ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 26

Jumapili ya matawi

Jumapili ya matawi katika mwaka wa Kanisa wa madhehebu mbalimbali ya Ukristo ndiyo siku inapoadhimishwa jinsi Yesu Kristo alivyoingia mara ya mwisho Yerusalemu ili kufa na kufufuka kwa wokovu wa binadamu wote. Kadiri ya Injili zote, siku hiyo ali ...

Maria kutolewa hekaluni

Adhimisho linatokana na habari ambayo haipatikani katika Agano Jipya, ila katika Injili ya Yakobo. Humo inasimuliwa kwamba wazazi wa Bikira Maria, Yohakimu na Ana, ambao hawakuwa na watoto, walipata ujumbe kutoka mbinguni kwamba watapata mtoto. K ...

Mitume Petro na Paulo

Sherehe ya Mitume Petro na Paulo ni sikukuu ya fahari kwa heshima ya kifodini cha watakatifu hao kilichotokea mjini Roma katika miaka ya 60 BK kutokana na dhuluma dhidi ya Wakristo ambayo ilianzishwa na Kaisari Nero mwaka 64 na kuendelea hadi ali ...

Sikukuu ya msalaba

Sikukuu ya msalaba ni adhimisho la liturujia ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo wa mashariki na vilevile ya Ukristo wa magharibi, ingawa tarehe zinatofautiana. Sikukuu inaitwa kwa Kigiriki Ὕψωσις τοῦ Τιμίου καὶ Ζωοποιοῦ Σταυροῦ "Kuinuliwa kwa Msa ...

Ulinzi wa Mama wa Mungu

Ulinzi wa Mama wa Mungu ni sikukuu ya Bikira Maria inayoadhimishwa na Waorthodoksi na Wakatoliki wa Mashariki wanaofuata mapokeo ya Kigiriki. Inatokana na imani ya Wakristo wengi katika uwezo wa sala ya Mama wa Mungu kwa ajili ya binadamu. Tarehe ...

True Jesus Church

"True Jesus Church" ni kanisa la kujitegemea la Ukristo wa Kiprotestanti lililo na asili huko Beijing, Uchina, mwaka 1917. Kanisa hilo linaamini teolojia ya "Mungu Mmoja wa Kweli". Mwenyekiti wa sasa wa TJC International Assembly aliyechaguliwa n ...

Wakristadelfiani

Wakristadelfiani ni dhehebu dogo la Ukristo lililoanzishwa katika Uingereza na Marekani katika karne ya 19. Jina lilibuniwa na mwanzilishi wake John Thomas aliyeunganisha maneno ya Kigiriki "khristos" na "adelfoi" kwa maana ya ndugu wa Kikristo". ...

Abati

Abati ni cheo cha mkuu wa monasteri yenye wamonaki wengiwengi hasa katika Kanisa Katoliki. Jina linatokana na Kilatini abbas, mkoko kutoka Kiaramu אבא Abba, yaani "baba". Kiongozi wa monasteri ya kike anaitwa pengine abesi. Nchini Tanzania Wabene ...

Waraka kwa Tito

Barua kwa Tito ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Pamoja na barua mbili kwa Timotheo inaunda kundi la Nyaraka za Kichungaji. Mada za hizo zote ni mafundisho sahihi ya imani na uadilifu wa matendo yanayofuat ...

Waraka wa kwanza kwa Timotheo

Barua ya kwanza kwa Timotheo ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la Nyaraka za Kichungaji. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia ki ...

Waraka wa pili kwa Timotheo

Barua ya pili kwa Timotheo ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Ni moja ya kundi la Nyaraka za Kichungaji. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wok ...

Waraka kwa Waefeso

Barua kwa Waefeso ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya ambalo pamoja na Agano la Kale linaunda Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya ma ...

Waraka kwa Wafilipi

Waraka kwa Wafilipi ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa ...

Waraka kwa Wagalatia

Barua kwa Wagalatia ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa ...

Injili Ndugu

Injili Ndugu ni Injili 3 za kwanza katika Agano Jipya ya Biblia ya Kikristo ambazo ni: Injili ya Marko na Injili ya Luka. Injili ya Mathayo, Injili hizo tatu zinafanana katika lugha na yaliyomo zikitofautishwa na Injili ya Yohane inayoonekana kut ...

Waraka kwa Wakolosai

Waraka kwa Wakolosai ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya ambalo pamoja na Agano la Kale linaunda Biblia ya Wakristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya ...

Waraka wa kwanza kwa Wakorintho

Barua ya kwanza kwa Wakorintho ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa ...

Waraka wa pili kwa Wakorintho

Waraka wa pili kwa Wakorintho ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Ni kati ya barua mbili zilizomo za Mtume Paulo kwa Wakristo mjini Korintho. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfu ...

Nyaraka za Kichungaji

Nyaraka za Kichungaji ni kundi la maandiko ya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Jina hilo linajumlisha barua moja kwa Tito na mbili kwa Timotheo, ambao walikuwa washiriki wakuu wa kazi ya Mtume Paulo, wakawa waandamizi wake. Wataalamu wanabi ...

Nyaraka (Biblia)

Kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya, 21 vina mtindo wa barua au nyaraka. Hiyo ni tofauti kabisa na Agano la Kale, ambamo vitabu kadhaa vinazileta, lakini si kitabu kizima hata kimoja. Paulo ndiye aliyetumia zaidi mtindo huo ili afikie na ujumbe na ...

Nyaraka za Paulo

Nyaraka za Paulo ni maandiko ya Biblia ya Kikristo 13 yenye mtindo wa nyaraka au barua yanayomtaja Mtume Paulo kama mwandishi. Wataalamu wa leo hutofautiana kama kweli nyaraka hizo zote zimeandikwa na Paulo mwenyewe. Kwa jumla saba zimetambuliwa ...

Waraka wa kwanza wa Petro

Waraka wa kwanza wa Petro ni kati ya vitabu 27 vinavyounda Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo ...

Waraka wa pili kwa Wathesaloniki

Waraka wa pili kwa Wathesalonike ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Ni barua ya Paulo wa Tarso kwa ushirika wa Wakristo katika mji wa Thesalonike Ugiriki wa Kale. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatak ...

Waraka wa kwanza kwa Wathesaloniki

Waraka wa kwanza kwa Wathesalonike ni kitabu cha Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Ni barua iliyoandikwa na Paulo wa Tarso kwa Wakristo wa mji wa Thesaloniki katika Ugiriki ya Kale. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa k ...

Waraka wa pili wa Yohane

Waraka wa pili wa Yohane ni kitabu kifupi kuliko vyote 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufu ...

Waraka wa tatu wa Yohane

Waraka wa tatu wa Yohane ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufun ...

Waraka wa Yakobo

Waraka wa Yakobo ni kati ya vitabu 27 vinavyounda Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu ...

Waraka wa kwanza wa Yohane

Waraka wa kwanza wa Yohane ni kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mun ...

Waraka wa Yuda

Waraka wa Yuda ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mung ...

Janani Luwum

Janani Jakaliya Luwum alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Anglikana la Uganda kati ya miaka 1974 na 1977. Alihesabiwa kuwa kati ya viongozi muhimu wa Kanisa la kikristo katika Afrika. Mwaka 1977 aliuawa ama na Idi Amin mwenyewe au kwa amri yake. Anahes ...

Yohane Bunyan

John Bunyan alikuwa mhubiri na mwandishi wa Kikristo kutoka Uingereza. Anaheshimiwa na Waanglikana kama mtakatifu, hasa tarehe 29 Agosti, 30 Agosti au 31 Agosti.

Atanasi wa Beni Suef

Atanasi wa Beni Suef alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Kanisa la Kikopti nchini Misri akijitahidi kuleta urekebisho na kujenga uhusiano mzuri na madhehebu na dini nyingine.

Dioskoro II wa Aleksandria

Dioskoro II wa Aleksandria kuanzia mwaka 516 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria na Papa wa 31 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Oktoba.

Mathayo I wa Aleksandria

Mathayo I wa Aleksandria kuanzia mwaka 1378 hadi 1408 alikuwa Patriarki wa 87 wa Wakopti. Akiwa na umri wa miaka 14 alijiunga na monasteri na kufikia miaka 18 alipewa upadrisho. Alisaidia kujulisha Waislamu kwamba Wakristo wa Misri hawahusiki na ...

Onufri mkaapweke

Onufri mkaapweke aliishi miaka sitini au sabini jangwani katika Misri Kusini katika karne ya 4 au ya 5 bila kuonekana na mtu, kiasi kwamba hakuvaa nguo yoyote. Habari zake zimesimuliwa na Pafnusi wa Tebe, ambaye peke yake alifaulu kumuona mwishon ...

Petro III wa Aleksandria

Petro III wa Aleksandria kuanzia mwaka 477 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria na Papa wa 27 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake. Maandishi yake hayajatufika.

Samueli wa Kalamun

Samueli wa Kalamun ni Mkopti ambaye aliteswa na Waorthodoksi wa Bizanti, alishuhudia uvamizi wa Waarabu nchini Misri, na alijenga monasteri kwenye Mlima Qalamoun. Waorthodoksi wa Mashariki wanamheshimu kama mtakatifu.

Simoni Mshonangozi

Simoni Mshonangozi alikuwa Mkristo anayehusishwa na muujiza wa kuhamisha mlima wakati wa Abrahamu wa Aleksandria. Ni kwamba chini ya khalifa Al-Muizz serikali ya Kiislamu ilibadilibadili sera zake kuhusu Wakopti. Inasemekana kwamba Al-Muizz alipe ...

Wafiadini Wakopti wa Libya

Wafiadini Wakopti wa Libya ni Wakristo 20 wa Kikopti kutoka Misri na Matthew Ayariga kutoka Ghana waliotekwa na Waislamu wenye itikadi kali wa Daish huko Sirte, Libya, walipokuwa wanafanya kazi ya ujenzi tarehe 27 Desemba 2014 na mnamo Januari 20 ...

Jumuiya ya ibada za nyumba kwa nyumba

Jumuiya ya ibada za nyumba kwa nyumba ni ibada maalumu zinazofanyika katika nyumba za Wakristo wa Kilutheri zilizoanzishwa makusudi ili kulinda uwepo wa Mungu miongoni mwa waumini. Zaidi sana ibada hizi zina lengo la kuwakumbusha na kuwakumbatia ...

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ni muungano wa Kilutheri katika nchi ya Tanzania. Mwaka 1938 makanisa saba ya Kilutheri yaliungana kama Muungano wa Makanisa ya Kilutheri, na tarehe 19 Juni 1963 yalikuwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Ta ...

Maroni

Maroni Mārōn ; kwa Kiarabu: مار مارون ‎) alikuwa padri mwenye juhudi za kimisionari nchini Siria. Ndiye mwanzilishi wa tapo la kiroho lenye jina lake ambalo lilizaa nchini Lebanon Kanisa la Wamaroni lililomo katika ushirika kamili na Kanisa la Ro ...

Charbel Makhlouf

Charbel Makhluf, kwa Kiarabu مار شربل, M, aliitwa kwanza Youssef Antoun Makhlouf alipozaliwa huko Bekaa Kafra katika nchi ya Lebanon kaskazini mpaka akawa mmonaki wa Kanisa la Wamaroni, halafu pia padri. Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tare ...

Nimattullah Kassab Al-Hardini

Nimatullah Kassab Al-Hardini, O.L.M., alikuwa mmonaki padri na msomi wa Kanisa la Wamaroni nchini Lebanoni. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 10 Mei 1998 na mtakatifu tarehe 16 Mei 2004. Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka siku ...

John Maron

John Maron aliongoza Kanisa la Wamaroni kama Patriarki wake wa kwanza. Baada ya kuwa mmonaki wa monasteri ya Mtakatifu Maroni, mwaka 676 alipewa uaskofu, halafu akawa askofu mkuu wa mji wa Antiokia kuanzia mwaka 685 hadi alipofariki. Ametambuliwa ...

African Methodist Episcopal Church

African Methodist Episcopal Church ni kanisa la kwanza lililoanzishwa na Wamarekani Weusi katika Marekani. Lilianzishwa na mchungaji Richard Allen mjini Philadelphia, Pennsylvania mnamo mwaka 1816, wakati makanisa kadhaa ya Wamethodisti Weusi wal ...

Abba Aftse

Abba Aftse alikuwa mmonaki aliyefanya umisionari katika Ethiopia ya leo akaanzisha monasteri chini ya kanuni ya Pakomi huko Yeha. Ni kati ya kundi la Watakatifu Tisa wa Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia wanaosemekana kukimbilia nchi hiyo kutoka ...

Abba Alef

Abba Alef alikuwa mmonaki aliyefanya umisionari katika Ethiopia ya leo akaanzisha monasteri chini ya kanuni ya Pakomi huko Biisa. Ni kati ya kundi la Watakatifu Tisa wa Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia wanaosemekana kukimbilia nchi hiyo kutoka ...

Abba Garima

Abba Garima alikuwa mmonaki aliyefanya umisionari katika Ethiopia ya leo akaanzisha monasteri chini ya kanuni ya Pakomi kaskazini kwa Adowa. Ni kati ya kundi la Watakatifu Tisa wa Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia wanaosemekana kukimbilia nchi h ...

Abba Guba

Abba Guba alikuwa mmonaki aliyefanya umisionari katika Ethiopia ya leo akaanzisha monasteri chini ya kanuni ya Pakomi huko Madara. Ni kati ya kundi la Watakatifu Tisa wa Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia wanaosemekana kukimbilia nchi hiyo kutoka ...