ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 28

Emanueli Gonzalez Garcia

Emanueli González García alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki, jimbo la Palencia nchini Hispania tangu mwaka 1935 hadi kifo chake. Alijulikana kwa ibada kubwa aliyokuwanayo kwa Yesu Ekaristi ambayo alijitahidi kuieneza kotekote. Kwa ajili hiyo alian ...

Petro Juliani Eymard

Petro Juliani Eymard alikuwa padri wa Kanisa Katoliki, aliyeanzisha mashirika mawili ya kitawa. Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XI tarehe 12 Julai 1925, na mtakatifu na Papa Yohane XXIII tarehe 9 Desemba 1962. Sikukuu yake huadhimishwa kila ...

Fintano wa Clonenagh

Fintano wa Clonenagh alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Kiselti, mwanafunzi wa Kolumba wa Tirda-Gals. Alishika maisha magumu sana hadi kifo chake bila kujali hoja za kumpinga. Baada ya kukaa upwekeni muda mrefu alipata wafuasi wengi akaanzisha monaste ...

Fransiska wa Roma

Fransiska wa Roma alikuwa mtawa kutoka Roma, Italia. Ametambuliwa na Kanisa Katoliki chini ya Papa Paulo V kuwa mtakatifu kuanzia mwaka wa 1608. Tarehe ya kifo chake, yaani 9 Machi ndiyo sikukuu yake.

Fransisko wa Paola

Fransisko wa Paola alikuwa mtawa nchini Italia. Ametambuliwa na Kanisa Katoliki chini ya Papa Leo X kuwa mtakatifu kuanzia mwaka 1519. Tarehe ya kifo chake, yaani 2 Aprili, pia ni sikukuu yake.

Gaetano wa Thiene

Gaetano wa Thiene, alikuwa padri wa Italia ambaye alichangia sana uamsho wa Kanisa wakati wa Urekebisho wa Kikatoliki hasa kwa njia ya aina mpya ya utawa aliyoianzisha, maarufu kwa jina la Wateatini, iliyopata kufunga njia kwa mashirika mengine k ...

Antoni wa Mt. Ana

Antoni wa Mt. Ana Galvão, O.F.M., kwa Kireno Antônio de SantAnna, maarufu nchini Brazil kama Frei Galvão alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo wakati wa ukoloni. Mmoja kati ya Wakristo wanaojulikana zaidi kati ya watu wa nchi yake, pia kutokan ...

Mikaeli Garicoits

Mikaeli Garicoits, alikuwa padri wa Ufaransa mwenye asili ya Kibaski Papa Pius XI alimtangaza kuwa mwenye heri tarehe 15 Machi 1923, halafu papa Pius XII kuwa mtakatifu tarehe 6 Julai 1947. Sikukuu yake huadhimishwa siku ya kifo chake, tarehe 14 Mei.

Luigi Guanella

Luigi Guanella alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia Kaskazini. Alianzisha mashirika ya kitawa ya Mabinti wa Mt. Maria wa Maongozi ya Mungu 1890 na Watumishi wa Upendo huko Como 24 Machi 1908, akishirikiana na rafiki zake David Albertari ...

Arnold Janssen

Mtakatifu Arnold Janssen alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka nchi ya Ujerumani aliyeanzisha mashirika ya wamisionari wa kiume na wa kike. Mwaka 2003 alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari.

Jeromu Emiliani

Jeromu Emiliani alikuwa padri na mtawa nchini Italia. Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu na msimamizi wa mayatima. Sikukuu yake ni tarehe 8 Februari.

Kamili wa Lellis

Kamili wa Lellis alikuwa padri na mwanzilishi wa shirika la kitawa maalumu kwa ajili ya huduma za wagonjwa: Watumishi wa Wagonjwa, kwa kifupi M.I. Alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri mwaka 1742, halafu mtakatifu mwaka 1746. Sikukuu ...

Krodegango

Krodegango alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 742 au 748 akibaki chansela wa mfalme Karolo Nyundo, ndugu yake. Aliandika pia kanuni maarufu kwa jumuia za wakanoni iliyoandaa urekebisho wa Kanisa la Ulaya magharibi utakaofanywa na Karolo Mkuu. ...

Yohane Baptista de La Salle

Yohane Baptista de la Salle alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mlezi wa vijana wengi, ambaye kwa ajili yao alianzisha shirika la Mabradha wa Shule za Kikristo. Anahesabiwa mwanzilishi wa shule Katoliki duniani. De La Salle anahesabiwa pia kuwa w ...

Yohane Leonardi

Yohane Leonardi alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa shirika la Wakleri wa kanuni wa Mama wa Mungu mjini Lucca. Leonardi alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri tarehe 10 Novemba 1861, halafu na Papa Pius XI kuwa mtakatifu 1938 ...

Ludoviko wa Casoria

Ludoviko wa Casoria, O.F.M., alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo na padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia. Alipata umaarufu kwa kupambana na ufukara wa jamii na kwa kuanzisha mashirika mawili ya kitawa: Ndugu wa Kijivu wa Upendo na Masista ...

Magdalena wa Canossa

Magdalena wa Canossa alikuwa mwanamke mtawa wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha mashirika ya Mabinti wa Upendo na Wana wa Upendo Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu mwaka 1988. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Yosefu Marello

Yosefu Marello alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki huko Acqui, nchini Italia, na mwanzilishi wa shirika la Waliojitoa kwa Mt. Yosefu. Alisifiwa kwa kusaidia maskini tangu utotoni mwake. Kama askofu aliandika barua mbalimbali za kichungaji na kutemb ...

Maria Alfonsina Danil

Maria Alfonsina Danil alikuwa mtawa wa Palestina, mwanzilishi wa shirika la Masista Wadominiko wa Rozari Takatifu wa Yerusalemu. Maisha yake yote alihudumia mafukara wa nchi yake. Kabla ya kuanzisha shirika lake mwaka 1880, alikuwa sista wa lingi ...

Maria Guliema Emilia

Maria Guliema Emilia, alikuwa mtawa wa Ufaransa na mwanzilishi wa Shirika la Masista wa Familia Takatifu wa Villefranche kwa ajili ya kulea wasichana na kuhudumia maskini. Pia ni maarufu kwa maandishi yake kuhusu maisha ya kiroho yaliyopatikana t ...

Maria Msulubiwa Di Rosa

Maria Msulubiwa Di Rosa alikuwa mwanamke tajiri wa mji huo ambaye maisha yake yote alihudumia maskini na wagonjwa. Kwa ajili hiyo alianzisha pia shirika la masista. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu bikira tangu tarehe 12 Juni 1954, ...

Maria wa Yesu Ekaristi

Maria wa Yesu Ekaristi alikuwa mwanamke Mkristo wa Meksiko aliyeanzisha shirika la Mabinti wa Moyo Mtakatifu wa Yesu. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992, tena mtakatifu tarehe 21 Mei 2000.

Eujeni Mazenod

Eujeni Mazenod alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa aliyeanzisha shirika la kimisionari maarufu kwa ufupisho O.M.I. Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 19 Oktoba 1975, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 3 Des ...

Filipo Neri

Filipo Neri, alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa shirika la Waoratori. Ni maarufu kama "mtume wa Roma" kutokana na kazi yake bora aliyoifanya katika mji huo katika karne ya 16. Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 11 ...

Nilo wa Rossano

Nilo wa Rossano alikuwa abati wa wamonaki wa Ukristo wa Mashariki sehemu mbalimbali za Italia. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Tarehe ya kifo chake ndiyo sikukuu yake.

Norbert wa Xanten

Norbert of Xanten alikuwa mtawa aliyeanzisha shirika la Wakanoni wa Premontree, akawa askofu wa Kanisa Katoliki. Alitangazwa na Papa Gregori XIII kuwa mtakatifu mwaka 1582. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Juni

Vinsenti Pallotti

Vinsenti Pallotti alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa Shirika la Utume Katoliki. Alitangazwa na Papa Pius XII kuwa mwenye heri tarehe 22 Januari 1950, halafu mtakatifu na Papa Yohane XXIII tarehe 20 Januari 1963. Sikukuu yake huadh ...

Patapi wa Thebe

Patapi wa Thebe alikuwa mkaapweke katika jangwa la Misri katika karne ya 4. Halafu akahamia Konstantinopoli alikoanzisha monasteri na hatimaye kufariki dunia. Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama ...

Paulo Aureliani

Paulo Aureliani alikuwa mkaapweke wa Welisi, halafu mmonaki padri, na hatimaye askofu wa kwanza wa Saint-Pol-de-Léon. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Machi.

Paulo wa Msalaba

Paulo wa Msalaba alikuwa padri mwanzilishi wa Shirika la Mateso. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu tarehe 29 Juni 1867 alipotangazwa na Papa Pius IX. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Oktoba

Petro Favre

Petro Favre alikuwa padri wa kwanza na mwanzilishi mwenza wa Shirika la Yesu pamoja na Ignas wa Loyola na Fransisko Saveri. Alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri tarehe 5 Septemba 1872, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 17 ...

Petro wa Alkantara

Petro wa Alkantara, ambaye awali aliitwa Juan Garavita, alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo. Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 18 Oktoba.

Romualdo Abati

Mtakatifu Romualdo abati nchini Italia na mwanzilishi wa urekebisho wa Wabenedikto Wakamaldoli, alizaliwa Ravenna, Emilia-Romagna, kati ya mwaka 951 na 953 akafariki karibu na Fabriano, Marche, tarehe 19 Juni 1027. Anaheshimiwa kama mtakatifu na ...

Antonio Rosmini

Antonio Francesco Davide Ambrogio Rosmini-Serbati alikuwa padri na mwanafalsafa wa Italia aliyejihusisha na uhuru na umoja wa nchi yake. Alianzisha shirika la Upendo Warosmini. Baada ya falsafa yake kupingwa muda mrefu, tarehe 18 Novemba 2007 ali ...

Maria Yosefa Rossello

Maria Giuseppa Rossello, FdM alikuwa mtawa wa Italia aliyeanzisha shirika la Mabinti wa Bibi Yetu wa Huruma lenye lengo la kueneza huruma ya Mungu ulimwenguni. Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri tarehe 6 Novemba 1938, halafu na Papa Piu ...

Saba abati

Saba Abati, alikuwa mmonaki padri aliyeanzisha monasteri kadhaa, ambazo kati yake maarufu zaidi ni ile yenye jina lake. Tangu kifo chake anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Desemba.

Roger Schutz

Bruda Roger Schutz, aliyezaliwa huko Provence tarehe 12 Mei 1915 na kuuawa na kichaa huko Taizé tarehe 16 Agosti 2005, alikuwa mchungaji aliyejifanya mmonaki na kuanzisha jumuia ya kitawa ya kiekumeni huko Taize ambayo aliiongoza hadi kifo chake.

Sigimundi Gorazdowski

Sigimundi Gorazdowski alikuwa padri wa Kanisa Katoliki, mwanzilishi wa shirika la Masista wa Mt. Yosefu. Utotoni Gorazdowski aliugua TB hivi ilimbidi asubiri apone kabisa kabla hajapewa upadirisho. Baadaye alifanya kazi katika parokia mbalimbali ...

Silvesta Guzzolini

Silvesta Guzzolini alikuwa padri mmonaki wa mkoa wa Marche, Italia aliyerekebisha utawa wa Wabenedikto kwa kuanzisha tawi linaloitwa Wasilvesta. Papa Klementi IV alimthibitisha kuwa mwenye heri, halafu Papa Klementi VIII alimtangaza mtakatifu mwa ...

Fransisko Spinelli

Francesco Spinelli alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia Kaskazini. Alianzisha shirika la kitawa la masista 1882 ambalo baadaye liligawanyika 1892. Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II 21 Juni 1992, halafu mtakatifu na Papa Fr ...

Teodosi abati

Teodosi abati alikuwa mmonaki aliyeanzisha na kuratibu maisha ya kijumuia huko Palestina. Pia alishika sana imani sahihi ilivyofundishwa na Mtaguso wa Kalsedonia na kwa ajili hiyo aliwahi kudhulumiwa na serikali ya Dola la Roma Mashariki. Tangu k ...

Yoana Antida Thouret

Yoana Antida Thouret, kwa Kifaransa: Jeanne Antide ; alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha shirika la Masista wa Upendo wa Kimungu. Anaheshimiwa kama mtakatifu bikira. Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake.

Emilia wa Villeneuve

Emilia wa Villeneuve alikuwa mtawa Mfaransa aliyeanzisha shirika la Masista wa Bibi Yetu wa Kukingiwa Dhambi ya Asili wa Castres. Alitangazwa mwenye heri na Papa Benedikto XVI tarehe 5 Julai 2009, halafu mtakatifu na Papa Pius XII tarehe 17 Mei 2 ...

Vinvaleo

Vinvaleo alikuwa mmonaki anayetajwa kama mwanzilishi wa monasteri ya Landévennec nchini Ufaransa. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Machi.

Virginia Centurione Bracelli

Virginia Centurione Bracelli alikuwa mwanamke tajiri wa mji huo ambaye aliishi muda mfupi katika ndoa halafu akafiwa mumewe akaweka nadhiri ya useja ili kuhudumia maskini. Kwa ajili hiyo alianzisha pia mashirika mawili ya masista. Anaheshimiwa na ...

Vivina

Vivina alikataa kuolewa akaishi kama mkaapweke hadi alipoanzisha monasteri akaiendesha kama abesi mpaka kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Desemba.

Waanzilishi saba

Waanzilishi saba wa Utawa wa Watumishi wa Maria, ni wanaume wa Firenze ambao mwaka 1233 hivi waliacha shughuli zao wakaenda kuishi upwekeni ili kuanzisha shirika la maisha ya wakfu aina ya ombaomba kwa heshima ya Bikira Maria. Majina yao ni: Buon ...

Yoana wa Lestonnac

Yoana wa Lestonnac, O.D.N. alikuwa mtawa wa Ufaransa, wa kwanza kuanzisha shirika la masista walimu, "Masista wa Bikira Maria, Bibi Yetu". Kabla ya hapo aliishi miaka 24 katika ndoa, ambamo alizaa watoto saba. Papa Leo XIII alimtangaza mwenye her ...

Yoana wa Valois

Yoana wa Valois, O.Ann.M., alikuwa binti mfalme wa Ufaransa na kwa muda mfupi malkia wa nchi. Baada ya ndoa yake kutangazwa batili alianzisha monasteri akawa abesi mwanzilishi wa masista wamonaki wa Shirika la Bikira Maria Kupashwa Habari. Anahes ...

Yohane Eudes

Yohane Eudes alikuwa padri nchini Ufaransa. Alifanya kazi ya uinjilishaji na kuanzisha shirika la Yesu na Maria pamoja na lile la Bibi Yetu wa Upendo. Ndiye aliyetunga matini ya liturujia kwa sikukuu ya Moyo mtakatifu wa Yesu na ya Moyo safi wa M ...