ya 60. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Saloni wa Geneva

Saloni wa Geneva alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 440. Mtoto wa watakatifu Eukeri wa Lyon na Galla, alilelewa kimonaki huko Lerins. Alitetea imani sahihi kadiri ya Papa Leo I na kuwa mwandishi mzuri wa Kilatini, vinavyoonyesha vitabu vyake ...

Teofilo wa Antiokia

Teofilo wa Antiokia alikuwa Patriarki wa Antiokia baada ya Eros na kabla ya Maximus I. Kutoka maandishi yake tunajua kwamba alizaliwa na Wapagani katika eneo la mito Tigri na Eufrate, na kwamba aliingia Ukristo kwa kusoma Biblia, hasa vitabu vya ...

Tertuliani

Quintus Septimius Florens Tertullianus, alikuwa padri na mwandishi maarufu wa Ukristo wa mwanzoni kutoka Karthago, mji wa mkoa wa Afrika katika Dola la Roma, leo nchini Tunisia. Ndiye Mkristo wa kwanza aliyeandika sana kwa Kilatini, akiathiri fas ...

Theofilo wa Aleksandria

Theofilo wa Aleksandria kuanzia mwaka 384 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria na Papa wa 23 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Vincent wa Lerins

Vincent wa Lerins alikuwa mmonaki nchini Galia, maarufu kwa maandishi yake ya teolojia. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 24 Mei.

Yakobo wa Sarug

Yakobo wa Sarug, alikuwa askofu wa mji huo, mwanateolojia na mwanashairi pamoja. Ni maarufu hasa kwa hotuba zake nyingi zaidi ya 700 kwa lugha ya Kiaramu ambazo zina umbo la mashairi. Ndiye mwakilishi muhimu zaidi wa Ukristo wa Kisiria baada ya E ...

Yohane Climacus

Yohane Climacus alikuwa mmonaki katika monasteri ya Mlima Sinai. Ni maarufu kwa maandishi na miujiza yake. Toka zamani anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Machi.

Yohane wa Dameski

Yohane wa Dameski alikuwa mmonaki, padri na mwanateolojia kutoka Dameski mji mkuu wa Siria. Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu na babu wa Kanisa. Mwaka 1883 Papa Leo XIII alimuongezea sifa ya mwalimu wa Kanisa. Ni msimamizi wa wachoraji. Si ...

Yohane wa Yerusalemu

Yohane II wa Yerusalemu alikuwa Patriarki wa Yerusalemu kuanzia mwaka 387 hadi kifo chake. Alishika nafasi ya Sirili aliyefariki 386. Wataalamu wanazidi kukubali kwamba Katekesi za Mafumbo zilizosemekana kuwa za Sirili, kumbe ni za kwake. Vilevil ...

Zeno wa Verona

Zeno wa Verona alikuwa askofu wa nane wa Verona kuanzia mwaka 362. Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Aprili au 21 Mei.

Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Kabla ya mwaka 1950 Mashahidi wa Yehova walitumia tafsiri nyingine zilizopatikana. Ilhali wanaamini ya kwamba makanisa yote yana kasoro nyingi hawakutaka kutegemea tena vitabu vyao, hivyo walianza kutengeneza tafsiri ya kwao wenyewe kwa lugha ya ...

Abibi na Apoloni

Abibi na Apoloni ni kati ya wamonaki Wakristo wa Misri wa karne ya 4. Abibi alipata ushemasi na ndiye aliyetangulia kufariki. Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu. Sik ...

Alipi wa mnarani

Alipi wa mnarani alikuwa shemasi ambaye aliishi kama mkaapweke na kupata umaarufu kwa kuishi miaka 40 juu ya mnara. Kutokana na sifa hiyo iliyomvutia wanafunzi wengi, aliweza kuanzisha monasteri mbili, kwa wanaume na kwa wanawake. Tangu kale anah ...

Andeoli

Andeoli alikuwa Mkristo kutoka Smirna aliyefanua umisionari huko Galia hadi alipouawa wakati wa dhuluma ya kaisari Septimius Severus. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa kila ta ...

Euplo

Euplo alikuwa shemasi aliyefia Ukristo kwa kukatwa kichwa wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini, hasa tarehe 12 Agosti ambayo ndiyo sikukuu yake.

Faustini na Jovita

Faustini na Jovita walikuwa Wakristo ambao walifia dini yao chini ya kaisari Hadrian. Inasemekana Faustini alikuwa shemasi na mwenzake mhubiri. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimi ...

Frutuosi, Auguri na Euloji

Frutuosi, Auguri na Euloji walikuwa Wakristo wa Tarragona, Hispania, waliofia dini yao kwa kuchomwa moto katika uwanja wa michezo wakati wa dhuluma ya kaisari Valerian na Galieni. Wa kwanza alikuwa askofu wa mji huo, wengine mashemasi wake. Habar ...

Habib Girgis

Habib Girgis alikuwa shemasi wa Kanisa la Wakopti aliyewajibika sana kuinua ujuzi wa dini katika Kanisa hilo. Alitangazwa na Sinodi yake kuwa mtakatifu tarehe 20 Juni 2013.

Haile Selassie

Haile Selassie alikuwa Kaisari au Negus Negeste wa Ethiopia. Kabla ya kuwa mfalme aliitwa Ras Tafari Makonnen. Jina lake la kifalme lina maana ya "Utukufu wa Utatu ". Pia anafahamika kwa jina la Simba wa Yuda, Mfalme wa wafalme. Alikuwa Mkristo, ...

Isauri, Inosenti na wenzao

Isauri, Inosenti na wenzao Felisi, Ermia, Pelegrino na Bazili walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma. Isauri alikuwa shemasi wa Athene Ugiriki aliyeondoka pamoja na Bazili ili wakashike maisha ya kitaw ...

Klementi na Agatanjelo

Klementi na Agatanjelo walikuwa askofu wa Ankara na shemasi wake aliyemfuata kutoka Roma. Walipata kuwa wafiadini wa Kikristo chini ya kaisari Diokletian ambaye alijaribu kumfanya Klementi aasi hata kwa mateso makali sana. Hatimaye waliuawa kwa k ...

Kukufas

Kukufas alikuwa shemasi aliyekwenda kuinjilisha eneo la Barcelona akauawa kwa kukatwa shingo huko Sant Cugat del Valles wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian wa Dola la Roma. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu ...

Laurenti Mfiadini

Laurenti alikuwa shemasi mkuu wa Kanisa la Roma hadi alipouawa kwa kubanikwa kutokana na imani yake katika Yesu. Laurenti alikuwa msimamizi wa mali ya Kanisa la Roma iliyotumiwa kwa ajili ya kuwasaidia maskini. Serikali ya Kaisari Valerian iliwah ...

Marko na Marseliani

Marko na Marseliani walikuwa ndugu pacha mashemasi waliouawa kutokana na imani yao ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian wa Dola la Roma. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini, pengine pamo ...

Paulo wa Roma

Paulo wa Roma alikuwa Mkristo aliyeuawa pamoja na ndugu yake Yohane tarehe 26 Juni 362 kwa ajili ya imani yake chini ya kaisari Juliani Mwasi. Inasemekana walikuwa matowashi na mashemasi na walikatwa vichwa vyao. Tangu kale wanaheshimiwa kama wat ...

Ponsyo wa Karthago

Ponsyo wa Karthago alikuwa shemasi wa Sipriani mfiadini katika Tunisia ya leo. Alikwenda naye uhamishoni, hatimaye akaandika habari za maisha yake na za kifodini chake Vita Cypriani. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtak ...

Romolo wa Fiesole

Romolo wa Fiesole alikuwa shemasi wa Kanisa Katoliki katika karne za kwanza BK. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Julai.

Siriaki, Largi na wenzao

Siriaki, Largi na wenzao Kreshensiani, Memia, Juliana na Smaragdo ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma. Siriaki alikuwa shemasi na mzinguaji. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi ...

Yohane wa Roma

Yohane wa Roma alikuwa Mkristo aliyeuawa pamoja na ndugu yake Paulo tarehe 26 Juni 362 kwa ajili ya imani yake chini ya kaisari Juliani Mwasi. Inasemekana walikuwa matowashi na mashemasi na walikatwa vichwa vyao. Tangu kale wanaheshimiwa kama wat ...

Mapadri wa Betharram

Mapadri wa Moyo Mtakatifu wa Yesu wa Betharram ni shirika la kitawa la Kanisa Katoliki. Lilianzishwa na mtakatifu padri Mikaeli Garicoits 15 Aprili 1797 - 14 Mei 1863 mwaka 1838 huko Betharram, chini ya milima ya Pirenei, maili 8 kutoka Lourdes, ...

Maryknoll

Maryknoll ni jina la mashirika ya kitawa ya Kanisa Katoliki kutoka nchini Marekani. Jina limetokana na seminari ya kufunza mapadre iliyoanzishwa mwaka 1920 iliyoitwa kwa heshima ya Bikira Maria "Mary´s Knoll". Shabaha yake ni uenezaji wa imani ya ...

Masista wa Imakulata wa Mt. Klara

Masista wa Imakulata wa Mt. Klara ni shirika la kitawa lenye hadhi ya Kipapa ambalo linaendeleza kazi ya malezi iliyoanzishwa mwaka 1741 na akina dada watatu huko Fiuggi. Majina ya hao Akina Dada Faioli ni Teresa, Cecilia e Antonia, ambao, kisha ...

Masista Watersiari Wakapuchini wa Familia Takatifu

Masista Watersiari Wakapuchini wa Familia Takatifu ni watawa Wafransisko wanaounda shirika la Kipapa lililoanzisha na Luis Amigo. Ufupisho wake ni H.T.C.F.S. kwa Kihispania Hermanas Terciarias Capuchinas de la Sagrada Familia.

Ndugu wa Kiume na wa Kike wa Bethlehemu

Ndugu wa Kiume na wa Kike wa Bethlehemu ni utawa wa Kanisa Katoliki ambao ulianzishwa na Petro wa Betancur nchini Guatemala katika karne ya 17, ukiwa wa kwanza barani Amerika. Baada ya kufutwa, ulifufuliwa na Papa Yohane Paulo II tarehe 16 Januar ...