ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 25

Waoratori

Waoratori ni mapadri na mabruda wa Kanisa Katoliki wanaoishi pamoja kijumuia kwa kufungwa na upendo, bila ya nadhiri. Shirika hilo lilianzishwa na Filipo Neri 1515–1595 mjini Roma. Leo lina nyumba zaidi ya 70 ulimwenguni kote, zikiwa na mapadri 5 ...

Shirika la Mkombozi

Shirika la Mkombozi Mtakatifu sana ni shirika la kitawa la kimisionari la Kanisa Katoliki lililoanzishwa na Alfonso Maria wa Liguori tarehe 9 Novemba 1732 huko Scala ili kushughulikia watu waliosahaulika wa mkoa wa Napoli. Kwa Kiingereza wanashir ...

Unovisi

Unovisi ni kipindi cha pekee katika malezi ya mashirika ya kitawa. Ni kama kiini chake, na kwa sababu hiyo sheria za Kanisa zinakiratibu kwa uangalifu mkubwa. Aliyejisikia wito, kwanza anaandaliwa miaka au walau miezi ili kuziba mapengo ya malezi ...

Waaugustino

Waaugustino ni hasa watawa wanaofuata kanuni ya Agostino wa Hippo. Kwa Kilatini shirika lao linaitwa Ordo Fratrum Sancti Augustini. Tangu muda mrefu linahesabiwa kati ya mashirika ya ombaomba.

Wahumiliati

Wahumiliati walikuwa watawa wanaume nchini Italia wanaodhaniwa walianzishwa katika karne ya 12. Papa Innocent III aliwapa kanuni ya kufanana na Kanuni ya Toba ya Wafransisko. Ingawa walishika imani sahihi ya Kanisa Katoliki walitiwa mara nyingi s ...

Wakamaldoli

Wakamaldoli ni Wabenedikto wanaomfuata mkaapweke Romualdo Abati, mwanzilishi wa monasteri ya Camaldoli katika karne ya 11. Urekebisho huo wa umonaki wa Benedikto wa Nursia uliathiri vizuri sana Kanisa Katoliki hasa kupitia kardinali wake Petro Da ...

Wakapuchini

Wakapuchini ni watawa Wafransisko wa Kanisa Katoliki. Idadi yao inapita ndugu wanaume 10.000 duniani kote wakiongozwa na ndugu Mauro Jöhri wa kanda ya Uswisi. Ni shirika la kiume la nne kwa wingi wa watawa duniani.

Wakarmeli Peku

Wakarmeli Peku ni watawa wa Kanisa Katoliki wanaofuata urekebisho wa shirika la Wakarmeli ulioanzishwa na Teresa wa Yesu katika karne ya 16 huko Hispania. Upande wa wanaume alisaidiwa na Yohane wa Msalaba. Mbali ya waanzilishi hao wawili, shirika ...

Waklara

Karne XV hadi XVIII ziliona monasteri za Waklara kuhuishwa tena, kufuatana na marekebisho ya Ndugu Wadogo kama ilivyotokea kwa wanawake wa mashirika mengine, halafu na Mtaguso wa Trento na maagizo ya Mapapa, lakini pia kutokana na karama yenyewe ...

Waklara Wakapuchini

Waklara Wakapuchini ni wanawake wamonaki wanaomfuata Yesu kadiri ya karama ya Fransisko wa Asizi na Klara wa Asizi katika maisha ya sala tu. Ni kwamba urekebisho wa Ndugu Wadogo Wakapuchini ulisababisha mapema tawi hilo jipya la Waklara linalodum ...

Wakonventuali

Utawa wa Ndugu Wadogo Wakonventuali, au Wafransisko Wakonventuali, ni tawi la shirika la wanaume lililoanzishwa na Fransisko wa Asizi mwaka 1209.

Wapasionisti

Wapasionisti ni shirika la kitawa la kikleri la Kipapa la wanaume Wakatoliki lililoanzishwa na Paulo wa Msalaba mwaka 1725 kwa kusisitiza ibada kwa mateso ya Yesu. Mwaka 2016 walikuwa 1.964, wakiwemo mapadri 1.540.

Waskolopi

Waskolopi ni jina lililozoeleka la watawa wa shirika linaloitwa kwa Kilatini Ordo Clericorum Regularium pauperum Matris Dei Scholarum Piarum. Lengo ni kuwapa elimu watoto maskini. Shirika hilo lilianzishwa na Yosefu Calasanz tarehe 25 Machi 1617 ...

Wastigmatini

Wastigmatini ni shirika la kitawa la kikleri la Kanisa Katoliki. Jina rasmi ni Congregatio a Sacris Stigmatibus Domini Nostri Iesus Christi, kifupisho chake ni C.S.S.

Wateatini

Wateatini ni utawa wa kikleri wa Kanisa Katoliki ulioanzishwa na Gaetano wa Thiene, Paolo Consiglieri, Bonifacio da Colle, na Giovanni Pietro Carafa. Aina hiyo mpya ya shirika likawa kielelezo kwa mengine mengi, kama vile Wajesuiti, Wabarnaba, Wa ...

Watrapisti

Watrapisti ni wamonaki wa Kanisa Katoliki wanaofuata kikamilifu urekebisho wa umonaki wa Kibenedikto ambao ulianza Citeaux tarehe 21 Machi 1098 ukaenea haraka kila mahali katika karne ya 12, hasa kutokana na mvuto wa mwanashirika Bernardo wa Clai ...

Watrinitari

Shirika la Utatu Mtakatifu ni utawa wa Kanisa Katoliki ambao ulianzishwa kwenye eneo la Cerfroid, kilometa 80 hivi kaskazini mashariki kwa Paris, mwishoni mwa karne ya 12. Mwanzilishi wake alikuwa Yohane wa Matha, ambaye alikubaliwa na Papa Innoc ...

Watumishi wa Maria

Utawa wa Watumishi wa Maria, kwa Kilatini Ordo Servorum Beatae Virginis Mariae, ni shirika la maisha ya wakfu aina ya ombaomba katika Kanisa Katoliki. Ulianzishwa mjini Firenze Italia mwaka 1233 hivi, na kundi la waamini maarufu kama waanzilishi ...

Wavinsenti

Wavinsenti ni Wakristo wa Kanisa Katoliki na wa Ushirika wa Anglikana wanaofuata karama, mafundisho na mfano vya Vinsenti wa Paulo, padri wa karne ya 17 aliyebadili sura ya nchi yake, Ufaransa, hasa kwa kuhudumia kwa upendo watu fukara. Ni kati y ...

Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji

Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji ni chuo kikuu chipukizi kinachokua haraka katika mji wa Mbeya kinachopatikana tangu mwaka 2005. Kinatoa kozi kwenye vitivo au idara nne za Ualimu Faculty of Education Teolojia Faculty of Theology Fani za sanaa na So ...

Kanisa la Moravian

Kanisa la Moravian ni madhehebu ya Ukristo wa Kiprotestanti yaliyoanzishwa mwaka 1722 katika Ujerumani na wakimbizi kutoka Moravia. Baadaye yakaenea katika nchi nyingi kwa juhudi kubwa za kimisionari; leo hii ni kanisa dogo kimataifa, lakini nchi ...

Kanisa la Moravian Jimbo la Jamaika

Kanisa la Moravian Jimbo la Jamaika ni kitengo cha Kanisa la Moravian duniani. Eneo la jimbo hili ni nchi ya kisiwani ya Jamaika pamoja na funguvisiwa ya Cayman katika Bahari ya Karibi ya Amerika ya Kati. Jimbo hili limeanzisha pia kazi ya mision ...

Kanisa la Moravian Kusini Magharibi Tanzania

Kanisa la Moravian Kusini Magharibi Tanzania ni jimbo la Kanisa la Moravian Tanzania hasa katika wilaya za Mbeya, Mbozi, Chunya na Mbarali wa mkoa wa Mbeya. Pia shirika mpya za Moravian kaskazini mwa Tanzania ziko chini ya jimbo hili ambazo ni Ar ...

Kanisa la Moravian Tanzania

Kanisa la Moravian Tanzania ni muungano wa majimbo ya Kanisa la Moravian nchini Tanzania. Makao makuu yapo Mbeya mjini. Idadi ya Wakristo wake imekadiriwa kuwa 738.000.

Teofilo Kisanji

Teofilo Hiobo Kisanji alikuwa mwalimu, mchungaji na baadaye askofu Mwafrika wa kwanza wa Kanisa la Moravian Tanzania.

Nikolaus von Zinzendorf

Alizaliwa mjini Dresden katika familia ya makabaila Wajerumani Walutheri. Baba yake alikufa alipokuwa mdogo, akalelewa na bibi yake aliyemshawishi kwa mwelekeo wa uamsho wa Kikristo wa upietisti. Baada ya kumaliza shule alisoma sheria kwenye chuo ...

Papa Benedikto IX

Papa Benedikto IX alipata kuwa Papa mara tatu: ya kwanza tangu Oktoba 1032 hadi Septemba 1044, ya pili tangu Aprili hadi Mei 1045, na ya tatu tangu Novemba 1047 hadi Julai 1048. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Theophylactus wa Tusculum. Alimfuata ...

Papa Boniface III

Papa Boniface III alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Februari 607 hadi kifo chake tarehe 12 Novemba 607. Alimfuata Papa Sabiniano akafuatwa na Papa Bonifasi IV. Ingawa aliongoza muda mfupi, alichangia sana uimarishaji wa miundo ya Kanisa Katoliki.

Papa Boniface V

Papa Boniface V alikuwa Papa kuanzia tarehe 23 Desemba 619 hadi kifo chake tarehe 25 Oktoba 625. Alimfuata Papa Adeodato I akafuatwa na Papa Honorius I.

Papa Eugenio I

Papa Eugenio I alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Agosti 654 hadi kifo chake tarehe 2 Juni 657. Alimfuata Papa Martin I akafuatwa na Papa Vitalian. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 2 Juni.

Papa Gregori VII

Papa Gregori VII, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Aprili 1073 hadi kifo chake ugenini. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ildebrando wa Soana. Alimfuata Papa Aleksanda II akafuatwa na Papa Vikta III. Alitangazwa na Papa Gregori XIII kuwa mwenye ...

Papa Gregori XIII

Papa Gregori XIII alikuwa Papa wa Kanisa Katoliki kuanzia tarehe 13 Mei 1572 hadi kifo chake. Alimfuata Papa Pius V akafuatwa na Papa Sixtus V. Anakumbukwa hasa kwa matengenezo ya kalenda iliyokuja kujulikana kama "kalenda ya Gregori" ikawa kalen ...

Papa Hormisdas

Papa Hormisdas alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Julai 514 hadi kifo chake tarehe 6 Agosti 523. Alimfuata Papa Simako akafuatwa na Papa Yohane I. Alipochaguliwa alikuwa shemasi mjane; kutokana na ndoa yake alikuwa na mwana aliyekuja kuwa Papa Silver ...

Papa Klementi XI

Papa Klementi XI alikuwa Papa kuanzia tarehe 23 Novemba 1700 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Francesco Albani. Alimfuata Papa Inosenti XII akafuatwa na Papa Inosenti XIII.

Papa Leo III

Papa Leo III alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Desemba 795 hadi kifo chake. Alimfuata Papa Adriano I akafuatwa na Papa Stefano IV. Leo III amejulikana hasa kwa tendo lake la kumtia Karolo Mkuu taji la Kaisari wa Roma tarehe 25 Desemba mwaka 800. Leo ...

Papa Leo IX

Papa Leo IX alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Februari 1049 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bruno wa Eguisheim-Dagsburg. Alimfuata Papa Damaso II akafuatwa na Papa Viktor II. Alitangazwa na Papa Gregori VII kuwa mtakatifu mwaka 1082. ...

Papa Leo V

Papa Leo V alikuwa Papa kuanzia Julai 903 hadi kifo chake mwezi wa Septemba 903. Jina lake la kuzaliwa halijulikani. Alimfuata Papa Benedikto IV akafuatwa na Papa Sergio III.

Papa Liberius

Papa Liberius alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Mei 352 hadi kifo chake tarehe 24 Septemba 366. Alimfuata Papa Julius I akafuatwa na Papa Damaso I. Liberius ni Papa wa kwanza ambaye haheshimiwi kama mtakatifu.

Papa Martin I

Papa Martin I alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Julai 649 hadi kifodini chake tarehe 16 Septemba 655. Alimfuata Papa Theodor I akafuatwa na Papa Eugenio I. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 13 Aprili.

Papa Nikolasi I

Papa Nikolasi I au Nikolasi Mkuu alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Aprili 858 hadi kifo chake. Alimfuata Papa Benedikto III akafuatwa na Papa Adriano II. Anakumbukwa kwa kuimarisha mamlaka ya Papa wa Roma, akichangia ustawi wa cheo hicho, hasa katik ...

Orodha ya ziara za kichungaji za Papa Fransisko

Brazil 22 hadi 29 Julai 2013 Papa Fransisko alizuru Rio de Janeiro, Brazil, Siku ya Vijana Duniani 2013. Ni ziara pekee nje ya nchi iliyokuwa katika ratiba yake kwa mwaka wa 2013.Francis alikaribishwa rasmi Brazil katika sherehe iliyofanyika kati ...

Papa Paulo VI

Papa Paulo VI alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Juni 1963 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Enrico Antonio Maria Montini. Alimfuata Papa Yohane XXIII akafuatwa na Papa Yohane Paulo I. Alitangazwa na Papa Fransisko kuw ...

Papa Pius IV

Papa Pius IV alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Desemba 1559 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Angelo de Medici. Alimfuata Papa Paulo IV akafuatwa na Papa Pius V.

Papa Pius V

Papa Pius V, O.P. alikuwa Papa kuanzia tarehe 7 Januari 1566 hadi kifo chake. Alimfuata Papa Pius IV akafuatwa na Papa Gregori XIII. Umuhimu wake katika historia ya Kanisa ni kwamba ndiye alishughulikia utekelezaji wa Mtaguso wa Trento kwa ajili ...

Papa Pius X

Papa Pius X alikuwa Papa kuanzia tarehe 4 Agosti 1903 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giuseppe Sarto. Alimfuata Papa Leo XIII na kuvishwa taji la Kipapa tarehe 9 Agosti 1903, wa kwanza katika karne ya 20. Akafuatwa na Papa Benedik ...

Papa Celestino V

Papa Celestino V, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia tarehe 7 Julai 1294 hadi 13 Desemba 1294. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Angelerio. Baada yake hakuna Papa tena aliyejichagulia jina la Celestino. Alimfuata Papa Nikolasi IV. Ni maarufu kwa kuw ...

Papa Sergio I

Papa Sergio I alikuwa Papa kuanzia tarehe 15 Desemba 687 hadi kifo chake tarehe 8 Septemba 701. Alimfuata Papa Konon akafuatwa na Papa Yohane VI. Alizaliwa Palermo Italia katika familia kutoka Syria. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waort ...

Papa Stefano III

Papa Stefano III alikuwa Papa kuanzia tarehe 7 Agosti 768 hadi kifo chake. Jina la baba yake lilikuwa Olivus. Alimfuata Papa Paulo I akafuatwa na Papa Adriano I.

Papa Yohane Paulo I

Papa Yohane Paulo I alikuwa Papa kwa siku 33 tu kuanzia 26 Agosti 1978 hadi kifo chake kilichotokea ghafla usiku kutokana na ugonjwa wa moyo uliomsumbua tangu zamani. Mzaliwa wa Italia Kaskazini, jina lake la kuzaliwa lilikuwa Albino Luciani. Baa ...

Papa Yohane VI

Papa Yohane VI alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Oktoba 701 hadi kifo chake tarehe 11 Januari 705. Alizaliwa Efeso leo katika nchi ya Uturuki. Alimfuata Papa Sergio I akafuatwa na Papa Yohane VII.